Tunashkuru sana clam vevo kwa kutuletea tena movie nyingine ila tunaomba tu uwe unawahisha mwendelezo kama unakubali ushauri WANGU Kwa Clam naomba like yako hap jmn
Haaaa iyi inakuja vibaya Tena! Inaonekana itashinda snake Boy Wallah 😂😂munatuacha na hamu wajameni🇨🇩🇨🇩🇨🇩tunapenda movie zako sana courage vraimant Mon frère clam Vevo
Najua ni vyema kujaribu mambo mapya nyakati zingine,ila naomba tuwache iyo kizungu twendelee tu na kiswahili chetu...Series ni kali sana..production na storyline pia iko juu sana.Nimeikubali.Bravo Clam Vevo.
Mistakes 1. Chibu kuleta clam kwake na hampi mke wake mapenzi 2. Clam kupewa kuwa driver in awrong town full of robbery 3. Mama Kim kumtetea 4. Kuongea kizungu
Aisee director kazi bora kabisa. Nimependa reactions na emotions aiseee. Very mucj interesting jamani. Kanumba is back niaminini maneno yangu. Clam Vevo is the real one.❤
Bonge moja la kazi. Ila ningepewa nafasi ya kuwashauri, ningewashauri kwamba kuna umuhimu wa kuwashirikisha watu wenye taaluma mbalimbali kulingana na majukumu yao kwenye filamu. Kwa mfano kuna watu wanaongea kiingereza kwenye filamu yetu. Lakini hata mimi mwenye uelewa wa chini kabisa wa kiingereza nagundua makosa ya kisarufi. Mfano. "Why do you want to lost your time" (Why do you want to lose time-Ingawa neno sahihi zaidi ni waste) pia kuna mhusika amesema "It up to you" na kuna mwingine amesema "Beautiful boy" mwingine amesema "......you will get a diseases (You will get diseases) Sio kwa ubaya lengo ni kuboresha kazi zetu kwasababu kazi zetu zinaweza zikatazamwa na nchi zingine ambazo ni watumiaji wa kiingereza. Kama nmekwaza mtu tusamehane.
hapn kingereza kinawwz kutumka kutokan na muundo wa filam iliyoandliw lkn nawez kushaur kwmb katika vpngl ambavy itazngumzwa lugha ya kingereza bc kuw na maneno ambay yanakuw na tafsir kwa wale ambao hawajui lugh hiyo
@Cram Vevo Umekua Ukileta Kazi Bora sanaaa Sokonii Kazaa Brow Pia usikawie kulete mwendelezo coz tunapenda Sanaa pia tunamiss Sanaa kazii zako brow ❤🔥🔥🔥🔥🔥
Very good job,👏👏 Clam! Story kali sana, Series zako zote ni nzuri, huwa naenjoy sana, english is not our first language, wala isikusumbue, the main thing ujumbe umefika, nimefurahi kumuona mchawi mkuu na bastola this time 😂, good job nasubiri next episode, view ya daraja la Magufuli imetisha zaidi💥💥, Watching from 🇶🇦, Endelea kutuletea kazi back to back dogo💥💥💥💥
Nimefurahi kumuona gumbo kwa clam kwa mara ya kwanza na bwana Amka....clam niliwaambia habahatishi akipika kitu amepiga hongera sana❤❤natumai nitamuona director gozi na shadow hapa ndani pia doko pia hii series yamfaaa...❤❤much love from kenya japo kuwa nimechelewa 😅😅pend sana hiii wale wangu wakenya 🇰🇪🇰🇪kilifi kikambala mtwapa majengo.vipingo tujuane kwanlikes❤
@@HassanNajma-c5f nakwambia single huku kwa majambazi..doko ninavyo mjua kwa ukali wake ...Atapiga vizuri sana...Gozi nae apewe yake duuuu aisee series tamu sana
