Artists from 🇰🇪 kenya congratulations clam you make it perfect,, oyeah guys lets show love pinga like kwangu,next audio ygu nitamfafuta clam tupinge collabo 🎉🎉🎉🎉
Much respect to the one who had made this play. This work was so amazing with a great lesson in it Thank you so much Mr.vevo with your family. Yours, Samweli B.M
Picha ilianza vizuri hapa kati ikapotea na kipande hiki cha mwisho ndio kimeleta maana zaidi.hongerni sana sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉#VEVO NA MANAGEMENT KWA UJUMLA
Script writter na Director 1. Inakuwaje tukio la Clam kwenda kuomba chakula kwa shangazi Eliza, analisimulia Mwajuma?. 2. Kulikuwa na wazazi wa Mwajuma, wale wa mjini haijaeleza ilikuwaje hadi wakawa ni wazazi wake, pia Mwajuma ameeleza aliishi maisha ya tabu hadi alipokutana na Gang yake. 3. Polisi/migambo walio wakamata akina Clam na Mwajuma hawapo realistic, "mnanashitakiwa kwa makosa ya Jinai" polisi huwa hasemi hayo maneno may be angetumia neno "Mnatuhumiwa" ----------- Pitieni script vizuri. All in all, keep it up, brother and crew. All the best, Naitwa Jua Kali.
Ngoja nikupe hii Kwa mtazamo wangu wao ni wafanya biashara wanafanya kitu kizur kinacho waingizia faida honestly mapokezi ya Mistake haya kuwa vile wametalajia haijaenda sana mtaani hata in terms of numbers haikimbizi sna mpka saiv episode 1 Iko na 500k kitu ambacho sio kawaida kwahyo wameamua kuiua kishikaji ivooo
Nakumbuka kuna jamaa alie acha pesa, kachukua msosi🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤪 Huu jamaa ni noma xana, Na huyo mtoto kafana clam vevo kweli ❤ much love from 🇨🇩🇨🇩 🇨🇩 Ongera Kwenu
really courage mn brother clam you are a great actor in the world God bless you my name is Gabriel I am DRC CONGO mn country I hope days x will come I want to see you I love you very much my stars 🇨🇩
Maoni tu yangu move kali lakini wameshindwa kumalizia hapo mwajuma na clam vevo wangeuwana yani kati yao mmoja angekufa ndo ange mtambulisha hingekuwa nomaa sanaaa ..Maoni tu.. sema safii mmejitaidi tunasubiri mzigo mwingine...🙏🙏🙏🙏
Wenye tuanza mwanzo paka final gonga hapa tujuane
Mm hapa pia
🙌
Niko hap
Nipo mamoja naninyi
Tujuane
Alie huzunika kweny kipande cha mwajuma anamwambia clam rudi nyumbn...clam anampa ndiz nakusepa gonga like hapa
Mimi nimemwaga chozi kabisa😢
@@mohamedmwagadi9690 pole
me nimelia sana aisee😢
Nimelia kwa sababu ndio maisha nilioishi na muomba mungu snipe umri mrefu nilee wanangu😢😢
Huyoo dogo alie igiza kama clam anajuwa sana
Alafu ana pigo zile zile za clam
Dogo kafanana na clam kwel jmn gonga like kama naww umeliona hilo
Wabongo tutafkika mbali kweli ety jambazi anaweka bastora mfukoni kabisa ani
Basi mi nimechelewa tu leo but kama unamkubal clam gonga like hapa
wakwanza nipeni like zang❤😂😂😂
Chukua
Omba omba like group
Ukanunue nazo nn hutacomment kitu cha maana watu wakalike😂😂
Tafuta hela dg achana na like
Santo
😢🥀❤ 0:40
Wenye tunatoka Africa mashariki kwa ujumla tujuane kwa kugonga like dogo anaupiga mwingi
Kama unakubali vevoo ndiyee mwigizaji bongo movee bora wa sasaa gonga like nyingii kuisubri movee nyingnee mpyaaa
Huu ni ule muda sas clam vevo wa kuirejesha BIG BOSS SESSION 2😍wengne tunaisbr kwa ham sana❤
Sanaaaaa
Kaamua kirejesha snake boy
sanaaa
