RIDHIWANI KIKWETE Amwambia MZEE OLE SENDEKA - "WEWE na BABA ni MARAFIKI, Kwanini Mmekuwa WAONGO?
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 19 ม.ค. 2025
- RIDHIWANI KIKWETE Amwambia MZEE OLE SENDEKA - "WEWE na BABA ni MARAFIKI, Kwanini Mmekuwa WAONGO?
NAIBU waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, Ridhiwani Kikwete ameendelea na ziara yake ya kutatua migogoro ya ardhi wilayani Simanjiro mkoani Arusha.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
⁸0
Anazo busara mh Naibu waziri Ridhiwani1
Olesendeka inaonekana wewe ni dikteta hata kwenye swala lile la ngorongoro hufai wewe
.lo92
Lmokl0
Nimemwelewaridhiwani leo mwanzoni niliona labda kapewa upendeleo kwenye uwaziri kumbe jamaa yuko Bright piga kazi Mheshimiwa kazi nzuri unaifanya
Hongera Muheshimiwa Ridhiwani unamuheshisha baba yetu Mh. Jakaya Mrisho Kikwete 💪
Mheshimiwa Ridhiwani wewe jembe Mungu aendelee kukubariki Kwa kazi nzuri.
Tatzo hapa ni sendeka,big up sana Ridhiwani busara ya hali ya juu
Good job Mh Ridwiwani K ukijua muongo Kati Yao, usimsikilize tena. Kazi nzuri unafanya haki itajulikana
Riziwani ni kama mzee wake kamtuma kijana wangu kafanye kazi ufute rekodi mbaya kwenye familia yetu🙌🙌🙌
Rais ajae huyo mtoto wa samia
Mimi nilitamani MAMA angekuacha kwenye hiyo Nafasi ya Naibu Waziri Wa Ardhi well done Brother.
Ridhiwan hongera sana kaka kwa busara zako, watu was chini tunaonelewa sana!
We ni bonge wa kiongozi mungu akupe afya njema kazi iendelee
Ridhiwani umenipa picha tofauti. Wewe ni jasiri, kiongozi imara. Sasa kama watakupa Uraia mbeleni sina kipingamizi. Mungu akulinde mno.
Mheshimiwa hongera sana uko vizuri. Njoo na huku Kahama tunasumbuliwa sana na watu wa ardhi, tunanyanyaswa sana. Makonda alipokuja tulisaidika kidogo ila Bado shida ni kubwa Mh. Njoo utusaidie
Ridhiwani Mungu akulinde nisaidie na mimi pale vigwaza kuna mtu amekuta nimeshanunua eneo miaka 3 nyuma akaja akang'oa nguzo nakujenga banda la ngurue nikamshitaki ktk baraza kesi ilikaa miaka 2 maana mke wake.anafanya kazi ktk baraza hilo.amewahi kunitishia kwa panga hadi kutuma mtoto wake kunfanyia fuji matusi n.k.ishahidi wote upon na aligeuza kesi yangu na kunipeleka tena mahakamani naomba msaada namesake sana
Nimefurahi kuona both Royal sons katika majukumu muhimu
Nimependa muheshimiwa waziri umeiacha hekma na busara itende, hongera mkuu.
hongela sana kaka LIDHIWANI kwa kazi nzuli 👏👏👏
Ridhiwani mi Mwanasheria, mawasli yake yote kutoa maoni ni ya mtu aliye si tu soma sheria bali aliyefanya kazi ya sheria. Kwa hiyo wana Kijiji hawakuwa tu wanaongea na Waziri wa Ardhi bali pia Mwanasheria. Natumaini mgogoro huo wa ardhi uliisha vizuri. Baraka za Mungu kwa watoto. Nasi tuna shida hiyo na watu wa zamani wanaojua yote hawataki kuwa mashahidi.
Nilimwelewaga sana mhshmw Kikwete, leo naanza kumwelewa mhshmw Ridhiwani, asante sana kwa msimamo wako👏👏 this is it!
Ridhiwan ni mwanasheria
Masha Allah kazi nzuri Ridhiwani umeifanya Allah akubariki zaidi na uongozi mwema wenye wisdom and good judgment
My brother Ridhiwani kumbe wewe ni Comrade you are rich but very intelligent
Kwenye hili Mh.Ridhiwan Kikwete umesema vyema sana. Migoro mingi ya ardhi ni migumu sana,ila watu wakiacha kuwa waongo na busara za wahusika wenyewe zikitumika kama ulivyosema inasadia kuondoa kesi zisizo za msingi na zinazopoteza muda na rasilimali zingine.
Mh.Ridhiwani hapo kuna jambo limejificha safi Sanaa🙏🏼
Msimamie huyo Dada🤗
Mbunge anagombania Ardhi aibu hiii
Unajua kuna ujanja hpo waziri fanya kazi yko nakusikiliza kuna kiongozi mjanja sna hpo
NI AIBU SANA KIONGOZI KUGOMBEA ARDHI.
