Part 2_USHUHUDA WA MTANZANIA ALIYEKUFA NA KUFIKA MBINGUNI KISHA KUREJEA DUNIANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • JIUNGE NA MAGROUP YETU YA WASAP KAMA UNGEPENDA KUWA MCHANGIAJI WA KILA MWEZI KAMA IFUATAVYO:-
    1.JS01-Kuanzia Tsh.2,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.JS02-Kuanzia Tsh.5,000 kila mwezi,bonyeza link hii chat.whatsapp....
    3.JS03-Kuanzia Tsh.10,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
    Namba za mawasiliano na kuchangia pesa ni: +255784074462 / 0766294335 jina ni Jacktan Msafiri
    #ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

ความคิดเห็น • 256

  • @tabithajeremiah2657
    @tabithajeremiah2657 3 ปีที่แล้ว +19

    Hatimaye nimekuwa wa kwanza kuccoment part2.ushuhuda mzuri sana. Unamafundisho mazito

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 3 ปีที่แล้ว +3

    Hakika Mungu wetu ni mwaminifu sana na huwa na sababu ya maisha yetu tusiishi kwa mazoea

  • @rehemaabinelynyagawa2878
    @rehemaabinelynyagawa2878 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu anisaidie nitembee katika njia zake ahsante ushuhuda mzuri na unatuinua kiimani ubarikiwe sana

    • @neymermponde7810
      @neymermponde7810 3 ปีที่แล้ว

      Jamani jina la Nyagawa kama baba yangu

  • @jenniferbarongo6431
    @jenniferbarongo6431 3 ปีที่แล้ว +10

    Yesu nirehemu sawa sawa nafadhila zako

  • @fredmarwa1727
    @fredmarwa1727 3 ปีที่แล้ว +5

    Amina mtsh hayo yote nikweli mm nime tumika naee na amekaa myumban kwetu kabisa Asante Yesu kwa kupata neema ya kushudia mataifa wa jue Mbingu ipo na jehenamu ipo

  • @magrethedson7445
    @magrethedson7445 3 ปีที่แล้ว +10

    Yesu Kristo aliyekuwezesha kurudi na kutupa ushuhuda huu, atusaidie tuweze kuurithi ufalme wake.

    • @muendokiawa9402
      @muendokiawa9402 2 ปีที่แล้ว

      Acheni kudanganyika tafadhari, yesu ni DEMONI

  • @peterodongo7847
    @peterodongo7847 3 ปีที่แล้ว +45

    Kwa kweli Mungu wetu ni mwema ! Habari za Uwokovu zinaendelea kufunuliwa! Jamani tuendelee kurekebisha njia zetu ili kuona ufalme wa mbinguni!! Amen!

  • @livingforgod2705
    @livingforgod2705 3 ปีที่แล้ว +9

    Im sooo blessed. Jacton great is your reward in Heaven. You publish rare content.

  • @UmwizaAlbertine
    @UmwizaAlbertine 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nashukuru sana inafundisha saana kabisa

  • @athumanmziwanda2887
    @athumanmziwanda2887 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kimuinua Mtumishi wake
    AMINA

    • @HusseinGabu-wr3xh
      @HusseinGabu-wr3xh ปีที่แล้ว

      Yaani Kuna majitu majinga kweli kwa hiyo unaamin et kaenda mbinguni kweli? Yaani ujinga ni kitu kibaya sana

  • @nikitalucas2323
    @nikitalucas2323 3 ปีที่แล้ว +4

    Usimwache Mungu daima maana daaah

  • @glorytoGod639
    @glorytoGod639 3 ปีที่แล้ว +14

    Aisee, shukran sana mtumishi wa Mungu Jactan, ubarikiwe mno, kazi yako Ni njema.

