A single Father raising his girl BUT neighbors are against his Principles//Baba Olivia Ep 01
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- #GaboziGamba ambae amecheza kama Athour ni Single father ambae ana jaribu kumpa binti yake malezi bora yatakayo mfanya kuja kua mwanamke asie kua tegemezi kwa mtu yeyote, mwenye kujiamini na zaidi ya yote kua rafiki yake.
Wakati mwingine majirani wanaweza kua msaada wakati wa shida, lakini sio kwa Athour ambae kwa muda mrefu anajaribu kutoraka kifungo cha majirani zake ambao wamekua mzigo kwake.
............................................................................................................................
GaboziGamba, who plays the character of Athour, is a single father trying to give his daughter the best upbringing so that she grows up to be a self-reliant, confident woman and, above all, his friend. Sometimes neighbors can be helpful in times of trouble, but not for Athour, who has long been trying to escape the burden his neighbors have become to him.
For business:
mwakajumbafilms@gmail.com
instagram: / henrymwakajumba
Kwaajili ya gabo hii movie lazima iwe nzuri
Kiboko huyu
Ubarikiwe sana kwa kutumia muda wako kuifuatilia tamthilia yetu ya Baba Olivia.❤❤Usisahau kutupa zawadi kubwa ya kusubscribe 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
🎉
Tuma episode 4 na zinazoendelea
muendelezo jmn
Lazima ni subscribe juu iyi movie noma episode 8 lini
Poa poa kaka
Kazi sio mbaya 👍 # aliyeona jicho la gabo kwa mzee akitonyoa ndizi ✋
😂😂😂😂😂Asanteee, aseee una jichoo!
Haaaa
Kweli umefuatilia
@@henrymwakajumba yes
Mm mm mm mm mm
C😮m😅
Gabo zigamba Africa na 1 Actor . hakunua muigizaji yoyote katika Africa hii ,anae kufikia ata robo kiukweli unajuwa sana na atakae bisha aje na hoja zenye mashiko
Bonjour
Jamaa namkubali Sana ! Alafu hana majigambo . Gabo zegamba Mwamba wa maigizo Tanzania.
Uko sahihi... Yuko poa Sana mwamba.. Sio Yule mtoto wa kike duma
Dah nimeikubal❤
Haka katoto cha Gabo kanajua sana ❤🎉
Kongol3 nyingi kwenu
Asante sana🙏🏾🙏🏾
Nikiwa south africa nimepata kufatiliya tamsiliya yenu yenye mafunzo na mafanikiyo mungu awawekeye wepesi kwenye kazi zenu ❤❤❤❤❤❤❤
Asante sana na kwako pia!
Mwenyezi Mungu akuweke Mahali pema Mzee wangu Kolongo nakukumbuka sana Mzee... Pengo lako ni kubwa mno na umeondoka mapema mno.... Hongera sana brother @henrymwakajumba kwa kunipa nafasi kwenye filamu zako🙏🏽🙏🏽
Amen, kweli alikua mcheshi sana tuli enjoy sana kufanya nae kazi mda wote tulikua tunacheka tu location.Asante kwa kujutuma pia!
Yani baba baili upike mwenyewe
Kwani alikufa lini jamani huyo mzee korongo
@@saumodzumbo9671 mwanzoni mwanzoni mwa mwaka huu kama sio mwishon mwa mwaka jana 😭😭
Heee, kumbeee alishafariki??
Movie of the year wallai naipenda san inafunza kabisa
Kweli kAbisa
The next kanumba, GABO ZIGAMBA. Smart moves only
Gabo anajua anajua anajua tenaa😊❤
Gabo is also one of the best in the world
Your absolutely right..... you have touched the heart of bongo movie
@@patrickkalu4477 well said , thanks
Absolutely 💯🙏🏾🙏🏾❤️❤️
Mimi niliacha muda sana kuangalia bongo move lakini hii leo nimeipenda ❤
Asantee❤️❤️
Ni movie sio move 😂😂😂😂😂
Hata mm
Nipo hapa pamoja na ww😂😂
Gabo tunakukubali sana asante sana kwa kazi nzuri ❤❤❤❤
Asante sanaaa🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Kaka kiukweri ww ni mtunzi mzuri wa firamu sana nakupenda sa ww brother
Asante sana! nakupenda pia! 🙏🏾❤️
Movie nzuri sans hiii 🔥nimependa mahojiano ya simu ya keki na yupe dada
Ndio nko sehem hyo apa nimechekaaa 😅
Ivi kunawatu wanatabia kama yangu, iih movie nimeiyon umu nikaipoyezea nmeingia tiktok mtu kapost nmeipenda nimeludi kuitafuta.nizur sana
Mimi hapa ivy0 ivy0
Mm nilijua ya kizunguu🤣🤣🤣🤣
Mi ndio nimefika hapa
Ndo natoka tiktok
Ata Mimi Nilipuuzia
Kumbe wabongo tukituliza akili tunatengeneza vizuri, safi sana
Ondoa NENO KUMBE...FOCUS NA NENO POSTIVE
Zsae
😅
Gabo kazi zako zuri sana naipenda character Yako natamani siku Moja kuigiza pia
duuh kiukweli hii move asikwambie mtu nitamu kinoma afu inaelimisha vzr Sana mila na tamaduni zake yani
Gabo unanifanya raadha ya kicheko itawale kwenye yangu mabandama mungu akubariki sana
Zigamba kbsaaaaaaa unatisha kbsaaaaaaa ❤❤❤❤tupe ngoma kali
Zinakuja we subscribe tu, kila wiki Episode mpya!
