Historia ya OSCAR KAMBONA Rafiki Wa NYERERE Aliyegeuka Adui Hadi NYERERE Kutomzika

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • #HomeOfUntoldStories #CharlesKombe #nyerere #oscarkambona
    Ahsante kwa kuendelea kufuatilia, please Subscribe!
    If you’ve got a thirst for knowledge that never quits, join a community of 100k thousand and grow! We have a good time, so take your shoes off, kick back, and make yourself at home here at the home of untold stories!
    ___________________________________________________________________________
    MATUKIO YA KUTISHA: rb.gy/zol9ix
    MAKALA ZA KUSISIMUA: rb.gy/h3pkse
    MAKALA ZA HISTORIA: rb.gy/wg2aax
    For brand, partnership inquiries: charleskombetz@gmail.com

ความคิดเห็น • 293

  • @charleskombe
    @charleskombe  ปีที่แล้ว +39

    Asante sana kwa kuendelea kufuatilia channel hii. Please subscribe!

    • @anithadavid5668
      @anithadavid5668 ปีที่แล้ว +10

      Unapaswa upewe pongezi kwa jhud ulzofny

    • @henrywambura7753
      @henrywambura7753 ปีที่แล้ว +1

      Kulingana na maelezo niliyoyasikiliza Osca kambona ilikuwa na tamaa ya ya kuwa RAISI WA NCHI HOI

    • @StarMerinyo
      @StarMerinyo 2 หลายเดือนก่อน

      Wee unayesema mwalimu Alikuwa mbaya kwa lipi na wakati kambona Alikuwa na tamaa yakutska kumpindua ili awe raisi yeye siku zote taamaa mbaya Nyerere apewe sifa kututoa utumwani bila kumwaga damu yanmtanzania

    • @SKY-fk3fz
      @SKY-fk3fz หลายเดือนก่อน

      Ingekuwa anatamaa asingekimbia

    • @deusmengo7881
      @deusmengo7881 หลายเดือนก่อน

      😅😮😮😊

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 2 หลายเดือนก่อน +13

    Nyerere Alikua Mtu Mwema Sana Alijua Kutujenga Pamoja Kuondoa Ukabila Na Mungu Alipanga Iwe Ivo Hao Wengineo Na Elimu Zao Tz Ingekuwa Kama Mataifa Mengine Ya Changu Ni Changu Na Chako Kitakua Changu Iwe Isiwe Lakini Mungu Alijua Kumfanya Nyerere Kuwa Baba Wa Taifa Kwa Ukombozi Wa Ukabila Kuondoa Uchafu Wa Ukabila Kwaivo Izi Habari Zisiwe Sababu Ya Muona Habari Kutukana Mwili Wa Nyerere Ukiwa Unajua Amani Yako Apo Ulipo Ulipozungukwa Na Makabila Kama Sita Lakini Uko Na Amani Iweje Useme Nyerere Alikua Afai Anajipenda Yeye Hi Sio Sawa Kwako Izi Kumbukumbu Za Kale Ubaya Wake Wewe Ujaujua Zaidi Ya Kusoma Sifa2

    • @sebastianmoshi7200
      @sebastianmoshi7200 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kwani Zambia hawana amani?, Zambia hawana makabila?, Zambia kulikuwa na Nyerere?, Zimbabwe hakuna amani?, Zimbabwe kulikuwa na Nyerere?, Wewe hizo propaganda umekaririshwa ni upuuzi tu, huyo mtu alikuwa mshenzi sana.

