Dr. Shika "MIMI SIO MBABAISHAJI" aonyesha Kampuni yake

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 627

  • @hildakaaya6924
    @hildakaaya6924 6 ปีที่แล้ว +67

    aisee mzee anajielewa sana...alaf msomi...kama kaweza kukaa nyumba mzuri na analipa kodi yule dada mpangaji mwenzie aliyejishaua babu haeleweki atapata aibu...salute kwa babu

    • @p.kasongot979
      @p.kasongot979 6 ปีที่แล้ว

      Hilda Kaaya ndo hapo sasa alijishauwa babu ajiwezi kumbi mjinga tu

    • @rahmamavura406
      @rahmamavura406 6 ปีที่แล้ว

      Hilda Kaaya tena yule dada muongo hasaaa.ushahidi huu unamshushua

    • @kibokongurai4488
      @kibokongurai4488 6 ปีที่แล้ว

      NIMEPENDA HIYO BABY TUU 950ITAKUFAA CHUKUA COKE NAKUJA KULIPA

    • @seurisanare8015
      @seurisanare8015 6 ปีที่แล้ว

      sana Hilda

    • @ashuhunamohammed9258
      @ashuhunamohammed9258 6 ปีที่แล้ว

      Mi simlaum yule Dada kwan kle ndo alichokiona

  • @saidndimbwa4976
    @saidndimbwa4976 6 ปีที่แล้ว +14

    Don't judge the book by its cover...this old man is genuine...

  • @geraldgodfrey3680
    @geraldgodfrey3680 6 ปีที่แล้ว +1

    Usije ukamdharau usie mjua hata kama ndugu yako unajua,,,mzee pole saana kwa yaliokukuta nimekuelewa mzee Shika pesa ipo hapo 👏👏👏👏👏👏👏👊👊👊👊👊

  • @zadockjames1401
    @zadockjames1401 6 ปีที่แล้ว +2

    Umdhaniae kumbe ndiye siye nakukubali sana Dr.Louis. Ingawa nabii hakubaliki kwao.

  • @zainabbakari3603
    @zainabbakari3603 6 ปีที่แล้ว +57

    Jaman tunaambia tusimzarau mtu usie mjuaaa ndo kama haya babu wawatu ana akili zake timamu kuliko hata hao waliokua wanamchekaa na sku zoote watu wenye akili na vipato vyao huwa hawapend kujionesha wao ninani wanapenda kuwa sawa na walio chini tuache mazarau jaman dah mi namkubal huyu mzee kwa.maelezo yke wala haumwiii

  • @naomikasembwela576
    @naomikasembwela576 6 ปีที่แล้ว +1

    dah ! masikini ! yuko vizuri sana huyu mzee kwa maelezo yake, mungu ataonyesha utukufu wake kwako mzee,

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 6 หลายเดือนก่อน +1

    Salute Dr Shika!, God bless you

  • @renaldakamugishazeramulake940
    @renaldakamugishazeramulake940 6 ปีที่แล้ว +91

    MASKINI wanampenda jirani zake n.a. watoto wao. Ningekuwa n.a. uongozi ngazi za juu ningemtoa siku si nyingi. Waziri wa Viwanda amtafute anaweza kupata mawazo mazuri zaidi Si wakawaida anatisha sana.

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 6 ปีที่แล้ว +1

      Yaani nimenyoosha mikono! Dr katisha

    • @mtanzaniamzalendo7001
      @mtanzaniamzalendo7001 6 ปีที่แล้ว

      Renalda Kamugisha Zeramula Kemilembe ana akili sana

    • @saidkhamis4662
      @saidkhamis4662 6 ปีที่แล้ว

      Da huyu jamaa namkubali

    • @saidkhamis4662
      @saidkhamis4662 6 ปีที่แล้ว

      Epuka sana kununuwa kitabu kutokana na kava ya nje

  • @elesianyondo7269
    @elesianyondo7269 6 ปีที่แล้ว +38

    ni dhambi kubwa kumdharau mtu kwa kumuangalia physical apearance,huwez jua ...

