Mwenye sikio la kusikia na asikie ujumbe huu wa Bwana. Mimi nimesikia na kutii. Naomba Mungu anisamehe kwa niliyoyafanya kimakosa. Ninatubu sasa na kumrudia Mungu aniongoze hapa duniani na hata atakaponichukua mbinguni nikae naye milele yote. Amina.
Ahsante sana kwa ushuhuda wako. Nilionywa pia juu ya kupaka piko na kubadilisha nywele zangu rangi. Ni makosa kumtoa Mungu makosa kwani nywele nyeupe ni yeye huwa anatupa.
Nisamehe Mungu wangu kama ulivyomtendea HUYU mama nitendee na mimi. Kwani nimekukosea kwa mengi hta Kwa kubadili nywele rangi ujumbe umenigusa sana niurumie Mungu wangu
Ashukuriwe Mungu kwa ajili yako Mungu alivyokuokoa kwa Neema yake kuu hata ukaweza kutufikishia ujumbe huu muhimu kwa Binadamu wote. Mimi nimeokoka nampenda sana Yesu lakini nilikuwa bado napaka piko. Ujumbe huu umekuja kwa ajili yangu na sitajipaka tena piko. Uzuri ni wa kumjua Mungu na si wa kujipendezesha mwili huu wa udongo ambao hautamwona Mungu bali Roho yangu iwe salama mikononi mwake. Ubarikiwe sana Dada yangu. Mungu akuzidishie Neema.
Hakika mungu yupo kwajili yetu anatulinda kupitia watumishi wake anatufundisha mungu akubaliki zaidi mamaangu mungu ametufikishia elimu ya uzima wa milele kupitia wewe ubalikiwe sana
Mungu akubariki sana dada... nilikua nimepanga kuweka piko kwa sababu nilinyoa..lakini kwa ujumbe huu sitafanya hivyo.Nimejifundisha mengi kupitia ujumbe huu
😭😭😭😭😭Asante Sana Kwa huo ujumbe nitatubu na ninajua Mungu atanisamehea, Kwa maana simu nimejaribu,kujinyonga pia,na hata ajali,Bwana wamajeshi azidii kuinuliwa❤❤
AMEN Glory to God ubarikiwe sana mtumishi Wa MUNGU mimi pia nikua namaswali juu yahizi vitu lakini Ashukuruwe MUNGU wambinguni kwa kunijibu maswali yangu wacha nikae kama alivyo niuumba MUNGU wangu❤❤❤
Wana WA Mungu Wana Roho WA Mungu wakuwaelekeza ndomaana MTU hawezi kujipeleka kihivohivo Tu sababu anae Roho WA Mungu wakumuelekeza,mbinguni ni pazuri ndugu zangu kwahiyo tusije tukampinga Roho waMungu,ukimpinga siku nyingi naye atakuacha
Watu wa Mungu, MUNGU anasema na mtu mmoja ili kuwaonya watu wake wasienende katika njia sizizo sahihi,sasa nyinyi mnaobeza msidhanie MUNGU atashuka kutuonya,bali yatupasa kufanyia kazi tunayoambiwa,maana MUNGU wetu ni mwingi wà rehema,wengi wanakosea sababu ya kutokujua.ni wakati sasa umefika wa kuwa halisi ili MUNGU aweze kujitwalia utukufu
Amen Mungu nimwema ubulikiwe kwakufikisha ujumbe . Mungu anapenda waliyo wake azidi kufundisha nawengine maana sisi wa mama ulembo utasababisha tunayikosa Mbingu pamoja na dawa zagupanga uzazazi wengine wanasema za kuachanisha mimba. Nimakosa sasana nimauwaji tunafanya Mungu arinionya kwahivyovyote.
Asante mtishi wa Mungu kutuelimmisha kwani hata mimi na uzee wangu natumia rangi kufanya nywele nyeusi, Mungu turehemu na tunaangamia kwa kukosa maarifa ya Mungu ubarikiwe sana mtumishi
Asante kwa ushuhuda na MUNGU Yehova Asifiwe kwa kukutosha mbali.Habari za mtoto aliyezaliwa Mungu Muumbaji wa vyote awabariki katika jina la YESU KRISTO Amen
Muhimu ni tujitahidi kuacha Madhambi Tumuabudu mola wetu,Madhambi ni mengi sana hata ukiatafakari sioni wa mbinguni hata mmoja,Ila ajuaye zaidi ya yote ni Mungu.wanadamu hakika tuko kwenye pazia
Jamani kwanza nauliza huyu Mungu uliyekutana alikuwaje kwa sababu Mungu ni mtakatifu sana ulikuwa utakatifu gani hadi ukamuona Mungu roho mtakatifu. Tuambie utakatifu wako hadi kukutana na Mungu Hata Mussa hakumuona Mungu
Lisilowezekana kwa mwanadamu kwa Mungu linawezekana. Mungu huwachukua watu kwa maono na ni kitendo Cha kama umepelekwa mahali Fulani.Kaa na Mungu utakuja ona hili kwako mwenyewe ndo utaelewa kinachozungumzwa.