    • @awadhrajabu1403
      @awadhrajabu1403 2 หลายเดือนก่อน

      @@sebastianmoshi7200 Siku Zote Usipende Kuusemea Moyo Wa Mtu Ambae Kama Alikua Mwema Mema Uonekana Na Aujifichi Ukiona Anatajwa Nyerere Ujue Alifanya Kazi Kubwa Sio Kupigana Bali Hata Iyo Nchi Unayotajwa Wewe Wamegundua Kama Nyerere Pia Aliona Mbali Apa Niliko Nimezungukwa Na Makabila Kama Sita Tunaishi Kwa Fulaa Unazani Kenya Kinachowatafuna Nini Wanajua Kabila Fulani Likiwa Ndani Basi Viongozi Wengi Watatokea Uko Sasa Viongozi Walioko Ndani Wataona Asala Kukuza Ajenda Mambo Kuwa Moto Wakichunguza Watajua Kama Ukabila Unawatafuna Namsifu Nyerere Amekuza Ujamaa Umoja Angekuwa Mwema Uyo Angelindwa Na Mungu Na Usingepata Tabu Kusaka Habari Zake Jitahidi Kuacha Isitoriya Hata Kwa Familia Yako Mana Hata Ndani Ya Nyumba Baba Kiongozi Pia Ukiwa Mzembe Hata Wosia Wako Unatupwa Kapuni Na Watoto Wako Kwanini Asilimia Bado Kwa Vichwa Vya Watoto

    • @FrankMyenjwa-ms5fr
      @FrankMyenjwa-ms5fr 2 หลายเดือนก่อน +2

      Mzeee angewachekea tungekua Kama Congo kwa akina mabutu wa zabanga

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 3 หลายเดือนก่อน +10

    Napenda nyerere ❤kwni asigekuwa makini leo tungekuwa kama wa cocomani

  • @isaacmashauri
    @isaacmashauri ปีที่แล้ว +34

    Asante kwa historia ya Kambona. Yote yatapita lakini neno la Yehova Mungu halitapita. Naitakia Amani TANZANIA kwa jina la Yesu

    • @PrinceMbwana-i5o
      @PrinceMbwana-i5o 2 หลายเดือนก่อน

      ameni ameni ameni

    • @jeftatimothy2259
      @jeftatimothy2259 2 หลายเดือนก่อน

      Amani itapatikana katika ufalme wa mungu pekee kwan mwanadamu hana uwezo wa kumtawala mwanadamu mwenzie

  • @111dudi
    @111dudi 2 หลายเดือนก่อน +6

    Nyerere hakutaka fikra zaidi ya fikra zake. Mpaka anatoka aloiacja Tanzania masikini sana. Mungu amrehem Mwinyi aliyeleta ruksa, nchi ikaanza kuendelea.

    • @emmanuelkyandochali990
      @emmanuelkyandochali990 2 หลายเดือนก่อน +1

      Soma vizuri historia kuhusu tanzania wakati wa Nyerere misukosuko aliyopitia,vita alizopigana angekuwa raisi wa kawaida tanzania isingejuwepo

    • @111dudi
      @111dudi 2 หลายเดือนก่อน

      @@emmanuelkyandochali990 Kama vita ya Uganda haikumhusu kabisa.

    • @ce-08
      @ce-08 หลายเดือนก่อน

      ​@@111dudi 😂😂😂 haikumuhusu unahis nan anasain mikopo ya silaha

    • @bili-films
      @bili-films หลายเดือนก่อน

      Nyerere sifa zilimponza sh. Ilisimama akaidondosha mdgomdgo mpka hawa sasa hivi wanaendelea kuodondosha​@@emmanuelkyandochali990

  • @lessomwinyimkuu1268
    @lessomwinyimkuu1268 ปีที่แล้ว +21

    Never outshine the Master....

    • @hasnuumakame9219
      @hasnuumakame9219 ปีที่แล้ว +6

      Mwalim huo ujinga kauanza yeye na ndio karithisha ma CCM wenzake hadi Leo hii wao hawataki kupingwa wanayoyataka wao yawe......hii ndio ujinga wa nchi kuongozwa na ideas za mtu mmoja

  • @frankotembo
    @frankotembo ปีที่แล้ว +9

    Charles kombe unaitaji support na nguvu katika kazi yako nzuri sana,inatufikia vizuri sana apa UNITED KINGDOM
    MUNGU AKUBARIKI SANA

    • @charleskombe
      @charleskombe  ปีที่แล้ว

      Shukran sana Frank kwa kufuatilia na kwa maoni yako yenye kutia nguvu. Barikiwa pia

    • @jerryalfredngailo6106
      @jerryalfredngailo6106 ปีที่แล้ว

      Ilikuwa si rahisi kukaa na MTU huyu wa Musoma. Alipenda kuonekana yeye tu

    • @HasnuuMakame
      @HasnuuMakame 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@jerryalfredngailo6106 Mzee alikua dikteta sana ila hakujidhihirisha, pia hakua focused kwenye maendeleo ya nchi..

