Part 1_USHUHUDA WA MTANZANIA ALIYEKUFA NA KUFIKA MBINGUNI KISHA KUREJEA DUNIANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.....
    Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
    #ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

ความคิดเห็น • 342

  • @magrethedson7445
    @magrethedson7445 3 ปีที่แล้ว +42

    Mungu baba, wewe uliyetupenda upeo hata kumtoa mwanao Yesu Kristo aje atukomboe, tusaidie tuwe warithi pamoja na mwanao. Tupe kukupenda wewe na kukutumikia. Na utupe neema ya ushindi wa dhambi.

    • @rashidjuma6967
      @rashidjuma6967 3 ปีที่แล้ว +2

      Mungu hana mtoto ingia katik uislam

    • @deboramasui6799
      @deboramasui6799 ปีที่แล้ว +1

      Hayajakutokea ndo maana

  • @sheillahwairai4691
    @sheillahwairai4691 3 ปีที่แล้ว +6

    Oh Jesus! Thanks for the testimony may God bless so much. Glory be to God. Heaven is real may everyone seek for forgiveness 🙏🙏

  • @avelinamusungu8142
    @avelinamusungu8142 3 ปีที่แล้ว +10

    Ni kweli ukifika hatua ya kufa nikipindi kigumu Sana kila kitu ulichoona cha thaman kwako ikifika siku hiyo hutokumbuk marafik ndugu wazazi n.k ndipo unakumbuka kumbe kuna Mungu ? Nilipitia mm kipind hicho ilibaki robo tu nife kaka unavoshuhudia nikweli Mana da?😫😫 E Yesu ulie niokoa katika mauti nijalie kiumbe wako nisije kukusahau Bali niishi katika njia yako .Amen

  • @queenesther8505
    @queenesther8505 ปีที่แล้ว +3

    What this gentleman is saying is true i have listened to alot of near death experiences and that is exactly what happens.😅

  • @villagerabroad7703
    @villagerabroad7703 3 ปีที่แล้ว +16

    Dakika za mwisho, yesu alimsamehe yule mwizi pale msalabani na aliishi maisha ya kuiba. Someni neno/biblia zenu to know the word. This was his testimony and I am not questioning its validity but rather pointing out the obvious kuwa tunaokelewa kwa Grace (Neema I think). 2010 I had a vision niliapewa tour ya mbingu and nikauliza if nitakwenda kule but nikaambiwa it depends if I live right then nikarudishwa kwenye mwili wangu. Kuna watu wameishi right all their lives but died in sin at the last minute and the opposite is true. Mungu atupe wote neema ya kuuona ufalme wake. Asante kwa ushuhuda mzuri.

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  3 ปีที่แล้ว +4

      Ni kweli kabisa lakini usitembelee Neema ya mwenzako.Mfano rahisi kuna watu wawili wamehukumiwa miaka 10 gerezani lakini mmoja ametoka kwa msamaha wa Rais mwingine kabaki je!unaweza kuhoji hapo?!

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  3 ปีที่แล้ว +1

      Amen, barikiwa sana, nimefurahi kusikia hivo

    • @villagerabroad7703
      @villagerabroad7703 3 ปีที่แล้ว +2

      @@PromovertvTz Nakubaliana na wewe 100% thats why I said its by Grace and nothing else

    • @bmmtv1753
      @bmmtv1753 3 ปีที่แล้ว +1

      Amen

  • @bettynino7354
    @bettynino7354 3 ปีที่แล้ว +15

    We love you jacktan thanks for bringing stories that has opened our eyes.

    • @PROMOVERTVLive
      @PROMOVERTVLive 3 ปีที่แล้ว +1

      I love you too, thanks for following

    • @annanduku2835
      @annanduku2835 3 ปีที่แล้ว +2

      Wapi wewe hapo alizimia tuu hakufa

  • @AkramIbrahim-m6x
    @AkramIbrahim-m6x 17 วันที่ผ่านมา +1

    SS Waislam Ina Maana Mungu Hatupendi Tukifa Tunakufa Mazima Wacheni Uwongo Mnapata Dhambi Kwa Kusema Uwongo

  • @samwelaronbarabarabarabara5997
    @samwelaronbarabarabarabara5997 3 ปีที่แล้ว +19

    Ushauri wangu kuwako mtangazaji, Ukishamaliza introduction ya ushuhuda na kumruhusu mgeni wako kuanza kutoa ushuhuda wake, kwa ushauri tu ni vyema ukamuacha atoe ushuhuda wake wote wa siku hiyo amalize bila ku interact na maswali mengi katikati ya ushuhuda, maana unampotezea flow ya ushuhuda, ni bora ukaandika maswali yako yote wakati akishuhudia kisha akishamaliza ushuhuda wake, unaanza kipindi cha maswali kulingana na ushuhuda wake, maana akiwa kwenye flow ya ushuhuda ukiingiza maswali anatoka kwenye flow yake na kuanza line nyingine ambayo haikuwepo kwenye flow yake, akisha maliza ushuhuda ni wakati mzuri wa maswali maana anakuwa amepitia point zake zote za msingi kuliko kumfanya aanze kuwaza jinsi ya kujibu maswali katikati ya ushuhuda, Thanks alot bro take it or leave it.

