HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIWA UKEREWE - 04/09/2018

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.ย. 2018
  • Rais Magufuli ambaye yuko ziarani mkoani Mwanza amezungumza na wananchi wa Nansio wilayani Ukerewe katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja Ukuta Mmoja ambapo amesema Serikali imedhamiria kutekeleza dhamira ya Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere ya kukiendeleza kisiwa cha Ukerewe kwa kuhakikisha inajenga miundombinu ya barabara ya uhakika, inaimarisha huduma za elimu, maji, umeme na afya, na hivyo amewataka wananchi kutoa ushirikiano kwa Serikali katika utekelezaji wa dhamira hiyo.
    Ameongeza kuwa sambamba na juhudi hizo Serikali ya Awamu ya Tano imechukua hatua madhubuti za kusimamia rasilimali za umma ikiwemo kudhibiti wizi, ufisadi na rushwa pamoja na kutekeleza miradi mikubwa ikiwemo kuongeza uzalishaji wa umeme utakaoiwezesha nchi kuwa na umeme wa gharama nafuu kwa ajili ya maendeleo ya viwanda.
    Kuhusu uvuvi, Rais Magufuli amempongeza Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina kwa juhudi zake za kukabiliana na uvuvi haramu ambazo sasa zimeanza kuzaa matunda kwa samaki kuongezeka katika ziwa Victoria huku akibainisha kuwa uvuvi haramu uliokuwepo umesababisha viwanda vingi vya samaki kufa, ajira kupotea na samaki kupungua kwa kiasi kikubwa kutokana uharibifu mkubwa wa mazalia na uvuvi wa samaki wadogo.

ความคิดเห็น • 330

  • @ramadhaniamri3465
    @ramadhaniamri3465 2 ปีที่แล้ว +24

    Wakati unagombea uraisi, uripokua unafanya kampeni urikuta ccm ni mbovu sana pia warikususa baadhi ya viongozi uripita kuomba kura mikoani peke yako na uripopita ccm ikawa juu, magufuri roho yako ipumzike kwa amani, mahari pema peponi AMIN

  • @susannaikuni8595
    @susannaikuni8595 2 ปีที่แล้ว +13

    Mfalme lala salama from Kenya lakini nlikupenda xna mtetenzi wawanyonge hutawahi sahaolika Africa nzima Mungu umrehemu

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 2 ปีที่แล้ว +18

    Hata hasomi speech huyu mzee
    Mungu muweke pema peponi

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 2 ปีที่แล้ว +6

      Yani nafikili mm peke yangu kumbe wengi tunaye msitajabia baba huyu😭😭😭😭😭 TUMEPOTEZA KICHWA

    • @dianamahendekamahendeka1344
      @dianamahendekamahendeka1344 2 ปีที่แล้ว +4

      Huyu hakuwa mtu was kawaida alikua kashushwa na mungu daah 😭😭😭😭

  • @shirfadigubike7920
    @shirfadigubike7920 2 ปีที่แล้ว +11

    Ulikuwa kipenzi cha watu.ukisema unafanya.mungu akuepushe na moto wajehanamu.makazi yako yawe peponi ukutani na mahulilain wa peponi🙏

  • @aisharajimbo6784
    @aisharajimbo6784 2 ปีที่แล้ว +10

    Inna lilahi wa Ina ilaihi rajiun mungu ailaze Mahali pema peponi roho yake Insha_allah

    • @khuiii9032
      @khuiii9032 2 ปีที่แล้ว

      Kafiri makazi yKee motoni tuu kwani hujuii ww

  • @josephrobert3928
    @josephrobert3928 4 ปีที่แล้ว +13

    hii ndo speech saf ya mkuu wa nch Mungu akubaliki

  • @purposetowalkwithjesuschri2455
    @purposetowalkwithjesuschri2455 2 ปีที่แล้ว +4

    We really miss you so much our beloved Dad. Tutamkumbuka daima shujaa wetu

  • @godwinshoo3101
    @godwinshoo3101 2 ปีที่แล้ว +19

    Mwenyenzi Mungu tunakuomba utuandalie mwingine mwenye upeo mpana , juhudi ,uzalendo na siasa za kweli ili aje aendeleze haya yenye manufaa kwa wananchi

    • @annaswai2434
      @annaswai2434 2 ปีที่แล้ว

      mungu akuweke mahali pema baba yetu magu uku duniani mafisadi wanatunyanyasa wanajua watakula izo hela milele awajui Kama ipo siku nao watakufa