    • @PrinceMbwana-i5o
      @PrinceMbwana-i5o 2 หลายเดือนก่อน

      Ameni

  • @emmanuelnzaligo6262
    @emmanuelnzaligo6262 ปีที่แล้ว +13

    Makala hii unasimulia vizur Sana hongera kwa kazi nzuri.

    • @charleskombe
      @charleskombe  ปีที่แล้ว +1

      Shukran sana kwa kufuatilia

  • @mohamedallyrajabu205
    @mohamedallyrajabu205 ปีที่แล้ว +6

    Ninavyo jua hakuna nchi duniani ambayo haija fanya mabaya, katika kuakikisha mafanikio ya dhati na hayo yote hutokea sababu anaekua na nafasi ya uongozi wakati huo anakua na wasiwasi na kuto kujua nani wa kumuamini na nani wa kuto kumuamini, kwaiyo aliyo yafanya Nyerere wakati wake ni kile alicho amini ni kizuri kwa taifa na ile ilikua starting point ya taifa letu kutoka kwa watu weupe, si rahisi na haikua rahisi sababu binadamu tuna chuki na tamaa hivyo sio wote watakupenda au kukueshimu, maoni yangu tujiulize saizi tunaenda wapi na kila mwenye nafasi yakutetea hili taifa kwa namna yake afanye, sababu waliopita wamefanya kwa kiasi chao.

  • @abdullahmuhammadKambona
    @abdullahmuhammadKambona 28 วันที่ผ่านมา +2

    Nyerere hakupenda mabadiliko kambona aliyoyataka akageuka adui kwa Nyerere,,na ndio aliyaleta tena mwinyi

  • @friendsofpeopleorg1157
    @friendsofpeopleorg1157 7 วันที่ผ่านมา

    Nyere alipambana na mambo mengi, Bibititi alitaka kuingiza mambo ya dini ktk siasa kitu ambacho ni tatizo KUBWA sana.
    Kumbe amani tulio nayo ni misimamo ya Nyerere.
    Mungu amlaze mahala pema peponi Amen.

  • @raymondonyona.2736
    @raymondonyona.2736 ปีที่แล้ว +8

    Kwa stori ya Nyerere na Kambona, nakubaliana na Sera ya nje ya Marekani kuwa," Marekani hawana rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu."

  • @ibrahimasambyasaleh4027
    @ibrahimasambyasaleh4027 ปีที่แล้ว +3

    Kwakweli uadui haukuanza Leo na kila siku marafiki ndiyo maranyingi wanakuja kuwa maadui hatuwezi jua kati ya Nyerere na kambona yupi alikuwa mkweli kwa mwenzie Ila Mwenyezi Mungu peke yake ndiye alijuwa lakini kwa sasa wote hawapo tena Duniani kile wailicho kifanya watajibu mbele za Muumba

  • @marynjau2068
    @marynjau2068 19 วันที่ผ่านมา +1

    Ee bwana ee kumbe ni Kambona alitupeleiea kiswahili BBC? Waoo rest in peace sir !!

  • @dbarrik4108
    @dbarrik4108 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana. Tuletee Historia ya Field Marshal Joseph Okelo

  • @GideonMalyego
    @GideonMalyego ปีที่แล้ว +3

    Hv kwa matukio kama hya unawezaje kusema Nyerere alkuwa mtakatifu wkt alkuwa na element za udikteta

  • @AmraniRamadhani
    @AmraniRamadhani หลายเดือนก่อน +3

    Kambona alikuwa shujaa sana, mungu amrehem

  • @AmraniRamadhani
    @AmraniRamadhani หลายเดือนก่อน +1

    Nyerere Kwa kambona alikuwa anaufyata,kambona alikuwa msomi mkubwa mwenye maarifa mengi kuliko nyerere

