Huu ushuhuda unanitia nguvu ya kumtafta Mungu zaidi Eeeh Mungu nishike mikono nisije nikadondoka ziwa la motoni 😢😢naomba niwe mmoja wapo walio na alama ya 🔥
Hii kesi ilinitokea, mume wangu ni mzungu, tulitoka kutoa lak5, na alikuwa amevaa cheni ya dhahabu yenye thamani ya mil5 tunatembea mtu anakuja anasema amemkanyaga, ananiambia sister mzungu wako kaninyaga, kanikanyaga mwisho anahisi mtu anataka kutoa wallet sema ela zilikuwa nyingi akawasikia wakitaka kuzitoa. Akaweka mkono kuzuia kumbe waliiba cheni. Tumefika nyumbani tukiwa na furaha tunadhani hawakuiba wallet kumbe cheni imeenda.
Kwahivyo ulishurutishwa kuokaka kwa lazima kwakumizwa na kudungwa sidhani Yesu alidunga watu kwa mikuki ili waokoke. kuna shaka hapo. hizo nguvu zilikua za shetani na huyo muhindi penginepo ndiye aliye kundunga mkuki mbavuni ili uenda kwa huo mkutano wake ili haweze kuwa na umaarufu kwa kukuelezea hitoria yako yote.
Ukisema wakatoloki hwafungagi ni muongo wewe ndio ulikuwa hufungi maana ya kula kidogo ni kufunga masaa 12 wakati wa kula unapunguza chakula unawapa wahitaji unakula kidogo sio unakula kama hujafunga
Mimi Ni mkatoliki lakini walokole ndio Wana funga ya kweli hakuna Kula Wala kunywa kwa muda mtu atakaojiwekea, wengine wanafunga mpaka tano Bila Kula wala kunywa ni maji tu ,tatu kavu kwa walokole Ni kitu kidogo sana wakiwa na Jambo lao.
@@sophiaommy8343 Mm Ni mkatoliki na huwa nafunga vinzuri tua na sio wakati WA Kwalesma tu wakati wote mm nikiwa na mambo yangu na funga saa 12 nakunywa maji na mambo yangu yanaenda kufunga ndugu Ni moyo .na nikuuutiisha mwili ili usitende dhambi muombe Mungu anisaidie uwe unafunga mm imenisaidia hata nilipofika Oman ramadhani nafunga vyungu vyoote SEMA na Mungu wako Alie sirini
@@BlandinaLukole kufunga Ni lazima sababu ukifunga unautiisha mwili usitende dhambi Lakini methali 8 Mstr 17 unasema nawapenda wake wanipendao na wake wanitafutao Kwa bidii wataniona kuna maana mbili hapo
Allah ni nani? ata Yesu mwenyewe hamtambui Allah Yesu anawatokea na kuwasaidia walio wake. 👇👇 Hii hapa tofauti ya YESU NA MUHAMMED 1. Yesu alikufa akafufuka ili kuwadhibitishia watakao mwamini na kumpokea kama mwokozi wao,atawaachia roho mtakatifu ambae atakua msaidizi wao na mwalimu wao katika mambo ya kiroho na kumjua Mungu zaidi, tena huyo Yesu amewaakikishia hao wampendao kua atarudi kuwachukua juu binguni ataketi nao. 2. MUHAMMED nae alikufa na wala hakurudi tena /hakufufuka tena hakurudi kuwaambia wafuasi wake kua atawaachia msaidizi ndo maana waislamu hawana wala hawamjui roho mtakatifu ni nani kwa sababu huyo Allah alikua MUHAMMED mwenyewe sasa swali langu ni je? Mtu alie kufa kazikwa na kusahaulika anawezaje kuwatokea?? Yesu alikufa akafufu ambae ni Mungu mwenyewe , YOHANA 4:24 Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli. MUHAMMED alikufa na akalala fofofo ambae ni Allah aliekufa hawezi watokea . Sasa hapa ni wewe kuchagua utamwabudu nani Yesu alie hai ama Allah alie kufa . JOHN 14:6-7 6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. 7 Kama mngalinijua mimi, mngalimjua na Baba; tangu sasa mnamjua, tena mmemwona.