Huyo mwalimu ni mrembo sana 🥰🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mary kama mary
Ni Pisi, Kifuani inasomaa Masaa tu
Anaitwaje, real name??
Movie kwakweli Ni Nzuri na Inaonesha vile uzalendo wetu wa Kitanzania ulivyo. Kila mtu anayoifahamu Kiswahili / Kingereza utaiyelewa vizuri.
Hongera Kwa producer na Actors . Everyone has played their role well and congratulations to all of you.
Please keep up .
From Mohamed ( Ndola Zambia )
Nzuri kwakweli muendelezo tafadhali
Asante sana Mohamed!🙏🏾🙏🏾🙏🏾
I just love how everyone plays their part accordingly. A true masterpiece from Gabo Zigamba
Asante sana🙏🏾🙏🏾
I really love it 😍 you are the best 💞 Gabo more fire more blessings 😊
Asante sana! Keep watching the coming episodes!🙏🏾
Hongera kaka Gabo kazi nzur na asante kwa Darasa
Shukran sana🙏🏾🙏🏾
Nakupenda sana Gabo wangu MUNGU akupe maisha marefu❤❤❤
Asante sanaa ❤️❤️ usi sahau ku subscribe basi! 🙏🏾🙏🏾
Utunzaji wa mazingira muimu sana kuzingatiwa, ila Machupa ya plastic ayachomwi moto ovyo. Ongereni kwa Kazi nzuri
Asante
Kazi safi
Wahusika safi
Ila gabo ni noooma
Ongera kwenu!
hii series naifuraiya mno! Ni nzuri kabisa! Kutokea nianze kuifatilia kutokea sehemu ya kwanza mpaka sasa, ideas na performance is great! It's like in real life!
Janet🥰,Olivia na "Baba yake",Luka na "familia yake"...Kabisa ongera kwenu nyote!!!
This is Michaelange from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🥰🤞
Jaman nimependa sema...Baba kama baba olivia wapo nakumbuka niliumwa macho nikamwambia baba aninunulie miwan ya macho...akaenda kununua ile ya urembo😂😂😂😂......ila tunawapenda ivoivo❤❤❤
Pole 😂😂😂 ikawaje sasa bado unaona vizuri kweli? ❤️❤️
Yan tulizozana sana badae tu akanipa ila kwa kuzozana nilivoileta akasema sasa ina tofaut gani@@henrymwakajumba
Gabo ujawahi kufer kaka kazi nzur sana
Asante sana!! ❤️
Goma kali sana gabo
Asante sana 🙏🏾🙏🏾
yani kwenda shule kwa miguu ndo adhabu😂😂this made my day
😅😅😅😅😅
I😂😂baba oliva bahili hayabana 😢😢innalilah wainna lillah rajoun mzee korongo
Amina ❤️❤️🙏🏾🙏🏾
Hongereni Sana tamthilia tamu🎉🎉🎉❤❤❤❤
Asante sana! Kila juma tatu episode mpya!!
Hii haifai tuu kuwa movie tuu bali ni huduma ya hamii mturuhusu tuitawanye zaidi elimu hii isambae zaidi
ANAJUWA SANA HUYU MPAKA BAS AMEKULA BANDO KALIBIA LAKI KABISA
Gabo anajua sana 🎉
Hongera sana brother, Kenya tunakutambua kwa uigizaji wako wa Hali ya juu,moyo kuenua talanta ya vijana kama Steve kanumba,wewe ni mfano wa kuigwa🇰🇪🔥💪
Wawooo iyi iMovie nzuri ❤❤❤
Gabo ni mtu smart sana😮😢 unajua sana
Jua kali naipga chini kuanzia leo mmi ni baba olvia2
😅😅😅😅😅
Na leo imeisha kwaiy unarudi juakali 😅😅😅
😊😅😊😅
Bro ujawayi kufel safi sana
Asante sana! Kaa mkao wa kula juma tatu hii!