Kazi safi sana crew , ila naona muwache kuongea kizungu na mutumie English subtitles ,in that way tumejivunia lugha ya taifa na pia wasioielewa watasoma kingereza kwa subtitles
wakwanza from kenya much love 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥
Nipitie kwangu usubscribe na ubarikiwe Sana
@@francisnjorogewanjirugitao3575 🤛🤛
Kazi nzuri sana lakn naomb kingereza kinyóoke basi watu wamekosea sanaa humuu daah
SWADAKTA wasitumie kizungu etiiee
Tunashkuru sana clam vevo kwa kutuletea tena movie nyingine ila tunaomba tu uwe unawahisha mwendelezo kama unakubali ushauri WANGU Kwa Clam naomba like yako hap jmn
mwambie aache usenge na kujifanya wanaongea kingereza
@@mbagee😂😂😂😂 aweke na tafsir au sio
@@mbageeElewa neno MISTAKE😂😂😂😂😂
Wakibaki na uswahili mwingi hatofika kimataifa ndo mana anafanya ivo tuelewe kuwa saizi dunia inashikwa na english ila ata ivo situmelewa movie au sio
Mwakatobe this time kaja kivingine❤
Klam ni mm hamisi nyalinga kutokeakigoma kagongo yamigazin kiufup mm apa nakukubalisanakaka unafanya mambo mazur mungu akubalikisana❤
Keep shining Clam Vevo we like your movies 🇧🇮
minauliza inatokaje hii mouve
Jambazi Mwakatobe mwizi wa biscuit 😂😂😂😂😂
Saf kaz nzur.. ila hii lut niya snake boy.. kwa mjini kam si nzur..
Jamaa anajua
Kitu kizuri clam hongera kwa hilo unajua tunachohitaji kama mashabiki wako japo tunaelewa hii video imekugharimu😅
New movie in town 🔥
Hiv hapo super market hapakuwa ba camera mbona majambazi hawajacava sura bongo 🤣🤣 bana au ndo maana imeitwa mistake
Hongerani sana wahusika❤❤
Leo 23/05/2024 kama umerudi tena kutizama iyi movie MISTAKE gonga like 👊🇨🇩🇨🇩🎉
Wa kwanza Mimi APA toka congo 🇨🇩 nipe like zangu 😂🎉🎉
Ya karia koo si et ee
Ujaangalia una koment tu
Ndugu yangu wewe🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Huna baya
Umejitahidi data ya congo 🇨🇩 sio raisi kuwa wa kwanza
Nyingine Kali sana Clam vevo wakenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mupo mumeikubali ngonga like tukisonga
Hii nayo lazma tuende nayo adi kikomo 😂team strong hoyeeeeeeeeee mko wapi jmn😂km wapenda clam VEVO 🇸🇦🇰🇪 like apa please ♥️♥️♥️
Hoiyeee sisi ndo tuko au sio 🇰🇪🇸🇦
😅tuko hapa🇹🇿🇦🇪
Tupo tupo time furusi
Tupooo
🎉🎉🎉🎉
Kama umemuona Mwakatobe nipe like zangu apa🤣🤣🤣🤣
Mwakatobe ndani ya nyumba😅😅😅
Welcome back clam vevo ❤like za Qatar 🇶🇦 siko wapi
bado tunasubiri BIB BOSS season2
kwanza ongeya kwa kazi kubwa ulifanya ya SNACK BOY
Duuh nyie mbn mnaniwahi Kila ikitok naomben namm like zenu🎉🎉🎉
Haaaa iyi inakuja vibaya Tena! Inaonekana itashinda snake Boy Wallah 😂😂munatuacha na hamu wajameni🇨🇩🇨🇩🇨🇩tunapenda movie zako sana courage vraimant Mon frère clam Vevo
Kichupa kipya hiki na Mimi ni wakwanza naombeni like zenu Kama unamkubali Clam vevo❤🎉
Kwa kweli mapokezi hii movie sio madogo na mm naipokea kwa mikono miwil nipeni like zangu