Mwakatobe mbona unakula sana had ulisahau hela kisa msosi we kiboko acha nigonge tu like hap ulitisha
😂😂😂😂😂😂😂 mkosa adabu
😂😂😂😂
Huyo dogo aliyeigiza kama Clam mdogo , anajua , Clam usimuache dogo 👏👏👏
Ila Mwakatobe mpuuz san😂
"MkuNduguyangu"
Watching live from kajiado County Kenya 🇰🇪 ❤❤Nice one 👍
Umma😂😂
At kitengela
4
Mombasa
@@ThiwaibaAnjiko 😂🤣hapa tu umma 👍
Wakwanza leo naombeni like zangu
Omba omba like group
Unajua mwisho ndo mwanzo mzuri wa Kaz mpya za clam I appreciate broo kama unatrust hvo achia like hapa ukubwaa 😂😂
Nimejikuta nalia machozi ya furaha VEVO na mwajuma kukumbatia big up bro kzai zko 🔥🔥
Oyaaaa da aiseeeee hiiii imewaliza😢😢😢😢 wengi❤
hatimae umemaliza vizur sana! wangekua wengine apo pale mlipoonana na ndugu yako ndo ingekua mwisho lakini umejitaidiy
😭😭😭 Iki kipande cha mwisho kimenilza sana Mungu atupe maisha maref ss wakina mama tuwalee Watoto wetu
Aamiin ❤❤
@@annatanzania2690 🙏
@@annatanzania2690 🙏
Aminii❤❤❤
Artists from 🇰🇪 kenya congratulations clam you make it perfect,, oyeah guys lets show love pinga like kwangu,next audio ygu nitamfafuta clam tupinge collabo 🎉🎉🎉🎉
th-cam.com/video/Pr4XvXK9YxA/w-d-xo.htmlsi=BZCnfpUN8-RQRhY2
#254
Safi sana clam vevo kazi nzuli sema jitaidi sana kutuletea kazi nzuli na mapema🔥🔥🔥🔥
Hongera clam n timu yote kwa kutuletea kazi nzuri ❤❤❤ watching from Saudi Arabia may God bless you all
Me 2
Mwana nitumie nmb yk bc
Baba vevo tupe tena usichelewe kabis molla akuzidishie kila raheri kwny kazi zako kaka uang unanipa raha sana❤️❤️❤️❤️😘❤️
kaz nzur sana , yatamanisha kuwa na muendelezo. bigup broh
Mistake ni movie kali sana na tunatarajia kuona movie nyingine tena noma sana clam vevo umetisha sana 🙏 🔥🔥🔥💪
Tunasubir kazi nzur zaidi hujawahi kufeli ❤❤❤
Nimetoa machozi kwa hii video😭😭nimekumbuk mbali ila mungu yupo na anauwezo walubadhili maisha ya Kila mtu I miss you my mom 😭😭😭😭❤️❤️💕💕
yanni ata mimi sjui imekuaje gafla najikuta machozi yananitoka kwenye story ya udogoni mwajuma na clam walivo teseka
Ahsante sana Boss Clam kwa burudqni romantic kama hii🤝💯💪❤️
Dah bonge la move aise respect sana vevo
Daaaaaaah clam ni zaidi ya kanumba jmn bongo movie kaifufua clam 🎉🎉🎉🎉
Sina uhakika kama kweli unaakil wew
Much respect to the one who had made this play.
This work was so amazing with a great lesson in it Thank you so much Mr.vevo with your family.
Yours, Samweli B.M
Uyo mzee kwenye tbt ya miaka kumi na kitu iliyopita bado kavaa sendo za mwaka 2024
Hii beat noma ile ya majuto_mzee wa chabo😂😂😂
Yaan had machoz yananitoka wenye imewagusa na kuwafunza gonga like apa
Much love ❤❤ from kenya 🇰🇪🇸🇦
Mwakatobe naona anaanza kujitahidi kuziba pengo la KING MAJUTO 👍
Aki nashkuru movie nzuri na nilianza poa na hatimai nimeimaliza poa congratulations tu the participants actors and funs oooooe💪💪💪💪
Kusema ukweli me namupenda Sana dada Kimu anavyo acti kwakweli anajuwa zaidi apewe mauwa yake 🎉🎉🎉 much love team clam vevo
Courage la grande famille 🇨🇩❤❤❤
Picha ilianza vizuri hapa kati ikapotea na kipande hiki cha mwisho ndio kimeleta maana zaidi.hongerni sana sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉#VEVO NA MANAGEMENT KWA UJUMLA
Ndugu familia naomba tumpeni like zake zote na kama tumweza kununuwa vocha na ela tunashindwa kumpa like bule??