    • @glorynguma3593
      @glorynguma3593 3 ปีที่แล้ว +2

      Jmn wala hata haulizi maswali ki hivyo unavyosema ww anauliza kwenye sehemu ya umuhimu

  • @AkramIbrahim-m6x
    @AkramIbrahim-m6x 17 วันที่ผ่านมา +1

    Nawahurumieni Sn Nyie Ndugu Zetu Mnajidanganya Sn Mpaka Mnakera Yaani Mnauwongo Keshi Nyie Mtaingi Motoni Fiinaar Jahham

  • @mwambakibucheche735
    @mwambakibucheche735 3 ปีที่แล้ว +4

    Huyu kijana atakomboa wengi sana watakao msikiliza kwa umakini na kuamini katika kiristo nikiwemo namimi asanteni sana Mungu atujaalie ss watoto wake tupate kumtumikia kwa nguvu zote na akili zetu zote,Ameen.

    • @shukujaibu7143
      @shukujaibu7143 ปีที่แล้ว

      Amini kweli kabisa tuwe 'na nguvu yake Mungu

    • @shukujaibu7143
      @shukujaibu7143 ปีที่แล้ว

      Ni kwa vile alikuwa 'na Mungu

  • @likatiabunuas2701
    @likatiabunuas2701 3 ปีที่แล้ว +27

    Muwe makini na hizi shuhuda za aina hii. Wengi watakuja kuwapotosha.. amekwenda wapi na kurudi?. Mtafakari sana

    • @isaacochieng8460
      @isaacochieng8460 3 ปีที่แล้ว +3

      Kuna daut gani kwani

    • @saraakumu3452
      @saraakumu3452 3 ปีที่แล้ว +5

      Kwetu Kuna mtu alikufa kwa siku moja aliporudisha fahamu ulimi n mzito haezi ongea chochote ad wa leo kifo n fumbo kwetu iwapo utakufa na kurejea mungu haezi kubali urudi kufafanulia watu siri yake

    • @emmanuelgodwinmollel3714
      @emmanuelgodwinmollel3714 3 ปีที่แล้ว +3

      @@saraakumu3452 hahahha hujajua ktu kuhusu Mungu. Kwan huyo aliyeshindwa kuongea unajua siri aliyoona. Au pengine alishindwa kwa kuwa ameshaambiwa hatma yake na ni mbaya.

    • @emmanuelgodwinmollel3714
      @emmanuelgodwinmollel3714 3 ปีที่แล้ว +1

      Likati Abunuasi... inatosa ww kucomment hvo

    • @saraakumu3452
      @saraakumu3452 3 ปีที่แล้ว +2

      @@emmanuelgodwinmollel3714 c mmoja wala wawili walikufa wakafufuka bt they're not talking

  • @danielkiponda3419
    @danielkiponda3419 3 ปีที่แล้ว +1

    Asnte mungu kwakutukumbusha ukuu wako kupitia wenzetu nakuomba unikumbuke ktk ufalme wako Amen

  • @asiasalim4634
    @asiasalim4634 3 ปีที่แล้ว +4

    Pole kaka mungu ni mwema sijawahi amini wengi wao kwa huyu hakika ni kweli

    • @nellychamba1507
      @nellychamba1507 ปีที่แล้ว

      yesu mwenyew tangu aende safari ajawahi rudi maana muda wake anasema bado, na yeye ndie aliye yafanya yote kuwa sahihi,inakuwa mwanadamu utangulie fufuka kabla yake??? No! Hata shetani hanao uwezo wa kutengeneza ndoto au miujiza ,binafsi naikataa hiyo

  • @AkramIbrahim-m6x
    @AkramIbrahim-m6x 17 วันที่ผ่านมา

    Kwa Vile Mnaimani Kuwa Yesu Kafa Halafu Amefufuka Basi Na Nyie Mnakufa Mnafufuka SS Waislam Alhamdulillah Tukifa Tumekufa Loo Jamaal Muongo Sn

  • @nalulemajorine8917
    @nalulemajorine8917 3 ปีที่แล้ว +7

    Brother try to use so that even us who don't know swahili can understand coz I seems that testimony is so massive. Heaven is real.