  • @Husenimuddi
    @Husenimuddi ปีที่แล้ว +7

    Nikweli kambona alikua anatumika kisiasa na captalism block

    • @HaleluyaKalalu
      @HaleluyaKalalu 11 หลายเดือนก่อน

      Bila capitalism usingeshika hata thumuni wewe mpakachupi ungevaa ya kitenge

    • @vascooscar3967
      @vascooscar3967 2 หลายเดือนก่อน

      Socialism imewafikisha wapi

  • @martinemalembela1740
    @martinemalembela1740 4 วันที่ผ่านมา

    Nilivyokuwa mdogo nilikuwa namshangaa sana baba yangu alikuwa happening Nyerere.Alikuwa anasema alileta umaskini.Sikumuelewa kabisa baba yangu.Ilikuwa miaka ya 80 na 90 hivi.
    Hasa akisimulia miaka ya maduka ya vijiji ambapo walikuwa wengine hawaruhusiwi kuuza.Alikuwa.anasema walikuwa.wanapata mahitaji kwa zamu

  • @ObediMeyan-j8c
    @ObediMeyan-j8c 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera Sana kwa kutuandalia xtori tamu Kam hii

    • @charleskombe
      @charleskombe  2 หลายเดือนก่อน

      Shukran sana

  • @barthazalluboyelwa6278
    @barthazalluboyelwa6278 หลายเดือนก่อน +1

    Nyerere Ni Mtus sio uwongo pia Ni Mtus Hatari sana Aliwafanya Watanzania Wakimbizi wa ndani kwenye nchi Yao kwa kuanzisha vijiji vya ujamaa namengine mengi machafu kwa Raia wa Tanzania

  • @IbrahimMakame-oi7wn
    @IbrahimMakame-oi7wn ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa historia nxuri

  • @ibrahimmaxmillan1430
    @ibrahimmaxmillan1430 ปีที่แล้ว +3

    Mwanangu unasound vizuri sanaaaaa

  • @mohammedputta5821
    @mohammedputta5821 ปีที่แล้ว +7

    Kambona alijiuma Nyerere akimaliza miaka 10 angehombea yeye urais lakin Nyerere alikuwa hataki Wasomi kipindi chake wengi TU aliwaweka kizuizini ila Kambona alikuwa smart

  • @BekaBiz
    @BekaBiz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ama kweli rafiki wa kweli anaweza badilika akawa adui sababu ya wazfa au maslahi 😢

  • @MangenyeJames
    @MangenyeJames 3 หลายเดือนก่อน +3

    Nyerere alikuwa mpigania uhuru wa wa Efrica kambona alikuwa na Ilimu ya kuwahi angepata mpaka Leo tusingekuwa na ardhi.

    • @MangenyeJames
      @MangenyeJames 3 หลายเดือนก่อน +1

      Alibabaika na maisha ya ulaya alikuwa na elimu nzuri ila alikuwa anataka kujitajirisha kwanza kabla ya kuangalia elimu uliyoipata itawasaidia nn wandugu zako

  • @piusundisputed
    @piusundisputed ปีที่แล้ว +2

    Napenda sana makala zako

    • @charleskombe
      @charleskombe  ปีที่แล้ว +1

      Shukran sana Pius. Nashukuru kwa kuendelea kufuatilia channel hii.

  • @EliudHaule-zx3jd
    @EliudHaule-zx3jd หลายเดือนก่อน

    Naam hayo ndio mambo ❤❤❤

  • @ALEXBUNDI-b2t
    @ALEXBUNDI-b2t 14 วันที่ผ่านมา

    Kambona,,only,nyerere umpenda

  • @ElizabethKibiki-h2j
    @ElizabethKibiki-h2j 11 หลายเดือนก่อน +2

    Asante kwa historia za viongozi wetu waliopita tunajifunza kitu

  • @friendsofpeopleorg1157
    @friendsofpeopleorg1157 7 วันที่ผ่านมา

    Usimwamini binadamu mwenzako hapa Duniani. Binadamu hubadilika.