Script writter na Director
1. Inakuwaje tukio la Clam kwenda kuomba chakula kwa shangazi Eliza, analisimulia Mwajuma?.
2. Kulikuwa na wazazi wa Mwajuma, wale wa mjini haijaeleza ilikuwaje hadi wakawa ni wazazi wake, pia Mwajuma ameeleza aliishi maisha ya tabu hadi alipokutana na Gang yake.
3. Polisi/migambo walio wakamata akina Clam na Mwajuma hawapo realistic, "mnanashitakiwa kwa makosa ya Jinai" polisi huwa hasemi hayo maneno may be angetumia neno "Mnatuhumiwa"
-----------
Pitieni script vizuri.
All in all, keep it up, brother and crew.
All the best,
Naitwa Jua Kali.
Nipo na ww
Ngoja nikupe hii Kwa mtazamo wangu wao ni wafanya biashara wanafanya kitu kizur kinacho waingizia faida honestly mapokezi ya Mistake haya kuwa vile wametalajia haijaenda sana mtaani hata in terms of numbers haikimbizi sna mpka saiv episode 1 Iko na 500k kitu ambacho sio kawaida kwahyo wameamua kuiua kishikaji ivooo
Apo cawa @dejong360 true kbxa
Sababu clam alimwambia mwajuma nmeenda kuomba chskula kwa shangazi leo amekataa. Vitu vingine unajiongeza sio uoneshwe kila kitu. Walipiga stori
BILLIONAIRE CLAM. TRUE DEFINITION ART PAYS
Hii movie n Noma xan hak nlipenda toka mwanz had tamati hongereni nyote team vevo mnajua xan hak pig up
Nakumbuka kuna jamaa alie acha pesa, kachukua msosi🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤪
Huu jamaa ni noma xana, Na huyo mtoto kafana clam vevo kweli ❤ much love from 🇨🇩🇨🇩 🇨🇩 Ongera
Kwenu
Clam nimependa kazi yako👊👊
Asnte mungu kwa kutufiksha mwisho wa mistake salama,,mungu akpe nguvu zaidi n team yk kaka
Much love from Eastleigh Nairobi Kenya 🇰🇪 ❤️ ♥️ 💛
Salute to the whole team who made mistake 🎉🎉🎉🎉 congratulations
Following from Kijauri kisii Kenya Much love Vevo
Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI.ni story nzuri kbsa
Apo umesema🥰
th-cam.com/video/Pr4XvXK9YxA/w-d-xo.htmlsi=BZCnfpUN8-RQRhY2
Clam vevo wewe bakwache lwako wewe ni namba one je te suis depuis RD Congo
really courage mn brother clam you are a great actor in the world God bless you my name is Gabriel I am DRC CONGO mn country I hope days x will come I want to see you I love you very much my stars 🇨🇩
Nimeipenda Vevo, Kazi njema. Mozambique
Mimi mista Victor tokea Congo kazi jema sana mze clam Vevo
Hii istoria ya mwajuma na ridhiwani imeniliza mno.... Hasa apa walipokutana kutambuana.... 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢nimelia kiukweri.....
Asante sana sinema nzuli sana nakupenda sana clam Vevo ♥️♥️🇧🇮
aise clam vevo we niatari like steven kanumba
The final part is so emotional yoooh😢😢😢,watching from SA🇿🇦
Kazi mzuri VEVO na wenzako. Nafuraiya kazi zako VEVO.