  • @shukujaibu7143
    @shukujaibu7143 ปีที่แล้ว +1

    Wewe Yesu usiniache nishike popote unizingile maadui asinipate katika jina lako Yesu

  • @PauloKatelanya
    @PauloKatelanya ปีที่แล้ว +1

    Mungu nimwema hakika anatenda kweli ushuhuda ni kweli ubalikiwe jacktan

  • @rosemwangome8996
    @rosemwangome8996 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ashkuriwe ,aki kama yeye hajapanga ata silaha yoyote inuke kiasi gani haitafaulu maishani

  • @petermageta4987
    @petermageta4987 3 ปีที่แล้ว +1

    Kusema kweli ndugu jactan umekuwa wa baraka kwangu sana.ila naomba uwe makini sana maanake shetani hafurahishwi na namna ambavyo mambo yake yanawekwa hadharani, kwa hiyo atapanda watumishi wake kuja kushuhudia uongo uwe makini you are warned stay blessed

  • @stellaakaro1150
    @stellaakaro1150 3 ปีที่แล้ว +4

    Asante Sana mtumishi

  • @mercyjesus6637
    @mercyjesus6637 3 ปีที่แล้ว +1

    Oo oh Aleluuuya mme wa Vick barikiwa mnoo kW shuhuda nzr Enginear

  • @slydianamulavu5763
    @slydianamulavu5763 3 ปีที่แล้ว +6

    It might be true,I also had a dream of going to heaven twice and back, so I don't question the guy

    • @nalulemajorine8917
      @nalulemajorine8917 3 ปีที่แล้ว +2

      Same applies to me dia. But let's us not give up to praise en worship him. Jesus is our source of everything we always seek for. I will never get tired of saying God thank you for everything thing you always give us without ceasing en asking for any perry. Amen

  • @EgdiusJohakim
    @EgdiusJohakim 3 หลายเดือนก่อน +1

    japo unatukumbush uwezowamungu ulivyo jalibu kkumbuka mungu ataniw

  • @sabrinalazaro950
    @sabrinalazaro950 ปีที่แล้ว +1

    Promover kazi zenu nzuri sana tunabarikiwa sana kwa shuhuda zenu.

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 3 ปีที่แล้ว

    Amen asante Mtumishi kwa ushuhuda wako maana unabariki

  • @dinairenge
    @dinairenge 10 หลายเดือนก่อน +2

    Amen napokea

  • @rebeccalaizer4066
    @rebeccalaizer4066 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu tusaidie kuishi maisha matakatifu tuwe warithi pamoja nawe.

  • @eliemugisa5118
    @eliemugisa5118 3 ปีที่แล้ว +2

    Ukweli kabisa

  • @essaumabigi669
    @essaumabigi669 3 ปีที่แล้ว

    Mungu atutie nguvu kwakwel kazi bado ipo kubwa tuzidi kumtumikia Mungu
    #kaka #Jacktan #Mungu #Akubariki 🙏🙏🙏

  • @jacklinejoseph4060
    @jacklinejoseph4060 3 ปีที่แล้ว +2

    𝐡𝒐𝒏𝒈𝒆𝒓𝒂 𝒎𝒕𝒂𝒏𝒈𝒂𝒛𝒂𝒋𝒊 𝒉𝒂𝒖𝒏𝒂 𝒑𝒂𝒑𝒂𝒍𝒂 𝒌𝒂𝒕𝒊𝒌𝒂 𝒌𝒖𝒉𝒐𝒋𝒊....𝑴𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒂𝒌𝒖𝒕𝒂𝒏𝒈𝒖𝒍𝒊𝒆 💪💪

  • @millicentayangokunting3728
    @millicentayangokunting3728 3 ปีที่แล้ว +5

    Safi sana kaka jactan

  • @SamuelkisavaMutinda
    @SamuelkisavaMutinda ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni. Mkuu

  • @ey3022
    @ey3022 3 ปีที่แล้ว +4

    unasema bila kubatizwa huingii mbinguni vipi yule mwizi pale msalabani hakubatizwa Luka 23:42-43
    [42]
    Kisha akasema, Ee Yesu, nikumbuke utakapoingia katika ufalme wako.
    Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi.
    tusome Bibilia na tuamini NENO LA MUNGU sio ushuhuda wala mafuta ya upako 😎

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  3 ปีที่แล้ว +1

      Ni kweli kabisa lakini usitembelee baraka za mwenzako.Mfano rahisi kuna watu wawili wamehukumiwa miaka 10 gerezani lakini mmoja ametoka kwa msamaha wa Rais mwingine kabaki je!unaweza kuhoji hapo?!