  • @Vuvuzelaz1
    @Vuvuzelaz1 2 ปีที่แล้ว +5

    Mwamba umelala baba Mungu yupo nawe na kama kuna ubaya atakulipia kama alikuita upumzike kwa amani

  • @afrimediake.9568
    @afrimediake.9568 2 ปีที่แล้ว +17

    Kiongozi wa kwanza duniani mwenye hekima na msimamo wake dhabiti,, kongole Mzee,, safiri salama,, Nakupenda toka Kenya kakamega

    • @mayanjajackson3585
      @mayanjajackson3585 2 ปีที่แล้ว +1

      👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾Kazi ulio fanya iko myoyoni kweli ushuja ume onyesha hata kosa mtu fulani ata ufwata mfano wako baba 👏🏾👏🏾👏🏾

  • @mansourmkanakuta6641
    @mansourmkanakuta6641 2 ปีที่แล้ว +7

    Rip rais wetu wa mda ote hayat magufuli

  • @wilsonchishomi1083
    @wilsonchishomi1083 2 ปีที่แล้ว +6

    Umetuacha yatima mzee wetu.. Asante kwa mema yote uliyotufanyia.. daima utaishi mioyoni mwetu.. I’m missing you 😞.. may your soul rest in eternal glory.. 🙏🏾

  • @robsonlotyloy5678
    @robsonlotyloy5678 2 ปีที่แล้ว +8

    Ni maneno ya kiongozi shujaa. Haya yote yanabaki kwenye mioyo yetu daima.

  • @kelvinmulengo8555
    @kelvinmulengo8555 2 ปีที่แล้ว +4

    That was man of action those who remains in ccm ni vigeugeu they don't want poor anymore JPM were are you father we miss you papa God send someone to comfort the machinga and the orphans in Tanzanian am Kelvin from l s k Zambia

  • @alexedward4069
    @alexedward4069 2 ปีที่แล้ว +7

    Tanzania tulipata Rais. Pumzika milele kwa amani. Mimi mungu akijalia nikiwa Rais ntakua kama wewe

    • @frankngoloka2589
      @frankngoloka2589 2 ปีที่แล้ว

      Nchi yetu ingefika mbali sana,tungekuwa nchi ya mfano

  • @redeemed4327
    @redeemed4327 6 ปีที่แล้ว +15

    Hapa Kazi tu! Asante JPM! Keep the tune, tutaelewa tu ambao vichwa vigumu.

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 2 ปีที่แล้ว +7

    Hotuba ya Rais Dkt John Pombe Maguli ni yaukweli yenye Siasa na Katiba kama inavyotakia alitimiza Miradi aliyowaahidi Wananchi wongozi wake ni wakipekee Mungu alimchagua kutumikia Watanzania asante Mungu

  • @pendonaomi1825
    @pendonaomi1825 2 ปีที่แล้ว +10

    Hata salaam yako tu ilinipa furaha na amani
    😢😭😭
    JPM ntakulilia daima😪😪😪

  • @rogasianshayo3740
    @rogasianshayo3740 หลายเดือนก่อน +1

    Magufuli kiongozi bora kuwahi kutokea Tanzania 🇹🇿 RIP 🙏, nakuangalia mzee wangu 3.7.2024 tunaseka uku mzee wangu 😢

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 2 ปีที่แล้ว +7

    Hotuba hii ya kutoka kwa Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Maguli ya mwaka 2018 September ni Hotuba yenye Katiba na Uchumi wa kujenga Nchi anayoifahamu Uongozi si kazi rahisi nikilingani Tansania na Nchi zenye maendeleo ndio maana asisahulike tumpe shukrani milele na milele

  • @fatumagillah2319
    @fatumagillah2319 2 ปีที่แล้ว +5

    RIP tutakukumbuka daima Kambarage namba 2

  • @rosetreffert6727
    @rosetreffert6727 2 ปีที่แล้ว +8

    Kipenzi cha WATANZANIA REST IN PEACE SHUJAA WETU MAGUFULI 😭😭😭❤💔

  • @rehemaphinias3977
    @rehemaphinias3977 2 ปีที่แล้ว +3

    Tunakukumbuka jpm, baba raisi wa dunia uliye teuliwa na mungu, mungu alitoa na mungu alitwaaa jina lake lihimidiwe,

    • @faustienealexi2268
      @faustienealexi2268 2 ปีที่แล้ว

      Kweli Magufuli alikuwa Raisi wa Dunia tumepoteza jembe kweli kweli

    • @eliakundanoe4486
      @eliakundanoe4486 2 ปีที่แล้ว

      Salaam zako zenyewe zina hamasa , lala baba tutakukumbuka daima

  • @fredkyara.babamunguwambing482
    @fredkyara.babamunguwambing482 6 ปีที่แล้ว +10

    Shimbonyi. Mae. Shimbonyi mmbe. Magufuli kweli we nomaa.

