Siz Media
Siz Media
  • 341
  • 675 510
MARTIN LUTHER KING jr na SIMULIZI chungu ya MAISHA yake MPAKA KIFO. (SizPod 1 ep 10)
Martin Luther King Jr anajitofautisha na wanaharakati wengine wa Marekani kwa miaka hiyo kwa misimamo yake ya kadiri.
hakuamini katika vurugu kwenye kudai haki, alihimiza usawa kwa namna ya amani kwa kadiri alivyoweza, hata hivyo haikuzuia chuki ya ubaguzi kushawishi wabaya wake kummiminia risasi na kupoteza maisha.
kilichobaki kama kumbukumbu kumuhusu ni maadhimisho ya siku yake nchini marekani kila ikifika tarehe ya karibu na siku yake ya kuzaliwa 15 January na pia hotuba yake ya I HAVE A DREAM ni sehemu ya kumbukizi muhimu ya mwanaharakati huyo wa aina yake.
#history #blackamerica #books
มุมมอง: 22

วีดีโอ

Malcom X/ Kuzaliwa & UJAMBAZI & Harakati mpaka KIFO (SizPod 1 ep 9)
มุมมอง 637 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kitabu cha Autobiography of malcom X ni miongoni mwa Vitabu bora kwa upande wa vitabu vinavyoelezea wasifu wa mtu. mwandishi Alex Haley alikitahidi kwa kadiri ya uwezo wake kumdadisi Mtu mtata na aliyekuwa hamuamini yeyoye kirahisi lakini juhudi za Haley zikatuachia zawadi nzuri kabisa ya kumfahamu mpigania haki huyo wa Taifa la Marekani miaka ya 50 mpaka 60. #books #history
Ujio wa MALCOM X Tanzania 1964 (SizPod 1 ep 8)
มุมมอง 56วันที่ผ่านมา
Moja kati ya mdahalao uliowahi kufanyika kwenye chuo kikuu cha oxford ukabaki kwenye historia ya wengi ni ule ambao alishiriki Malcom X tarehe 3 Dec mwaka 1964. mdahalo ulienda kwa hoja ya siasa safi katika kudai uhuru sio nzuri, siasa kali katika kutafuta haki ni poa. malcom x alishiriki katika upande wa kutetea, lakini licha ya umahiri wake wa kuzungumza aliishia kushindwa kwa kura kadhaa na ...
VAA, PENDEZA, CHILL, Enjoooy
มุมมอง 8วันที่ผ่านมา
ukijizuru dunia haisimami, kujizuru kwako hakusababishi watu waache kuhema au maisha yasiendelee kwenye hii dunia yetu nzuri.
SIO wote WANAKUFAA / JIFUNZE kuweka MIPAKA (SizPod 1 ep 7)
มุมมอง 2614 วันที่ผ่านมา
kuweka mipaka kwenye maisha yako kutasaidia usatwi wako katika nyanja zote, kihisia, kimwili na kiakili. inakupa kujifunza kusema HAPANA katika baadhi ya mambo ili kujiwekea heshima na kujipambanua kwa wengine kuhusu vipaumbele vyako. #mentalhealth
Tatizo la Afya ya Akili (SizPod 1 ep 5)
มุมมอง 1614 วันที่ผ่านมา
Matatizo ya Afya ya Akili (Mental Health Problem) yamekuwa tatizo kubwa linalowakabili watu wengi, katika mfululizo wa Episode zetu za SizPod leo tumeongelea kuhusu historia ya jambo hili na njia zinazoweza kusadiai watu kuepukana na madhara yatokanayo na Afya ya akili. #mentalhealth #mentalhealthawareness #history