    • @ey3022
      @ey3022 3 ปีที่แล้ว +1

      @@PromovertvTz sawa sawa asante kwa jibu pia hongera kwa shuhuda hizi huwa zinajenga Mungu akubaliki

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  3 ปีที่แล้ว +1

      @@ey3022 Amen

    • @innocenciamalyawere1503
      @innocenciamalyawere1503 3 ปีที่แล้ว

      Usikariri mistari mi wili ukatembea nayo

    • @ey3022
      @ey3022 3 ปีที่แล้ว

      @@innocenciamalyawere1503 nisikariri mistari #miwili #nikatembea nayo?? #Kwani mistari #miwili sio #NENO la MUNGU ? #hata Hii #Nisiikariri YOHANA 3:16-17
      [16]
      Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
      [17]
      Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye.
      hata hiyo nisiikariri si ndio mpendwa?
      #hata mstari #mmoja Ni #NENO LA #MUNGU CHA MSINGI NENO LIWE NDANI YAKO
      Wakolosai 3:16
      [16]
      #Neno la Kristo na #likae kwa wingi #ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.

  • @josephpopoli2303
    @josephpopoli2303 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana kk

  • @DiorKenneth-oy6ut
    @DiorKenneth-oy6ut ปีที่แล้ว +1

    God iis good

  • @tuzakavera534
    @tuzakavera534 3 ปีที่แล้ว +7

    Yesu ni muweza wa yote

  • @josephinemanyama5329
    @josephinemanyama5329 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu yupo na anatupenda

  • @samwelyona63
    @samwelyona63 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu
    Akubark

  • @danielndusilo4723
    @danielndusilo4723 3 ปีที่แล้ว +6

    Uwongo unaitwa ushuhuda siku hizi kazi ipo.

    • @ruu6592
      @ruu6592 3 ปีที่แล้ว

      Nimecheka

  • @sylviah9666
    @sylviah9666 3 ปีที่แล้ว +6

    😂😂😂😂😂😂😂there's a difference between dying and fainting! I only trust in the Lord! Hayo ya kufa na kuingia kwa ulimwengu mie sipo!

    • @lawrenceleonardassenga4457
      @lawrenceleonardassenga4457 3 ปีที่แล้ว +1

      Huo ndio ukweli kabisa, aache kutufanya punguani

    • @sylviah9666
      @sylviah9666 3 ปีที่แล้ว +1

      @@lawrenceleonardassenga4457 Siku hizi everybody is trying to be famous! So they use every means!

    • @lawrenceleonardassenga4457
      @lawrenceleonardassenga4457 3 ปีที่แล้ว +2

      @@sylviah9666 Kuna vitu vya kutafutia umaarufu lakini si kijichuria kifo

    • @hawababuu4350
      @hawababuu4350 3 ปีที่แล้ว +1

      Huyu ata asituchanganye kabsa mana naona yuanimalizia wifi yangu bure.. This man fainted akaamka after 10hours ati alikufa akafufuka mutaacha mchezo 😀😀

  • @ruthmuja7792
    @ruthmuja7792 หลายเดือนก่อน

    Mungu Yupo hakika 😮

  • @angelanyororo2472
    @angelanyororo2472 3 ปีที่แล้ว +1

    Acheni uongo mnajiandalia hukumu wenyewe hakuna aliye wahi kufa na akafufuka isipokua Kristo Mwenyewe tajirii katika maandiko alisisitizwa hilo yaani haiwezekani

  • @marthajackson8667
    @marthajackson8667 2 ปีที่แล้ว +1

    usi hukum usije ukahukumiwa kama huwamini bora ukakaa kimiya mungu simwana dam kama tunavyo fikilia. ubalikiwe kaka

  • @davidwambura5915
    @davidwambura5915 3 ปีที่แล้ว +3

    Amen ushuhuda unajenga Sana, tunaomba muendelezo halaka iwezekanavyo kaka jacktani.

    • @zuhuradanny6307
      @zuhuradanny6307 3 ปีที่แล้ว

      Ushuhuda mzuri,unajenga kwakweli

    • @isaacochieng8460
      @isaacochieng8460 3 ปีที่แล้ว

      Watu wa Mungu tujitahidi kumsaport kwa fedha,maombi,mali bwana yesu wa jactani jamn ukweli ubarikiwe sana

  • @AkramIbrahim-m6x
    @AkramIbrahim-m6x 17 วันที่ผ่านมา

    Huwa Mnalipwa Au Mnajitolea Na Mnaokufa Na Kufufuka Ni Nyie Tu Wakristo Mbona Sijawasikia Waislam Wanakufa Wanapaa Halafu Wanudi Jamani Muache Uwongo

  • @violachelangat7411
    @violachelangat7411 3 ปีที่แล้ว +1

    This story is true,, i hope to see part 2,

    • @oswaldmushani2432
      @oswaldmushani2432 3 ปีที่แล้ว

      Jeee? Huyo aliekuwa anacheka ambae alikuwa pemben hakumuuliza juwa we na??????