Kiukwer nimejifunza kitu ad nmelia kwa maumivu hii co poa wazaz wetu ndo chanzo Cha maisha magumu
God bless u by everything clam vevo
Kali sana bwana VEVO 👏👏👏👏👏👏 hongera mkuu
Umefnya vizur brother umetufunz vitu fulani katika maisha 🙌👏👏💯✌️
nawale aliowauwa cram kule ni akina nani wa mwajumaaa
Kazi nzuri nazawadi yako clam vevo
Waooo.... movie kali Sana twatarajia ingine🎉🎉🎉
Watoto wanavipaji hawa 🔥🔥🔥
Mpaka imenitoa machozi,Da hakika umetufundisha kitu kwenye mistake hii Asante Sana brother
Oya amin sio kawaida yangu kuangalia comment ila nilitaka kujua ivi nimim t nilie lia da kumbe kuna nawezangu sio poa
😢😢😢
Asante saana clams vevo kwa filamu nzuri
Big up sana bro clam, umeweza Mashaallah
Kazi nzuri sanaa, bongo movies to the world, ongezeneeni na subtitles kazi ipae kona zote za dunia
Unajua clam💪💪
Nasikia raha sana kuangalia hii kwa sababu ni nzuri sana😊❤
Mungu awabariki kwa zazi nzuri ❤❤🎉🎉
Kwa mm naona Imeisha vibaya ningependa kuona nwajuma na VEVO wanaludi kwa baba Yao 😎 😎
Kazi ni nzuri sana nime enjoy mwanzo mwisho 🙏🙏
Jamani nimelia apo walipojuana😢😢😢😢😢 wazazi jameen leeni watt wenu tuepuke Aya mambo😢😢😢
Nani alimwona Mwakatobe aki tafuta njia ya kukimbilia😂ila alivyo sikiya niwandugu akatuliya 😂😂😂pumbavu zake 😊
Hongera clamvevo na team yako mzima kazi nzuri
The bond from the Two,Clam and Mwajuma...is undisputed..... Much love from Kenya
Maoni tu yangu move kali lakini wameshindwa kumalizia hapo mwajuma na clam vevo wangeuwana yani kati yao mmoja angekufa ndo ange mtambulisha hingekuwa nomaa sanaaa ..Maoni tu.. sema safii mmejitaidi tunasubiri mzigo mwingine...🙏🙏🙏🙏
Ata ivo kali wamejuana akini wameenda jela ingekuwa wameenda ulaiani ndy isingekuwa poa
Damu nzito jaman adi mm nimelia wallah 😢😢
Mwakatobe mwehu sana. Piga bastora ya kichwa toa komwe lile😂😂
😂😂😂😂
One more new movie plz clam we noma kakaah👏💖
Kazi nzuri na mwisho ni mzuri mistake zipo ndogo ndogo tu za kibinadam hongera sana Kuna cha kujifunza hasa wazazi na vijana pia
Congratulations 🎊 👏 💐 🥳 🎊 👏 💐 🥳 🎊 👏 VEVO
Congratulations 🎉 VEVO KAZI nzuri sana 💞
🎉🎉hata ikishia hapo sio mbaya maana nikitu yamoto Sana na haujafeli popote mkuu unanyosha sana🎉🎉🎉🎉
Pongezi Pongezi ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉much love from kenya🎉❤❤❤
Hamna neno linaloweza kui describe hii movies kwa uzuri wake hongera sana clam
Nikwel yan
Asante kwa kazi nzuri ❤❤❤
Much love from Kenya ❤ guys from tz and Kenya like back ❤
Watching from ndola district, Zambia 🇿🇲. much love 💕
th-cam.com/video/Pr4XvXK9YxA/w-d-xo.htmlsi=BZCnfpUN8-RQRhY2
Aise nakubal saana clam hakika kunasehem imefika mmeniliza saan kwa kuona baadhi ya maisha wanayoyapitia baadhi ya watoto tanzania na africa
Jambazi Kafunga msuli wa kiganga 😂😂😂, yaani msenge kijicho ananiacha hoi🤣🤣👏👏👏🇹🇿
Sio lazima kujua kusoma Ili uweze kumuelewa clam
Let's surport him to the top
Mwamba anajua sana huyu
Sijapenda ilivyoisha Ile somo nzuri thanx clam n teamwork
Au nikuzime data tena😂😂😂😂clam vevo hatariiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Iyi kali clamu vevo nipo Congo RDC 🇨🇩 weye
Tunaho mkubali clam vevo tugonge apo tujuwane jamani ❤❤❤❤❤
Alafu wanavyo kufananishaga nawala inanikera xna bro 💪
Fans from DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