FINALLY MWAKATOBE WITH ANOTHER CHARACTER
Kumbe umeona😂😂😂😂
😅😅😅😅
Zee na msuli wake
Ila urogi hajaacha😅😅😅
Big Boss parts 2 lini
Kama unamkubali CLAM VEVO kama mimi naomba like yako hapo jamani
Series ni nzuli sana lakini tunaitaji mwendelezo uwe haraka-haraka. Much love❤❤ Clam Vevo Group from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Big up Sana hakika Sanaa unaiweza
Clam never disappoint us 🎉
Exactly 😂😂😂
Kenya one .. one love from Kenya 🇰🇪
Nimefika right on time guys please give me some likes 😅🎉🎉
Clam katunukiwa na mtoto nzuri so mchezi😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Mwakatobe jambazi this time so funny 😂😂kazi nzurii clam vevo
Uyu jamaa anajua kama unamkubali Clam vevo gonga like ata kumi tu🎉🎉🎉
Movie 🍿 Kali sema kingereza Cha umu Cha mchongo kakoso na yule jambazi mpola pesa sijawaelewa acheni kubahatisha
Hawa ni comedy wameamua kufanya hivyo ili tucheke tu na tuitilie maanani
Waooooh Gumbo nmefurahi sana kukuona ntaenda kumwambia Recho kwamba umekimbilia huku kumbe 😂😂😅😅🤣🤣
Nimemuona kipara kwenye ubora wake 😂😂
From Kenya kuna mapokelezi si haba... Salute 🫡🫡 CLAM
Yooo😂😂 nilithani "si haba "nikusema chache
@@erickkiptoo5254 😂
AMISI
@@erickkiptoo5254😂😂
Kama UNAMKUBALI Clam VEVO na TIMu yake nzima 🎉🎉🎉🎉🎉
Much love from Kenya ❤❤
Kazi juu ya kazi kakangu. Big up kwa Director bora kwa sasa.
Always ready to support our Neighbour Tz. Well done Clam.
Much love from Kenya 🇰🇪
I said on behalf of machakos county Kenya we were waiting for this and now we are here ❤much love to clam ❤❤❤
Goood job
Same here in Machakos ❤❤
@@zeinabathman5875 pin location
This guy is taking bongo movie to the next level 🔥🔥
Aisee..unastahili maua yko🎉🎉...i ki2 🔥🔥🔥
🎉🎉🎉🎉🎉🎉yes you are right 👍
This is not Bongo movie bro
That was for kanumbas generation
Bongo Movie will never come back either the return of the late STEVIN CHARLES KANUMBA
Jamani anayeona style ya kipara na mwakatobe aweke likes 🎉🎉❤apo
Mwakatobe kama mwakatobe awamu hii n mwiziiii😂😂
One love kutoka Burundi 🇧🇮 tunayipenda hiyo🎉🎉
WANGAP TUTAPIGA STORY UKU KANDO TUKISUBIR MISTAKE 2❤❤❤❤❤❤ MWISHO WA KAZ NDO MWANZO WA KAZ SNAKE TUMEFIKA MWISHO ACHA TUENDELEE NA UTAM MPYA 🎉🎉🎉🎉🎉
PENGO LA KANUMBA SASA TARATIBU TUNALIZIBA SAFI SANA CLAM V💪🏹
Pongezi my brother💪💪 much love from Mombasa Kenya
Jaman me ni wa mwisho so naomba mnipe like zang 🎉🎉🎉🎉
Najua ni vyema kujaribu mambo mapya nyakati zingine,ila naomba tuwache iyo kizungu twendelee tu na kiswahili chetu...Series ni kali sana..production na storyline pia iko juu sana.Nimeikubali.Bravo Clam Vevo.
Twendeleee Na kishwahili chetu Kabisa
Usinichekeshe mie nacheka kma fala😂😂😂Ila movie ipo swa
Acheni lugha itumike ili movie zisonge mbele
😂😂😂😂😂
Kizungu kinafanya watu wengi watazame hii mov ata wazungu
Sawa lkn apo mwisho umetuongopea kwaiyo ata ku epa umeshindwa aahhhaa sio kweli
kutoka kwenye uchawi/uganga
hadi ujambazi .