Historia ya DAKIKA 90 za FOOTBALL / Mwanzo wa SOCCER unaoshangaza.
มุมมอง 4414 วันที่ผ่านมา
Mchezo wa Mpira wa miguu ndio mchezo pendwa zaidi kuliko michezo yote duniani, lakini historia yake inashangaza sana.
ZITAZAMWE DHAMBI ZAKO au UKATWE KIDOLE?? #funny #SizChallenge
มุมมอง 2414 วันที่ผ่านมา
Uwekwe hapo na familia yako kisha mtazame kwa pamoja dhambi zako zote ulizowahi kufanya maishani au kama huwezi ukatwe kidole chako, utachagua nini?
FAHAMU kuhusu GENERATION Z (SizPod 1 ep 3)
มุมมอง 3021 วันที่ผ่านมา
@SiziOnlineTv Kwa Simulizi za Visa, Mikasa na Riwaya za Kusisimua, usisite kusubscribe channel hii na kubofya kengele kwa ajili ya kupata taarifa kila tunapopandisha video mpya. kama una lolote katika haya yafuatayo usiache kuwasiliana nasi leo 1: Kuandikiwa Simulizi ya Maisha yako, Makala au Jambo lolote ambalo ungetaka liwe kwa maandishi na sauti 2: Kutangaza Biashara yako aidha Bidhaa au Hud...
MAANDAMANO KENYA Yamenikumbusha MAUMAU HARAKATI (Sizpod 1 ep 2)
มุมมอง 3221 วันที่ผ่านมา
@SiziOnlineTv Kwa Simulizi za Visa, Mikasa na Riwaya za Kusisimua, usisite kusubscribe channel hii na kubofya kengele kwa ajili ya kupata taarifa kila tunapopandisha video mpya. kama una lolote katika haya yafuatayo usiache kuwasiliana nasi leo 1: Kuandikiwa Simulizi ya Maisha yako, Makala au Jambo lolote ambalo ungetaka liwe kwa maandishi na sauti 2: Kutangaza Biashara yako aidha Bidhaa au Hud...
Mwandishi Tambua UWEZO wako ( SizPod1 ep 1)
มุมมอง 1521 วันที่ผ่านมา
@SiziOnlineTv Kwa Simulizi za Visa, Mikasa na Riwaya za Kusisimua, usisite kusubscribe channel hii na kubofya kengele kwa ajili ya kupata taarifa kila tunapopandisha video mpya. kama una lolote katika haya yafuatayo usiache kuwasiliana nasi leo 1: Kuandikiwa Simulizi ya Maisha yako, Makala au Jambo lolote ambalo ungetaka liwe kwa maandishi na sauti 2: Kutangaza Biashara yako aidha Bidhaa au Hud...
Comedy: Utacheka ALIVYOKOMESHWA Kupiga Chabo/ Kijana wa Hovyo kabisa.
มุมมอง 1121 วันที่ผ่านมา
Kijana wa hovyo kabisa huyu, amejaribu kupiga Chabo kwenye chumba cha jirani yake akaambulia kutofolewa jicho.
Mchungaji AMEFUNDISHWA GARI na MALAIKA ''Aliniambia tia Gia"
มุมมอง 1821 วันที่ผ่านมา
Mchungaji anasema kuwa alifundishwa Gari na Malaika maana hakuwa anajua kabisa kuwa kuendesha gari na malaika ndiye aliyemfundisha kuigngiza Giar.
VIDEO: Shetani na Mungu ni Marafiki au Maadui/ Tazama jamaa walivyojibu.
มุมมอง 8121 วันที่ผ่านมา
Bible Hour Ni kipindi cha dini ya kikristo kinachoibua maswali mbalimbali ya tafakuri kuhusu masuala ya kiimani, na katika vido hii wakristo wamejibu swali la je MUNGU na shetani wana mahusiano gani, Marafiki au Maadui??