  • @yohanamayala2502
    @yohanamayala2502 3 ปีที่แล้ว +1

    Wadanganye wasio soma neno la mungu mchezeeni mungu kama shemeji yenu

  • @rosepeter8996
    @rosepeter8996 3 ปีที่แล้ว +2

    huyu kijana anafungua akili yangu kwa ushuda wake sana🤔kweli dunia mapito tujirekebishe ili tuje kuuona ufalme wa mungu.

  • @dolyjinejohn9755
    @dolyjinejohn9755 3 ปีที่แล้ว +6

    What next brother Jacktan?? We want to hear the coming episode

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 ปีที่แล้ว +1

    wow, anaongea kama wameru hapa kenya

  • @FrediMolell-ql9sg
    @FrediMolell-ql9sg 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nikweli ama mungu akubariki atakufatena

  • @mawazobayndulwa1909
    @mawazobayndulwa1909 3 ปีที่แล้ว +2

    Asant sana nikonarudiliya rudiliya kwa mahana hushuhuda huu unajenga unafuza hacha niseme hasant kwa mtumishi wa Mungu Eric Mungu hakubariki sana natena natowa shurkani kwa mtumishi wa Mungu Jacktan Asant

    • @PROMOVERTVLive
      @PROMOVERTVLive 3 ปีที่แล้ว

      Asante kushukuru na kutazama

  • @moshantoj
    @moshantoj 3 ปีที่แล้ว +4

    Kwenye Biblia hakuna andiko linalosema mtu akifa anaenda mbinguni. Ila, huwa wanalala kaburini wakingoja yesu atakaporudi kufufua. Ikiwa watu watakuwa wanaenda mbinguni wakifa, basi hakuna haja ya yesu kurudi. Watu wa Mungu mujihadhari sana na ushuhuda siyo zote ni za kweli

    • @neemamjarifu3430
      @neemamjarifu3430 3 ปีที่แล้ว +2

      Kweli kabisa ndg ,yaani ukweli ni kwamba mbinguni hatutaenda na miili hii ya kufa ,yaani YESU atakaporudi atabadili hii miili ya kufa kisha tutavikwa miili ya kutokufa na ndipo tutaenda mbinguni but hii miili tuliyo nayo ina asili ya dhambi kwa hivo tusidanganyike jamani.

    • @moshantoj
      @moshantoj 3 ปีที่แล้ว

      @@neemamjarifu3430 Asante sana ndugu. Ni vile tu watu hawapendi kusoma biblia

    • @katecathlyne4148
      @katecathlyne4148 3 ปีที่แล้ว

      We have differnt heavens...read the story of Lazarus and the rich man in the bibble

    • @moshantoj
      @moshantoj 3 ปีที่แล้ว

      Don't misinterpret the bible the way you want. Reread those chapters very well

    • @ruthstephen2791
      @ruthstephen2791 3 ปีที่แล้ว

      Duh!! Kuna kitu mnashindwa kuelewa ndg zng. Hayo huwa ni maono ambayo lazima upitie mahali Mungu anataka akupitishe either mbinguni au jehanamu.

  • @hhhghyghgg8640
    @hhhghyghgg8640 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameen umenitia moyo sana

  • @mirriamndunge9444
    @mirriamndunge9444 3 ปีที่แล้ว +5

    I confirm this as a true story

  • @fistonntakarutimana5387
    @fistonntakarutimana5387 3 ปีที่แล้ว +3

    Ongo huo 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @finiasezra7072
    @finiasezra7072 3 ปีที่แล้ว +2

    Mtaongopea watumishi adi lini umesoma wapi mtu akifa anaenda mbinguni? Mura oborongo nobobibi

  • @valentinomethod6680
    @valentinomethod6680 3 ปีที่แล้ว

    Avelina musungu umeandika ujumbe mzuri sn ni kweli kbs ulichosema maneno mazuri an1barikiwa mpendwa

  • @marthalasoi8253
    @marthalasoi8253 3 ปีที่แล้ว +5

    Mm pia nimeshuhudia huku kwetu kuna dada alifariki for 5days na alipofufuka ulimi wake ulikuwa mzito sana. Alikaa for 13yrs but nasikitika sana alifariki mwaka jana