mwakatobe wamekuonea
😂😂😂😂😂
Prepare for another one month of clam VEVO trending, actually the best ever❤❤❤❤
Mambo ni fire
Clam is 🔥🔥
Clam vevo ni number one kwa sasa akuna mpinzani mimi ni mu congomani nikiwa south Africa i love u clam
❤❤❤❤😊
Mistakes
1. Chibu kuleta clam kwake na hampi mke wake mapenzi
2. Clam kupewa kuwa driver in awrong town full of robbery
3. Mama Kim kumtetea
4. Kuongea kizungu
Hapo kwa #4 ndio kwenyewe...🤣🤣🤣
Kweli ni mistake ila ngoja tuendelee nayo
Aisee director kazi bora kabisa. Nimependa reactions na emotions aiseee. Very mucj interesting jamani. Kanumba is back niaminini maneno yangu. Clam Vevo is the real one.❤
Mmh mnarauka sana nlidhani mm ndo nmewahi leo😂anyway much love from kenya❤
Clam unajuwa sana tatizo dakika ni chache fanya hata 25 basi aaah ila mwamba unajuw sana you're looking like invisible man ❤
Never disappoint us young bro
Mwakatobe ajawai kuwa series kabisa na kipala chake😀😀😀😀😀
❤❤❤
Leo wa Kwanza naombeni like zenu wadau
Asante san bro kwa mpya hii ulio tuletea tumeipokea❤❤ kutoka kenya apa❤❤❤😊
😂😂😂😂 makatobe nae ni kula tuu round hii hamna cha uganga bali ni jambazi mwenye ana njaa 😂😂😂
Yani jambazi mwenye njaa zake 😂😂😂😂
@@zainabalex9810 nakwambia 😂
Hongereni team clamvevo ...ila mwakatobe na kipala wanna man wnazingua😂😂😂😂 🤣🤣🤣
Hivi mmemuona sinaga tabia za umbea umbea😂😂😂😂🔥🔥💯
Bonge moja la kazi. Ila ningepewa nafasi ya kuwashauri, ningewashauri kwamba kuna umuhimu wa kuwashirikisha watu wenye taaluma mbalimbali kulingana na majukumu yao kwenye filamu. Kwa mfano kuna watu wanaongea kiingereza kwenye filamu yetu. Lakini hata mimi mwenye uelewa wa chini kabisa wa kiingereza nagundua makosa ya kisarufi. Mfano. "Why do you want to lost your time" (Why do you want to lose time-Ingawa neno sahihi zaidi ni waste) pia kuna mhusika amesema "It up to you" na kuna mwingine amesema "Beautiful boy" mwingine amesema "......you will get a diseases (You will get diseases)
Sio kwa ubaya lengo ni kuboresha kazi zetu kwasababu kazi zetu zinaweza zikatazamwa na nchi zingine ambazo ni watumiaji wa kiingereza. Kama nmekwaza mtu tusamehane.
Wangeachana tuu na English wapige kiswahili tuu
Kweli kiingezaa xii lazm kutumia tumia
Fact
hapn kingereza kinawwz kutumka kutokan na muundo wa filam iliyoandliw lkn nawez kushaur kwmb katika vpngl ambavy itazngumzwa lugha ya kingereza bc kuw na maneno ambay yanakuw na tafsir kwa wale ambao hawajui lugh hiyo
Kama unamkubali clam gonga like
Clam is taking Bongo movie to the world
Jamani hata cjui niseme nn mm napenda sana moves zako clam ❤❤❤❤❤❤❤
Pure talent ⭐⭐⭐⭐⭐,big fun💪🏼,..c!aim vevo going far for real,🇰🇪 Love
@Cram Vevo Umekua Ukileta Kazi Bora sanaaa Sokonii Kazaa Brow Pia usikawie kulete mwendelezo coz tunapenda Sanaa pia tunamiss Sanaa kazii zako brow ❤🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥 nakubali mwamba, hivi unanikumbuka Mimi Jamaa Yako tulisoma wote kuanzia chekechea Boss
😂😂
😂😂😂😂bado haujasema 😅😅😅😅
😢😢😢😢
CLAM USITAKE KUNAMBIA KWAMBA NAHUMU STELINGI WEWE
Together we can 🤝💪❤️ this is love from Moçambique 🇲🇿🇲🇿
