Assalamu Aleykum warahmatullah wabarakatu Alhamdhulillah ALLAAHUMMA SALII WA SALIIM ALA SAYYIDINA MUHAMMAD WALA ALIHI WA ASS HABIHI WA SAALAMU Allaah akupe Umri mrefu na husnul hitham yaa rabb Tunapata faidha Sanaa mashaAllaah Tabarak Allaah na darsa zako sheikh Othman maalim Allaah Asituharamirishie kwako yaa rabb
Natamani sana tafadhali sikukadilii kifo hila naogopa use hondoka duniani bila kutuachia faili la kisomo chako. Maana napenda kumsikiliza sana shekh saad ghamd
Assalaam aleykum, ninazipenda sana darsa zako shekh Hothman, Ila uwa nafurhia zaidi unaposoma qur'an. Natamani ungekuwa na families lako la qur'uan hili tuwe tunasikiliza unavyosoma. InshaAllah
Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh kama hii channel itasoma ujumbe wangu naomba mumwambie shekh othoman malimu atutolee kile kisa cha wana wa Israel kuhusu ngombe wekundu na sanduku la wabuq tafadhi
Namuomba mungu hakupe humri mrefu hirituzidi kupata darasa kutoka kwako
Mashallah mungu akubariki sheikh wetu
Assalamu Aleykum warahmatullah wabarakatu
Alhamdhulillah
ALLAAHUMMA SALII WA SALIIM ALA SAYYIDINA MUHAMMAD WALA ALIHI WA ASS HABIHI WA SAALAMU
Allaah akupe Umri mrefu na husnul hitham yaa rabb
Tunapata faidha Sanaa mashaAllaah Tabarak Allaah na darsa zako sheikh Othman maalim
Allaah Asituharamirishie kwako yaa rabb
Mashaallah mola akuzidishie umrii na afya sote inshaaAllah. Napendaa mno darasa zako.
Masha ALLAH, darsa nzuri Sana ALLAH akuhifadhi sheikh othman
Mashaallah kila heri juu yko ndgu ktk iman
Mwenyezi mungu akujalie umri shekh wangu ili uzidu kutupa elimu ya kujua kuishi ndani ta hii dunia
Aaaamin inshaalah kwa sote
Nakupenda sana kwa ajili ya Allah Othman Maalim unatupa vutu vitam hadi nyoyo zina injoi kwa kweli mashaallah mungu akuzidishie Aaaamin.
Mungu akuepushe na fitina za walimwengu
Allah akuongezee ktk mizani yoko kwa kutuelimisha
Mashallah mungu hukupe humri mrefu wenye kumtumikia yeye
Allaah akulipe ujira ulio mwema na sisi wasikilizaji pia
11
1
Allah akupe umri mrefuu shekh othman inshaallah
Natamani sana tafadhali sikukadilii kifo hila naogopa use hondoka duniani bila kutuachia faili la kisomo chako. Maana napenda kumsikiliza sana shekh saad ghamd
Masha Allah shekh wangu kwa kweli mawaidha lazima mtu abadike kwani mawaidha yana gusa nyoyo
Allah akuluzukuu shekh na akupe radhi zake inshallah
Allah akupe wepesi na atajaaliye na sisi mioyo mema
Masha Allah, elmu muhimu
May God give you long life and good health
Mashallah mawaidha mazuri shekh, shukran
Mashaaala h
Mashallah
Mashallha may Allah protect you sheikh
Othman maalim Allah akuhifaz
Mashaa alaah
Mashaallah shehe mwenyezi mungu akuzidishie kutuelimishe kila hatua zako
Mashaa Allah, Subhana Allah, Alhamdulillah, Barakallahu fiyk yaa Shaikh Uthuman.
Love you ❤❤❤❤❤😂😂😂🎉🎉😮😮😮😅😊
Wacha jokes
Mashaallah
Masha Allah
MashaAllah tabara Rahman darsa zako. Sheikh zina tupa furaha kubwa moyoni
Allah akuzidishiye elm na umri wenye Afya
Allah akutuhifadhie mwalim nakiongozi wetu
Mashaallah shekhe m/mungu akupe umri mrefu
Maashaallah ❤
Allah akuhifadhi ostadhi.
Masha Allah shekh wangu
Allahamudillh
Alhamdulillah
❤
MashaAllah ukisoma quran siombi umalize
MashaAllah
❤❤❤❤❤❤
Assalaam aleykum, ninazipenda sana darsa zako shekh Hothman, Ila uwa nafurhia zaidi unaposoma qur'an. Natamani ungekuwa na families lako la qur'uan hili tuwe tunasikiliza unavyosoma. InshaAllah
Hata mimi napenda anavyosoma Quran
Maasha-Allah
Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh kama hii channel itasoma ujumbe wangu naomba mumwambie shekh othoman malimu atutolee kile kisa cha wana wa Israel kuhusu ngombe wekundu na sanduku la wabuq tafadhi
Insha'Allah
Pia mimi ningependa kusikiza kisa hiki, lakini naona ngombe ni wanjano.
@@hamaditoyya8311
Hicho kisa kipo
Tiyari
th-cam.com/video/3LOokTx8r0k/w-d-xo.htmlsi=nfXuB6_q8_bYTRkh
Alhamdullah
Asalam aleykum 🎉🎉
❤❤❤
Sukran
Shu kur an i
😅😅❤❤❤❤🎉🎉😂😂🎉😢😢😢😮😅😊
Lakini othman madrasa tumefundishwa shirk haisameheki
Tufafanulie kuhusu hiyo shirk gani nenda kasome baadae ujibu masheikh
@kadunduli- Mashallah
Mashaallah
Mashaallah