  • @motelutula7475
    @motelutula7475 3 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana mtumishi! Tunaomba mwendelezo wake tafadhali

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  3 ปีที่แล้ว

      MTZ ALIYEKWENDA MBINGUNI KISHA KUREJEA DUNIANI: th-cam.com/play/PLXTmPgeqbJ0l65DTil0MH9wpf_y9pQvgn.html

    • @frankjackson1804
      @frankjackson1804 3 ปีที่แล้ว

      @@PromovertvTz naomba naomba ya huyu ndugu

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  3 ปีที่แล้ว +1

      +255743443230 Au +255 719 024 564

  • @medadiissa324
    @medadiissa324 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu ana siri kubwa sana

  • @gracesamson8768
    @gracesamson8768 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu wetu ni mwema saana

  • @tusajigwereuben4044
    @tusajigwereuben4044 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante kaka kwa ushuhuda mzuri

  • @matibafm9728
    @matibafm9728 3 ปีที่แล้ว +4

    Have mercy on me God

  • @horemow9832
    @horemow9832 3 ปีที่แล้ว +25

    Jamani huu ushuhuda ni wa kweli kabisa Namshukuru Mwenyezi Mungu, kaka kwa kushare Mungu nisaidie

    • @muendokiawa9402
      @muendokiawa9402 2 ปีที่แล้ว +1

      Unajuaje ni wa ukweli?? Uongo ndio mnauita Ukweli??

  • @nativeinfotv9620
    @nativeinfotv9620 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu atusaidie tuyafanye yaliyo yake

  • @leahkatto8820
    @leahkatto8820 3 ปีที่แล้ว +7

    Shuhuda hz zinazidi kunijenga kiimani nahitaji kukujua ww BWANA

  • @yoshua71-d1f
    @yoshua71-d1f 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @ShadrackAliko
    @ShadrackAliko หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @marianachriss2444
    @marianachriss2444 3 ปีที่แล้ว +13

    BWANA YESU kristo aturehemu

  • @severinakayombo7348
    @severinakayombo7348 14 วันที่ผ่านมา

    Jitahidini.kutomujalibu.mungu.kwakweli.

  • @gabinessjeniffer653
    @gabinessjeniffer653 3 ปีที่แล้ว +4

    Tusipo uvaa upendo,, na kupendana sisi kwa sisi na tusipo mpokea yesu Kristo ,, tukaishi kwa njia za Dunia pasipo kumpokea yesu Kristo...tumeangamia...na maana dunia imejaa dhambi...Mungu atusaidi,, tuyatende yaliyo mema yaku mpendeza Mungu...Ameen

  • @gabinessjeniffer653
    @gabinessjeniffer653 3 ปีที่แล้ว +4

    Ahsante Mtumishi wa Mungu Kaka yetu...kwa ushuhuda umetutia nguvu Ubarikiwe sana Ameen

  • @biblianenolaukweli5616
    @biblianenolaukweli5616 3 ปีที่แล้ว +5

    Unapoteza miatano unapata elfu ishirini doo mungu nimukubwa kweli

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 ปีที่แล้ว +2

    Jamani hivi vitu vipo mm nilifanya dhambi ya kutoa mimba wakati docta ameshafanya hiro tukio nilizimia nasikia naitwa .lakini siwezi kuitika naona.nipo kwenye handaki lefu sana.kuna giza la hatari baada ya kuzinduka kutoka pale hii zambi ilikuwa inanisumbua sana nikaenda kanisanj nikamwambia mchungaji akaniongoza kwa sara ya toba jamani mungu atusaidie sana

  • @joshuaevance6012
    @joshuaevance6012 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ni mkubwa mno huyo mch Manyama ni mch wangu kwa sasa ni wa TAG Mabibo Sahara

  • @apstletuyiesisaac4017
    @apstletuyiesisaac4017 3 ปีที่แล้ว +29

    God bless all of you who are learning through this channel

    • @johnmwadime4590
      @johnmwadime4590 3 ปีที่แล้ว +2

      Barikiwa na wew

    • @marianhassan9460
      @marianhassan9460 3 ปีที่แล้ว +2

      God bless you too.