    • @benjoliga1136
      @benjoliga1136 3 ปีที่แล้ว +1

      Hizo 5 days ni alizimia tu sio kwamba alikufa, kifo ni kutenganisha mwili na roho/uhai/uwezo wa kuishi
      Hiyo miaka 13 baadaye alipokufa ndio alikufa haswa

    • @christinajmnkenyi724
      @christinajmnkenyi724 3 ปีที่แล้ว +1

      Wengine wanachukuliwa kwa nguvu za giza msisahau kwamba kuna vita ya kiroho ktk ulimwengu wa kiroho ,hamna anaekufa na kurudia maisha ya duniani tena.

    • @christinajmnkenyi724
      @christinajmnkenyi724 3 ปีที่แล้ว +1

      Someni maandiko matakatifu vizuri ndugu zangu tunaangamia kwakukosa maarifa.

    • @hassanbinally7127
      @hassanbinally7127 3 ปีที่แล้ว

      Huyo hakufa alichuliwa tu na wachawi

    • @mwinjilistmariafalagha8328
      @mwinjilistmariafalagha8328 3 ปีที่แล้ว +1

      Hasan kwaiyo wachaw wanaeza kuchuku Lkn Mungu hawez au?

  • @maryanmohamed3615
    @maryanmohamed3615 3 ปีที่แล้ว +2

    Siamini

  • @costamakenebgmalisa3872
    @costamakenebgmalisa3872 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen barikiwa Sana mtumish kwr Maisha uliyoish Dunian ndo yanaamua unaend wp

  • @samwelmbahekile8565
    @samwelmbahekile8565 3 ปีที่แล้ว +2

    He is really spiritually saved

  • @thebibleandthebibleonly8602
    @thebibleandthebibleonly8602 3 ปีที่แล้ว +4

    Mtoa ushuhunda huu soma hapa matayo 22:29 Kisha sasa ukaona maruerue Hakuna mtu anaeza kufa kisha akafufuka bibilia imekataa kabisa muhubiri 9:5,6,10 muhubiri 12:7 ushuunda huu ni wauongo kabisa maana muongo ni shetani yohana 8:44 shetani ufanya ishara ufunuo 16:14 apa ndio ndio huu ushuunda umetoka Hakuna aliye kufa na akafufuka someni bibilia mtaelewa acheni kundakanywa na shuunda za kishetani

    • @benjoliga1136
      @benjoliga1136 3 ปีที่แล้ว +1

      Amen umenena kweli

    • @lukakanawematz1525
      @lukakanawematz1525 2 ปีที่แล้ว

      Eutiko razaro dorkas mtoto wamshunami mtoto wamjane. Hawa .walifufuliwa

    • @aminamgema8917
      @aminamgema8917 ปีที่แล้ว

      Urambo Ni uchawi tu huyo alirongwa akachukuliwa msukule aseme tu kama amewakimbia!! Tena ww mkulya acha uongo.

  • @AlfaSanga
    @AlfaSanga 3 ปีที่แล้ว +4

    Amen, tunasubir inayofata.

  • @danielkiponda3419
    @danielkiponda3419 3 ปีที่แล้ว +1

    Da! mtumishi ushuhuda wako unatukumbusha kuwa dunia tunapita. sasa baada ya kufa tunakwenda wapi? kwakweli mungu atusaidie

  • @doricemikanga5077
    @doricemikanga5077 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @valentinomethod6680
    @valentinomethod6680 3 ปีที่แล้ว +3

    Hakika nimeguswa sn pole sn hata mm nimepitia mapito magumu naelewa unachokizungumza asante kwa ushuhuda mzuri mbarikiwe sn kwa kipindi hiki

  • @barakaemanuel6638
    @barakaemanuel6638 3 ปีที่แล้ว +2

    Urambo sehem gan mtumish

  • @hamishassan5127
    @hamishassan5127 3 ปีที่แล้ว

    Hadithi nzuri sana

  • @HappyJohn-kk1pr
    @HappyJohn-kk1pr 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani Aya Mambo yapo mm mwenyewe yalishanitokeaga

  • @didatratranee2531
    @didatratranee2531 3 ปีที่แล้ว +5

    Sauti ndogo sana

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  3 ปีที่แล้ว +1

      Sina uhakika na hilo unalosema,angaia vizuri kifaa chako unachotumia kusikiliza kitakuwa ndo kina shida

  • @allykinyogori139
    @allykinyogori139 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna binadamu anakufa anakwenda binguni alafu akafufuka na kuludi duniani

