GWAJIMA AMVUNJA MBAVU RAIS MAGUFULI, SPIKA NAE HOI, BUNGE ZIMA LAMPIGIA SHANGWE...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • GWAJIMA AMVUNJA MBAVU RAIS MAGUFULI, SPIKA NAE HOI, BUNGE ZIMA LAMPIGIA SHANGWE...
    Rais Dkt John Pombe Magufuli, leo Novemba 13, amelihutubia Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na kulifungua rasmi Bunge la 12...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 88

  • @shebbybongo567
    @shebbybongo567 3 ปีที่แล้ว

    Sijajua bado, kweli tunaishi kwa kutegemea mapato ya ndani? Maana kuna maneno huko kuwa tunapewa trillion kadhaa kila mwaka sijui imekaaje hii, sasa gwajima unaita mabeberu, wakati barabara nyingi tanzania na miradi mingi utasikia kwa hisani ya watu wa Norway, Canada, marekani, sasa tusiwatukane kwakuwa tumefanya miradi miwili mitatu kwa pesa ya ndani, usitukane wakunga uzazi ungaliko

  • @stevensosipita2851
    @stevensosipita2851 3 ปีที่แล้ว

    NAMUONA SAMIA KWAMBALI ANATABASAMU LEO KAMSALITI MAGUFULI MWEEE.

  • @sophiamalinga18
    @sophiamalinga18 3 ปีที่แล้ว +1

    Wewe si Askofu tena umeshapotea jiulize huo ubunge umeupata kwa haki?

    • @b.warron4631
      @b.warron4631 3 ปีที่แล้ว

      Wewe unajuaje kama ajaupata kwa haki..

  • @johannesmaloda8209
    @johannesmaloda8209 3 ปีที่แล้ว

    dah...jamaa anauwezo kinoma

  • @jeanmubemba1204
    @jeanmubemba1204 3 ปีที่แล้ว +2

    GWAJIMA UMETOA HUTUBA NZURI SANA BIG DR,YOU ARE GENIUS KULIKO MBITI MTANI,BWANA AKUBARIKI SANA,SIKUJUA UNA UWEZO MKUBWA HIVI

  • @kefawales8187
    @kefawales8187 ปีที่แล้ว

    Rest in Peace Magufuli

  • @humayduwe1762
    @humayduwe1762 3 ปีที่แล้ว +3

    Mzungu wa watu kajisikia vibaya hapo neno beberu 😂😂 gwajima noma.

    • @hamedabashir9
      @hamedabashir9 3 ปีที่แล้ว

      Kumbe umeliona💕💕💕💕😂😂😂

    • @amanafi1288
      @amanafi1288 3 ปีที่แล้ว +1

      Neno Beberu ni kamaneno 'Shoga' si kila Mwanaume anawakilisha hiyo tabia...Na pia si kila Mzungu ni Beberu...Mabeberu ni wale tuu wanaopanga kuwa na Vibaraka mpaka hii leo zaidi ya Karne ya 21...

  • @georginajohn8456
    @georginajohn8456 3 ปีที่แล้ว

    Mungu Ibariki Tanzania

  • @hawasalim6388
    @hawasalim6388 3 ปีที่แล้ว +2

    Upo vizur gwajima 😁

  • @christophertarimo5047
    @christophertarimo5047 3 ปีที่แล้ว

    Sema vizuri JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI

  • @hamismkunda1452
    @hamismkunda1452 3 ปีที่แล้ว +1

    Safarihii ni mwendo Wa ndiooo

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 3 ปีที่แล้ว

    Gwajima kaongea ukweli halisi hata kama wabunge wengi wa CCM hawataki kuusikia.JPM ndiye aliyewabeba katika ushindi wao.