    • @estherokalo4460
      @estherokalo4460 3 ปีที่แล้ว +2

      Amen Apst am real touched Am born again God looks the heart help me God to guard my heart

    • @harrietkiden7808
      @harrietkiden7808 ปีที่แล้ว +1

      Blessings to you too Servant of the Most High GOD 🙏

    • @joramndirangu2263
      @joramndirangu2263 ปีที่แล้ว

      Ll
      00

  • @pauloropian8116
    @pauloropian8116 3 ปีที่แล้ว +7

    GOD Bless you bro

  • @gabinessjeniffer653
    @gabinessjeniffer653 3 ปีที่แล้ว +3

    Ameen Ameen...Mungu akubariki zaidi kwa kutujenga kiimani zaidi...Hallelujah

  • @AnnaLimbe
    @AnnaLimbe 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen ni kwel kabisa Mungu atufumbue macho ya kuona zaid

  • @omaebarongo1892
    @omaebarongo1892 3 ปีที่แล้ว +4

    Yesu Kristo anisaidie na Jamaa zangu ilitupate nafasi katika kuingia ufalme wake

  • @estherdamian4137
    @estherdamian4137 3 ปีที่แล้ว +3

    Asemayo ni amina. Mwingine yupo iringa. Alikufa akarudi.

  • @estarthobiasy646
    @estarthobiasy646 3 ปีที่แล้ว

    Balikiwa Sana mtumishi wambie watu wasinganganie dini wamganganie yesu

    • @lileoh3893
      @lileoh3893 3 ปีที่แล้ว

      Siokubatizwa kusilim kitabu cha mungu shetani hawezi kugusa

  • @anastazianoel9309
    @anastazianoel9309 2 ปีที่แล้ว +2

    mungu wangu tupe mwisho mwema dunia inatuchangany sana

  • @briansancedo9336
    @briansancedo9336 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @lilacjoseph9509
    @lilacjoseph9509 2 ปีที่แล้ว +2

    nashukuru Mungu mwenye nguvu na uweza kwa huu ushuhunda

  • @sheillahwairai4691
    @sheillahwairai4691 3 ปีที่แล้ว +3

    It's better to give than to receive. Thanks alot umenibariki sana na mafunzo mengi napata. God is great. Thank you Jesus

    • @HusseinGabu-wr3xh
      @HusseinGabu-wr3xh ปีที่แล้ว

      Kwa hiyo we unapona huo ni ukweli ? Watu wangu wannaangamia kwa kukosa maalifa kweli acha ujinga hakuna kitu kama hicho

    • @sheillahwairai4691
      @sheillahwairai4691 ปีที่แล้ว

      @@HusseinGabu-wr3xh wewe ndio huna maarifa maana roho wa Mungu hayumo ndani yako. Mtafute mungu na atakuelekeza kujua ulio ukweli na uongo.

    • @HusseinGabu-wr3xh
      @HusseinGabu-wr3xh ปีที่แล้ว

      @@sheillahwairai4691 ndio mnavotapeliwa hivo we nani kakwambia roho ya mungu ikakaa ndani ya mtu acha ujinga we kila mtu akitoka chooni anawambia katoka mbinguni na mnakubali yaani makristo ni majinga kweli ndio maana wakina mwamposa wanawatapeli kila siku jinga kabisa nyie

  • @tumainimwampegete8182
    @tumainimwampegete8182 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu atutie nguvu tufike mbingun

  • @moreenkasekwa6521
    @moreenkasekwa6521 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akusaidie usirud nyuma

  • @selemanmwaisela4733
    @selemanmwaisela4733 3 ปีที่แล้ว +2

    Funzo jema sana kwa sis binadamu ambao tunajua dunian tunapita. Ko ni vyema sas tubadilishe njia zetu na kuwa njema machon pa mungu wetu

  • @jofreyjohn6360
    @jofreyjohn6360 3 ปีที่แล้ว +5

    Braza jactan unanibariki sana

  • @ninabintizion1411
    @ninabintizion1411 3 ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi get to the point, don't divert the message you are so real and God is using you mighty.

