Samahani sanura kuna maisha baada ya pesa kuna maisha baada ya sanaa kila kitu kinaisha na utakiwacha mdogo wangu acha kuiga ww ni muislam unajidhalilishaaa jistir dada muislam anatakiwa kujistir hizo pesa sio chochote na kama unasema kama ni kazi hujuw kama zipo kaz nying na watu hawajidhalilishi kwa kukaaa uchi
Sio nimetulia naingalia tu namuanhalia huyu mtoto mzuri wa kiislam alivo vaa ananishangaza Allah amjalie wepesi ajistri😊
Aaaamin
Amin Allah amuongoze yeye na wengine kama hawa
Kwa ustar huwa huangalii ati kuvaa ki heshima
Allah huma Amin
Waoooo...am watching from Kenya🇰🇪 what I want to say this girl is very beautiful😍✨❤ mwaaaaah
Samahani sanura kuna maisha baada ya pesa kuna maisha baada ya sanaa kila kitu kinaisha na utakiwacha
mdogo wangu acha kuiga ww ni muislam unajidhalilishaaa jistir dada muislam anatakiwa kujistir hizo pesa sio chochote na kama unasema kama ni kazi hujuw kama zipo kaz nying na watu hawajidhalilishi kwa kukaaa uchi
No sanaa ni kazi km kaz nyengine sema watu wanaitumia vbaya
Sasha! kumbuka kuna maisha baada ya sanaa wacha kwenda uchi utaendwa kuchomwa moto mbele ya mola wako ,niukumbusho2 kama muislam mwenzako
utandawaz
jipunguze, acha kupangia watu na mazinaa yako
Hunampea advice kwani ni mpenzi wako
Bado ni children iyo ni kizungu gani sasa surely 😂😂😂😂😂😂🙌🙌
Kizungu y children 😂😂😂
😂😂😂😂
😂
@@NajmaHassan792😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Ni "Child" not "Children" 🇰🇪
Ulimi
Mpemba halisi org kabisa aliyelelewa maadili ya kipemba kabisa hhawezi vaa mavazi ya aina hii
Mbn zuchu😅😅
Children😂, kingereza chawabongo kweli chauongo😂.keeping it up!utajuwa taratibu
Na ww jipende badilisha Hilo lokofia lako Kila siku wew mtangazajiiii 😂😂😂😂😂😂
Na liflana lake pia😂😂
@@EmmyMo utazani hapokei. Mshahara Kila siku nguo izo izo nimzuri sema hajipendiii😁😁😁😁😁
😂😂😂
@@NajmaHassan792 ameanuwa kuwa tom boy sawa hatujakataa ndo ajipende tom boy unakuwaje local kiasi hiko bhn😁😁😁😁😁
,,😂😂😂😂😂
😂😂😂😂Bado ni children kudadeki shenziii sana
Children sanura❤❤❤❤🎉
Km hujui maana ya maneno ya kingereza kausha eti children badala yakusema young sister
Sandra kazuri❤
Ata shilole kingereza chake mlikua mnacheka paka mkazowea..muacheni Sasha wangu
Ume pigaje hapo😮😮😮😮 children 😂😂😂 aseeee
Uuuuuuuhhhhhh nashekanga tuuuu❤❤❤❤
😭😭😭😭My fellow Kenyans kujeni hapa nimeskia bado ni children 😂😂😂😂
Tatizo mnalazimisha sana kizubgu sasa bado children ndo nn sasa😢😢
Mpemba wa dar sio mpemba wa zanzibar uyo wazanzibari hawana tabia ya kutembea kichwa wazi na kutojistiri
Binti wa kieslamu niyule anayestiri mwili wake na nywele zake mbona dada vip?
Na nyie watu wa daresalam mukimuona mtu mweupe tu ati muarabu he 😂😂 japo kweli wapemba ni waarabu sisi ila mumezidi
Mtangazaji...punguza volume inatuchoma masikio yetu
Bado mimi mtoto, ndio bado mimi children😢😢😢
❤
kwani iyo move alio kua anadeka inaitwaje nikaitazame
Mshamba Tu huyo
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Sanura is the best .. huo uremboo
Fest time
Atali sana
jaman ivi kwel
❤❤❤❤
Da sanura jitaidi Uwe najistiri. Dini yako ni uislam.
❤❤❤❤❤
nitumie number ya sanura nimtongoze
Kila siku na lokofia lako kauka nikuvaeeeee😂😂😂😂😂mtangazajiiii unafeliiii
Jamani anajikinga na jua dar jua kali sana😅😅😅😅😅😅
Yani nyie watu😂😂😂 nmecheka sana...kufa stress ninkujitakia ila ukiingia TH-cam baaas! Utacheka usahau
@@aishaomar2287 ananikera huyu dada basi tuu yaani😁😁😁😁kma wa mkoani kumbe yupo dar
Ndio awe kama mvietinam@@batulii1248
Mh mumenichekesha walah 😂😂 pengine Hana pesa je jamani
😂😂😂😂hiyo kali
😂😂😂😂children 😅😅😅
Poa
CHILDREN 😂😂😂
Dada Kim akijuw atakuuwaa, km ulitok n clam
Km hujui maana ya maneno ya kingereza kausha eti children badala yakusema young sister
Children....😂😂😂 Mwandishi kakomaa nae tu bila kumcheka
Is she drunk?
