ANATESEKA KWENYE JUMBA LA KITAJIRI KISA NI MTOTO WA MFANYAKAZI | AFTER SCHOOL
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 17 มิ.ย. 2024
- Movie Name : AFTER SCHOOL
Year : 2024
Genre : Drama
NB: CREDITS
●WATCH FULL MOVIE ON : • AFTER SCHOOL - ANNABEL...
⚠️DISCLAIMER
Copyright Disclaimer: - Under section 107 of the copyright Act 1976, allowance is made for FAIR USE for purpose such a as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship and research. Fair use is a use permitted by copyright statues that might otherwise be infringing. Non- Profit, educational or personal use tips the balance in favor of FAIR USE.
IF YOU FEEL YOUR RIGHTS ARE VIOLATED EMAIL ME AT "lifelakitaa@gmail.com" AND I WILL KINDLY TAKE DOWN
THE VIDEO.
Book Us Now Via Email: lifelakitaa@gmail.com
Hit Us Up: +255624944364
Follow Us On Socials :-
Facebook Page: profile.php?...
Twitter: x.com/izkonka/status/15454891...
Instagram: e7bits?igsh...
Tiktok: tiktok.com/@e7bits
Telegram Channel: t.me/E7BITS
Follow KONKA on Socials :-
Instagram- izkonka?igs...
Tiktok- tiktok.com/@izkonka
Snapchat: Izkonka
Twitter: x.com/izkonka/status/15454891...
#zeelakutune #zeelatown #e7bits - บันเทิง
Wa kwanza Leo naomben like 😂
Long life konka you make us happy
🎉
Tulio toka tiktok kuja kuangalia huku tujuane
Hahah nakoxaje😂
Ndo ss
Pamoja sana😅😅😅
Ndo cc bro
Tamu sana❤❤
Mwanangu unajua sana mwenyezi mungu akubariki sana kwa kazi yako nzuri🙏
Wa kwanza Leo nipeni like zangu
Wakwanza Mimi nipen like zngu
Sijawah kukoment lakin Leo big up Sana 😂🥰
Uyo mtoto wa mfanya kazi mi mzuri balaa
Niko hapa mpeni saport konkaaaa awe anatuwekea mizigo kila siku
Kama una kubali tuna enjoy gonga like 🎉
Konkaaa😂😂😂una hatari mwanangu
Oya mzee umetisha 🔥🔥🔥
Tulio comment ili zifike buku 😂😂😂 ila goma tamu bhana
wakwanza Leo kbs nataka like Tano tu plz
Daaah nimetoka kuangalia ii muvi aki nusu nitoe machoz ni bonge Ya kitu ii 👍👍👍💘
Next please Mzee movie hii inastory nzuri
Me Leo wa kwanza kucomment
Leo wakwanza leo ku comment nipe like zangu 😢😢😢
Nzuri sanaa alafu uyu mimi ni pisi ataRiiii
Nakukubali sana broo
Unyama toka Manyara APA ❤❤
Jamani naombeni likes zenu
Gonga like mpak niseme baaaasiii
Wooouu. Ubaya hauna fadhila .❤shukuran mtunzi
Konkaaaaa the king of all recap
Noma nipeni like zangu hapa
❤❤❤ yoo ndo mie wakwanza
Inaumiza loo ii movie nzuli sn
Mwana ya kibabe sanaaa nimeielewaaa salut kwakooo
wa kwanzaa leo npeni like zanguuu💌💌💌
Wakwanz leo wadau naomben at tano🎉🎉
Good job man 👨
Hii kazi imesimama
twende nalo on fire 🔥🔥🔥
Wakwanzaaa leoooo❤ like zanguuu
Lete mzigo mpya
Hii ktk kazi zote ni babkubwa
Salute sana brother
Wa kwanza mimi leo😂😂
wazeeee wa likeee😂😂
Daah nmeipenda sana Tena imeniliza sana
Daaaah mzigo mzuri sana aloooo❤❤❤ polesana kwa mimi mateso alopitia😢😢😢😢
Wakwanza Leo 😂😂😂
Unajua
Hataree sana yaan weka na sehem ya 2 mana kila dongo unalotoa ni ❤️🔥❤️🔥