Ridhwa unatatua mgogoro Arusha.wakati wapiga kura.wako wa kitongoji Cha costo kijiji.cha Sadan.wananyanyaswa na campuni ya.majambazi ya sea.salt wananchi wanazuwa.huduma muhimu ,ikiwemo.mji chakula nyumba za ibada zinavunjwa watu wanabomolewa nyumba zao kinyume Cha Sheria Ridhwani umeshindwa kuwatetea Muhjndi anajitamba anasema Serikali kaitia.mfukoni,
Hongera Sana liziwan
Hongera wazir ridhiwani safi sana unapenda haki
Ndio yule mh ridhiwan nilie mkatia tamaa Leo kani umbua na kunionesha utofauti big up my brother
Ridhiwan namkubali sana ukimfuatilia sana kwenye kazi zake na maneno yake ni ya busara sana
Mheshimiwa Naibu Waziri Ridhiwani, you have done a great job, hongera sana sana....
Hekima nyingi sana Brother Ridhiwan 🤝🇹🇿
Sendeka seems like he can't get enough.
Uyo sendeka na wamasai wenzie hawataki watu kutoka maeneno mengine mkutoka pande za Tanzania kumiliki ardhi
Ndugu comrade Ridhiwani kazi nzur ingawaje kwa sasa umebadlishwa wizara
Safi waziri
Safi sana Ridhiwan kwa umakini wako
Hongera sana Comrade Mwamba Rizzy
ULIPOPIGA HATUA KWENDA KWENYE MIPAKA HAPO MH ULIONESHA DHAMIRI YA DHATI KUTATUA MGOGORO, HUO UMBALI SIO MCHEZO....NA NI PORI KAMA UNA DHAMIRA YA KWELI USINGEJICHOSHA, BIG UP SANA. HAKI IDUMU
Hongera sana Waziri nimekupenda sana
Ni kweli hata mimi leo ndo nashtuka Ridhiwani ni mtu wa mtindo gani. Hongera Ridhiwan. You deserve it
Nimekuelewa vizuri sana mkuu maneno ya hekima sana hayo
Hongera viongozi wetu siyo kukaa ofisini kuzunguka na vitu na wakati wananchi wanataabika
Mh Ridhiwani your very smart. I wish tungeonana utusaidie shida ya mgogoro wa shamba pia.
Hyu wazir ana hekima mno! Hongera Rais Samia
Great mind Ridhiwani
Huyu Mzee anajifanya mjuaji sana mungu atamnyosha tu
Kumbe Ridhiwani ni Kiongozi kweli,mwamba unafaaa sana
Hongera ridhiwani umemuelewa vzuri ole sendeka
big up ridhiwan brother nimekuelewa unahekima.sana kaka
Hongera sana muheshimiwa Naibu waziri wa aridhi. Safi sana
Mh mbona kama nimemuelewa Ridhwani. Anafaa sana Shukran kaka
Nimemuelewa sna Mh.Ridhiwani,namuona JK
Big Up Boss Ridhiwani😍😍😍😍
Mh.ridhwani msaidie Huyo dada na ndugu zake,usikubali Hilo swala walipeleke kwenye vikao vya madiwa au vikao vyao vya kimila,umasaini mwanamke Hana dhamani kabisa.Hao jamaa ni wakorofi mno mno Kisha wanafki sana sana.plse WAZIRI.
Jamii za kimasai mwanamke si kitu kabisa
Your smart like your dady i wish mungu akupe uwezo wanupeo wa kuona mbari km baba yako
Lidhiwani,weyee upo safi sanaaa,htaki ubabaishaji😂😂😂
It just hit me right now kwamba I've been looking at Nancy. God be with you my sister. I know your not a lier
Aisee leo nimejua riziwan anafaa kuwa kiongozi kwa mujibu alichokifanya mungu akusimamie amina
WAZIRI UCHWARA. SIKIA HATA UONGEAJI WAKE. WALA HAJIELEWI. HATA UONGEAJI WAKE HAUNA BUSARA. UHUNI MTUPUU.
Mmmh,we ulitaka aongee vipi!?
msiwadhurumu wanyonge haki yao mzee mtoto wa kikwete Mungu akutunze nimekuelewa Vizuri sana
Maturity! Nimekukubali
Hongera waziri
Mh waziri Sasa hiyo ndio kazi tunayohitaji kuiona Mungu azidi kukuongeza hekima
Vizuri San
Naibu waziri hekima ipo nyingi sana hongera sana pia dada ana hekima sana
Safi sana Mhes.. Riz1
Haya mambo yanaumiza sana...mtoto unashindwa kuacha mali ya baba yako inachezewa...na unahisi km marehemu anazalaulika...mkijitahidi mpiganie haki ya baba yenu ambaye ni marehemu mnakutana na usaliti uliovuka mipaka! Mungu walaani wote wanaodhulumu mali za marehemu!
Uko vizuri waziri good speech
Riziwanu safi sana chapa kazi
Mhe. Wape mabinti haki yao mimi naifahamu hiyo nyumba ya Mzee Yese. Uko vizuri mhe Waziri. Tuna ushahidi wa kutosha. Pia wakumbuke waliokufa wanaona.
Hapo sasa Ridhiwani nakuelewa. Jitahidi kuwa hivyo ulivyo.