  • @ALEXBUNDI-b2t
    @ALEXBUNDI-b2t 14 วันที่ผ่านมา

    NYerere alikuamwalimu bado yesu ni mwalimu

  • @erycah
    @erycah ปีที่แล้ว +9

    Watanzania tusingekua na fitina tungekua mbali sana

  • @silwambalackson9941
    @silwambalackson9941 27 วันที่ผ่านมา +1

    Kumbe Kambona hakuwa mbaya vile, kwani matarajio yake ndiyo yako sasa -multi party democracy.

  • @HamisiHemediWaguga
    @HamisiHemediWaguga 12 วันที่ผ่านมา

    Duh nimekuja kujua nilokuwa sijui asnte sana

  • @NgomaMbago-dk3gp
    @NgomaMbago-dk3gp ปีที่แล้ว +3

    Nimejifunza kumbe rafiki kipenzi anaweza kuwa msaliti na adui mkubwa kwako

  • @erickmuli1030
    @erickmuli1030 ปีที่แล้ว +21

    Gonga lyk kama unaamin Tz tunaish kwa vsasi.

  • @sauljotam115
    @sauljotam115 ปีที่แล้ว +3

    Kweli hii nchi kumbe ilikuwa ngumu tokea ilipopata uhuru🥲🥲

    • @hasnuumakame9219
      @hasnuumakame9219 ปีที่แล้ว

      Kabisaaa kaka....Kuna mengi Mwalim kayaficha mabaya yake.......katufanya tuamini mema yake tu

  • @LazarokisiaNyakamande
    @LazarokisiaNyakamande 3 หลายเดือนก่อน +1

    sio kisasi Nyerere uko sawa ukiwa mnafiki mwishowake ndo huo

  • @mfebricknkuna7106
    @mfebricknkuna7106 8 หลายเดือนก่อน +1

    Maneno ya kurushiana kati ya Mwalim Nyerere na Oscar Kambona ni siasa tu, ila ukweli unabaki kuwa tumenyimwa na haki ya kumjua mtu muhimu katika historia ya n'nchi yetu. Inasikitisha hata sanamu la kumbu'kumbu hana, ila mchango wake ni mkubwa sana katika historia ya n'nchi yetu.

  • @DawnMurcas-pz4uq
    @DawnMurcas-pz4uq 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kambona commander

  • @davidcurtis175
    @davidcurtis175 ปีที่แล้ว +14

    Inasikitisha sana jamaa aliambiwa si mtanzania, jamaa ndio pekee alikuwa anapinga hoja za Nyerere tena bungeni na kitwa muasi inasikitisha sana, nchi yetu kipindi hicho haikutaka wasomi maana tuliamishwa kwa njozi zaidi kuliko kwa fact, nimeota muvua itanyesha hvi karibuni kumbe ni habari za hewa duniani na wakati huo kumiliki redio ya mbao wewe ni bilionea, Huyu kambona alikuwa alikuwa akisikilizwa sana sana na wanajeshi hivyo ilikuwa hofu kubwa kwa mwalimu maana alikuwa anapinga hoja zake waziwazi.

    • @omarikinyory5785
      @omarikinyory5785 ปีที่แล้ว +2

      Uyu ni babu yangu mzaa baba kambona😭💔

    • @ireneaurelian907
      @ireneaurelian907 ปีที่แล้ว +2

      @@omarikinyory5785 haya kambona pole jmn

    • @omarikinyory5785
      @omarikinyory5785 ปีที่แล้ว +2

      Sema sikuwai kumuwona nime ishiwa pewa istory2 tena juzi juzi ndio tuna juzwa kikubwa duwa2 innalilahi wahina lilahi rajun

    • @seifismail6041
      @seifismail6041 ปีที่แล้ว +1

      @@omarikinyory5785 VP na ww unawanyoosha uko shule

    • @joycemosha1898
      @joycemosha1898 ปีที่แล้ว +1

      Kampong ni wa kwanzza kutangaza kiswahili London laakini wanatnga salimkke na zuhura yunusi tena walipigania uhuru na nyryr mpaka kulala chumba kimoja huko London

  • @omary7517
    @omary7517 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kambona alikuwa msaliti mkuu

    • @FrankMyenjwa-ms5fr
      @FrankMyenjwa-ms5fr 2 หลายเดือนก่อน

      Msaliti mwenye tamaa Sana Angela mamiss wote mjinga

  • @marynjau2068
    @marynjau2068 19 วันที่ผ่านมา

    Waoo jamani historia ya Tanzania iandikwe upya.....