  • @rohitatri95
    @rohitatri95 6 ปีที่แล้ว +9

    Melanga Chikubati nimefurahi sana kumuona raisi yupo kwetu ukerewe

  • @halimushabani9480
    @halimushabani9480 2 ปีที่แล้ว +15

    Tutakkumbuka daima.

  • @musicmylife5417
    @musicmylife5417 2 ปีที่แล้ว +7

    Pumzika kwa amani baba.

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 2 ปีที่แล้ว +31

    R.I.P Papaa we missed you🤲🤲

    • @exaverymakoye6026
      @exaverymakoye6026 2 ปีที่แล้ว +1

      Daah,🙆😭😭

    • @halimahamady8089
      @halimahamady8089 2 ปีที่แล้ว +2

      @@exaverymakoye6026 1111111111111111

    • @athanassimbila2603
      @athanassimbila2603 2 ปีที่แล้ว

      TUNAKUKUMBUKA.BABA.MUNGU ATUPATIE TENA WA.AINA YAKO MAPEMAAA.EEE MUNGU

  • @johnhoswad8385
    @johnhoswad8385 2 ปีที่แล้ว +2

    Amakweli ulikuwa ukimcha mungu siyokama uliotuachia hatakulitamka jina la mungu Hakuna kwakuwa hofu ya mungu haipo ndani yao hatutafika zaidi yakuyumbishwa na kunyanyaswa

  • @gesusgegangphray7689
    @gesusgegangphray7689 2 ปีที่แล้ว +5

    Kodi yaatanzania ndio inajenga nchi na matrilion kuibiwa na mafisadi na wengi wapo CCM .uzuri ilijuwa kilakitu ..lala
    Salama
    Baba

  • @emmanyahubah5820
    @emmanyahubah5820 2 ปีที่แล้ว +13

    BADO VILIO VIMETANDA !!! NIMELIA SANA 😭😭😭👆

    • @josephwambua5874
      @josephwambua5874 2 ปีที่แล้ว

      Pole sana mungu yupo

    • @JumaBondo
      @JumaBondo 9 หลายเดือนก่อน

      Mwamba nimekuerewa, Hakika machozi hajaisha mioyoni mwetu,

  • @issakara9403
    @issakara9403 2 ปีที่แล้ว +7

    YANI JAPO ALIKUA NA MABAYA YAKE ILA SALAMU TU UNAJUWA KAMA HUYU RAISI

  • @jisamjoseph4558
    @jisamjoseph4558 2 ปีที่แล้ว +14

    Rest in paradise Papa.....love you

  • @seifjuma4743
    @seifjuma4743 2 ปีที่แล้ว +5

    Mm n mkerewe daaah nimeumia san hutuba hiiii

  • @t1910j
    @t1910j 2 ปีที่แล้ว +3

    I miss my president so much! RIP 😞

  • @simonmagaigwa5496
    @simonmagaigwa5496 2 ปีที่แล้ว +20

    Hotuba hizi zulitutia moyo, wananchi walihamasika kuja kumwona na kumsikiliza kiongozi wao, leo hii nchi imepoa kabisa.

    • @tawusishaban5130
      @tawusishaban5130 2 ปีที่แล้ว +1

      tonge tam haifiki mdomoni lala pema peponi amiin

  • @coffeemuya618
    @coffeemuya618 2 ปีที่แล้ว +2

    Pumzika kwa amani chumaa Dr John pombe magufuli hakika ww ulikua mtumishi wetu na sio rais wetu