PIKO NI ILE RANGI NYEUSI AU RANGI YEYOTE INAYOBADILISHA NYWELE ILI ZIWE NYEUSI AU VINGINEVYO, WENYE MVI KICHWANI WANAITUMIA ILI KUONDOA MVI KICHWANI.
Asante
Oho ok Asante sana kwa ufafanuzi nilikuwa najiswali kama piko ni nini. Mubarikiwe sana Watumishi wa Mungu.
Piko kama ni dye si Kuna rangi tofauti, sio tu nyeusi pekee.
Ubarikiwe
Jaman up wap
Mwenye sikio la kusikia na asikie ujumbe huu wa Bwana. Mimi nimesikia na kutii. Naomba Mungu anisamehe kwa niliyoyafanya kimakosa. Ninatubu sasa na kumrudia Mungu aniongoze hapa duniani na hata atakaponichukua mbinguni nikae naye milele yote. Amina.
Asante sana kwa ushuhuda wako naamini umenibadilisha na kuwa na mwelekeo mpya wa Imani . MUNGU azidi kukutia nguvu.
Ahsante sana kwa ushuhuda wako. Nilionywa pia juu ya kupaka piko na kubadilisha nywele zangu rangi. Ni makosa kumtoa Mungu makosa kwani nywele nyeupe ni yeye huwa anatupa.
Mungu wangu nimefanya Mambo mabaya Sana Mungu nihulumie Mimi naomba toba naomba rehema katika gazabu yako kumbukizi rehema ee Mungu wangu nihulumie
Natumbu Mungu anisamehe sana kwa yote nimetenda ya siyo mupendeza asante mama kwa ujumbe🙏
Eeeiii🙉hakika ametenda nikutubu Tu n kumrudia mungu Asante Kwa ufunuo🙏barikiwa
Ameen Ameen Ameen in jesus name mama ubarikiwe sana pamoja n kizazi chako mim ni mkenya acha Mungu aitwe Mungu
Amina, mwenye kujitakasa aendelee kujitakasa na MWe kujichafua azidi kujichafua, UJUMBE HUU KUNA MTU AMEPONA.
Ak ubarikiwe sana mamangu umenifungua akili na ujumbe huu akika ntakufanyia kazi nahata wengine ntawaambia ili wajihadhari na haya
Asante MUNGU kwa sababu bado unatupenda Nina kutukuza sana
Amina mama nimeogopa sana mungu nisamehe kwa yote👏
Amin mutumishi NAMI pia Nisha wahi kuweka piko kichwani mwenyezi mungu anisamehe sitaludia tena
Nitabu Kwa jina layesu kirsto
Amen mtumishi wa mungu ubarikiwe sana
Asante Yesu
asante yesu
Amen Amen 🙏 Asante sana kwa ushuuda ime nijenga sana
I must commend the host..amemwachia mgeni ajieleze bila interruptions...the flow is awesome.barikiwa sana
👏👏👏vizuri sana
Haleluya acha Mungu atujalie kuwa watii ,ubarikiwe sana mama yangu mwenye sikio na asikie
mungu aturehem wamama hakika kwa mungu mimi ni mdhambi na mungu akubariki sana mama kwa hushuuda
Mungu tusaidie kupitia roho wako mtakatifu atufundishe jinsi ya kuenenda ktk maisha ya hapa dunian
Amina mtumishi wa Mungu kusikia nimesikia tena Roho wa Mungu amenishuhudia kabisa ila
Mungu nisaidie niwe mtii A
Nisamehe Mungu wangu kama ulivyomtendea HUYU mama nitendee na mimi. Kwani nimekukosea kwa mengi hta Kwa kubadili nywele rangi ujumbe umenigusa sana niurumie Mungu wangu
Ashukuriwe Mungu kwa ajili yako Mungu alivyokuokoa kwa Neema yake kuu hata ukaweza kutufikishia ujumbe huu muhimu kwa Binadamu wote. Mimi nimeokoka nampenda sana Yesu lakini nilikuwa bado napaka piko. Ujumbe huu umekuja kwa ajili yangu na sitajipaka tena piko. Uzuri ni wa kumjua Mungu na si wa kujipendezesha mwili huu wa udongo ambao hautamwona Mungu bali Roho yangu iwe salama mikononi mwake. Ubarikiwe sana Dada yangu. Mungu akuzidishie Neema.
