Masha Allah kwa kukuwa na ufasaha wamaneno na kuzungumza na mtu hufurahi kuzungumza lakini swali langu nimoja nimoja kwa zamahizi hizi za mitandao tunanaambiwa tusiamini kila linalozungumzwa nauliza je hii ilmu yako niwapi umeisoma ili kuhakikisha unayoyazungumza insha'Allah.
Alihamdulillah! Waislamu ALLAH atupe nini tena? Kwa kutujaalia waja wanaotupa chakula cha Roho? Zaidi ya Ikhlaas ktk nyoyo za umma huu bora? Ee YARABI tuongoe na tuongoze tuwe umma bora hiyo siku yaummul haq.
❤ Alhamdulilah najivunia kuwa muislamu ya Allah subhana wataalah tuongoze waja wako kwa njia sahihi daim🤲
Jazakallah jazakallah jazakallah khairul jaza fidunyaa wal akhera
Allah akuhifadhi na Akupe mwisho mwem mwalim wetu
Masha Allah kwa kukuwa na ufasaha wamaneno na kuzungumza na mtu hufurahi kuzungumza lakini swali langu nimoja nimoja kwa zamahizi hizi za mitandao tunanaambiwa tusiamini kila linalozungumzwa nauliza je hii ilmu yako niwapi umeisoma ili kuhakikisha unayoyazungumza insha'Allah.
Mashaallaah mungu akupe umri mrefu
Kisa kizuri ,Allah akutunze
Mashallah
Mashaalah Allha akupe Kherri nyingi
Amin kwa sote
🙏🙏🙏
Alihamdulillah! Waislamu ALLAH atupe nini tena? Kwa kutujaalia waja wanaotupa chakula cha Roho? Zaidi ya Ikhlaas ktk nyoyo za umma huu bora? Ee YARABI tuongoe na tuongoze tuwe umma bora hiyo siku yaummul haq.
Mashindano ya pikipiki