  • @beatricekihehe3733
    @beatricekihehe3733 2 ปีที่แล้ว +5

    Mungu wangu sijui kama tutamsahau huyu

  • @user-qc2qf7fe5o
    @user-qc2qf7fe5o 6 หลายเดือนก่อน

    Pumzika kwa amani baba tulikupenda sana Mungu amekupenda zaidi

  • @mhamedabdalah2234
    @mhamedabdalah2234 2 ปีที่แล้ว +13

    Kupata Rais kama huyu huenda atoke kanda yaziwa

  • @zuberinzige6452
    @zuberinzige6452 6 ปีที่แล้ว +12

    nakuelewa sn rais wangu mungu akutangulie kwa maendeleo unayo tuonyesha

    • @michaelmgwambe7256
      @michaelmgwambe7256 2 ปีที่แล้ว

      Hakika mungu mpunzisha kwa amani mtu huyu amina

  • @josephnchunga1247
    @josephnchunga1247 2 ปีที่แล้ว +6

    Tutakukumbuka daima sasa hivi umetutoka yamerudi tena Yale Yale inchi imepoa sana bei bidhaa mafisadi wanatamba mambo ,upande Wa madini hawayasemei kwa nguvu tena ili kuyasimamia vizuri sasa hivi kimya duh Mungu atusaidie 2025 tupate rais Mwenye maona kama magufuli

  • @eliasylvester6429
    @eliasylvester6429 6 ปีที่แล้ว +7

    HAPA KAZI TUU MH MAGUFULI

    • @rohitatri95
      @rohitatri95 6 ปีที่แล้ว +1

      Nimekubali na nimependa sana najivunia nyumban ukerewe

    • @ramadhanmahongole5663
      @ramadhanmahongole5663 2 ปีที่แล้ว

      Hapa kazi tu... na siyo uhuru na kazi

  • @pirminkillumbe4727
    @pirminkillumbe4727 2 ปีที่แล้ว +4

    Mweee Baba RUDI...Baba J.P.M Unatuliza....Mungu turudishie mtu huyu mweee.😭😭😭

  • @gwishtztz8784
    @gwishtztz8784 2 ปีที่แล้ว +15

    Chuma in my heart will live for ever

  • @sr.helenarhobi8886
    @sr.helenarhobi8886 2 ปีที่แล้ว +6

    Babetu Magufuli umebaki mioyoni mwetu daima. Tuombee kwa Mungu aliyekuwa msaidizi wako ndiye yupo madarakani Sasa anatusulubusha kwa machanjo yao hovyo hovyo uliyoyakataa. Du! Baba tunatendewa Kama kuku wa kuchinjwa, hatuna mahali pa kukimbilia Tanzania Ni pana ila kwa Sasa imekuwa finyu. Pumzika kwa amani mwana mpendwa na mzalendo wa kweli wa Afrika!

    • @ronniebertin3563
      @ronniebertin3563 2 ปีที่แล้ว

      Nilimpenda huyu rais na nitaendelea kumpenda. Ni mtu wa wa vitendo

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 2 ปีที่แล้ว +4

    Jamani,siku hizi simkii Ndalichako.sijui kazi zote anafanya ummy

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 2 ปีที่แล้ว +11

    Hii nchi tumechezewa sana, watu wa hovyo wameharibu sana nchi hii, sikutegemea jpm anaweza kufa kifo cha utata kiasi kile, naumia moyoni, najiona nimekosea kutomlinda akiwa hai , kiukweli wote tulijua wapo downpressers wa haki za watu wa nchi hii waliomchukia sana na walikuwanaye karibu na kumbe behind dem try to eliminate em.
    Jah protect you bro Jpm. 😪😪😪

    • @thomasmartinez786
      @thomasmartinez786 2 ปีที่แล้ว +1

      Habakuki 3:2
      [2]Ee BWANA, nimesikia habari zako, nami naogopa;
      Ee BWANA, fufua kazi yako katikati ya miaka;
      Katikati ya miaka tangaza habari yake;
      Katika ghadhabu kumbuka rehema.
      O LORD, I have heard thy speech, and was afraid: O LORD, revive thy work in the midst of the years, in the midst of the years make known; in wrath remember mercy.R.I.P JPM

    • @thomasmartinez786
      @thomasmartinez786 2 ปีที่แล้ว

      Maombolezo 5:1
      [1]Ee BWANA, kumbuka yaliyotupata;
      Utazame na kuiona aibu yetu.
      Remember, O LORD, what is come upon us: consider, and behold our reproach.R.I.P CHUMA 😭😭

    • @adammwita3150
      @adammwita3150 2 ปีที่แล้ว

      Tubaki kuyaishi maisha yake katika nafasi zetu tulzonazo, pengne ni mpango wa Mungu kutuletea JPM. JPM alitufundsha Uzalendo na Uongozi bora na ametufunulia ukweli wa baadhi ya mambo tuliyokuwa hatujui. Mungu ampokee Mzalendo wetu JPM.