  • @beijoozessence1048
    @beijoozessence1048 6 ปีที่แล้ว +4

    am a bit schoked! OMG he seem very well learned and very bright

  • @lengaymaida434
    @lengaymaida434 6 ปีที่แล้ว +47

    Plz mliomdhalilisha Huyu mzee kwenye mitandao futeni post zenu

  • @sharifa2274
    @sharifa2274 6 ปีที่แล้ว +28

    Masikini mzee kumbe alikuwa na kazi zake

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 6 ปีที่แล้ว +17

    Daaah jamani,toka lini chizi akajielewa na kuelewa Mambo,Huyu mzee ana akili sana mpaka kapitiliza Aiseee,alafu anajiamini mnooo,

  • @husseinmohamed9365
    @husseinmohamed9365 6 ปีที่แล้ว +1

    amazing story.. nimekubal

  • @joewasimony8778
    @joewasimony8778 6 ปีที่แล้ว +8

    Huyu MZEE amesoma Sana kuliko Ww unae some comment yangu

  • @amanimariki7631
    @amanimariki7631 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atusamehe sana binadamu kwa ndimi zetu.

  • @jei_maimu6957
    @jei_maimu6957 6 ปีที่แล้ว +4

    safi babu,ushahid unaoo..mie nimekukubali

  • @marympango925
    @marympango925 6 ปีที่แล้ว

    jaman asante mungu...naomba huyu baba aendelee kuudhihirisha ukuu wa mungu yan Kaka mirlad..duuh hatari!!!

  • @ibrahimomary550
    @ibrahimomary550 6 ปีที่แล้ว +40

    Achene uxhambaa mnataka mpaka avaee suti ndo muamin jam mkwanjaa anao

    • @saidaali9379
      @saidaali9379 6 ปีที่แล้ว

      Ibrahim Omary wanataka aseme kanunua shati millioni 10

    • @geoffreyengatkinson
      @geoffreyengatkinson 6 ปีที่แล้ว

      huyu mzee yupo sawa kabisa: watu wanamkejeli tu bure, ingekua ata vema waziri wa viwanda akutane nae aneza pata mawazo mazuri apa

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 6 ปีที่แล้ว

      hyu jamaa alikuwa na mkwanja,ila kazurumiwa,Russia wameharibu watu wetu bright wengi tu,na mifano ninayo,hawa jamaa ni mbwa

  • @shufaamohameed2603
    @shufaamohameed2603 6 ปีที่แล้ว +43

    Wow nakupenda buleee

    • @enockmussa5819
      @enockmussa5819 6 ปีที่แล้ว

      Shufaa Mohameed kumbuka Ni mzee huyo

    • @simonmwangi1057
      @simonmwangi1057 6 ปีที่แล้ว

      Shufaa Mohameed pia Mimi bule tu

    • @shufaamohameed2603
      @shufaamohameed2603 6 ปีที่แล้ว +1

      Enock Mussa 😂😂😂nampenda km babangu jmn

    • @shufaamohameed2603
      @shufaamohameed2603 6 ปีที่แล้ว

      Simon Mwangi 😂😂😂sio na 900 ingependeza

    • @simonmwangi1057
      @simonmwangi1057 6 ปีที่แล้ว

      Shufaa Mohameed hahahaa pesa anazo huyu anazitaja kama kitu kidogo hahahaa

  • @dicksonfrancis9808
    @dicksonfrancis9808 6 ปีที่แล้ว

    umeziteka hisia zang Dr Shika uko vzrii mi naamini upo sahihi sio kila tajirii avae suti ajitangaze, awe na kitambi hapana tatzo letu bongo tusha zoea mabilionea wa vitambi na suti sasa watakukoma mi naiomba government yetu ikuchukue ukupeleke hospital ukasaidiane na ma doctor wengine kuokoa maisha ya watanzania

  • @emmanuelkanje7585
    @emmanuelkanje7585 6 ปีที่แล้ว

    Naomba kuuliza
    Huyu Dr L.S Kid, kwa wale mmefuatilia maelezo yake kwenye You tube. Inaonekana ni kichwa sana ila kuna misukosuko alopitia kulingana na maelezo yake. Je hamna jinsi yoyote serikali Inaweza kufanya kufuatilia ukweli na endapo wakagundua kasema ukweli hamna jinsi ya kumsaidia akarudi kwenye form yake, Dr Shika ni rasilimani adimu sana, tukiacha ikapotea hivi hivi kwa kweli ni dhambi hata mbele za Mungu. Naomba kuwasilisha

  • @zaifathussein8195
    @zaifathussein8195 6 ปีที่แล้ว +1

    Am in love with huyu mbaba jamoooni,
    oooooh my gosh.
    mkinipatia no. yake #ITAPENDEZA

  • @emahitube
    @emahitube 6 ปีที่แล้ว

    Mnamzingua mzee wa watu mnataka awe chizi tens asee watanzania tunafuatiliaga vya ajabu Big up Millard Ayo for prove them wrong..