HUZUNI: BARUA YA WAZI ALIYOPEWA GADNER AMPELEKEE RUGE (R.I.P 4 THEM).
มุมมอง 222 หลายเดือนก่อน
Tasnia ya Habari na utangazaji kwa ujumla ina huzuni kubwa ya kuondokewea na Mtangazaji Mkongwe wa Kipindi cha Jahazi pale Clouds Medi. @Sizmediatz tunaungana na ndugu na familia ya Kapteni pamojabna wana habari wote kuomboleza Msiba huu mzito. Mwenyezi Mungu amrehemu Kaka yetu Gadner.
DAH!! HUYU MWAMBA APEWE MAUA YAKE.
มุมมอง 303 หลายเดือนก่อน
DAH!! HUYU MWAMBA APEWE MAUA YAKE.
UJENZI WA ALKAABA KUTOKA KWA MALAIKA MPAKA KWA NABII IBRAHIM NA MWANAYE ISMAIL.
มุมมอง 2203 หลายเดือนก่อน
UJENZI WA ALKAABA KUTOKA KWA MALAIKA MPAKA KWA NABII IBRAHIM NA MWANAYE ISMAIL.
NGUVU ya IRAN kwa ISRAEL pamoja na UDHAIFU WAKE.
มุมมอง 1753 หลายเดือนก่อน
NGUVU ya IRAN kwa ISRAEL pamoja na UDHAIFU WAKE.
Vituko Vya TID utacheka...SHEKHE TUNAKUSIKIA TUPO MALINDI, PUNGUZAAAA
มุมมอง 1953 หลายเดือนก่อน
Vituko Vya TID utacheka...SHEKHE TUNAKUSIKIA TUPO MALINDI, PUNGUZAAAA
Usiyoyafahamu Kuhusu Pasaka/ utashangaa sana.
มุมมอง 283 หลายเดือนก่อน
Usiyoyafahamu Kuhusu Pasaka/ utashangaa sana.
HIKI NDICHO Kinawapata WAKIJITOA FREEMASON.
มุมมอง 283 หลายเดือนก่อน
HIKI NDICHO Kinawapata WAKIJITOA FREEMASON.
VITA VYA BADR / MAPIGANO YALIYOHUSISHA MALAIKA NDANI YA MWEZI MTUKUFU.
มุมมอง 844 หลายเดือนก่อน
VITA VYA BADR / MAPIGANO YALIYOHUSISHA MALAIKA NDANI YA MWEZI MTUKUFU.
#bookreview TAKADINI na ukweli kuhusu ALBINO kuzaa ALBINO.
มุมมอง 2064 หลายเดือนก่อน
#bookreview TAKADINI na ukweli kuhusu ALBINO kuzaa ALBINO.
#bookreview TAJIRI WA BABYLON / Kitabu KINACHOBADILI MAISHA ya WATU. #trending
มุมมอง 3164 หลายเดือนก่อน
#bookreview TAJIRI WA BABYLON / Kitabu KINACHOBADILI MAISHA ya WATU. #trending
AJALI ILIVYOMALIZA UHAI WA WAPENZI HAWA WA CHUO - TEKINAKINDU (MWISHO) #trending
มุมมอง 524 หลายเดือนก่อน
AJALI ILIVYOMALIZA UHAI WA WAPENZI HAWA WA CHUO - TEKINAKINDU (MWISHO) #trending
USIYOYAFAHAMU KUHUSU SHAH RUKH KHAN #trending #facts
มุมมอง 384 หลายเดือนก่อน
USIYOYAFAHAMU KUHUSU SHAH RUKH KHAN #trending #facts
#maajabu KUMBE UKIITOA BIKRA HAYA NDIO HUTOKEA #aisha madolali PART 6
มุมมอง 725 หลายเดือนก่อน
#maajabu KUMBE UKIITOA BIKRA HAYA NDIO HUTOKEA #aisha madolali PART 6
#chadema HISTORIA YA CHADEMA / CHAMA KIKUU CHA UPINZANI TANZANIA #siasa
มุมมอง 4705 หลายเดือนก่อน
#chadema HISTORIA YA CHADEMA / CHAMA KIKUU CHA UPINZANI TANZANIA #siasa
MAPENZI MPAKA KIFO - (TEKINAKINDU - Part 3
มุมมอง 185 หลายเดือนก่อน
MAPENZI MPAKA KIFO - (TEKINAKINDU - Part 3
ALINITESA KICHAWI NISIOLEWE NA MWANAE - PART 5
มุมมอง 145 หลายเดือนก่อน
ALINITESA KICHAWI NISIOLEWE NA MWANAE - PART 5