Yohana 10: 27-29; 27 Kondoo wangu huisikia sauti yangu. Nami nawajua, nao hunifuata. 28 Mimi nawapa kondoo wangu uzima wa milele. Nao hawatakufa kamwe, na tena hakuna atakayemchukua yeyote kutoka mkononi mwangu. 29 Baba yangu ndiye aliyenipa hao, naye ni mkuu kuliko wote. Hakuna anayeweza kuwaiba kondoo wangu kutoka mkononi mwangu.
Mungu awabarik prov wengi tunapiga atua sana Kazi yenu Yesu awalinde tunajifunza vingi Mungu atusaidie
Huu ushuhuda unanitia nguvu ya kumtafta Mungu zaidi Eeeh Mungu nishike mikono nisije nikadondoka ziwa la motoni 😢😢naomba niwe mmoja wapo walio na alama ya 🔥
Hii kesi ilinitokea, mume wangu ni mzungu, tulitoka kutoa lak5, na alikuwa amevaa cheni ya dhahabu yenye thamani ya mil5
tunatembea mtu anakuja anasema amemkanyaga, ananiambia sister mzungu wako kaninyaga, kanikanyaga mwisho anahisi mtu anataka kutoa wallet sema ela zilikuwa nyingi akawasikia wakitaka kuzitoa. Akaweka mkono kuzuia kumbe waliiba cheni. Tumefika nyumbani tukiwa na furaha tunadhani hawakuiba wallet kumbe cheni imeenda.
Saa ya Bwana ikifika imefika hakuna awezaye kupinga Mbarikiwe watumishi
Nimefurahia sana mchungaji wangu Stivini Rotali tupo pamoja na ushuhuda huu umenitia nguvu sana hivyo karibu sana Serengeti
Mungu anaweza akitia nguvu inakubidi uwe na kiu ya kweli
Natamani nione part2,Asante sana promover
Mungu naomba nisaidie nami niwe na nguvu ya Mungu niwe na moto ndani yangi nami niwekee alama yako Yesu wangu usiniache
Am really blessed. Ubarikiwe mtumishi. Nimecheka na kufurahi hapo kwamba "MTU Yule ni handsome Sana"
Watu wengine mnakuaga na bahati kweli halafu unapata mtu kama huyo anamuacha Mungu waa Mungu tusaidie
Asnte Yesu
Ameen
Barikiwa Sana promover
Ama kwa ukweli neema ya BWANA yatosha
Wa mwisho katikati
Waa naumekaa mchanga kweli hukai hio miaka
Hata Mimi Ni Mngoni nimeokoka Ameeeen!!!!
Natamani nguvu iyo itembee nami sikuzote zamaisha yangu❤
Amen usuhuda mzuri Sana nashukuru mungu yuko pamoja na na watu wote kila mahali yesu ni bwana
Mungu ninaomba unitie nguvu ili niweze kumshinda ibilic
Bariikiweni sana promover tv kwa shuhuda hizi..
Amen
Mbarikiwe kwa ushuhuda mzur sana
Dada hizo ywele mungu hapendi tumbadilike hii miili ni hekalu la bwana inatubasa tuijenge ili mungu ajitukuze kwetu
Mungu awabaliki
Amen
Amina na mungu akubariki sana
Blessed kaka jacktan .pamja na promover tv ..the power of testimony
AMINA shalom
Amina
Barikiwa sana
Sijawahi sikia Allah kamtokea mtu. Sijui ni mungu gani hana uhusiano na watu wake ingawa anakokota kundi kubwa duniani.
Yesu alipaa, yupo kila mahali. Ukijaliwa neema ya kutokewa anatokea, anakuwaga na kusudi lake maalumu
Wakwanza
Karibu sana
Kanisa tunahitaji karma zote za Roho Mtakatifu
Part 2 ipo?
Wa tatu
Karibu sana
Nina shida na mchungaji katekela nampataje?
Umpgiee kwa cm yake
Wapili
Karibu sana
Mi nauliza Kama mtu ameokoka huyo pepo anaona alichonacho, je unaweza mvalisha kesi?
Je akiliita jina la Yesu?