  • @selemanikassim7018
    @selemanikassim7018 6 ปีที่แล้ว

    Dr. Luis shika namkubali sanaaaaa no matter what. Kiboko ya matajiri mjini...

  • @Jameskaguo
    @Jameskaguo 6 ปีที่แล้ว +60

    Watu wanazani mpaka mtu uvae suti, mimi mwenyewe nakampuni uingereza ila nimekausha.

    • @bajukul6952
      @bajukul6952 6 ปีที่แล้ว

      James Kaguo mamae

    • @prospermsanzi9276
      @prospermsanzi9276 6 ปีที่แล้ว +1

      James Kaguo hahahah uchunguzwe ww

    • @Jameskaguo
      @Jameskaguo 6 ปีที่แล้ว +1

      Kufungua kampuni uingereza ni kitu rahisi sana hakiitaji uchunguzi.

    • @theresiashilla5860
      @theresiashilla5860 6 ปีที่แล้ว +1

      Hahahaaaaa!

    • @jeychengula2466
      @jeychengula2466 6 ปีที่แล้ว +1

      James Kaguo 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @edinachami1754
    @edinachami1754 6 ปีที่แล้ว +75

    Yule police alietangaza Dr Luice Hana uwezo wakumiliki yupooooo

    • @mickskillstechnology7511
      @mickskillstechnology7511 6 ปีที่แล้ว +2

      Edina Chami atakuwa anaona aibu alivyokuwa anaropoka

    • @saumuhassan1365
      @saumuhassan1365 6 ปีที่แล้ว +3

      Mick Skills. Tena cyo aibu ndogo

    • @mickskillstechnology7511
      @mickskillstechnology7511 6 ปีที่แล้ว +1

      Saumu Hassan karibu kwenye Chanel TH-cam yangu usisahau kusubsribe

    • @mrpj1030
      @mrpj1030 6 ปีที่แล้ว +4

      Ni aibu sana kwa sector kubwa kama ile kutoa matamko bila kufanya uchunguzi ona sasa walimchukulia poa sababu ya muonekano hawajui alipitia mangapi

    • @idreamfoto
      @idreamfoto 6 ปีที่แล้ว

      Huyo 👮‍♀️ nampa f’word!

  • @bongapointepic2917
    @bongapointepic2917 6 ปีที่แล้ว +31

    Yule dada si alisema Hana simu

    • @maggymm7302
      @maggymm7302 6 ปีที่แล้ว

      Yaani.. mzee ana kamchina chake hapo wala hn shida.

  • @saviongaila3546
    @saviongaila3546 6 ปีที่แล้ว +5

    Tatzo Wtz Tunapenda sana kuchukuliana poa....

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 6 ปีที่แล้ว

    Millad mungu akujalie kila laheri

  • @mr.futurefrozie2558
    @mr.futurefrozie2558 6 ปีที่แล้ว +1

    Ase huyo mzee ni Genious . ni hataree sana milad mpige tafu huyo mzee sku pesa zake zikiingia hata kuacha ase

  • @daudimwidimakihanda5386
    @daudimwidimakihanda5386 6 ปีที่แล้ว

    Mimi hapa kiswahili nitapita pembeni 😁😁😁 Dr Shika bhana ana vimaneno flani amazing

  • @yshamwilima3301
    @yshamwilima3301 6 ปีที่แล้ว +25

    Mimi hapa kiswaili nitapita pembeni baby unaniuwa mieeeep😂😂😂😂😂

  • @loveness6732
    @loveness6732 6 ปีที่แล้ว +1

    Babuuuuuu msomi..unafreestyle kingereza..haha
    gonga like kama unamwelewa toka mwanzo.
    Kuwa tajr sio mbaka uvae designer na kumiliki ghorofa.