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 3 ปีที่แล้ว +1

    Eeeeh Mungu nikumbuke mmi mjaa wako nikikamilisha umri ulio nipa nkufie ndani mwako ewe Mungu nisaidie 🤲🤲🤲🤲😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @liliankemuma9475
    @liliankemuma9475 3 ปีที่แล้ว +3

    Sioni shida kulima tumbako maana ni mmea wa kuleta kipato,ndio watu walikuwa wanategemea kule kwetu Sirare,Kuria

  • @brysonpatrick6147
    @brysonpatrick6147 3 ปีที่แล้ว +4

    Tunaomba utuoneshe kaburi,Cheti cha kifo na ushahidi wwt,note imeandikwa baada ya kifo hukumu

    • @orverfredy2694
      @orverfredy2694 3 ปีที่แล้ว

      Kama ww ni mkristo soma biblia, anza na Ufunuo wa yohana alafu omba roho mtakatifu akupe uelewa wa kila neno. Mungu akusaidie ndugu pretty, mm pia nilikuwa na moyo mgum saana nashukuru Mungu amenifanya ushuhuda.

    • @ruthstephen2791
      @ruthstephen2791 3 ปีที่แล้ว +1

      Huu ni ufunuo wa siku ya hukumu ndo ameonyeshwa jmn msichanganye mambo.

    • @brysonpatrick6147
      @brysonpatrick6147 3 ปีที่แล้ว

      Ni haki yetu kuuliza kwani biblia imeturuhusu kuzichunguza roho kabla ya kuziamini kwo usitake kila mtu aamini ni lazima tuangalie maandiko yanasemaje Hosea 4:6

    • @Gospo_beats
      @Gospo_beats 3 ปีที่แล้ว +1

      Mbona hauhoji ushuuda wa Lazaro ndugu
      Mbona alikufa akarudi

    • @brysonpatrick6147
      @brysonpatrick6147 3 ปีที่แล้ว

      Lazaro kabuli lake lipo na alionekana live kk kwo Nina haki ya kuhoji

  • @sarahmichael7538
    @sarahmichael7538 3 ปีที่แล้ว +6

    Barikiwa sana ndg Jackitan tunazidi kubarikiwa! Kazi yako ni njema, Mwenyezi Mungu akufanikishe!

  • @cosmaskeya9438
    @cosmaskeya9438 3 ปีที่แล้ว +4

    kuanzia leo mm ninaokoka na apa mbele ya mungu amina|

  • @faustinhaule7562
    @faustinhaule7562 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwa ushuhuda huu ni mahubiri tosha kwa mtu ambaye hajaokoka

    • @oswaldmushani2432
      @oswaldmushani2432 3 ปีที่แล้ว

      Kiukwer tuzidi kuombeana tuzidi kuombeana wa Tanzania pia ubatizo nimuhimu

  • @estersaimon1825
    @estersaimon1825 3 ปีที่แล้ว +2

    Balikiwa sana kaka kwaushuhuda mzur

  • @gabinessjeniffer653
    @gabinessjeniffer653 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli kuuona Ufalme wa Mbinguni sio lahisi...lakini Yesu Kristo,, Aliye kulejesha Dunia..atutie nguvu na atuwezeshe, tuweze kuuona Ufalme wa Mbinguni...kwa neema yake

  • @nasrahamisi479
    @nasrahamisi479 7 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅😅😅😅 ONGOPEANENI WENYEWE ETI KAFA AKAENDA MBINGUNI KISHA AKALUDI 😂😂😂😂😂 SUBUTU WEWE NIMUONGO HUKUFA RAMDA UNGELETA HATA UWONGO WAHIVI RAMDA NILIZIMIA

  • @johnmwadime4590
    @johnmwadime4590 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu nijalie mwisho mwema 😫😫😫😫

  • @brysonpatrick6147
    @brysonpatrick6147 3 ปีที่แล้ว +4

    Mbn walokole ndio mnaopelekwa mbinguni kila cku hatusikii msabato,kkkt au Roma????