Bonge moja la movie aiseee
Noma sna aisee🎉🎉
This is the great film I have never seen in Tz
Huyu mwamba ana juwaa💛💛💛💛😎🫵👍👍👍
The story is so touching, what a masterpiece 💪🏾💪🏾🙌🏽💯. Tunasubiri upcoming episodes kwa hamu
Asante sana sana kwa kuangalia, Kila wiki kutakua na episode mpya!
Goma lakwenda kabisa hili
DAH ILA KUNA WATU WANAIGIZA JAMANI DAH BIG UP SANA 👊👊✌️✌️🥰🥰
Nimeipenda sna hii movie
Nampenda sana Gabooo
Mume MTU uyo😂😂😂😂😂, 🙌
Vip
@@seifsalim-m2w pw
@@salhatiddy hahahaha 🤣😂 nampenda yey na movie zake
Kazi nzur sana mungu awasimamie
Movie hii nilivyo kuja kuiangalia kinagundua comedian na gabo😂
Gabo always ako juu Allah ampe maisha marefu hana umbambamba
Aminaaa🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Amin
..kiukweli uyu mdada mwalimu namkubali sana❤❤❤❤
Kiukweli naipenda sana hii elimu ya moja kwa moja nimeipenda from Zanzibar.🎉🎉🎉🎉❤
Asante saaana 🙏🏾🙏🏾
Daaaah! Sema Bro unajua Sana aiseeee! BD cjakupatia mshindani.
Asante sana 🙏🏾🙏🏾
Iko na message nzur sanaa
Asante sana!🙏🏾
Kazi safi wapendwa
Tunashukuru sana!
Nicee production
Thanks 💯
Kazinii nzuriii sanaaa
🙏
Daah hii muvi tamu sana
Shukran 🙏🏾🙏🏾
Gabo ukiungana na madebe mutatisha kinoma noma aisey...Good work
Gud movie ❤❤
❤️
Hii ni Bomba Hatar sana❤❤❤
Angekuwepo kanumba jmn ❤❤
❤️❤️
I move mbaka namkumbuka kanumba quality yake
Daaaaaah kwahakika kaka unaweza sana Asante kwa kutufunza
🙏🏾🙏🏾
Jaman gabo Asante kwa hii zawad move bomba kabisa
Safi Sana uyu mwamb uwa namkub sana
Kazi nzuri ❤❤❤
Mimi leo nimara yangu yakwaza jee nikaribie😂😂😂🎉🎉❤
Keep it up bonge la movie
Shukran 🙏🏾🙏🏾
Hongera jamani ..Olivia nimekupenda bure
.
kazi safi kaka
Kazi nzuli bro
Gabo namkubali tokea zamani sana
GABO big up bro God Bless you
Nzur mno hongera nyingine lini
Asante sana! Usikose mwendelezo kila wiki share na uwapendao!🙏🏾🙏🏾
Iyi kali sana
Kaz nzur vijana Maa shaa Allah
Asante sana
Inawezekana kutumia kiswahili mwanzo mwsho bila kuchanganyachanganya👍.. Lugha safi❤
Jamani simunipe like zangu nimejitaidi sana kuwahi hapa
Tutolee uumbwa
Kenge wewe
Nipe number nikupe😅
Usijali bibie ❤
Hata mm😅😅
Gaboooo kwa movie tu baba shikamoo👏👏👏
Gambo zigamba oyeeeee
Gabo leo ndio nimekupamkono kati ya siku zote hongera.
namukubali sana gabo
Kaka unahtaj maua yako kabla mungu ajakuchukua ndyo azina pekee iliobakia inahtaj kutunzwa sana
Yani gabo nakupendaga sn tangu ile movie yakichawi mungu akubariki
love From Mozambique 🇲🇿❤💞
Gabo nimmojatuu mwamba sana jamaa huyuuu
Movie kali san bongo movie respect
Nimeipenda san hii move kuna vitu vya kujifunza❤❤
Asante!
10:26 hapo kwenye kuomba viungo vya cake😂😂😂😂. Ila wewe ni baba wa mfano kwa kweli
😂😂😂
I appreciate you gabo♥️♥️👍👍👍👍👍 napenda move zako zote
Reality life ❤😊 ukwel mwing na mazingira yaliyomo
Kazi nzuri sana kasoro mpangilio wa background music...