  • @isackhnano3771
    @isackhnano3771 6 ปีที่แล้ว

    Nimekukubali xana Mzee wangu "900 itapendeza" kwan uko vizuri kimaelezo pongez kwako.

  • @nabintukadende2388
    @nabintukadende2388 6 ปีที่แล้ว +31

    Akili ikipita sana inasababisha mtu kuwa chizi, uyu baba anaa kali sana.

    • @BennyChristian
      @BennyChristian 6 ปีที่แล้ว +1

      kwanza alisema miatisa sio milioni miatisa inatakiwa apewe nyumba nawamrudishie chenchi katika buku yake sema tu hapa sharia hazipovizuri mzee kashinda mnada ule

    • @BenLeeBl
      @BenLeeBl 6 ปีที่แล้ว

      Nabintu Kadende naungan na ww

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 ปีที่แล้ว

    Nimekupenda bure mzee pole sana, kwa yaliyokukuta

  • @prospermsanzi9276
    @prospermsanzi9276 6 ปีที่แล้ว +4

    Huyo Dr Mimi naomba angeendelea kuhojiwa vinzuri, inawezekana alikua mfanyakazi wa hyo kampuni aukweli ni mmiliki nnacho shauri Ikijulikana kweli in mmiliki wa hyo company basi wizara inayohusika na mambo hayo imtumie sio kumuacha MTU ana industrial idea km hyo ikizingatiwa tz tunawataalam wachache

  • @farajafaraja3494
    @farajafaraja3494 6 ปีที่แล้ว +4

    dear Dr Shika nishike nikushikilie naombeni namba jmn nikamfariji babu baby

  • @alhamdulilhanybodyhave8755
    @alhamdulilhanybodyhave8755 6 ปีที่แล้ว +47

    Huyu mzee anajielew nakale kadada kameumbuk

    • @maryamdounga2290
      @maryamdounga2290 6 ปีที่แล้ว +1

      alhamdulilh Anybody have 😂😂😂😂

    • @mbumbulicomedians3286
      @mbumbulicomedians3286 6 ปีที่แล้ว

      KWELI

    • @didamugya6039
      @didamugya6039 6 ปีที่แล้ว +1

      kanasema babu anakula maji,😁

    • @mbumbulicomedians3286
      @mbumbulicomedians3286 6 ปีที่แล้ว +1

      vidada vingine vinadharau sana, mtu akimfahamu vizuri kinajifanya kinatoa maelezo. kimeumbuka!!!!!!

    • @malandoelkana2378
      @malandoelkana2378 6 ปีที่แล้ว

      karibu ujifunze elimu bora kwa lugha nyepesi mkaribishe mtoto wako ndugu yako marafiki zako karibu sana usisahau kuni subscribe

  • @kvkenzo
    @kvkenzo 6 ปีที่แล้ว +1

    Skiw millard. Kama ilasha wah kuishi urusi. Basi aongee hata kirusi apao cz ile lugha ni ngumu sana

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 6 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana baba lakini kwa warus jinsi walivyo mafia na makatili c zani kama una chako tena Huko urusi wale watu ni vichaa kwa ukatili

  • @mawazohashimu8010
    @mawazohashimu8010 6 ปีที่แล้ว

    duuh kumbe Dr yupo vizuri ivyo!!!

  • @footballworld981
    @footballworld981 6 ปีที่แล้ว

    Mm nadhani kuwa huyu jamaa kafake jina,ila mm siwezi jua mungu anajua zaidi

  • @khamismachemba7600
    @khamismachemba7600 6 ปีที่แล้ว +4

    huyu mzee ni hatariii sn tumemchukulia poa zaidi kumbe cc ndio hatujui

  • @zamzamhamisi7332
    @zamzamhamisi7332 6 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe babu ana akili timamu maskin mungu amsaidie ,mi niliona akili zake sio timamu

  • @abdallahomari8680
    @abdallahomari8680 6 ปีที่แล้ว

    Buda mbabaishaji tuu, kilasoko halikosi mwenda wazimu, nahuyu ni mwenda wazimu wa mitandaoni, mungu amuongoze,

  • @veronicasarvatory9516
    @veronicasarvatory9516 6 ปีที่แล้ว +2

    Jamani usimzarau MTU. Maana hujui patano lake na mungu.

