NABII IBRAHIM NA KISA CHA KUMCHINJA MWANAE.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ค. 2021
  • Waislamu wanaposheherekea siku kuu ya eid ul adha huawa wanahusisha na kuchinja, jambo ambalo linaelezwa na masimulizi ya dini hiyo kwamba asili yake ni kutoka kwa Nabii Ibrahimu ambaye aliota anamchinja mwanae wa pekee.
    #eiduladha #Sikukuu #Unabii

ความคิดเห็น • 39

  • @martinahzaina9115
    @martinahzaina9115 ปีที่แล้ว +3

    Mashalla nzuri sana simulizi hilu,,,, mwenyez mungu atujalie subra n uvumilivu...kama Ibrahim inshallah

  • @zulfajuma8394
    @zulfajuma8394 ปีที่แล้ว +2

    Nimeipenda sana, molah atujaalie uvumilvu wenye subra mungu akutangulie ewe ibrahimu

  • @sabitinnamziray9908
    @sabitinnamziray9908 2 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah

  • @bintmwarema3915
    @bintmwarema3915 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah

  • @user-ye4ue8cy7w
    @user-ye4ue8cy7w 7 หลายเดือนก่อน

    Masha allah

  • @zulfajuma8394
    @zulfajuma8394 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah, eeh molah eeh mollah ya allah ya allah moyo wangu umekutoha wewe pamoja mitume wako

  • @user-cb2di2cv7o
    @user-cb2di2cv7o 4 หลายเดือนก่อน

    Wakristo msitoke povu..mungu wenu na wawaidlam NI tofauti..na msimuliaji pia anasimulia Kwa mujibu wake si mujibu WA kiiislam

  • @abaskisena1691
    @abaskisena1691 ปีที่แล้ว +1

    Mashalaaa

  • @emorutnicholas1893
    @emorutnicholas1893 8 หลายเดือนก่อน +3

    Waislamu ni waongo sana!! Isaka ndo alijaribiwa kutolewa kama dhabihu!!!

    • @mohamedmanga8391
      @mohamedmanga8391 8 หลายเดือนก่อน +1

      We elewa utakavyo, lakini ujuwe kitabu chenu kilibadilishwa maneno kwa maslahi ya waandishi,

    • @hadimznz
      @hadimznz 8 หลายเดือนก่อน

      Kwenye kisa hiki, Kuna Islamic version, na christians version, christians version wana claim kuwa Isaka ndie aliyetakwa kuchinjwa, na kwa upande wa Islamic version wana claim kuwa Ismail ndie aliyetakwa kuchinjwa, suala ni nani aliyetaka kuchinjwa na kwann alitaka kuchinjwa, mm ni muislam, ni kuwa kwanza Sara Esmael ni mtoto wa kwanza wa Ibrahim aliyeza na Suria yake wake, Hajira, Ibrahim aliona tunu kupata mtoto, Sara alikuwa tasa wakati huo, mapenzi yake kwa mwanawe yalikuwa makubwa kuliko ya Mungu, ndipo Mwenyezimungu akampa mtihani kupitia kwenye ndoto, wakati huo Ishaka bado hajazaliwa, ndoto ilimuelekeza kuwa amchinje mwanawe wa peke, Ismael, Ibrahim alipopasi mtihani huo, ndipo malaika walipokuja na kumtabiria Sara nae kuwa atapata ujauzito, alipozaliwa Ishaka ndipo beef likaanza kati ya Sara na Hajira, koo zikagawika, upande wa Hajira ndio wakawa waarabu na hatimae akaja Mtume wetu Muhammad SAW, na kwa upande wa Ishaka ndipo walipotokea waesrael, hao waliomkana Yesu na jumuia kwa kwamujibu wa Bibilia, ndio maana mgogoro wa Esrael na Palestine mpaka Leo unaendelea, kwa upande wa Wakristo wao hawahusiki, kwa maana nchini Esrael Wakristo ni asilimia 2% huko Esrael huitwa wazushi, pamoja na mgogoro wote huo wa ugomvi, waislam ni asilimia 14 ndani ya Esrael na Wakristo ni asilimia 2, dini ya wayahudi ni Judaism, ni wazi kuwa kwenye Bibilia kulitiwa mkono na kupotosha ukweli, ukweli ambao wayahudi wenyewe wanaujua, ndio maana wakaukana ukristo, uliotokana na myahudi mwenzao.

  • @priscasaid4600
    @priscasaid4600 10 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani iscka ndio alitaka kuchinjwaa isack mama yake Sara mke Halali wa ibram

  • @johnmushi5836
    @johnmushi5836 9 หลายเดือนก่อน +1

    Lik

  • @amsodewiz4901
    @amsodewiz4901 8 หลายเดือนก่อน

    Allah Akbar

  • @amsodewiz4901
    @amsodewiz4901 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @amsodewiz4901
    @amsodewiz4901 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @user-kx9bl7rc5q
    @user-kx9bl7rc5q 6 หลายเดือนก่อน

    Dj afro movie

  • @user-yv7ij4zh4k
    @user-yv7ij4zh4k ปีที่แล้ว +1

    Muhammad alikuwa muongo sana aisee. Ibrahim wa Biblia wala hajawahi kufika Makkah na wala haijui

  • @sundaystanley5322
    @sundaystanley5322 7 หลายเดือนก่อน

    Wacheni uongo

  • @JohnAlais-v8l
    @JohnAlais-v8l 12 วันที่ผ่านมา

    Hi

  • @virginiashikali4976
    @virginiashikali4976 ปีที่แล้ว +1

    Kwa Islamic Abraham alitaka kutoa Isamael Kaa dhahuu na ki kristo ni mwanae Isaac?

    • @SimuliziZinaishi
      @SimuliziZinaishi  ปีที่แล้ว

      Christian wanaamini Ibrahim alitaka kumtoa Isack na Islam wanasema alitaka kumtoa Ismail...

    • @noelkomba5270
      @noelkomba5270 8 หลายเดือนก่อน

      Na sio sisi tu wayahudi kwenye Torah wanaamini is isac ndio alitaka kutolewa sadaka

  • @user-rz6wc5il9f
    @user-rz6wc5il9f 4 หลายเดือนก่อน

    Udini kibao mpaka kuskiliza kero

  • @shadrickmwanjabala4681
    @shadrickmwanjabala4681 ปีที่แล้ว +3

    Aaaaaa mnatuchosha mala isac mala Ismail tumwekewe nani maana Ismail kwa Abraham hakuwa mtoto wa ahadi kwaiyo asingeweza kujalibiwa kwa mtoto asie kuwa wa ahadi ila isack ndoalikuwa mtoto wa ahadi

  • @mwassamwassa7264
    @mwassamwassa7264 ปีที่แล้ว

    Uongo mtupu,

    • @zulfajuma8394
      @zulfajuma8394 ปีที่แล้ว +1

      Kama unaona niuongo basi nyamaza na moyo wako

  • @nasraibrahim144
    @nasraibrahim144 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah

  • @user-ye4ue8cy7w
    @user-ye4ue8cy7w 7 หลายเดือนก่อน

    Masha allah

  • @user-tb4hs1cp1h
    @user-tb4hs1cp1h 11 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @TatuOmary-st6sj
    @TatuOmary-st6sj ปีที่แล้ว

    Mashallah