Hakika mungu yupo kwajili yetu anatulinda kupitia watumishi wake anatufundisha mungu akubaliki zaidi mamaangu mungu ametufikishia elimu ya uzima wa milele kupitia wewe ubalikiwe sana
Asante kwa ujumbe nzuri maana umetufundisha mengi tusiyoyajua na mungu akubariki
Mungu atusaidie sana
Amina mdogo wangu 12:36
Asante sana mama Kwa ushuhuda
Asante Mama hili jambo limekuwa ngumu sana kufunza kanisani hasa Wake wachaga
Mungu akubariki sana dada... nilikua nimepanga kuweka piko kwa sababu nilinyoa..lakini kwa ujumbe huu sitafanya hivyo.Nimejifundisha mengi kupitia ujumbe huu
Mungu tusaidie tupe kuyatambua mapenzi yako maana yapo mambo mengi tunayoyaona ya kawaida kumbe ni machukizo kwa Mungu
Mwenye sikio na asikie,Asante kwa ujumbe tumeupokea
😭😭😭😭😭Asante Sana Kwa huo ujumbe nitatubu na ninajua Mungu atanisamehea, Kwa maana simu nimejaribu,kujinyonga pia,na hata ajali,Bwana wamajeshi azidii kuinuliwa❤❤
AMEN Glory to God ubarikiwe sana mtumishi Wa MUNGU mimi pia nikua namaswali juu yahizi vitu lakini Ashukuruwe MUNGU wambinguni kwa kunijibu maswali yangu wacha nikae kama alivyo niuumba MUNGU wangu❤❤❤
Wana WA Mungu Wana Roho WA Mungu wakuwaelekeza ndomaana MTU hawezi kujipeleka kihivohivo Tu sababu anae Roho WA Mungu wakumuelekeza,mbinguni ni pazuri ndugu zangu kwahiyo tusije tukampinga Roho waMungu,ukimpinga siku nyingi naye atakuacha
Yesu mwana wa Mungu nisaidie na mimi
Amen,Asante kwa ujumbe mtumishi wa MUNGU
Asante mama kwa ujumbe mzuri, Mwenyezi Mungu akubariki umenifundisha sana.
Amen Mungu Akubariki sana,kwa kutufikishia Ujumbe huu utatuokoa wengi.
Asante YESU KRISTO kutufunulia haya
Ameeni ameeni mungu aturehemu tusimame ktk kristo yesu
Asante. Sana. Mama. Mungu. Akubariki na aendelee. Kukulinda ili. Uendelee. Kutoa. Ushuhunda wa. Mungu
Hakika ashukuriwe MUNGU Asante mama kwa ujumbe mzuri nimejifunza kitu nanimeelewa sana
Be blessed mum for your powerful testimony I'm so blessed pia Mimi nilionywa kuhusu nywele
Amen dada kwa ujumbe
Mungu atusiitiye sana🙏🙏🙏
Please ujumbe mzuri kweli kweli mama Mungu akubariki saana....uendelee kutufundisha mengi
Mungu akubariki huu ushuunda umenibaliki sana 🙏🙏
Asante mtumish mungu anisamehe kwakutenda dhambi
Watu wa Mungu, MUNGU anasema na mtu mmoja ili kuwaonya watu wake wasienende katika njia sizizo sahihi,sasa nyinyi mnaobeza msidhanie MUNGU atashuka kutuonya,bali yatupasa kufanyia kazi tunayoambiwa,maana MUNGU wetu ni mwingi wà rehema,wengi wanakosea sababu ya kutokujua.ni wakati sasa umefika wa kuwa halisi ili MUNGU aweze kujitwalia utukufu
Mungu nisamehe,,,mimi ktk makosa yangu niliyoyatenda naomba msamaha wako😢😢😢🙏
Mungu atulehemu tuu
Asante mama mtumishi nashukulu kwa ushuhuda wako umenibaliki amy
Amen Mungu nimwema ubulikiwe kwakufikisha ujumbe . Mungu anapenda waliyo wake azidi kufundisha nawengine maana sisi wa mama ulembo utasababisha tunayikosa Mbingu pamoja na dawa zagupanga uzazazi wengine wanasema za kuachanisha mimba.
Nimakosa sasana nimauwaji tunafanya Mungu arinionya kwahivyovyote.
Asante mtishi wa Mungu kutuelimmisha kwani hata mimi na uzee wangu natumia rangi kufanya nywele nyeusi, Mungu turehemu na tunaangamia kwa kukosa maarifa ya Mungu ubarikiwe sana mtumishi
Ubarikiwe sana mama Mungu twakuomba uturehemu
Amen. Mungu. Akubariki
Haya jamani
Amen Amen Amen
Amen umezidi kunifuta karibu na Mungu
Mungu Akubariki madam Ujumbe Umeutoa mungu yupo pamoja nawe
Amina. Mungu aendeleye kuku jaza na Roho wake milele yote Amina.