    • @furahamwatwinza9560
      @furahamwatwinza9560 3 ปีที่แล้ว

      Wameokoka

    • @ruthstephen2791
      @ruthstephen2791 3 ปีที่แล้ว

      Usiingilie kazi ya Mungu. Je vikombe alivyovifinyanga mfinyanzi vitamchagulia mfinyanzi matumizi yake? Mungu humtumia apendaye kumtumia sisi ni wanadamu tu mbele za Mungu ni kwa neema tu sisi kuwepo.

    • @brysonpatrick6147
      @brysonpatrick6147 3 ปีที่แล้ว +1

      Endleeni kujihesabia haki kwn Nani hajaokoka

    • @brysonpatrick6147
      @brysonpatrick6147 3 ปีที่แล้ว

      Sawa vikombe vya wafinyanzi mnaochaguliwa nyie kila siku

    • @ruthstephen2791
      @ruthstephen2791 3 ปีที่แล้ว +3

      Mi mwnyw mluther ila najua mtu akikaa vzr na Mungu hataacha kufunuliwa siri za mbingu.

  • @anaiskafilleaineedejesus3642
    @anaiskafilleaineedejesus3642 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu tuoneye huruma

  • @JumaClide
    @JumaClide 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙏 and I have learned something about the blessing

  • @EzekieliKitange
    @EzekieliKitange หลายเดือนก่อน

    Wliomzika baada ya kufa hawapo duniani kutupatia ushahidi kuwa ni yeye. Hivyo brother alionyeshwa maruwe ruwe ya mwovu yaliyotabiriwa kuwa yatakuwepo.

  • @sarahjacobs8814
    @sarahjacobs8814 3 ปีที่แล้ว +3

    I didn't understand this man

    • @tetebarraque9330
      @tetebarraque9330 3 ปีที่แล้ว

      same here. I wish i could understand what he is saying.

  • @esaumahundi5076
    @esaumahundi5076 3 ปีที่แล้ว +2

    Eleza ujumbe wa mbinguni unachelewesha

  • @mary-cm5je
    @mary-cm5je ปีที่แล้ว +1

    Ameen mungu atabaki kuwa mungu 🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪

  • @thebibleandthebibleonly8602
    @thebibleandthebibleonly8602 3 ปีที่แล้ว +1

    Majibu kwako ufunuo 14:16 muhubiri 9:5,6,10 wafu hawajui neno lolote ushuuda huu ni wa maruweruwe bibilia imekataa kabisa kabisa kwa hakuna mfu au mtu aliye kufa Akaendambinguni hata mitume wote wako chini yaani wamekufa hakuna Mahalia tumeambiwa mtume aliye kufa Akaenda mbingu sow napingana na ushuuda kabisa kwa sababu hii 1timoteo6:15,16 muhubiri 12:17 matendo ya mitume 2:29,34 hata David kipezi cha Mungu ako kwa kaburi ww huu Nani uliye kufa ukafufuka!? Bibilia imekataa kabisa kabisa kabisa

    • @tambisamapunda1838
      @tambisamapunda1838 3 ปีที่แล้ว +1

      Yupo na maneno mazuri lkn bibilia imekataa hayo jabisa

    • @thebibleandthebibleonly8602
      @thebibleandthebibleonly8602 3 ปีที่แล้ว

      @@tambisamapunda1838 kabisa lakini biblia izo imezitabua kama ishala za shetani ufunuo 14:16 hata shetani ana ishala Kweli 2wakoritho 11:14

    • @thebibleandthebibleonly8602
      @thebibleandthebibleonly8602 3 ปีที่แล้ว

      @@tambisamapunda1838 shetani ana ishala zake 2wakortho 11:14 ufunuo 14:16

  • @joycekathambi3072
    @joycekathambi3072 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nisaindia kuku fuata wewe