    • @loner_wolf
      @loner_wolf 2 ปีที่แล้ว

      @@adammwita3150 moja wapo ni kuhusu kuvunja mikataba tuliyoambiwa ni yamiaka 100 na haivunjikagi ....yeye alivunja bila hata kusikilizia labda kunakitu kitatokea hahahaha kweli Chuma kweli kweli

    • @adammwita3150
      @adammwita3150 2 ปีที่แล้ว

      @@loner_wolf huyu mzee akuwa peke yake MUNGU ALIAMUA KUMTUMIA AWEZE KUTUONYESHA NAMNA TULVYO CHEZEA NA VIONGOZI WETU.

  • @owinochris9886
    @owinochris9886 2 ปีที่แล้ว +2

    Aliye muuwa this man alani we e

  • @hatari9591
    @hatari9591 2 ปีที่แล้ว +1

    Ulikuwa unanikosha sana mzee wetu. Hata wasipokuenzi kitafa tutakuenzi kwenye mioyo yetu.

  • @neematweve3150
    @neematweve3150 2 ปีที่แล้ว

    Baba tunakukumbuka Sana. Tunalia Sana kwa ulio tufanyia.tuombee unafuu was maisha kwa mungu.nasi tunakuombea.mungu akupokee

  • @sammanjeka7357
    @sammanjeka7357 ปีที่แล้ว +1

    Dady we missed you.

  • @davidthoya3790
    @davidthoya3790 2 ปีที่แล้ว +3

    R.I.P MZEE MAKUFULI

  • @graciamligo120
    @graciamligo120 2 ปีที่แล้ว +5

    Rest in Peace mwamba wa Afrika

  • @ginustimotheo2148
    @ginustimotheo2148 2 ปีที่แล้ว

    Mimi nazani Tanzania hatuhitaji maendeleo ya nchi bali tunahitaji tudidimizane ila mungu yupo anawaona. Magu wangu ntakueka moyoni milele

  • @mwalimumstaafu8529
    @mwalimumstaafu8529 2 ปีที่แล้ว +1

    Baba umeondoka lakini utabaki kuwa ndani ya mioyo ya watanzania. RIP Baba.

  • @dannyosolo2752
    @dannyosolo2752 2 ปีที่แล้ว +6

    Magufuli....no words !!!

  • @emmanyahubah5820
    @emmanyahubah5820 2 ปีที่แล้ว +7

    You missed by us Tanzanians

  • @machoguhameri7757
    @machoguhameri7757 2 ปีที่แล้ว

    Tanzania,Afrika na,Dunia nzima tumekupoteza, lakini Mwenyezi Mungu hajakupoteza kamwe. Uko mbinguni kama .Masikini Razalo, ukiwatizama adui zako ng'ambo ya pili, yenye hatima mbaya kwao;kama yule tajiri dharimu dhidi ya Masikini Razaro. Tumepoteza sura yako tu,lakini maneno yako ya busara na hekima yanaendelea kutujenga kupitia hotuba zako mbalimbali."RIP our DaDy"

  • @salumugidion
    @salumugidion 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa kilikuwa kichwa kweli kweli 🙏

  • @vitalismagambo7017
    @vitalismagambo7017 2 ปีที่แล้ว +17

    Hakika Magufuli angelipeleka Tanzania pazuri. Mimi nilimpenda huyu raisi.

    • @wamoroboy8963
      @wamoroboy8963 2 ปีที่แล้ว

      Mim nilimpenda huyu rais
      sasa hiv umpendi kwa sababu amekufa au vp

  • @zainaburajabu9665
    @zainaburajabu9665 2 ปีที่แล้ว +6

    Tutakukumbuka Sana baba,yanayo endelea kwasasa ni vioja tu

  • @davidcurtis8556
    @davidcurtis8556 2 ปีที่แล้ว +8

    Dah! Rest in power my hero!