  • @piusjaphet2760
    @piusjaphet2760 6 ปีที่แล้ว +4

    Pesa yote hiyo bora ungejitafunia mwenyewe maana afya hiyo inabidi kupata msosi

    • @sweetmama3242
      @sweetmama3242 6 ปีที่แล้ว

      Pius Japhet Kwa kweli. Duh..!

  • @fredyjohnwaifakaratanzania2536
    @fredyjohnwaifakaratanzania2536 6 ปีที่แล้ว +28

    WEKA MIATISHA HAPO SASA ITAPENDEZA SANA...

  • @jaizahamin4882
    @jaizahamin4882 6 ปีที่แล้ว

    Kuna mama moja tuna ishi nae nyumbani miaka 25 sasa hajulikani Katokea wapi ukimuuliza anataka Mali na myumba anasema mtu wa Mombasa She’s very good ntajaribu kutafuta ndugu zake inshaa allah

    • @jaizahamin4882
      @jaizahamin4882 6 ปีที่แล้ว

      Anaonekana alizulumiwa mali N

  • @happinessmataluma1948
    @happinessmataluma1948 6 ปีที่แล้ว +1

    mungu akupinye baba

  • @sabriaalzadjali9328
    @sabriaalzadjali9328 6 ปีที่แล้ว +1

    Kwasisi tuliosoma Saikolojia tunajua huyu mzee ni zaidi ya Awareness,Anakitu kikubwa ndani yake naamini hata baadhi ya viongozi wetu hawana,huwenda kuna kitu kilimuathiri kwa muda mrefu lakini huyu Mzee ni zaidi ya Awareness

  • @moseskisingi9625
    @moseskisingi9625 6 ปีที่แล้ว +36

    Huyu mzee ni fulsa, kama anadharaulika kwamba hana pesa, basi wenye pesa jitokezeni mzee ana idea na ujuzi wa kutosha, pia ana mengi ya kufundisha kama atapata muda wa kutulia na kuimalika kiafya, ni vijimambo tu vimemkuta

  • @faridkibavu2028
    @faridkibavu2028 6 ปีที่แล้ว +3

    The man is genius

  • @jennyjayne5745
    @jennyjayne5745 6 ปีที่แล้ว

    See how billionaire live a simply life... Na hapa kaka akishika millioni watu hawaongei
    Salute sana baba

  • @michaelelia7058
    @michaelelia7058 6 ปีที่แล้ว

    Mlivyo shindwa kuvila msivitie hira mzee Yuko vizuri sana

  • @sportsextratz9169
    @sportsextratz9169 6 ปีที่แล้ว

    Kila mtu hufany kitu kwa kusud fulan mzee naye aliamua kufanya vile kwa maana yake tusiojua big up sn umeonyesha ujasr

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 6 ปีที่แล้ว +56

    Sasa mjue matatizo ya akili siyo masihara, Tanzania muwe na vitengo muhimu au therapy kwa watu kama hawa ambao wamesoma akili ikajam kutokana na hali za kimaisha. Huyu jamaa angefanyiwa therapy kuna mambo muhimu angefanya ya maendeleo ya nchi na maisha yake. It's saddening.

    • @renaldakamugishazeramulake940
      @renaldakamugishazeramulake940 6 ปีที่แล้ว

      Damaris Zuckschwert h

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 6 ปีที่แล้ว +3

      Limy Masele The guy is very smart kuna masahibu yalimkuta akiwa urusi inaonekana. Labda angepatiwa tiba au therapy hangekuwa katika hali hii. Inaumiza moyo kwa kweli kuona msomi kama huyu akitaabika namna hii.