Kwahivyo ulishurutishwa kuokaka kwa lazima kwakumizwa na kudungwa sidhani Yesu alidunga watu kwa mikuki ili waokoke. kuna shaka hapo. hizo nguvu zilikua za shetani na huyo muhindi penginepo ndiye aliye kundunga mkuki mbavuni ili uenda kwa huo mkutano wake ili haweze kuwa na umaarufu kwa kukuelezea hitoria yako yote.
Pole sana ,
Njia za Mungu hazichunguziki ndugu yangu na kila mtu anaitwa kwa namna yake
Khaaaaa ww😢😢😢
🤣🤣🤣
Ukisema wakatoloki hwafungagi ni muongo wewe ndio ulikuwa hufungi maana ya kula kidogo ni kufunga masaa 12 wakati wa kula unapunguza chakula unawapa wahitaji unakula kidogo sio unakula kama hujafunga
Mimi Ni mkatoliki lakini walokole ndio Wana funga ya kweli hakuna Kula Wala kunywa kwa muda mtu atakaojiwekea, wengine wanafunga mpaka tano Bila Kula wala kunywa ni maji tu ,tatu kavu kwa walokole Ni kitu kidogo sana wakiwa na Jambo lao.
@@sophiaommy8343 Mm Ni mkatoliki na huwa nafunga vinzuri tua na sio wakati WA Kwalesma tu wakati wote mm nikiwa na mambo yangu na funga saa 12 nakunywa maji na mambo yangu yanaenda kufunga ndugu Ni moyo .na nikuuutiisha mwili ili usitende dhambi muombe Mungu anisaidie uwe unafunga mm imenisaidia hata nilipofika Oman ramadhani nafunga vyungu vyoote SEMA na Mungu wako Alie sirini
Issue ni kufunga au kuenenda sawasawa na mapenzi ya Mungu?
@@BlandinaLukole kufunga Ni lazima sababu ukifunga unautiisha mwili usitende dhambi Lakini methali 8 Mstr 17 unasema nawapenda wake wanipendao na wake wanitafutao Kwa bidii wataniona kuna maana mbili hapo
Barikiwa sana Baba
Amen
Sijawahi sikia Allah kamtokea mtu. Sijui ni mungu gani hana uhusiano na watu wake ingawa anakokota kundi kubwa duniani.
Allah ni nani?
Watu wanaongea stor za YESU na ROHO mt.we unatuletea habari ya Allah ndo nn? Kwanza skiliza shuhuda fanyiwa kaz chukua Atua
Allah ni nani? ata Yesu mwenyewe hamtambui Allah Yesu anawatokea na kuwasaidia walio wake.
👇👇
Hii hapa tofauti ya
YESU NA MUHAMMED
1. Yesu alikufa akafufuka ili kuwadhibitishia watakao mwamini na kumpokea kama mwokozi wao,atawaachia roho mtakatifu ambae atakua msaidizi wao na mwalimu wao katika mambo ya kiroho na kumjua Mungu zaidi, tena huyo Yesu amewaakikishia hao wampendao kua atarudi kuwachukua juu binguni ataketi nao.
2. MUHAMMED nae alikufa na wala hakurudi tena /hakufufuka tena hakurudi kuwaambia wafuasi wake kua atawaachia msaidizi ndo maana waislamu hawana wala hawamjui roho mtakatifu ni nani kwa sababu huyo Allah alikua MUHAMMED mwenyewe sasa swali langu ni je? Mtu alie kufa kazikwa na kusahaulika anawezaje kuwatokea??
Yesu alikufa akafufu ambae ni Mungu mwenyewe ,
YOHANA 4:24 Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
MUHAMMED alikufa na akalala fofofo ambae ni Allah aliekufa hawezi watokea .
Sasa hapa ni wewe kuchagua utamwabudu nani Yesu alie hai ama Allah alie kufa .
JOHN 14:6-7
6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
7 Kama mngalinijua mimi, mngalimjua na Baba; tangu sasa mnamjua, tena mmemwona.
@@nurumwita9034 eeh atuambie Allah ni nani??
@@lydiahnabwire128 mungu anayeabudiwa na kundi Fulani hivi.