ความคิดเห็น

  • @mathiasmomanyi9290
    @mathiasmomanyi9290 3 วันที่ผ่านมา

    Mashallah! Hongera Omar na Chikawa. Nilimfuatilia Omar katika barua kwa Shaaban Bin Robert 1 &2

    • @Sizmediatz
      @Sizmediatz 3 วันที่ผ่านมา

      @@mathiasmomanyi9290 Ahsante sana kaka Mathias, Tafadhali pia tunaomba maoni yako juu ya maudhui unayoyapenda zaidi kwa ajili ya kuboresha kazi zetu...tutashukuru kama ukipata wasaa wa kutupa maoni yako

  • @JohnAlais-v8l
    @JohnAlais-v8l 28 วันที่ผ่านมา

    Hi

    • @Sizmediatz
      @Sizmediatz 28 วันที่ผ่านมา

      Hello

  • @kassimjuma6151
    @kassimjuma6151 หลายเดือนก่อน

    Vipi kuhusu mauji ya wahindi na waarabu?

  • @user-zs4mo4ts1h
    @user-zs4mo4ts1h หลายเดือนก่อน

    amin inshaallah tuzidi kuwaombea na wapumnzike kwa aman kaaah hawa walio wauwa wana roho mbaya sana siwapendi hii rangi nyeupe bwana ina roho mbaya sana 😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @MwamvitaFaraji
    @MwamvitaFaraji หลายเดือนก่อน

    Samahan et shettani ametupwa hapa duniani kisa kalaniwa namungi???

  • @user-rw3fo4jb1z
    @user-rw3fo4jb1z 2 หลายเดือนก่อน

    wanao ibark Israel wameweka mbele dini

  • @masoudmussa4786
    @masoudmussa4786 3 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah

  • @safarikarisa5912
    @safarikarisa5912 3 หลายเดือนก่อน

    Nimependa sana simulizi hii

    • @Sizmediatz
      @Sizmediatz 3 หลายเดือนก่อน

      Ahsante sana @safarikarisa endelea kuenjoy simulizi zetu

  • @murandabrian
    @murandabrian 3 หลายเดือนก่อน

    God was behind it

  • @user-mg1pb1fj1f
    @user-mg1pb1fj1f 3 หลายเดือนก่อน

    Fire always

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 3 หลายเดือนก่อน

    DUNIANI SHETANI ATAKUSHINDA MUNGU KUPITIA NDANI YA MTU NA SIO NDANI YAO WENYEWE,, nielewe. MATAIFA YA MAGHARIBI YANAHUSIKA PAKUBWA

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 3 หลายเดือนก่อน

    Nina wasiwasi na Israel itakua niyawazungu wa magharibi ndio wameikalia kimabavu ardhi ya Palestine kaa mkijua mataifa ya Arabs mnapigana na mataifa ya magharibiiiiiiiii😭😭😭😭😭

    • @yustomwaisomania2587
      @yustomwaisomania2587 หลายเดือนก่อน

      Atakaye ilani Israel NAMI nitamlaani hiyo n ahadi ya Mungu mkuu muumba wa mbingu na nchi af unatakiwa ujiulize Mwarabu na mwisrael Nan anakalia ardhi ya mwenzie tena watapigwa Waarabu mpaka wakome

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 หลายเดือนก่อน

      @yustomwaisomania2587 sawa

  • @magrethobadia1782
    @magrethobadia1782 3 หลายเดือนก่อน

    Apige goti amuombe Mola wake msamaha,alimuweka kwenye mzani Mungu na muziki wake.