  • @oduorevans3493
    @oduorevans3493 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nyerere husifiwa lakini alikua dictator sana

    • @ce-08
      @ce-08 หลายเดือนก่อน

      Hakuna mtu asiyenamabaya hata wewe unaukrasa ambao hutaman hata mtu aujue

  • @MichaelChristopher-q2e
    @MichaelChristopher-q2e 22 วันที่ผ่านมา +1

    Mechi ngumu toka Zaman mpaka leo

  • @kiddyadams
    @kiddyadams ปีที่แล้ว +15

    Kambona, bibi titi, Tewa , sokoine, malima, ally Juma, karume etc … Nyerere aliwapoteza kimtindo 😅bongonyoso Hakuna rais mwema TZ.

    • @charleskombe
      @charleskombe  ปีที่แล้ว

      Hatari kweli kweli....Historia ya BIBI TITI tayari nishakuwekea brother, waweza itazama ktk channel hii.

    • @happylynguya3464
      @happylynguya3464 ปีที่แล้ว

      Nasikia Sokoine alikuwa vizuri katika uongozi, kwa sasa tunaweza kumfananisha na Majaliwa. Wanasema Sokoine aliuawa na Mawaziri wenzake na sio Nyerere.

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 17 วันที่ผ่านมา

    Kambona kumbe hakua mzarendo

  • @alfredymjema5834
    @alfredymjema5834 ปีที่แล้ว +4

    Kikulacho ki nguoni mwako!!

  • @KamugishaSperatus-qx5kt
    @KamugishaSperatus-qx5kt ปีที่แล้ว +6

    Kambona angelishirilian na nyerer nchi ingelifika mbali lakin tatizo ni elimu ya ulaya aliyoipata ,

    • @elisantenyange8751
      @elisantenyange8751 ปีที่แล้ว

      Wote walikuwa na elimu ya ulaya.

    • @hasnuumakame9219
      @hasnuumakame9219 ปีที่แล้ว

      Kwani Mwalim hakua na elimu ya ulaya?.........Mzee alikua na roho mbaya alitaka awe yeye tu Nyerere, wengine wote wasionekane

  • @johnsonchonja4032
    @johnsonchonja4032 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nyerere hakutaka mtu yeyote amzidi akili😂😂

  • @farajiissa560
    @farajiissa560 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nyerere mnafik sana simpend mm

    • @nyigudondola4081
      @nyigudondola4081 3 หลายเดือนก่อน

      Mpende baba yako

    • @ponsianaprotas8990
      @ponsianaprotas8990 2 หลายเดือนก่อน

      Umpende, usimpende, ni baba wa Taifa. Hakuna mwingine kama yeye.

  • @destosolomoni8544
    @destosolomoni8544 ปีที่แล้ว +4

    Me na kambona dam dam yaan hili n jabali kwel 😂😂😂😂

  • @FamilyVideos-pt1mo
    @FamilyVideos-pt1mo 2 หลายเดือนก่อน

    Kiboko ya Nyerereka

  • @AlfeoTelatela
    @AlfeoTelatela ปีที่แล้ว +5

    Pal

  • @marynjau2068
    @marynjau2068 19 วันที่ผ่านมา

    Nyerere alikuwa na figisu mtu asipokubaliana nae.....

  • @bili-films
    @bili-films หลายเดือนก่อน

    Hii uonevu wa viongozi kwa raia kumbe ni nature kwenye Taifa hili.

  • @osybethmbangule7652
    @osybethmbangule7652 ปีที่แล้ว +2

    Duuuh hawa Wazee walifanya dhambi kubwa sana

    • @hasnuumakame9219
      @hasnuumakame9219 ปีที่แล้ว

      Yamepita mengi sana kaka, mifumo ya Tanzania miguu toka zamani

  • @kinanaomar
    @kinanaomar ปีที่แล้ว +2

    Siasa haina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu

  • @lawrencemapunda3666
    @lawrencemapunda3666 ปีที่แล้ว +1

    Shule ya kati aliyosoma haiitwi Mt. Barnabas bali iliitwa Mt. Paul.