  • @dawhiteschola8847
    @dawhiteschola8847 3 ปีที่แล้ว +2

    Akatokea kwa mbelee eejamani huyo wa kwetuuuu kabisa

  • @MaureenSindo-gk6fv
    @MaureenSindo-gk6fv 2 หลายเดือนก่อน

    Yani nashanga waislamu pia wanaingiah box n mwanadamu nani anaweza kufa akafika mbngni kisha akarudi Allahakbar wanusuru waja wko wsiokua n elmu

  • @jeremiahkamaukaundu2919
    @jeremiahkamaukaundu2919 ปีที่แล้ว

    How can I get you people I have such kind of testimony nikokenya

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  ปีที่แล้ว

      Kuna mawasiliano yetu hapo tafadhali wasiliana nasi

  • @mwajumamasumbuko2170
    @mwajumamasumbuko2170 3 ปีที่แล้ว +2

    Aya sasa

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 3 ปีที่แล้ว +1

      Mwajuma mpokee YESU kristo ,mfanye kuwa BWANA na mwokozi wako

    • @mwajumamasumbuko2170
      @mwajumamasumbuko2170 3 ปีที่แล้ว +2

      Mwajuma jina la mama mimi tayari nipo kwa Bwana Yesu

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 3 ปีที่แล้ว

      @@mwajumamasumbuko2170 Amina BWANA YESU akutie nguvu uzidi kusimama ktk njia zake pia kusahau usikose kuzishika amri za Mungu BABA

  • @amerphone9527
    @amerphone9527 3 ปีที่แล้ว +2

    Ame

  • @HoseaPeter-yu3qh
    @HoseaPeter-yu3qh 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa namjua milikua na sali nae katika kanisa la EAGT kagera sugar ni mpole sana

  • @millicentnaliaka
    @millicentnaliaka 3 ปีที่แล้ว +1

    Waah kweli kuna funzo hapa siuongo kakande asante kwa ushuhuda wako

  • @richardpallangyo6198
    @richardpallangyo6198 3 ปีที่แล้ว +1

    Maswali yako yanamtoa kwenye reli jarbu kumuacha amalze alaf ajb kwa ufupi ndo aendelee

    • @oswaldmushani2432
      @oswaldmushani2432 3 ปีที่แล้ว

      Kiukwer ni neema ya pekee wote tuzidi kuombeana

  • @esthermtawa1068
    @esthermtawa1068 3 ปีที่แล้ว +1

    ooh i need the mercy of our lord jesus

  • @johnester4241
    @johnester4241 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana Asante sana kwa .mafunzo

  • @hamicgaga7023
    @hamicgaga7023 3 ปีที่แล้ว +2

    Mmh hapa kwenye umeme cjui

  • @ambitiousholyspirit395
    @ambitiousholyspirit395 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu muache aitwe mungu!

  • @anwarambar6141
    @anwarambar6141 3 ปีที่แล้ว +1

    acha urongo kaka

  • @happyerasto9986
    @happyerasto9986 3 ปีที่แล้ว +2

    Balikia san

  • @benardbalisidya6581
    @benardbalisidya6581 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atusaidie mwisho mwema amen

  • @kapyelumusic344
    @kapyelumusic344 3 ปีที่แล้ว +2

    Mbalikiwe sanaaaa

  • @paskalilameki9568
    @paskalilameki9568 3 หลายเดือนก่อน

    Yesuaokoa

  • @stanslaussshayooo7922
    @stanslaussshayooo7922 3 ปีที่แล้ว +1

    Nahitaji nmba ya huyu kka anisadie kiroho

  • @marcntwari4012
    @marcntwari4012 3 ปีที่แล้ว +1

    Kijaana umetoka mbari.