  • @DominicLeronko
    @DominicLeronko 3 หลายเดือนก่อน

    napenda sana kipindi hiki kwa sababu anipundsha sana

  • @budaaitkeli1747
    @budaaitkeli1747 4 หลายเดือนก่อน

    Nimememsoma shule

  • @user-xf8ug9vu2h
    @user-xf8ug9vu2h 4 หลายเดือนก่อน

    No one can get it done ✅ from the Israelites 🌍🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱

  • @isackphilipo9870
    @isackphilipo9870 4 หลายเดือนก่อน

    Duh ubarikiwe Sana mh Lisu wewe ni kusudi la Mungu ndani ya nchi yetu

  • @MalimaKabele
    @MalimaKabele 4 หลายเดือนก่อน

    Gud

  • @MwanahawaSwalehe-cu7dr
    @MwanahawaSwalehe-cu7dr 4 หลายเดือนก่อน

    So sad

  • @MalimaKabele
    @MalimaKabele 4 หลายเดือนก่อน

    Safi sana i'm inspired by him

    • @Sizmediatz
      @Sizmediatz 4 หลายเดือนก่อน

      Keep Going Mkuu, Lazima ndoto yako itatimia.

  • @user-mg1pb1fj1f
    @user-mg1pb1fj1f 5 หลายเดือนก่อน

    Fire fire hiii imeeenda kaka

  • @user-mg1pb1fj1f
    @user-mg1pb1fj1f 5 หลายเดือนก่อน

    Good sana wajna Salute👍

    • @Sizmediatz
      @Sizmediatz 5 หลายเดือนก่อน

      Shukran wajna

  • @user-sm4zf2lk2z
    @user-sm4zf2lk2z 5 หลายเดือนก่อน

    Na penda sana movie hizi zinanifundisha vitu vingi.nataka likes nzangu

  • @user-cb2di2cv7o
    @user-cb2di2cv7o 5 หลายเดือนก่อน

    Wakristo msitoke povu..mungu wenu na wawaidlam NI tofauti..na msimuliaji pia anasimulia Kwa mujibu wake si mujibu WA kiiislam

  • @malifezajrdealf8982
    @malifezajrdealf8982 5 หลายเดือนก่อน

    Duh!

  • @user-rz6wc5il9f
    @user-rz6wc5il9f 5 หลายเดือนก่อน

    Udini kibao mpaka kuskiliza kero

  • @josephrutebeza1003
    @josephrutebeza1003 5 หลายเดือนก่อน

    Nakama unaitwa mahali tarehe 13 kwenda kufanya maongezi yakazi ?? Je Nivizuri kwenda ama ??

    • @Sizmediatz
      @Sizmediatz 5 หลายเดือนก่อน

      Kaka Joseph habari za kazi...hongera na pole kwa majukumu, kuhusu tarehe 13 na mambo yake yanayojitokeza msingi wake ni imani tu, kama huamini kitu ni ngumu kukutokea hivyo hakikisha unaishi kwa misingi ya imani yako inakuambiaje

  • @Mamythegiant
    @Mamythegiant 5 หลายเดือนก่อน

    Jamani huyo Mudi aishie hukohuko asimkaribie kabisa Aisha wetu....loh!!! Hongereni kwa kazi nzuri jamani tunaomba muendelezo

  • @Sizmediatz
    @Sizmediatz 5 หลายเดือนก่อน

    Kwani naomba kuuliza, tamaa ya kufanya mapenzi ya mwanaume inatofautiana kutoka mwanaume mmoja kwenda mwengine au inakuaje??? Mwenetu wa kuitwa Mudi ni kama amepitiliza hivi... Amefika Dar kutoka Congo akaingia bar buguruni, kabla ya kukaa kwenye meza akaruka na dada poa chooni, alipomaliza akaondoka na mwengine wa kulala nae hadi asubuhi, na wakatianarudi kwake kwenye daladala akakutana na mtoto mwengine mzuri akamchombeza ili aende nae ghetto kwake..... Huyu ndiye mudy sasa..!!! Kama kuna mwanao ana tabia kama hizi hebu fanya kama una mtagga hivi..