Mkuu ridhiwani kwa hapa nimekukubali unafanya kazi kwakujiamini hongera sana
Maneno ya hekima sana dah! Skuwahi kukusikia ukiongea kwa mda mrefu kias hiki dah! Riziwani Mungu akuongoze.
RIZ anaongea kama MZEE JK daa damu kali aiseeee, nice nice
Mungu akubariki sana kwa kazi nzuri
Nimependa sana ulivyo wapa ukweli riziwani mungu akutiye nguvu wasiwarushe hao mabinti
Kweli mkuu mungu akurinde
Ridhiwani kikwete umeivaaaaaaaaaaaaa
Hii ndio maana ya uongozi! Hongera sana Mh N. Waziri 👏👏
Riziwa'n upo vizuri jembe letu
MashaAllah Allah akup busara zaid
Mungu akulinde wazili Ridhiwani ila huyo mzee sijui
Sendeka ujuaji mwingi; hongera sana mhe.Ridhiwani hakika wewe ni kiongozi busara yako na hekima yako imesaidia pakubwa hakikisha haki inatendeka.
Dada utapata haki yako
@richardchuwa4402 sasa mh ameshabadirishwa wizara
Nyie huyu kaka namuelewaga sana . Piga kazi jembe letu Mungu akulinde . Simamia haki na Mungu akubariki.
Tupe updates za shamba la Bw. Yese kama ilirudishwa jamani. Nangojea ujumbe please 🙏🙏🙏
Unafanyia kazo site.Asante kwa kazi nziri Ridhiwan
My roll model
Leo ndo nimemjua RK... kiongozi mzuri sana...
Hongera sana Riz,upo sahihi
Kwa namna nilivyooangalia mwanzo mwisho Huyo Mzee Ana shida na siyo Mkweli hata kumwangalia tu akiongeongea unajua hii janjajanja porojo za kisiasa .
Mh Naibu wa Waziri Big up Broo uko vizuri kwenye kutenda haki. Keep it up
Ni mshemzi na hao wote wanamsupport ni jamaaa zake hawataki kabisa watu wa kuja kumiliki ardhi
Ridhiwan upo vizuri hongera kwa hekima zako hao dharau ni kwa vile ni mtoto wa kike❤❤
Huo ndyo uhalisia
Nimesikiliza mpaka mwisho Kwa mara ya kwanza nimemuelewa akiwa hivi safiiiiiii
Hongera sana kijana kaz nzur saidia hio familia
❤❤❤❤❤your job brother
Good job, ridhiwan uko na mungu. Akulinde daima ukweli utabaki kuwa ukweli.
Good job
Safi Sana ridhiwan
Mungu wetu asante kwa viongozi Wa hivi lakin Haya yote alianzisha Mzee wetu najua watanzania wengi mnamfaham
Asante waziri Kuna unafiki hapo
Mimi ni mkazi wa Arusha nilifanya kazi bagamoyo kwa miaka zaidi ya 8 toka 1999 hadi 2008 namjua huyu mtoto ana roho nzuri sana, na moyo wake mwema, jasiri kama baba yake. Baba yake alishindwa tu kumsemeya huyu mtoto ili asijeambiwa anamsifia mtoto wake kwa sababu zake. Lakini huyu mtoto Ridhiwani ana zaidi ya hekima. Wanyonge kaeni mkao kula kwa huyu kijana Mh. Ridhiwani.
Umetumwa nini 🤧🤧🤧
Nili chojifunza tusomeshe watoto huyu binti yupo vizuri
Hapo kuna kazi kubwa sana, kumnyang’anya masai eneo la malisho ni Sawa na kutaka kumtoa uhai, Mbunge anatetea eneo la wananchi wake.Busara itumike kutatua mgogoro huo
Sendeka ni mtu makini
Ridhiwani pia ni waziri makini
Haki itolewe sawa.
Japo wengi wape
hongera
CONGRATULATIONS NAIBU WAZIRI RAFIKI YANGU UMEKUWA VIZURI SANA NEXT TO BE WAZIRI KAMILI . FANYA KAZI USIANGALIE SULA HUYU NANI FATA HAKI SEMA UKWELI. NAKUPA MAUWA YAKO BRO
Nataman mungu akujalie ue Rais
KUMBE RIDHIWANI NI ZAIDI YA KIONGOZI
ALLAH AKULINDE NA MAHASIDI
Ameen mashaallah
Upo vizuri sana naibu waziri,fchapa kazi
Hili sio la kukaa wazee tena,mbele kwa mbele
Sure
Kweli kabisa
Nimekupenda sana leo😭😭huyo mzee atageuk humo kaburini😭😭 imenigusa sana, mimi pia nimepitia ktk kudhulumiwa ardhi ya familia yangu baada ya mume wangu kufariki, na documents zote tunazo...tumemwachia Mungu...
Mngemalizana tuu ki rafiki jamani..hizi ardhi tunaziacha.
Anahekima sana mungu akubariki mwanetu
Kiongozi umeongea vizuri sana, umebalance maneno Yako mimependa mh.
Goood jobu