    • @istikhamampanga3896
      @istikhamampanga3896 6 ปีที่แล้ว

      Naafadhali aseme ukweli ili asaidiwe hata pesa ya kula anaonekana mwili unakauka kwa kukosa lishe

    • @saumuhassan1365
      @saumuhassan1365 6 ปีที่แล้ว

      Renalda Kamugisha Zeramula Kemilembe Exactly my dear

    • @HASASON
      @HASASON 6 ปีที่แล้ว +1

      Damaris Zuckschwert kwa akili yako finyu huyu mzee anaumwa yawezekana wewe ukawa maiti

  • @starlight8794
    @starlight8794 6 ปีที่แล้ว

    Mmekosa kazi kweli kama ni tajiri sinijasho lake si lazima mjue amezipatavipi maana kila mmoja ameumbwa na nyota yake na akili yake ama kwakua amejieka rough ndio sababu mwamsumbua siolazima mtu kujiweka smart bwana mwenyewe hajataka kujiweka classic hebu mwacheni watubadala mpiganie maisha yenu nyinyi kazi ni kuchunguza wenzenu wanavyo ishi aki nyinyi watanzania mnashidakweli umbea tu ndio mlionao

  • @fathmahassanfathma7481
    @fathmahassanfathma7481 6 ปีที่แล้ว

    Maskini ningekuwa na uwezo huyu mzee ninge mlea km mzazi wangu I mean my BABA...pole xn Luis ..Ila Duniya imekufahamu nikiwemo Mimi mmoja wapo

  • @maymunamunamaymunamunaa6039
    @maymunamunamaymunamunaa6039 6 ปีที่แล้ว +6

    Yuko vzr babu

  • @kelvinkantabula6801
    @kelvinkantabula6801 6 ปีที่แล้ว +3

    The only test wakimpa ni kuongea Russian surely miaka yote lazima ujue hata sentence kadhaa

  • @sanndyberg645
    @sanndyberg645 6 ปีที่แล้ว

    I just pray to God if hope next year i will get a chance to speak with The with Go goverment and see IF I kan Work as terapiasta.

  • @freeworld2369
    @freeworld2369 6 ปีที่แล้ว +2

    free web hosting kwa ajili ya kampuni ya bilionea inatia wasiwasi kidogo. Japo ninaushahidi na experience ya kuona maproffesor au watu waliosoma sana wale wazee wazee they usually dont give a fuck how their materials being handled on internet iwe free web host au paid. sicho alichosomea na hata hiyo free web huenda ametengenezewa which is fine kwa sababu mamabo ya it hayamuhusu, amesomea kitu kingine. Huenda pesa anazo kwel. Hali ngumu ya maisha bongo ndo iliyofanya wabongo wamkurupukie kumdharau kwamba hana hela kitu ambacho sio sahihi.

  • @abrahamanimajilanga261
    @abrahamanimajilanga261 6 ปีที่แล้ว +2

    Anaonekana kujiamini vilivyo lakini hamna kampuni hapo hizo ni free web host inatengenezwa ndani dakika 5 tu lakini shule ipo hapo

  • @_sebajr8
    @_sebajr8 6 ปีที่แล้ว

    I do appreciate those people who have an incredible confidence like what Dr. Shika has. I'm always saying that. May God bless you Dr.

  • @mustaphahassan589
    @mustaphahassan589 6 ปีที่แล้ว

    sidhani kama ana hizo fedha ila akili anayo. anajua kuapproach. this guy is really genius. ila psychologists wanasema magenious wana matatizo yao

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 6 ปีที่แล้ว +29

    Wanadamu tumeumbwa
    ili tuhurumiane sio kudharauliana mallady msaidieni

    • @sanndyberg645
      @sanndyberg645 6 ปีที่แล้ว +1

      Huyu mr inaelekea amesom sana tu na alisha wahi Kuwa na campany yake na familia pia.ila kuna kitu tu kilimpitia Kati katika maisha yake.

    • @maziramusa9450
      @maziramusa9450 6 ปีที่แล้ว +1

      emaus bendi

  • @zarkleon2511
    @zarkleon2511 6 ปีที่แล้ว +3

    Baba yule mwanao wa Urusi ndo mim hapa Mama skazala mne, chto ty priyedesh 🤔🤔🤔

    • @issamashurinyo9609
      @issamashurinyo9609 5 ปีที่แล้ว

      Wew ce mtoto wake nakujua wew prele mzee wa iyoooooooooo

  • @allykassim1455
    @allykassim1455 6 ปีที่แล้ว +9

    mi nasema tena.afuatiliwe mke wa kirusi ambaye alikuwa akiishi na huyu mzee.itakuwa anajua mengi sana.hakosi japo vijisenti bank huyu mzee na vi asert kidogo