Nimesoma comment nyingi nikukashfu maisha ya huyu dada kila mutu na life yake jamani😏😏
Bado children 😂😂😂God why always tz
Ame pendeza wp ana jichetua tu mtt wakiisilamu lkn Amekua wa hovyo tu kina penda kuva nusu uchi mwanzo mwisho puka
Sass ushaanza kuharibu hupenziii na ayoo mavaziii usiige dada tupo ndugu zako tunakuangalia
Kwann mnapoibgia huko munavua nguo nakutembea uchi
Ni msiba 😢
Mtangazaji unashobo demuwanguuyo😂
Ulisha muhowa sanura vevo
English from tz bado Ni children 🙆🙆🙆
Bado children 😂😂😂❤
Bado children 😂😂😂😂
Shida hao wa islamu wanaweka dunia mbele unakuja camera uko uchi unataka nini ?
dada hizo nywele za kubandika ni haramu kwa muislam epuka sana sana kama ww ni muislam mbn umebadilk sana au sababu ya kazi
Jamn uyu dada alikua na sitala ijabu Leo anavaa vimini yaraby 🙏🙏🙏😭😭😭😭
Acha wivu
Hilo ndio tatizo la mabinti,umaarufu kdgo tunajisahau na kujitoa kwenye dini...SubhanaAllah 😢
Siyo wivu
Mwanamke ni stara wallah hata angevaa gunia kwa hiyo interview still ni mzuri tyu 😅😅@@GeorgeAkasha-zx2rj
sas uko kwa bash ulitak avae buibui acha wivu n wew
Allah amuongoze@@aishaomar2287
Sanura mrembo lkn ujistiri utapendeza zaidi
Bado yeye ni children
Binadam sio malaika au ulim hauna mfupa msimlaumu
Sema ndugu mtangazaj niombee call pic nmeielewa hyo ndo ugonjwa wang huo
Children tena au youngboy
Bado chidren ameweka wing kajumlisha wote nayeye pia wote bado watoto😄
Children
Kamshikieni nafasi kwa manara huyu😅😅😅
😂
Kwanini muna wekaka titre ambayo hai correspondre na byenye muta sumuliya ??? Ile haiko vizuri !!!
Na nyie watu wa daresalam mukimuona mtu mweupe tu ati muarabu he 😂😂 japo kweli wapemba ni waarabu sisi ila mumezidi
😅😅😅kwa kwl
Na nyie watu wa daresalam mukimuona mtu mweupe tu ati muarabu he 😂😂 japo kweli wapemba ni waarabu sisi ila mumezidi
Katoto kazuri mmh
Wakenya tumeiskia hio bado children 😅.
❤❤❤❤
Ety bado ni children weee tunaelewa tu😂😂😂
Hapo kwa ncheke😂😂😂😂 children😅😅😅😅🤔🤔🤔
Duh hicho ni kidhungu babuu children na yeye anajikut mrembo hatariii
𝑴𝒕𝒐𝒕𝒐 𝒃𝒂𝒅𝒐 𝒄𝒉𝒊𝒍𝒅𝒓𝒆𝒏 😂😂😂😂
Kiingereza chako kinaflahisha!
Children ndio nn surely ...
Mtangazaji anajua xana kuongea
Wabongo na kingereza 😅😅😅
Bado children my foot 😂
Sanura manara anakusubilia uchuchuke kidogo aengeze mke 😂😂😂😂
😂
Nipe namba zako sanuara
Safiii kadem kazuri
Sio Children
Kwanini hatupendi shule😄😄 Ni bado children
Kawaida hiyo lugha ilikuja na meli mzee
Kimombo
❤❤uyu dame ni mali safi walai
Children 😂😂😂
Na Steve mweusi
Mrembo sana
Jaman name nina kipaji cha kuigiza unisaidieni
Karibu kwenye kundi letu
Tokooooos pour elle❤
Ushungi tupa kule. Hela bana 😁😁
Nani uyu
Sasha mtam sana
Dada unaanza kupotea Sasa kwann unaacha stara? Allah akufanyie wepesi usiache stara Yako bhn
Kashaanza kuka uchi na yy mpemba huyu
sio mpemba amesema upemba uarabu uwarabu ivii nafikiri hivo alivo japo ni wakawaida sana
😂😂😂😂ety mpembaa uy nimechek kw saut
Allah atuongoze
@@sabihaibrahim143ni mzenji I know her😅
@@SalomeSylvester-er3rq haa wee
Nakukubari ray huna baya