  • @raymonddeodatuskyara
    @raymonddeodatuskyara ปีที่แล้ว +1

    Tumetoka mbali sana.

  • @dededshud7047
    @dededshud7047 2 หลายเดือนก่อน

    Historia ya uwongo iyo

  • @hashimmussa1057
    @hashimmussa1057 ปีที่แล้ว +1

    Kijiji cha kwambe kiko Wilaya ya Nyasa kwasasa, na sio Wilaya ya Mbinga.

  • @HassanKaposa
    @HassanKaposa 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mnafiki sana nyerere

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 6 หลายเดือนก่อน

    👊✌👍.

  • @GosbertNgemela
    @GosbertNgemela ปีที่แล้ว +1

    Faharii wawili hawakai zizi moja

    • @ABSTemu
      @ABSTemu 6 หลายเดือนก่อน

      Wakipigana Ziumiazo Nyasi. Huu mpasuko busara ingewek sawa Taifa lingenufaika zaidi tungekuwa mbali zaidi. It is unfortunate.

  • @OthmanThabitJuma
    @OthmanThabitJuma หลายเดือนก่อน

    Lakini huyo mis Tanzania anaonekana mzuri japokuwa picha haikuwa na kiwango

  • @BLENDEROMASHINE
    @BLENDEROMASHINE หลายเดือนก่อน

    Nimekurewa historia ninzuri nirikuwa sijui hapo nime erewa

  • @ZaitunAbdallah-ol1bb
    @ZaitunAbdallah-ol1bb ปีที่แล้ว

    Nyerere alikua dikteta asietaka kupingwa au kukosolewa kama makufuli

    • @farinhafrank-dm4sg
      @farinhafrank-dm4sg ปีที่แล้ว

      Hii ndio shida ya waafrika , neno dicteta limeletwa na wakolon ambao mliowafukuza mkidai uhuru sasa sasa mnafikir hao wakolon atawapenda

  • @ramrashid7859
    @ramrashid7859 2 หลายเดือนก่อน

    Inamaana kuna watanzania waliopo gambia na kalibian islands .... Kizazi chake kitakuwa kipo

  • @MkulaElfrida
    @MkulaElfrida 9 หลายเดือนก่อน +1

    Alikua mkorofi tu mbona wala Nyerere hajashindana nae

  • @EnockMsigwa-v5o
    @EnockMsigwa-v5o หลายเดือนก่อน

    Visasi havita isha kamwe kwa style hii

  • @Kresiwabula-mc2dl
    @Kresiwabula-mc2dl ปีที่แล้ว +4

    Hee jaman ndo ilivyo kuwa hongela yake nyerere

  • @111dudi
    @111dudi 11 หลายเดือนก่อน

    Mbona mtoto mzungu na Kambona alikuwa mwafrika mweusi?

  • @JamesMkama
    @JamesMkama 3 หลายเดือนก่อน

    Siyo peter mbwimbo ni Petro Bwimbo

  • @EnockJoseph-r7c
    @EnockJoseph-r7c ปีที่แล้ว

    Ndiyo tz yetu hii

  • @NassoroJuma-u2u
    @NassoroJuma-u2u 8 หลายเดือนก่อน

    Unafki wake wengine hatuujui tusome wapi tufahamu

  • @monicamsile2284
    @monicamsile2284 2 หลายเดือนก่อน

    Rafiki yako, ndiye adui yako

  • @glorykastai3996
    @glorykastai3996 3 หลายเดือนก่อน

    Viongozi hawataki kupingwa mipango yao ni lazima ipite hata kamati mda mwingine huwa ni za kuzuga wananchi

  • @pascalmasare938
    @pascalmasare938 ปีที่แล้ว +13

    Nyerere amesababisha tumekua wajinga sana na mambo yake ya kijamaa

    • @bekabeka-ww2mn
      @bekabeka-ww2mn ปีที่แล้ว

      ndo unalijua hilo broo muda huu huku Zanzibar izo bado zinaendelea, tunaita chuki za maendeleo, jee we are santy

