Delusions are defined as fixed, false beliefs that are not shared by people of the same educational and cultural background.The guy needs an urgent Psychiatrist review. I
Mzee kwani hunahela wacha mambo ya kusingizia mungu, kila siku zinakuja eti. Wacha kunipotezea bandali zangu. Kumbe mimi nakutaka na huna hela tutakula nini tukiendelea kungoja mzee. Sasa sikutaki tena. ...nkt jiangalie unavyo jikosea heshima
Serikali imekusudia kuziuza nyumba za rugumi ili kukusanya kodi,kwa vyovyote iwavyo inamana nyumba hizo kwa sasa ni Mali ya umma,Ushauli wa bule kwa serikali yangu ni hu,1 kwakua kunampango wa kuvunja jengo la makao makuu ya tanesco pale ubungo ITAPENDEZA kama moja kati ya majumba matatu wahamie hawa Tanesco,2 kama biashara ya kuuza imeshindikana basi wapangishe kwa wafanya biashara au taasisi zisizo za kiserikali ili serikali iendelee kujipatia pato litakalo tokana na kupangishwa nyumba hizo na nimatumaini yangu haita chukua miaka mingi kurudisha hizo billion3 na majengo yataendelea kuwepo hata likipita tetemeko kubwa zaid ya bukoba.ITAPENDEZA.
Haaaaaa jamani wandishi waongo naminimeisikia hiyo umefukuzwa duh
Itapendeza sana ukinunua izo nyumba..... Am praying for you Dr shikanishi... Nimekupenda bure... +254 representatives
usjar mzee wetu nakupenda saaaana
Uko vizuri Dr Shika , hata wazungu wanakushangaa ulivyozungukwa na wanahabari!
Mungu akakuwezeshe kwa yote
Mungu akusimamie
we noma sana Grand thinks
I JUST LOVE THIS MAN❤❤❤❤❤
jamani baba angu katakata daaaa mungu endelea kufanya yako
mungu akusimamie
Mungu akubariki sana mzee.......najua hawataamini cku ukizinunua
Kweli umdhaniae ndie sie
saf mzee wangu
upendo wa mungu hupo na wwe amiin kwa sote Allah kareem
Hii move imefika sehem ya ngapi jamani?
Tajiri mtata kweli!
Mh ngoja movie iendeleeee kwa msanii wetu shika kamata
😀😀😀 hata wakipandisha nipo tayari
Mungu akupiganie upate uliyoyatarajia
Love you Dr shika,nami nakuombea hili, ufanikiwe uweze kuzinunua zile nyumba
Saumu Hassan ili muishiwotee hahahaha
Kama kweli unamwabudu mungu aliye hai hakika utanyamaza naye atakupigania.usijali msee wangu
Moses Kayan 👏👏👏👊👊👊
Chako ni chako babu nimekubali kwani Mungu huniuwa ili apate kuaibisha kilicho na nguvu
walah chako ni chako shika, may God be wid you
wanichekesha sana mimi (from Doha city Qatar )/Kenyan girl
+Hamza Watheq vipi huko gal grom kenya but in saudi
fanya kweli mzee ipendeze zaid kwa wale walio kuwa wana kubeza waje waombe kibarua kwako.
aya
nimejifunzakitu..kutokakwadoctashika...kimaishayangu..lakini..wengiwanachukululia..kamavichekesho
Inshaallah jitahid tu kumuomba mungu wako atakusaidia na nyumba hiz hazitonunuliwa na mtu yoyote ispokuwa wew amin M/mung atakusaidia amin
Rahma Rahma nimempemda bure huyu bw
Rahma Rahma kweli naona untk ukakae nae
Rahma Rahma amina
safiiii san dr shika mungu awe nawe
Dr Shika oyeeeee
N zako mungu yupo nawe xna
*GLOBAL TV. views kibao. hela mnapeleka wapi?? nunueni maiki nzuri*
Gem Ryne 😂😂😂maik inaumiza masikio
Gem Ryne 😂😂😂😂
Gem Ryne hahahahaha
Rahima Juma #Haa haa😄😄😄
Gem Ryne tembeeni majoe kwa Mpemba mpate habari Nzuri za barabara
Kwa habari za mjini ...udaku ..michezo ..matukio mbali mbali karibu
nimekuelewasana mzee
Dr shika nakukubali sana yaani
Kwa jinsi ulivyo pitia majaribu makubwa hizo nyumba Mungu amekupa tu
point ya mzungu gem ryne
Dr. Shika unaonaje ukiachana na hizo nyumba ununue eneo majali upendapo na ukajenga nyumba zako nzuri hata zaidi ya hizo.!!!!!!
aaahhhhhh
Mmmmhu 900 itapendeza, Kahama to Mwanza with fastjet
Dr Shika💪🏿🙏🏿
ahmedi IMA Ali demokrasi
.
Oyeeeee
👏👏
Huyu Mzee nikiboko
wenye kukuceka watapata aibu
leoleo hiiii!
fateni taratibu za kimataifa mzee achukue nyumba, yono mnazingua kiukweli
Yaanu hawa wa mitandao kazi yao ni kuandika mauwongo tu.