  • @juliethmayai8134
    @juliethmayai8134 3 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema

  • @shilimaabdallah-mw2bj
    @shilimaabdallah-mw2bj ปีที่แล้ว

    Hizi shuhuda hizii, zingine ni mipasho

  • @SephZungu
    @SephZungu 9 หลายเดือนก่อน

    Alafu watu wanasema asente Jackson kwa kwenda mbinguni😂😂😂😂

  • @husnarajabu4295
    @husnarajabu4295 3 ปีที่แล้ว +4

    Haya tuambie ulitolewaje roho? Ulisikia uchungu au

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 3 ปีที่แล้ว

      mi naona km anazingua tu

    • @kuruthumuissa5539
      @kuruthumuissa5539 3 ปีที่แล้ว

      Mmeonae labda aliwekwa msukule anatudanganya kaenda mbinguni mfyuuuuu

    • @scolastikarajabu8268
      @scolastikarajabu8268 3 ปีที่แล้ว +1

      Nimelipenda swali lako

    • @avelinamusungu8142
      @avelinamusungu8142 3 ปีที่แล้ว +1

      Ndugu usiseme hivo kaa to kimy Mana kila nafsi itaonja umauti nikipindi kigumu hicho hakin mfano

  • @niyonsabasaada7831
    @niyonsabasaada7831 3 ปีที่แล้ว +1

    Mb zangu tu . Ivinyiye mbingun mwafikiria nirahisisana kufika. Eti nilienda nikarud uwemakin wew naizo iman zakijinga sana .iy 2020 itacha meng acha tuon 2021 italetanini.

    • @orverfredy2694
      @orverfredy2694 3 ปีที่แล้ว

      Ufunuo wa yohana unajieleza hata yeye alipata maono ya mbinguni..pia biblia imesema vijana watapata maono, wazee wataota ndoto etc. omba Mungu akupe masikio ya rohoni.

    • @adamfundikira4588
      @adamfundikira4588 3 ปีที่แล้ว

      @@orverfredy2694 ubarikiwe umemjibu vizuri nami ninacho kitabu kinaitwa wengi watatamani kuingia lakini hawataweza

    • @ruthstephen2791
      @ruthstephen2791 3 ปีที่แล้ว +2

      Tupe uzoefu wako wa mbinguni. Unaonekana unajua zaidi.

  • @myself4128
    @myself4128 3 ปีที่แล้ว +5

    Kuna ushahidi wa hospital?au watu walokuwepo? Nani alithibitisha kuwa alikufa??kuna daktari ama mtaalamu wa afya aliyekuwepo???

    • @kelvinndokole8367
      @kelvinndokole8367 3 ปีที่แล้ว +5

      Kama wewe huamin bas Amin akili zako

    • @janesuday4175
      @janesuday4175 3 ปีที่แล้ว +4

      Kuna mtu hafi na anaenda mbinguni. Haya ni mambo ya imani ukiona inafaa amini ukiona ukakasi unaiacha tu

    • @egospeltz9486
      @egospeltz9486 3 ปีที่แล้ว

      kama umeshindwa kumuamini yeye, utamwamini shahidi yupi? Si utasema ni muongo au kalipwa.🏃

    • @costavalenci7699
      @costavalenci7699 3 ปีที่แล้ว

      😲

    • @ey3022
      @ey3022 3 ปีที่แล้ว

      @@kelvinndokole8367 inabidi aamini NENO la MUNGU sio ushuhuda wala akili zake bro🤣🤣 usiamini ushuhuda Amini NENO LA MUNGU 2

  • @benjoliga1136
    @benjoliga1136 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna mtu ambaye amekufa kisha akaendelea kujitambua huo ni udanganyifu wa Ibilisi ili kuwapoteza watu. Someni maandiko acheni kuhadaiwa na Ibilisi

  • @gideonjackson3659
    @gideonjackson3659 3 ปีที่แล้ว

    Sio kweli

  • @kadigatanzaniya4792
    @kadigatanzaniya4792 3 ปีที่แล้ว +4

    Jamani mungu ni mwema

  • @aokinsindi6948
    @aokinsindi6948 3 ปีที่แล้ว +4

    Utopolo mtupu hakuna kama hicho acha kuigiza hayo maigizo

  • @EdinahED
    @EdinahED 10 หลายเดือนก่อน

    Mbona sarakasi mingi za ushuhuda hutoka Tanzania?kweli zatuelimisha lakini poa muwegeukie Mungu maana ye ni warehema

  • @teresiakwambo9018
    @teresiakwambo9018 3 ปีที่แล้ว +5

    Shuhuda zingine azieleweki..