Ubarikiwe sana nimejifunza mengi ila nikwa neema 2 nimesikia
Mungu atusaidie Sana na Mungu aturehehemu
Asante kwa ushuhuda na MUNGU Yehova Asifiwe kwa kukutosha mbali.Habari za mtoto aliyezaliwa Mungu Muumbaji wa vyote awabariki katika jina la YESU KRISTO Amen
Amina mama ubarikiwe Sanaa ujumbe tumeupata
Ee Mungu Baba turehemu maana tumekutenda dhambi sana sana hata kulijua hili ni kwa neema yako Baba🙏🙏asante mama kwa ujumbe mzito
Muhimu ni tujitahidi kuacha Madhambi Tumuabudu mola wetu,Madhambi ni mengi sana hata ukiatafakari sioni wa mbinguni hata mmoja,Ila ajuaye zaidi ya yote ni Mungu.wanadamu hakika tuko kwenye pazia
Yaan kama ni hivi wote ni WA moton maana hakuna tulilokuwa hatujalifanya
Kuacha kutubu,Msalabani tulikombolewa Wapo Watakatifu Wanaompenda Mungu
Amina sana dada yangu umenigusa
Siludii. Kupaka .piko Tena Asante mtumishi wa mungu
Ubarikiwe sana mama kwa ushuhuda huu kweli tumejifunza.
Abarikiwe Sana kwa kutumika kwamafundisho hayo mungu amemtendea kwani nimesadiki kwani yamenitoke japo Mimi niwatofauti kidogo mungu atukuzhwe
Amina tutatubu ujumbe mzuri
Amen mungu atusaidie kuyashinda yadunia tuishi kwenye kusudi lake
Mungu wetu na BWANA wetu Yesu Kristo UNIREHEMU na uturehemu
Amen na mungu aku bariki kutu leteya neno na message njema kwetu
Amen
Amen asante sana kwa ujumbe wako ubarikiwe
Amen my was Mungu sehemu yako umefanya kazi kwetu
Mungu akubariki
Amina Asante Sana nimejifunza mengi ubarikiwe
Emen,emen,asanti sana mchungaji ume nijenga sana hakika mungu wacha aitwe mungu naomba roho mtakatifu aniongoze❤
Amen mungu atusamehe kabisa
Hakika Mungu ni mkuu,anaturudi na kutuonya Kwa namna ya kipekee, 40:26
Ameeen waaah dadangu ameyaona mungu azidi kukutia nguvu
mungu azidi kukulind na kukuonesh mengi.maan sis binadam hatuamni kuwa mung anaponya mung atusaidie amen
Amena mama mungu anisaidie na mm
Yesu unipendae kwako nakimbilia niww utoshae nisaidie kutenda mema
Hili ni kweli kabisa, pia Mungu alinionya sana kuhusu jambo hili la kubadili rangi ya nywele.
Glory to God mungu yuko ameni
Ubarikiwe mama
Ubarikiwe sana mtumishi nikweli kabisa ata mm majaribu kama hayo nimepitia mepelekwa huko kuzimu acha tu mungu atusaidie
Mungu tusaidie hatujui tulitendaro
Ubarikiwe sana
Asante kwa ujumbe mum mungu atusaidie tuenende katka mapenz yake
Mungu uturehemu🙏🙏
Asante mama nimejifunza kitu kuhusu ushuhuda wako
Eeh sijui niseme nini Mamangu wa kiroho wala nitende nini Ila kumshukuru Mwenyezi Mungu.Hata Mimi nilipitia hapo hadi nilitamani nisememe niliyoyaona Bali,,,,,,,,,,,,,,Mungu azidi kutukumbuka
Mungu nimwema sana ubarikiwe mama ukawe mwalimu wa wote walio hai
Amina kubwa sana
Amen watumishi wa Mungu
Amina kwa ujumbe mzury ubarikiwe
Amina Mungu akubariki
Jamani kwanza nauliza huyu Mungu uliyekutana alikuwaje kwa sababu Mungu ni mtakatifu sana ulikuwa utakatifu gani hadi ukamuona Mungu roho mtakatifu. Tuambie utakatifu wako hadi kukutana na Mungu
Hata Mussa hakumuona Mungu
Shauri yako.
Wewe kuwa na moyo mgumu wa kuelewa,ukifika huko utakumbuka ujumbe,utatamani kutubu ila nafasi haitakuwepo
Lisilowezekana kwa mwanadamu kwa Mungu linawezekana.
Mungu huwachukua watu kwa maono na ni kitendo Cha kama umepelekwa mahali Fulani.Kaa na Mungu utakuja ona hili kwako mwenyewe ndo utaelewa kinachozungumzwa.
Asanteee kwa ujumbe mzuri mama tumepona
Mungu akubariki sana mama kwa ushuhuda mzuri mwenye sikio na asikie