  • @eugymaro9623
    @eugymaro9623 2 ปีที่แล้ว +4

    Love sana papaaa RIP

  • @tajimwakasese9457
    @tajimwakasese9457 2 ปีที่แล้ว +2

    Hapa kazi tu tunakukumbuka sana

  • @gambobakari4978
    @gambobakari4978 2 ปีที่แล้ว

    Cna lakuandika zaid ya kukuombea kwa Mungu akupe pepo ktk maisha y huko akhera, naumia sana kw kfo chako.

  • @vwtv800
    @vwtv800 5 ปีที่แล้ว +6

    Mko powa sana azam TV hongereni sana

    • @agnessjohn1222
      @agnessjohn1222 2 ปีที่แล้ว

      Pumzika Kwa Amani shujaa wa Africa mtetezi wawanyonge nivigumu kukusahau lala salama mtetezi wawanyonge pumzika Kwa Amani shujaa wetu

  • @kasigajoseph811
    @kasigajoseph811 2 ปีที่แล้ว +4

    My lovely country Tanzania

  • @codermasye3763
    @codermasye3763 2 ปีที่แล้ว +6

    Wangapi mpaka leo wakitazama video zake wanaisi bado yupo hai gonga like hapa

  • @christinamendrady9148
    @christinamendrady9148 2 ปีที่แล้ว +1

    Continue resting in piece or presdaa

  • @jongosalehe1036
    @jongosalehe1036 2 ปีที่แล้ว +3

    Hapa kazi tu..

  • @vedastormwazela2622
    @vedastormwazela2622 2 ปีที่แล้ว +4

    Rest in peace mwamba

  • @khadejarajab844
    @khadejarajab844 2 ปีที่แล้ว

    Allah akuweke apendapo milele amin

  • @erickmwani1085
    @erickmwani1085 2 ปีที่แล้ว +7

    Yani huyu jpm alikuwa rahisi Wa dunia. Aliwekwa na mungu kwenye madalaka yake kafanya kazi vizuri.

    • @gesusgegangphray7689
      @gesusgegangphray7689 2 ปีที่แล้ว

      Upo sahihi 100% Mungu alitupa na cyo kura..ila amin mdugu tanzania ingekuwa ulaya ma umaskini story..kaa ukijuwa viongozi wanalipwa na wazungu kurudi nyuma .haji tokea kama huyu..matibabu bure pesa Zinaenda wapi

  • @SteraMisana-us5ov
    @SteraMisana-us5ov ปีที่แล้ว

    Last in peace fother😭😭😭😭tutakukumbuka daima milele.

  • @fanuelmakelegeta8562
    @fanuelmakelegeta8562 2 ปีที่แล้ว +4

    Maguful lala Salam

  • @deohank5995
    @deohank5995 2 ปีที่แล้ว +4

    TATIZO ulikuwa unatoa ELIMU kwa WASIO ELIMU. HAKIKA ULIKUWA MKWELI

  • @zickgregory5138
    @zickgregory5138 4 ปีที่แล้ว +7

    ukerewe oyeeee!

  • @frankkashner
    @frankkashner 5 หลายเดือนก่อน

    Rest in Peace Baba JPM hakika bila Mashaka ninakupenda sanaa sanaa Pasinakifani japo umelala

  • @bonny-tz2323
    @bonny-tz2323 2 ปีที่แล้ว +3

    Go Papa Go.... Maneno na vitendo vyako vinaishi mioyoni mwa-watanzania tu sio hao waliobaki madarakan 😭😭

    • @jeniphjohn9718
      @jeniphjohn9718 2 ปีที่แล้ว

      Joh

    • @simonmagaigwa5496
      @simonmagaigwa5496 2 ปีที่แล้ว

      Kweli, ndo maana unaona mpaka leo kuna watu bado wanapambana na kivuli chake bado hawaamini kama ameondoka.

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 ปีที่แล้ว

    N kweli kazi hiyo ilianza na daraja pale Lugezi linajengwa. RIP son of Tanzania.