    • @johnbeda7620
      @johnbeda7620 6 ปีที่แล้ว +1

      jamani mbona unamzarau binadamu mwezi mungu ndio anae mpandisha mtu na kumshusha tusiwe hivo

  • @hollychriss7138
    @hollychriss7138 6 ปีที่แล้ว

    Wooow....Nice sana mkuu

  • @triciaburavan9180
    @triciaburavan9180 6 ปีที่แล้ว +8

    Kwarangi za chakula zitapendeza zaidi!😂😂😂😂

    • @ernestndauka9301
      @ernestndauka9301 6 ปีที่แล้ว +1

      Tricia Buravan wanatengeneza na binzari kabisa mzee nux kweli kweli 😂😂😂😂😂😂

    • @mathiasmalimi4555
      @mathiasmalimi4555 6 ปีที่แล้ว +1

      hahahahaaaaaaaa

  • @asherinashoni4526
    @asherinashoni4526 5 ปีที่แล้ว

    Sasa mbn mpk asoma kwani company activities hazijui vzr,lkn big up sana mzee

  • @nems-f2x
    @nems-f2x 6 ปีที่แล้ว

    This man is genous

  • @andrew29468
    @andrew29468 6 ปีที่แล้ว

    huyu jamaaa anajitambua,watu wanapenda sana kutukana watu bila kuwasikiliza kwanza.

  • @gospelextramusic6734
    @gospelextramusic6734 6 ปีที่แล้ว

    Mungu anisamehe kwamaana Mimi ni moja kati ya walio mmbeza bila kujua aiseeeee
    Huyu jamaa serikali imtumie vzuri wasimwache apoteee.

  • @salsweetypretty3471
    @salsweetypretty3471 6 ปีที่แล้ว

    Kumbe mzee wawatu anajielew hivi wa tz bn mnapenda kundharau mtu msie mjua

  • @jumamofu2641
    @jumamofu2641 6 ปีที่แล้ว

    Duh kweli

  • @hongerakkachawasemewwkzbut4996
    @hongerakkachawasemewwkzbut4996 6 ปีที่แล้ว +1

    mpeni basi japo hata kiti akae jamani mbona amesimama sana ila pole sana baba.huyo mzee anajielewa jamani nebu tuache kudharau watu jamani.

  • @TanzaniaTrendTV
    @TanzaniaTrendTV 6 ปีที่แล้ว +1

    Mzee yuko vizurii

  • @hamidalhamrany4887
    @hamidalhamrany4887 6 ปีที่แล้ว +4

    ndharau si jema Kwan mwenye pesa ana mfano ngani

  • @bensonfrank643
    @bensonfrank643 6 ปีที่แล้ว +4

    Huyu mzee KASOMA sana yaan Serikali Wamtumie atawasaidia sana

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 6 ปีที่แล้ว

      serikal inawasomi kibao

    • @geogepaul7498
      @geogepaul7498 6 ปีที่แล้ว

      Benson Frank Tanzania ya viwanda

  • @jumaramadhani5861
    @jumaramadhani5861 6 ปีที่แล้ว

    Kamanda Mambosasa ni zaidi ya Dr shika yaani,

  • @johaivenbyashara2665
    @johaivenbyashara2665 6 ปีที่แล้ว

    Dr upo juu

  • @vailethtitus6462
    @vailethtitus6462 6 ปีที่แล้ว

    Millard plz tupe bac na updates za AMAs 2017 #BTSblood fan hapa

  • @fauziaabraham3732
    @fauziaabraham3732 6 ปีที่แล้ว

    unawezekana alijificha akihofia kusakwa na hao maharamia na ndo mana aliamua aish maisha ya kawaida sana

  • @deatylipingu
    @deatylipingu 6 ปีที่แล้ว +1

    anaweza akawa kweli ana hela ila kuwa na website doesn't prove kwamba mtu ana kampuni. mtu yoyote anaweza kumiliki website hata kwa free yenye muonekano mzuri wa kiprofessional kabisa. na hata yeye ukiangalia website yake ni ya free...