  • @swatage6237
    @swatage6237 5 หลายเดือนก่อน

    Napenda sana hii simulizi

    • @Sizmediatz
      @Sizmediatz 5 หลายเดือนก่อน

      Ahsante sana kwa kufuatilia simulizi hii...poa usisite kusikiliza kisa kingine cha AISHA MADOLALI ni kizuri tunaamini pia utakipenda

  • @Sizmediatz
    @Sizmediatz 5 หลายเดือนก่อน

    Fazili anadondokea polisi baada ya kushiriki mauaji hata hivyo hajutii na anakiri kwamba hata ikitokea anawekwa mbele tena yule mzee anaweza kumuua tena.

  • @Sizmediatz
    @Sizmediatz 5 หลายเดือนก่อน

    Wakati mgumu anaokuwa nao Fazili baada ya kujua sababu zilizomfanya Baba yake ajiue unamfanya ashindwe kudhibiti hasira zake hasa walipojitokeza mbele yake wale ambao wamehusika kwenye msukumo wa baba yake kujiua.

  • @Sizmediatz
    @Sizmediatz 5 หลายเดือนก่อน

    Fazili anarudi kwao muheza Tanga akiwa amekosa mazishi ya mzee wake, swali analojiuliza ni kwa nini mzee wake amejiua. Anafika nyumbani kwa mzee wake na kukutana na ujumbe mzito unaoelezea kilichomfanya mzee achague kujiua....Fazili anaumia sana na kushindwa kuamini anachokisoma...

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 5 หลายเดือนก่อน

    Pia tuletee simulizi ya Mtoto wa Ibrahim aliyekusudiwa kuchinjwa kwa Mujibu wa Tourati ya Nabii Musa Maana Quran tukufu haipingi Tourat panapo majaliwa

  • @AbdulNassir-jk1jf
    @AbdulNassir-jk1jf 5 หลายเดือนก่อน

    Wamekuja kuleta ufukara TU 😂

  • @shabanmbajo191
    @shabanmbajo191 6 หลายเดือนก่อน

    ❤م❤ا

  • @shabanmbajo191
    @shabanmbajo191 6 หลายเดือนก่อน

    ❤م❤ا

  • @shabanmbajo191
    @shabanmbajo191 6 หลายเดือนก่อน

  • @user-kx9bl7rc5q
    @user-kx9bl7rc5q 6 หลายเดือนก่อน

    Dj afro movie

  • @AgatonyKivuko
    @AgatonyKivuko 7 หลายเดือนก่อน

    Mbona mnatoa maelezo baada yakutuambia nni maana yake

  • @porinikwetu4508
    @porinikwetu4508 7 หลายเดือนก่อน

    Kumbe Tundu lisu ni mwanasheria.

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu amrehemu alhaj iddi Amin alikua mwanamageuzi wa kiafrika aliye na maono ya afrika iliyo huru kabisa.

  • @jameskitambara9467
    @jameskitambara9467 7 หลายเดือนก่อน

    Haya Mambo ya kusimamia haki za Watanzania mtu anazaliwa nayo

  • @magrethobadia1782
    @magrethobadia1782 7 หลายเดือนก่อน

    Thanks kwa kutujuza bro, tunajifunza mengi kupitia Simulizi zako.

  • @tyronemofekeng7152
    @tyronemofekeng7152 7 หลายเดือนก่อน

    Amini alizushiwa tu. Mtu safi

  • @HamisiNalinga
    @HamisiNalinga 7 หลายเดือนก่อน

    Allah amrehemu shehe idd Amin

  • @muradialley6596
    @muradialley6596 7 หลายเดือนก่อน

    Zongo umetisha sn huyo ni mtu hatari sn, waziwa ya ngamia mmoja yatatosha kulisha watu wa jamii nzima Kwa wataomfuata

  • @user-ij6sh9mj7n
    @user-ij6sh9mj7n 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu mkubwa tubaliki wajazako

  • @ALIKHAMIS-un4fv
    @ALIKHAMIS-un4fv 7 หลายเดือนก่อน

    Allah awalipe kwa walichokitenda kwa dhulma dhulma ni viza vikubwa siku ya kiyama

  • @mustaphamatelefone-lc9pr
    @mustaphamatelefone-lc9pr 7 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