Kenya 🇰🇪 tuko ndani!! Mistake yenyewe❤❤
New series here we go ✌️❤️
Very good job,👏👏 Clam! Story kali sana,
Series zako zote ni nzuri, huwa naenjoy sana, english is not our first language, wala isikusumbue, the main thing ujumbe umefika, nimefurahi kumuona mchawi mkuu na bastola this time 😂, good job nasubiri next episode, view ya daraja la Magufuli imetisha zaidi💥💥, Watching from 🇶🇦,
Endelea kutuletea kazi back to back dogo💥💥💥💥
Clam unatisha sana excellent vraiment movie yako 🇨🇩 Congo tunaifata kwa hamu
Izo ngorofa ni za Nairobi Kenya 🤣
English is Englishing😂😂jameni tumfikisheni million moja❤
Viewer number 1 from kenya..likes plz for Vevo
Dah! Mi mwenyew nishafanya mistake hapa sa nimekuaje wa mbali hivyo kuview😂any way clam chukua maua yako🎉🎉
WEWE CLAM NI UJUI KUMALIZA MOVIE #THE BIG BOSS UMEISHINDWA aya #SNAKE BOY sjui imienda wapi nasema leo najivua
#SUBSCRIBER yangu mjinga wewe
Mwakatobe ndani ya chocolate 🤣🤣
Mwakatobe msenge sana
Nimefurahi kumuona gumbo kwa clam kwa mara ya kwanza na bwana Amka....clam niliwaambia habahatishi akipika kitu amepiga hongera sana❤❤natumai nitamuona director gozi na shadow hapa ndani pia doko pia hii series yamfaaa...❤❤much love from kenya japo kuwa nimechelewa 😅😅pend sana hiii wale wangu wakenya 🇰🇪🇰🇪kilifi kikambala mtwapa majengo.vipingo tujuane kwanlikes❤
😂😂doko😂nakipara chake😅
Gumbo mbona kweny big boss yupo amecheza sio Mara ya kwanza kuwa na clam
@@isayasilvester7276 aaaah kweli umenikumbusha ila hapa amekuwa main character ♥️ nampa maua yake
@@HassanNajma-c5f nakwambia single huku kwa majambazi..doko ninavyo mjua kwa ukali wake ...Atapiga vizuri sana...Gozi nae apewe yake duuuu aisee series tamu sana
@kamoste kaka yaani Kama ulikuwa mawazoni mwangu kwakile unacho kisema
Big up Clam Yan bandika banduaaaa ulipo tupo endelea kukiwashaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉
The king 💪💪💪💪 one day with God I believe my collaboration with you can work 🙏🙏🙏 always top on scripting Mr clam rispect
Kali sana clam vevo🙏 kama una kubali clam na wewe like 👇
Yaani kipara na mwakatobe nyinyi ni magaidi kwa sasa😂😂😂😂😂😂😂
Mwakatobe tafadhali Rudi uchawini😂😂😂😂😂❤
😂😂 ujambazi uigize wewe
keep it up, you have to show Tanzanians Steven Kanumba is living on you
In you
Clam you are very creative mkuu many love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Yuhuuuuuuuu wakwanza naomba like zang 10 tuuh clam vevo mfunguz wa mistake ni mm hap🎉🎉🎉🎉❤❤❤
wewe ninoma kaka clam cris mungu akupe uwezo na nguvu zakufanya kazi nzuri
Another banger 🔥from my brother naver disappointed for sure💯 ... for real this is big series of the year !!!!! ✌️✅
Kazi safi sana crew , ila naona muwache kuongea kizungu na mutumie English subtitles ,in that way tumejivunia lugha ya taifa na pia wasioielewa watasoma kingereza kwa subtitles
KATIKA SANAA INAKUBALIKA
I'm yes the one today and watch from Norway 🇳🇴 ❤ love clam vevo🎉❤
Kiswahili kitukuzwe😂😂😂😂 love kwa sana kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Umechukua namba ya kwanza bongo moves mm from kenya