  • @DonnHelela
    @DonnHelela 6 ปีที่แล้ว +19

    narod.ru Ni free hosting website kama ilivyo wix. Kwa waliosoma Psychology wanaelewa kina chomsumbua huyu mzee. Binafsi anaamini yote anayosema lakini si kweli kwamba anakampuni.
    Swala la fedha mpaka ilipiwe Bima ni Online Scams za kawaida kabisa. Kumsaidia ni kumpa counselling na medical care tu nothing more

    • @geoffreyengatkinson
      @geoffreyengatkinson 6 ปีที่แล้ว +5

      ata blogger, wordpress ni free hosting website but znatumika kutangaza makampuni na watu pia binafsi

    • @geoffreyengatkinson
      @geoffreyengatkinson 6 ปีที่แล้ว +2

      alafu pia asilimia 90% ya watu wa mambele ata email zao sio izi yahoo.com ama gmail.com kwa mfano kuna msela wangu mmoja wa germany email yake ni norman_edpatrick@chan.el.de

    • @jumaamzee2041
      @jumaamzee2041 6 ปีที่แล้ว

      So Imekuaje pale kwa President imtambue Luis?

    • @bryanjonathan6312
      @bryanjonathan6312 6 ปีที่แล้ว +1

      Everbody knows but nobody really knows"0

    • @nathandigital
      @nathandigital 6 ปีที่แล้ว +1

      UKiona free hosting jua kwamba mwanzoni website ilikuwa inafanya kazi vizuri lakini haijalipiwa hosting na domain kwa muda mrefu,
      Mzee anajielewa sema ni frustration tu za maisha zinamfanya awe hivi...lakin Dr.Shika ana hazina na ideas nyingi anazotakiwa kuachia kizazi cha saivi

  • @hassanmohdallyally9552
    @hassanmohdallyally9552 6 ปีที่แล้ว

    Wabongo wengi wana underestimate watu sio powa kabisa usimpime mtu home juwan utasemaa anaumwa kumbe mzimaa tu

  • @nuurinkluge8239
    @nuurinkluge8239 6 ปีที่แล้ว

    Ohooo jamani,,,Good bless you,,,

  • @sirnyoniinspirationstv5327
    @sirnyoniinspirationstv5327 6 ปีที่แล้ว

    Dah,nimeumia sana,wale wapangaji nao wamemkandia weeeeee,siyo watu wote wanaojionyesha wengine huwezi jua.
    unamdharau leo upo naye kitaa kesho unamwona anafactories zake unatamani kuomba kazi kwake.Usidharau mtu dah nimeumia but nimefurahi sana kuonyesha vitu vyake
    Wale watu walimcheka eti ana malengo makubwa kuliko uwezo wake kumbe ni kweli anavyo viwanda na pesa.Acheni hizoooooooo

  • @salcle9702
    @salcle9702 6 ปีที่แล้ว

    Vyombo husika lifatilie historical back ya huyu mzee unaweza kuta ayasemayo ni kweli,hamna jambo la kucheka hapo

  • @alimsela2019
    @alimsela2019 6 ปีที่แล้ว +1

    Tumekuelwa mzee Baba

  • @ngometvarusha4030
    @ngometvarusha4030 6 ปีที่แล้ว +1

    unaona mzee wetu yupo timamu watanzania tuache madharau wasomi hawana mbwembwe za uvaaji na kujionyesha wako kazin

  • @najmanassoro308
    @najmanassoro308 2 ปีที่แล้ว

    Nabii akubaliki kwao hata yesu alisalitiwa

  • @rosa629
    @rosa629 6 ปีที่แล้ว

    ni vizuri kumheshimu ila mtu bila sababu... maana watanzania tunapenda kuwaheshimu watu kwa sababu zao(muonekano, fedha na maneno ya kwenye mdomo)...

  • @fettykhalfan7337
    @fettykhalfan7337 6 ปีที่แล้ว

    Naomba mweshmiwa RAISI ampe ajila apate kukidhi mahitaji yake jamani Dr shika

  • @victorrunji5654
    @victorrunji5654 6 ปีที่แล้ว +2

    Movie linaendelea 😁

  • @swamitkimwerimzimbiri3769
    @swamitkimwerimzimbiri3769 6 ปีที่แล้ว +2

    Mzee JPM hekima zake zitumike hapo.
    Amtumie Vyema. Tena katika hiki kipindi cha Sera ya Viwanda