  • @mohamedkutwambi
    @mohamedkutwambi 2 ปีที่แล้ว +15

    Magufuli you are still staying in my heart 😭😭

  • @sandrabernard751
    @sandrabernard751 2 ปีที่แล้ว

    Your the best.. Leo mwezi wa 11 uwiii

  • @ezekielkazingo890
    @ezekielkazingo890 2 ปีที่แล้ว +4

    Ila kama kuna mtu aliusika?Mungu atamwona tunazidi kudondosha machozi

    • @alfredovang2428
      @alfredovang2428 2 ปีที่แล้ว

      Machozi ya watanzania kamwe hawez kuyabeba

  • @athumaniomari2833
    @athumaniomari2833 2 ปีที่แล้ว +1

    Ewe mwenyezi MUNGU mkuu

  • @blessmerody7979
    @blessmerody7979 2 ปีที่แล้ว +4

    Jpm my presdent

  • @kalumbabenard4336
    @kalumbabenard4336 2 ปีที่แล้ว +7

    Kweli tutakukumbuka JPM

  • @barutwanayoamani2464
    @barutwanayoamani2464 2 ปีที่แล้ว

    Mungu amlaze mahala pema pepon

  • @richardrungwa4030
    @richardrungwa4030 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Apumzike salama mkombozi wa wanyonge

  • @happynessmsogoya7224
    @happynessmsogoya7224 2 ปีที่แล้ว +3

    Tulimpoteza Raisi wa maana

  • @jafaryally2037
    @jafaryally2037 2 ปีที่แล้ว

    Umetuacha yatima haturingi tena mzazi wetu umetuacha. Pumzika Baba kazi uliifanya na njia ulituonyesha kwa kutumia kanuni ya TANU binadamu wote ni sawa. Kuzaliwa ni suna kufa ni faradhi, umetangulia nasi tunafuata. Pumzika kwa AMANI

  • @jerryalfredngailo6106
    @jerryalfredngailo6106 2 ปีที่แล้ว

    Great leader for great country

  • @mussanganda505
    @mussanganda505 2 ปีที่แล้ว +7

    Njoo uone walevi wa gongo wamewaludisha wafanyakazi wenye vyet feki wote,eti uzarendo,wakati no wizi tupu,

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 2 ปีที่แล้ว +4

    Maneno ya uwazi, maamuzi magumu, yataishi katika vizazi vya leo na vitakavyoendelea. Utasimuliwa kwa mema na wachache watasimulia Yao mabaya. Sijui Ni Magufuli gani atakuja kupatikana tena katika hii nchi ya Tanzania.🙆🙆🙆😭😭🙏🏼🙏🏼🙏🏼

    • @calvinbakari6016
      @calvinbakari6016 2 ปีที่แล้ว +1

      Hatariiiiiiii sn huyu mzeee nampenda sn jmn daaaaa??

    • @josephwambua5874
      @josephwambua5874 2 ปีที่แล้ว

      Tumuamini mungu atawapa kiongozi mwingne

    • @josephwambua5874
      @josephwambua5874 2 ปีที่แล้ว

      @@calvinbakari6016 pole sana bro mungu yupo

    • @margarethsolomon9823
      @margarethsolomon9823 2 ปีที่แล้ว

      @@josephwambua5874 Duuuuuuiuuuu! Si rahisi kwa sasa, washauri muhimu wote wametangulia mbele ya Haki. Tuko kipindi kigumu kuliko Wakati wa kutafuta Uhuru. Dereva aliyeko nyuma ya mwanafunzi huwa ana KIU isiyoelezeka. Ila Sitaki nimukufuru Mungu kwani anajua kusudi lake 🙏🏼🙏🏼😭😭

  • @basumaadam2686
    @basumaadam2686 2 ปีที่แล้ว +2

    Rip baba Diana tutakukumbuka, yan sichoki kuangalia hotuba zake daima jembe langu ,Mungu aweke Nuru kwenye nyumba yako ya milele😭😭😭

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 2 ปีที่แล้ว +3

    Hii ilikua inatosha
    Speech ya un
    Nawagetuelewa duniani

    • @petromtakati2975
      @petromtakati2975 2 ปีที่แล้ว +1

      😃😃😃 kabisa na ingepigwa kiswahili hawataki waache

  • @mwisyoadam593
    @mwisyoadam593 2 ปีที่แล้ว +2

    Tunakukumbuka Sana

  • @adammwita3150
    @adammwita3150 2 ปีที่แล้ว +3

    RIP JPM, MENGI ULITUFUNDISHA

    • @alicksinkamba3401
      @alicksinkamba3401 2 ปีที่แล้ว

      Kati ya Watanzania ambao elimu waliipata na kuitendea haki Ni huyu mwamba JPM

  • @richardmbwana5497
    @richardmbwana5497 2 ปีที่แล้ว

    hongera.makufuli

  • @happinesszabron7635
    @happinesszabron7635 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimekumis kipenzi changu