SAFINA YA NUHU NA UKWELI WA GHARIKA LA SIKU 40. (part1)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • Historia ya Kuangamizwa kwa uma wa nabii Nuhu ni historia ya kiimani ambayo ina athari kubwa katika vichwa vya watu wengi.
    Hii Ni simulizi iliyoangazia kwa kina kuhusu Dhambi waliyotenda watu wa Nuhu hata kuangamizwa pamoja na ukweli wa mabaki ya safina hiyo kuwepo juu ya mlima ARARAT uliopo nchini Uturuki.

ความคิดเห็น • 48

  • @KizaDesire-v7w
    @KizaDesire-v7w 7 หลายเดือนก่อน +6

    Na penda sana movie hizi zinanifundisha vitu vingi.nataka likes nzangu

  • @HajiHamza-ti3id
    @HajiHamza-ti3id ปีที่แล้ว +2

    Ama kweri mwenyezi mungu yupo

  • @HajiKopa
    @HajiKopa ปีที่แล้ว +3

    Allah atupe mwisho mwema inshaallah

  • @MariahPita-k5m
    @MariahPita-k5m ปีที่แล้ว +3

    Hatari xana

  • @noahayoubameninaendereakubarik
    @noahayoubameninaendereakubarik ปีที่แล้ว +2

    ahsante sana ubalikiwe dj

  • @ruthluma7609
    @ruthluma7609 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mkuu daima milele amen

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 ปีที่แล้ว +4

    Nimependa sana hii

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 ปีที่แล้ว +2

    Mtihani mungu atunusuru na shida hiyo ya lana mwislam ndiyo dini ya khaki

  • @medsonnickson
    @medsonnickson ปีที่แล้ว +3

    safi sana❤

  • @barazamalegesi2160
    @barazamalegesi2160 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah kabsa

  • @DominicLeronko
    @DominicLeronko 6 หลายเดือนก่อน +1

    napenda sana kipindi hiki kwa sababu anipundsha sana

  • @CustomerCaremwn
    @CustomerCaremwn ปีที่แล้ว +3

    😊😊😊😊

  • @hellenjames671
    @hellenjames671 ปีที่แล้ว +1

    mungu utusamehe

  • @salumidrissa8788
    @salumidrissa8788 2 ปีที่แล้ว +2

    Maashallah

  • @shabanmbajo191
    @shabanmbajo191 8 หลายเดือนก่อน +1

  • @henrylugendo280
    @henrylugendo280 ปีที่แล้ว +1

    Good story

  • @shabanmbajo191
    @shabanmbajo191 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤م❤ا

  • @milembemwandu6874
    @milembemwandu6874 3 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante kwa Simulizi hii Nziri

  • @goodluckminja3798
    @goodluckminja3798 3 ปีที่แล้ว +2

    💥💯💯

  • @pauljonas356
    @pauljonas356 ปีที่แล้ว +1

    Mungu anamakusudi yake katika hili

  • @rajabulipongo4135
    @rajabulipongo4135 3 ปีที่แล้ว +1

    Naipataje hiyo sehemu yapili

    • @Sizmediatz
      @Sizmediatz  3 ปีที่แล้ว

      IPO hapahapa kwenye channel yetu tafuta video yenye TITLE isemayo MABAKI YA SAFINA YA NUHU

    • @jumaally724
      @jumaally724 ปีที่แล้ว

      Asante kwa story nzuri tuweke sehemu ya pili

    • @Sizmediatz
      @Sizmediatz  ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/pRz_wuPpbAE/w-d-xo.html

  • @SelemanKaisi-y2w
    @SelemanKaisi-y2w 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu mkubwa tubaliki wajazako

  • @HassanShehozatz-im3sg
    @HassanShehozatz-im3sg ปีที่แล้ว +1

    Safina kaka

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 ปีที่แล้ว +1

    Kwanini ,Omari Zongo Msimlizi wa makala hii anakili biblia kitabu cha mwanzo sura ya,7 : 6 kupata umri wa Nuhu; Je Ina maana hapa koroani haikujua umri wa Nuhu.Basi. Biblia ndiyo yenye majibu yaliyokosekana katika Koroani. ,"Biblia Ni jibu"

  • @Momy232
    @Momy232 ปีที่แล้ว +1

    Kiko kitabu gani kwa bibilia ama Quran talks of that Holy kinyezi na ugonjwa. I need to read and understand better. Thankyou for knowledge

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 ปีที่แล้ว +1

    Mwanzo 6:33,mwanzo 6:36

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 ปีที่แล้ว +5

    Sasa na kizazi hiki cha leo kisichosikia na dhambi za ushoga,na zingine zitatugharimu soma kitabu hiki Cha mwanzo ktk Biblia tukufu

  • @naomikalinga
    @naomikalinga ปีที่แล้ว +2

    🙏🙏

  • @rebecamagesa5311
    @rebecamagesa5311 ปีที่แล้ว +1

    Achen ubaguz cc sote niwan wa MUNGU wambinguni

  • @charokamtu
    @charokamtu ปีที่แล้ว +3

    From kenya uislam ndio dini ya haki duniani

    • @msafytz8066
      @msafytz8066 ปีที่แล้ว +5

      Haki ipi? Fanya mema uende peponi dini haipelek mtu peponi waafrika acheni kuwa watumwa wa fikra mlzopandikizwa

    • @mwananyamalaz4427
      @mwananyamalaz4427 ปีที่แล้ว

      ​@@msafytz8066 umeongea ukweli god bless 🙏

    • @sangaelly8548
      @sangaelly8548 ปีที่แล้ว +1

      Uislamu sio dini yahaki ni dini ya salama usituchanganye ila wanaifahamu vizuri Biblia kuliko Kolani yao

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 ปีที่แล้ว +1

      Em kajambe mbele uko

  • @bonielizaura2857
    @bonielizaura2857 ปีที่แล้ว +1

    Hizo ni simulizi za uongo mtupu

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 ปีที่แล้ว

      Uongo wa hali ya juu 😂😂😂😂😂 wanatufanya sisi wapumbaaaavu

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 ปีที่แล้ว

      Yaan mungu atuunbe yeye atuteketeze yy eti watu wamekunya hafu mavi yao ndio dawa 😂😂😂😂 aloooh mtu kaishi miaka 600
      Hizi stori zipo kiimani sio kihistoria ndomaana hamnaga ushahidi wa hayo yaliyopita miaka hyo

  • @NoraAndati
    @NoraAndati ปีที่แล้ว +1

    Hapana

  • @amigotabuga9545
    @amigotabuga9545 ปีที่แล้ว +1

    Àà9

  • @shabanmbajo191
    @shabanmbajo191 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤م❤ا

  • @barazamalegesi2160
    @barazamalegesi2160 ปีที่แล้ว

    Mashaallah kabsa