Pt3_TOKA UISLAMU,FAMILIA YA UGANGA UCHAWI WA MAJINI MPAKA KUWA MCHUNGAJI•USHUHUDA WA STEVEN MAJALIWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 33

  • @Sara-ne3xl
    @Sara-ne3xl 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hallelujah Hallelujah Hallelujah

  • @marianaduncan6330
    @marianaduncan6330 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    BWANA wa majeshi ndilo jina lake❤❤.YESU KRISTO Mwamba imara

  • @lidamudy2842
    @lidamudy2842 วันที่ผ่านมา +3

    Ubarikiwe sana kwa ushuhuda

  • @geofreypaul163
    @geofreypaul163 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Uzao wenu wote ulikuwa ni watumishi wa Mungu siyo wewe tu

  • @issachege5606
    @issachege5606 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hakika dini yakislamu watu waote walio kombolewa kutoka ukoo na yesu wote usema hakika uslamu ni upotevu na majini na uchawi😢eh yesu zidi kuatoa wote uko😢😢😢

  • @AlineMukunda
    @AlineMukunda 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wenye wanawokovu wazidikushukuru Mungu❤❤❤

  • @Elisha-m3e
    @Elisha-m3e วันที่ผ่านมา

    Pole, mtu wa baba na hongera

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 2 วันที่ผ่านมา +4

    Ni wazi chimboko la wislamu ni majini😭😭😭

  • @Mwasame_Official1
    @Mwasame_Official1 2 วันที่ผ่านมา +6

    Bwana yesu ni mfalme wa wafalme na ni simba wa yuda na ni alfa na omega.

  • @FlorenceWaita-w6j
    @FlorenceWaita-w6j 2 วันที่ผ่านมา +1

    Leo Ako vizuri Mambo ya mawalahi sipendi

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 2 วันที่ผ่านมา +3

    Tunasubili mwendelezo

  • @AlexJotham-b5m
    @AlexJotham-b5m 2 วันที่ผ่านมา

    Hio mifugo mliokuwa mnachinja ndo mlikuwa mnaua ndugu zenu

  • @hafidhiissa1813
    @hafidhiissa1813 วันที่ผ่านมา

    Pole na kazi bwana Jaktani kama sijasahau jina lao
    1.Ningependa kutoa maoni yangu na ushauri kwako juu ya video na kazi zako
    2.naona siku hizi umezama zaidi katk shuhuda na simuli zinazokashifu dini ya kiislam kiukweli sio jambo bora na busara sana,kwan unatazamwa na watu wa dini mbali mbali wewe hujui tu,mimi mwenyewe hapa ni shabiki yako sana lakn ni kiongozi mkubwa tu wa dini ya kiislam nipo ktk 1 ya nchi za kiarabu za kifalme naongoza katk msikiti mkubwa kabisa katk jiji kuu

    • @geofreypaul163
      @geofreypaul163 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Kwa shuhuda hizi nakushauri utoke muslim uokoke umtumikie Bwana Yesu

    • @lovenesswalter6650
      @lovenesswalter6650 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Ndugu hafidhi toka huko unaambiwa ukwel

  • @RayOmar-vk2nn
    @RayOmar-vk2nn 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shida ni umetoka kwenye kitabu cha kiarabu ukaenda kwenye kitabu cha wazungu hebu tafuta asili ya kiafrica maana bado unastory za wakolon Sema umetoka kwa mwarabu ukaingia kwa wazungu

  • @MudiMshindo
    @MudiMshindo 2 วันที่ผ่านมา

    Yule yesu ndo kabebwa kabisa na shetani 😂

    • @janetsemahimbo8083
      @janetsemahimbo8083 2 วันที่ผ่านมา +3

      Hata kwenye vitabu vyenu wanamjua Yesu kuwa atarudi kuhukumu ulimwengu. Waulize wanaojua vitabu vyenu atakujuza.

    • @MudiMshindo
      @MudiMshindo 2 วันที่ผ่านมา

      @janetsemahimbo8083 yesu hawezi kuhukumu ulimwengu,mungu atamleta kumuua masihi dajal alafu ataish then atakufa,ahukumu ulimwengu yy amekua mungu 😆

    • @MM-Advanced
      @MM-Advanced วันที่ผ่านมา +2

      ​@@MudiMshindo YESU ni Mungu, ndio.

    • @NeemaJonathan-d2e
      @NeemaJonathan-d2e 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Pole my dear YESU ni MUNGU mwenyewe aliuvaa mwili akaja duniani .. YESU ni WA kweli..ndio mana hata WAchawi waganga wanajua Moto WA YESU..mkubali Tu dini ya Islamic mlipigwa lakini atuwezi kuwalaumu kwasababu mmezaliwa mmeikuta..Mimi tangia nikiwa n mwaka 1 nilikuwa siupendi uislam​@@MudiMshindo

    • @MudiMshindo
      @MudiMshindo 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @NeemaJonathan-d2e mungu anataahiriwa? 😂😅😅😅 Tumieni bac ata akili jamn wakristo