Nipe like zangu🎉🎉🎉🎉
Siombagi likes but Leo please naomba❤
Wa kwanza Leo naombeni like mie mgeni😍😍😍
kaka mkubwa unajua Sanaa wew ni mkali tunataman Kila day uwe unatupa move
Napenda sana kazi Safi sana bro
Nice ❤❤❤❤
Hii ishapigwa na wenzio broo😂😂😂 umepoa sana😂 sikuhiz wanakupiga bao
Ngoja tuirudie tu kupata ladha tofauti😂
mimi wengine uwa siwaelewi kiukweli
@@nancyg8664 dah ndiohivyo aunt
Hadi machozi hata sijui yanatoka kwasababu gani 😂😂😂
Wow!!! So nice l like it story tamu kwl yatoa thozi jamn 🫡
Mm wakwanza leo
I love mimi and Alex ❤❤❤😘
Kz nzuri
Yaani niliona tiktok sifaidi❤❤
Afadhali ya hukuuuu wanatoa ushauri wanasifia Kuna sehemu Kwa boncena wA Love bite utackia nipe like Kila MTU utazani chakula 😅😅😅
jmn Mimi mzuri sana
Tuonyeshee Uzurii Wakoo
@@isackobadiah484 tatizo unakurupuka kujibu soma comment vizuri uelewe
Unyamaaa❤
Ni kali zilete baba hata usijali tupo kwajili yako maan uko vzr sana
Nimemisi mipinduko 😂😂😂
Pinduka
Konka zeee la kutune zee la town
Zee la siga😂
@@mwageni4wear680 busu flani hivi la kuwaleta kati kati mikuno kadhalika ikzingqntiwa
Nakukubali sana unajua
Niunyama huu kaka
Bro unayumba sana hii movie ina takriban week mbili sasa tangia kuwa realised wee ndo umeitoa recap leooo dah unayumba mwana
Sometimes movie zinatoka zinanikuta tayari nina ratiba yangu, kwa hyo nikimaliza navimba nazo…
Ila watu wengine 😏
Ila sio mbaya bro nakubali sana kipaji chako heshima kwako bro
Yani toka nianze kicheki review zote nime check hii ndo Iko pow zaidi
Bigup bro unajua tunaomba mwendelezo🎉😢
Imetisha
Tunakupenda sna una movie nzur sna
Kaka wewe is the best of stories for me nakukubali kinyama yani
Translator NI zaid ya maki dejay mwanangu kaz nzuri
Ni kali sana ila leo haikua na mipinduko😂
We jamaa hata kama story ya movie sio nzuri ,ila una isound poa sana mpaka inakua nzur ,big up man
Nimeipenda sana
Daaah we jamaa unajua kuchagua vitu
Ume Tisha kaka
Unyama sana🎉🎉🎉
Kazi nzuli❤❤ sana
Safi kaka kama rapcha
Maisha ni safari ndefu ila tunapambana tyu😂😂😂😂🎉❤
Nimependa sana
🎉🎉🎉🎉 hongera mwanangu krip zako zinaenda sanaa🎉
Dah bonge la kazi
Mzigo balaa nimeupenda
Oya boy umetisha hii
Nomaa sana
Hiii tamu sana aiseeeeee❤❤❤
Umetisha sana 🎉 yako kaka
Wow watoto wakitajiri Wana lolote kazi n maringo tu n matusi
Vimisemo vyako vinanogesha… kesho yake huku mjin shule 😊…
Unatufurahisha mno mashabiki zako🥰🥰🥰 God bless you konkaaaaa
Nimeipenda hadithi zako shukurani zije kwako
Nimeipenda bro 🎉🎉
Jmn nimeipenda sn jmn dah 😊
Uko vzuri sana
Kaka unajuwa sana
Nimeona Washkaj kama wawili wamefanya Recap ya hii Move ila wamezibgua kichiz, Ulivyoipiga Konka aiseee ndo mwisho wa Maelezoo 🙌🏽🔥🔥 itoshe KUSEMA KONKA NDO KING WA RECAPS BONGO mbunifu, haboi afu Mipinduko Inazingatiwa 😂 nazingua Sema nn Kama unajua Unajua tu no way
wow n nzur
Story powa sanaaa
Shout outs izkonka... Sasa tumemiss mipunduko aloooh 😂😂😂
Umetisha🎉🎉🎉