    • @cultureman-ps1lx
      @cultureman-ps1lx ปีที่แล้ว +1

      Una akil

    • @shabankasanzu3752
      @shabankasanzu3752 ปีที่แล้ว

      @@bekabeka-ww2mnp

    • @oscarkasalile3966
      @oscarkasalile3966 ปีที่แล้ว +1

      Kwahiyo wewe unauchukia ujamaa? Unaona Bora ubepari? Acha mawazo ya kitumwa ujamaaa ndio habari nzuri kuliko habari zote.

    • @YusufuChinengo-zn4xu
      @YusufuChinengo-zn4xu ปีที่แล้ว

      ​@@oscarkasalile3966 akil mtu wangu ujamaa so kitu kabsa nyerere alikuwa dicteta tuuu

  • @ndilanhasjeremiah
    @ndilanhasjeremiah 2 หลายเดือนก่อน

    Mwezi wa nane mvua + Radi wapi na wapi??

  • @shadymoses5813
    @shadymoses5813 ปีที่แล้ว

    I'm

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION ปีที่แล้ว

    Picha mbona za wazungu mtoto

  • @cyprianboniphace-oz5lw
    @cyprianboniphace-oz5lw 3 หลายเดือนก่อน

    Laki 8 ya wakati huo hivi sasa ni mabilioni.

  • @abuibra
    @abuibra หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂 alikua mzungu alafu akabadilika kua Mwafrika

  • @nyamarungujr7834
    @nyamarungujr7834 ปีที่แล้ว +2

    Mwezi wa nane kuna mvua mzee nani😂😂😂😂 no issue nakutania tu….. nice story though

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 3 หลายเดือนก่อน

    Our father who is in heaven 😂

  • @BartholomewJoseph-dy6me
    @BartholomewJoseph-dy6me หลายเดือนก่อน

    Nimbaya dah😢😢😢😢😢

  • @mangimeli5846
    @mangimeli5846 3 หลายเดือนก่อน

    kawawa alikuwa na level gani ya elimu

  • @venayotv
    @venayotv หลายเดือนก่อน

    Mtu mzima hatishiwi nyau 😂

  • @issaalfani1030
    @issaalfani1030 ปีที่แล้ว +1

    Umdhaniae ndiye sio

  • @KingOzil-z3z
    @KingOzil-z3z 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kambona alikua kibalaka

  • @salimgharib9888
    @salimgharib9888 ปีที่แล้ว

    Maneno yako ni same kabisa na kile Kitabu cha Amani Thani Feirooz.
    Ni kweli Majeshi walimuasi Nyerere na walitaka kumpindua Nyerere Ila Oscar Kambona….. ni interesting na hapo yeye ndio aliowadadavua Wazanzibari kuhus Muungano huko London.
    Historia yetu Haisemwi

    • @salimgharib9888
      @salimgharib9888 ปีที่แล้ว

      Kambona ndie aliemwambia Kassim Hanga asirudi Tanzania Ila akarudii Ila ndio ikawa…….

  • @IdrisaKimwaga
    @IdrisaKimwaga 8 หลายเดือนก่อน

    Ikumbukwe mchango wake ktk kiswahili

  • @bezalelmbijima8182
    @bezalelmbijima8182 ปีที่แล้ว

    Ninakushukuru

  • @JumaGondwe
    @JumaGondwe ปีที่แล้ว

    He was a hippocrcrates

  • @HildaMacharia
    @HildaMacharia 2 หลายเดือนก่อน

    Alitupa uhaba wa elimu ndiyo tuishi wajinga.

  • @hassanimussa2154
    @hassanimussa2154 ปีที่แล้ว

    Kumbe maendeleo tumechelewa sababu nyingi zilianza enzi za baba, chuki ,ulevi wa madaraka na visasi

  • @farinhafrank-dm4sg
    @farinhafrank-dm4sg ปีที่แล้ว

    Kambona alikua kibaraka wa mabeberu