Pambana na hali
Hayo mabilion yakitoka urusi na mm utanigawia kidogo.
Kweli kabisa atanunua huyu Mzee
kabisa
Acha kuzingua
mabilioni yakiingia husiwape tena 900 kwakuwa walikusotesha upandilie dau iwe Kwa #511itapendeza zaidi.
Itapendeza ukizichukua kweli fanya vitendo
ukweri
900 itapedeza
Endelea namaombi yatapokelewa nyumba hazitauzwa hats mnunuzi hatakuepo
Umeshanunua sasa
Nakuombea sana ununue hili utu tower wasiwasi maana mpk MUDa huu bado 50/50
ndo maana ni tajir unajua kuishi na wanafki...saf Dr
mkali wetu uyooo
mzee kweli anahela? au in kuzingua tu
😂😂😂😂😂😂chako ni chako mzeeeee
Kwel Mzee Wang wiki hii pesa yetu ikiingia kutoka urusi itapendeza xaxa.
Dr.shika Washike Ur b,rong House
Mzee wa itapendeza zaidi
Haaaaaaaaaaaaa dr unajua kunipa raha
Wamekula mb zngu kunge kuwa na jela ya kushitaki
namba ya cm ya Dr.shika
Mwakanyiki Josephy 0744079715
Waliokubeza wataona aibu kubwaaaa
Unapenda kiki km msanii vile
Huyo mzeee nae akae atulie tushamchoka
😃😃😃😃😃😃haya tunasubiri babu
Movio imefik pati ya ngapi
Hata wakipandisha nipo tayari😁😁😁😁😁changu ni changu...
Delusions are defined as fixed, false beliefs that are not shared by people of the same educational and cultural background.The guy needs an urgent Psychiatrist review. I
zichukue baba hizo ni zako
Samhenda Wallaa for sure ni zake
Unatisha Dr Shika!
Ukikamilisha tu HAKIKA ITAPENDEZA na watakuelewa tu wanaokubeza ha ha ha ha
itapendeza kama utaomba escort kutoka bank kwa yule askali alisema humiliki hata milioni Moja#!!
Mr shika
Dkt shika kanishika ktk vichekesho vyte vya bongo hichi kiboko Kl cku nacheka Mpk usingizini 😀😂😂😂
😅tuna kiombea hizo pesa uzipate
Ah kweli shika ni mtata, coz anasema anauwezo wakuzinunua na zaidii! 900 itapendezaaa
Dr. shika wewe kweli ni mtata, zinunue ata zaidi unazo hela wenye walikuwa wanakutharau, sasa ata sauti HAWANA.......WAKO KIMYAAAAAAA!!!!!
Yan hadi wazungu uwanjan wanajiuliza Mbna jamaa wanapiga nae picha sana
changu ni changu
atamuigize..sisitunamtaka.yeyemwenyewe
tunamtakayeyeshikasio.nyiemnaeigiza.sautiyake
😂😂😂hatareeeeeee
UNAUZASURA TU UNAPENDAEEEH
Tanzania nchi ya kicgekosho kwel
Changu ni changu
yaonyesha sisi tunaendekeza sana comedy hata ktk masuala ya msingi yaani wanahabari wooote hao kwenda kymsikiliza tapeli na comedian Mkuu kama huyu
gombea ubunge mkuu.tunakupa fastaaaaa jimbo la kafulila
NINAHAKIKA MKWANJA UKISHAFIKA UKISHANUNUA IZO NYUMBA .....ITAPENDEZA ZAIDI
shikanamkubalisana
na uwambie vitendo Tuu watakukoma Dr
Mzee kwani hunahela wacha mambo ya kusingizia mungu, kila siku zinakuja eti. Wacha kunipotezea bandali zangu. Kumbe mimi nakutaka na huna hela tutakula nini tukiendelea kungoja mzee. Sasa sikutaki tena. ...nkt jiangalie unavyo jikosea heshima
Njoo nikupe hela basi. Halafu unirudishiye zikija zako. Lakini masharti yangu ni tukae pamoja. ..sawa mzee? ??
Haki ya mtu haipotei
Huyu mzee namfananisha na Mheshimiwa Seif sharif hamad kila siku anasema atakua raisi lakini hawi.
Serikali imekusudia kuziuza nyumba za rugumi ili kukusanya kodi,kwa vyovyote iwavyo inamana nyumba hizo kwa sasa ni Mali ya umma,Ushauli wa bule kwa serikali yangu ni hu,1 kwakua kunampango wa kuvunja jengo la makao makuu ya tanesco pale ubungo ITAPENDEZA kama moja kati ya majumba matatu wahamie hawa Tanesco,2 kama biashara ya kuuza imeshindikana basi wapangishe kwa wafanya biashara au taasisi zisizo za kiserikali ili serikali iendelee kujipatia pato litakalo tokana na kupangishwa nyumba hizo na nimatumaini yangu haita chukua miaka mingi kurudisha hizo billion3 na majengo yataendelea kuwepo hata likipita tetemeko kubwa zaid ya bukoba.ITAPENDEZA.