  • @johnboscomarkus8034
    @johnboscomarkus8034 3 ปีที่แล้ว

    Hi

  • @rachelbomoaemma4943
    @rachelbomoaemma4943 3 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa Kila siku na baba yangu uyu

  • @ameulmontan6753
    @ameulmontan6753 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimejufunza kitu kikubwa sana

  • @brownaled2576
    @brownaled2576 3 ปีที่แล้ว

    Ujui kutoa ushuuda unababaisha tu unaeleza Mambo mengi ya ajabu ajabu tu unaacha lengo

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli nimebarikiwa sana

  • @marywanyama2216
    @marywanyama2216 ปีที่แล้ว

    Ndiyo maana wanasema kutoa ni moyo siyo utajiri ulitoa kidogo ikarejea maraduvu

  • @kobajumakuziwa9976
    @kobajumakuziwa9976 3 ปีที่แล้ว +1

    Bibulia nyoko wee

  • @hassanbinally7127
    @hassanbinally7127 3 ปีที่แล้ว

    Imani ni nzuri lakini angalia isikuponze watu wanatumia imani hiyo ulionayo kukupotosha tumia akili imaninnaelimu ni muhimu sana

  • @lilymatoli7117
    @lilymatoli7117 3 ปีที่แล้ว

    Mm nina swali,ukiokoka je ni lazima ubatizwe kwa maji mengi ndiyo sahihi ama ubatiz wote ni sawa wa maji mengi na haw wa makanisa kma Luther

    • @anordlaurent8751
      @anordlaurent8751 3 ปีที่แล้ว

      Batizwa kwa maji mengi boss ndio sahihi

    • @dorcyjohnson5431
      @dorcyjohnson5431 3 ปีที่แล้ว

      Swali zuri kabisa nimelipenda asante

  • @drnow1528
    @drnow1528 3 ปีที่แล้ว +2

    Tafadhali Jacktan usitucheleweshe

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  3 ปีที่แล้ว

      Sawa,tunaimaliza leo hii

    • @adamfundikira4588
      @adamfundikira4588 3 ปีที่แล้ว

      @@PromovertvTz nami ninacho kitabu kinaitwa wengi watatamani kuingia lakini hawataweza ni ushuhuda wangu mwenyewe by Adam Joseph

    • @adamfundikira4588
      @adamfundikira4588 3 ปีที่แล้ว

      @@PromovertvTz na kimewafunguwa watu wengi sana na nimehubiri makanisa 93

  • @immanuelmwaipopo1605
    @immanuelmwaipopo1605 3 ปีที่แล้ว

    Mungu atusaidie lkn kiukweli mnatuchanganya nyie hamjui tu maana mpaka muda huu sijui nimuamini nani nisimuamini nani kuna mtu mmoja anasema ni nabii alienda mbinguni kama ww lkn yeye anasema shetani hana pembe ni kijana mzuri tu tofauti na vile ulivyosema ww sasa ukweli ni upi Kyala gwakumwanya tutule

    • @truthch1642
      @truthch1642 2 ปีที่แล้ว +1

      Ana mionekano mingi.. anaweza kujigeuza Kwa namna yeyote

  • @falesikitumbo4308
    @falesikitumbo4308 3 ปีที่แล้ว +1

    uyo jamaa in mlundi

  • @anethpriva5576
    @anethpriva5576 3 ปีที่แล้ว

    Kuto kuamini ni dhambi , pia Imani ni daraja

  • @petermkono6643
    @petermkono6643 2 ปีที่แล้ว +1

    Powerful testimony glory to God.

  • @dieudonnesengiyumva584
    @dieudonnesengiyumva584 3 ปีที่แล้ว +2

    Ameeen good testimony im so blessed

  • @swaumabdul2968
    @swaumabdul2968 3 ปีที่แล้ว +3

    Amen jina la bwana libarikiwe

    • @hazayusufu7546
      @hazayusufu7546 3 ปีที่แล้ว +1

      nikweli wema wowote ule hauozi nakila Jambo unalifanya linaledodiwa nakabula kufa unakumbushwa kila kitu ulichofanya hapa duniani kwa mtu ambae hajawahi kukutana namatukio Kama haya utasema niuongo ila huyu Mimi simpingi kuna matukio yalinikuta Mimi binafisi naamini kabisa kwaasilikia zote Moto ipo pepo ipo Yuko sahihi kabisa

  • @joycekathambi3072
    @joycekathambi3072 3 ปีที่แล้ว

    Heaven is real