  • @tatualmazrui5945
    @tatualmazrui5945 2 ปีที่แล้ว

    Tuache jamani tuacheni jamani anaekufa harudi asilani abadani acheni uongo huyo mwambieni ache uwongo

  • @mwajumamasumbuko2170
    @mwajumamasumbuko2170 3 ปีที่แล้ว +5

    Leta nyingine kaka leo jamani

  • @annabyekwaso-wt7oi
    @annabyekwaso-wt7oi ปีที่แล้ว

    Hayo masaa kumi alikuwa mochwari au wapi?Pia mbingu ilivyonzuri mtu anawezakurudi kweli??? sidhani !

  • @ciekai7356
    @ciekai7356 3 ปีที่แล้ว +11

    Matendo yako ndio yataamua unaenda wapi.

    • @ey3022
      @ey3022 3 ปีที่แล้ว +5

      Waefeso 2:8-9
      [8]
      Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu;
      [9]
      wala si kwa matendo, mtu awaye yote asije akajisifu.

    • @LisaLisa-wd8oy
      @LisaLisa-wd8oy 3 ปีที่แล้ว +2

      @@ey3022 ameeeeeeeeeen👏💃💃👏

  • @hassanbinally7127
    @hassanbinally7127 3 ปีที่แล้ว +1

    Wewe uluchukuliwa na wachawi hakuna jipya

  • @jumakoga2179
    @jumakoga2179 3 ปีที่แล้ว +5

    Huo ni uchawi tu , haiwezekani ufe halafu ufufuke haiwekani, sema ulizimia, tuache uwongo, kama kuokoka ndio kumekufanya ufufuke basi walokole wasingekufa

  • @samwelyona63
    @samwelyona63 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwahiyo
    Mpendwa
    Tufanyej
    Kuhusumbingun

  • @isaacnderitu8664
    @isaacnderitu8664 3 ปีที่แล้ว +2

    Wacha Halaka bro utakufa tu.

  • @gdhdgshe3182
    @gdhdgshe3182 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli imeandikwa kuwa mtu azaliwe Mara ya pili, kumbuka yesu kamwambia Nicodemas razima azaliwe Mara ya pili ,soma bblia💯

  • @charlesmbunda6759
    @charlesmbunda6759 ปีที่แล้ว

    Shalom shujaa! Naomba namba za Erick

  • @niyonsabasaada7831
    @niyonsabasaada7831 3 ปีที่แล้ว +4

    Ivi munawomutazama uy jama munaona anafanana namut aliofufuka?😏 wala maelezoyakigugumiz hayanitish

  • @saimonseleka8792
    @saimonseleka8792 ปีที่แล้ว

    Acha uongo wa kipumbavu 👉Luka 16:27-31
    Tuiamini biblia au maneno yako!

  • @huseniomari3990
    @huseniomari3990 3 ปีที่แล้ว +2

    Wengi katika wakristo mnaaminishwa vitu havipo . Kwanza ili ukutane na mungu wako kwanza lazima ufe. Ww umekutana na mngu wako? Yukoje huko ilikua unakula Nini?

    • @truth7796
      @truth7796 3 ปีที่แล้ว

      Nakuombea Mungu wa Ibrahim, Isaac, Israeli na Mungu wangu akupe ufunuo

    • @niyonsabasaada7831
      @niyonsabasaada7831 3 ปีที่แล้ว

      😅😅😅

    • @hassanisadiki824
      @hassanisadiki824 3 ปีที่แล้ว

      Mimi ni mwislamu lkn nakupinga huwezi kukutana na mungu ukifa mpk siku ya hukumu ndio utakutana na mungu

    • @niyonsabasaada7831
      @niyonsabasaada7831 3 ปีที่แล้ว

      @@hassanisadiki824 ndio kabisa

    • @truth7796
      @truth7796 3 ปีที่แล้ว

      @@hassanisadiki824 God is holy spirit how can u see spirit, u can feel presence of God but you cannot touch my dear,

  • @officialK-looh
    @officialK-looh 3 ปีที่แล้ว

    Hii ilimtokea marehemu Godzilla #R.I.P_Kingzilla

  • @Milly_tz
    @Milly_tz 3 ปีที่แล้ว +4

    Sasa mbona ulisema usiku umeongea na Kaka ako?? Sasa hv unasema ulikua huwezi kuongea loooo jmn

    • @benjoliga1136
      @benjoliga1136 3 ปีที่แล้ว

      Shuhuda za namna hii huwa ni za kishetani ndio maana zimejaa uongo ndani yake

  • @michaelpeter6218
    @michaelpeter6218 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu ni mkubwa na hashindwi