  • @jacoblaiser7634
    @jacoblaiser7634 3 ปีที่แล้ว

    Mhe Gwajima nakupa.Kongole kubwa kwa hotba kubwa na njema ya shukraniuliyoitoa kwa Mhe Raisi. Kongele Mhashamu ASkofu, Mbunge wa Kawe (CCM)

  • @amenyemwansile631
    @amenyemwansile631 3 ปีที่แล้ว

    Gwajima akili kubwa Sana rais magufuli usimwache kwenye baraza lako la mawaziri

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 3 ปีที่แล้ว +1

    Unaibu unakuhusu

  • @rajabusalehe4474
    @rajabusalehe4474 3 ปีที่แล้ว +1

    Kanikoshaaaaaaa

  • @sophiamgaza3800
    @sophiamgaza3800 3 ปีที่แล้ว

    Dini

  • @abdallahkatema2623
    @abdallahkatema2623 3 ปีที่แล้ว

    Tumshukulu mungu kwakila neema tuipayo tanzania

  • @abdallahkatema2623
    @abdallahkatema2623 3 ปีที่แล้ว

    Tumshukulu mungu kwakila neema tuipayo tanzania

  • @matswelopelemphela9676
    @matswelopelemphela9676 3 ปีที่แล้ว

    Kichwa hiyo bhana uwiii gwajima wetu kaza mwendo.

  • @juliusmagheke1379
    @juliusmagheke1379 3 ปีที่แล้ว

    Rais Jiwe wabunge Majabali,
    Daaaah!
    Hivi kati ya jiwe na jabali lipi kubwa na hatarii.

  • @ezraamasawe6423
    @ezraamasawe6423 3 ปีที่แล้ว

    Uko vizur ngwajima

  • @jeanmubemba1204
    @jeanmubemba1204 3 ปีที่แล้ว

    TUUNGANE WOTE JAMANI CCM NA WAPINZANI KWA MANUFAA YA NCHI YETU

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 3 ปีที่แล้ว

    SIMPLY RUBBISH

  • @juniormaro2497
    @juniormaro2497 3 ปีที่แล้ว

    Kuuona ufulme wa Mungu ni kazi sana kumuita lissu mbwaa wakati na yaye ni mfano wako Mungu kaliona bango lako gwajima

  • @siyeyetv
    @siyeyetv 3 ปีที่แล้ว +1

    Haya

  • @omarikombo1410
    @omarikombo1410 3 ปีที่แล้ว

    Sijui nikupe uwazili wa michezo na utamaduni

  • @jonasdeo455
    @jonasdeo455 3 ปีที่แล้ว

    bba uko juuu if jmi chozi

  • @ankosubi6066
    @ankosubi6066 3 ปีที่แล้ว +1

    duuuh gwaji

  • @derickkatto9944
    @derickkatto9944 3 ปีที่แล้ว

    Good gwajima

  • @eliasenkoro1567
    @eliasenkoro1567 3 ปีที่แล้ว

    Hakika j Rashidi Jehanam inakusubiri.

  • @keziatimotheo967
    @keziatimotheo967 3 ปีที่แล้ว

    Gwajima nimekuelewa

  • @nicolauswandao8988
    @nicolauswandao8988 3 ปีที่แล้ว

    Kinachoniuma ni vile meza tulizonunua kwa kodi zetu zinageuzwa ngoma

  • @shikuassi4876
    @shikuassi4876 3 ปีที่แล้ว

    Umetisha mzee baba.

  • @sitellamatni6878
    @sitellamatni6878 3 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda namahubili humohumo

  • @danielmbwile9644
    @danielmbwile9644 3 ปีที่แล้ว

    Una jipya

  • @davismdula1517
    @davismdula1517 3 ปีที่แล้ว +2

    Ndy hayo mambo tulikua tunayasubili kwa hamu kupongezana,kupigiana makofi,na kuwaponda wapinzani mambo ya kanga pat

  • @samgwazay1208
    @samgwazay1208 3 ปีที่แล้ว

    Saw mchungaji upo vizuri kiaina

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 3 ปีที่แล้ว

    Gwajima wewe ni kiboko yake😁😁

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 3 ปีที่แล้ว +1

    Gwajima 🤣🙌🇹🇿🇹🇿❤️

    • @misanamtaki8997
      @misanamtaki8997 3 ปีที่แล้ว

      Kweli Gwajima ni kiboko hongera unastahili.

  • @alexmazengo439
    @alexmazengo439 3 ปีที่แล้ว

    Unazingu gwajima

  • @elianifaaluka4790
    @elianifaaluka4790 3 ปีที่แล้ว

    Heeee hili vip mbwa nani

  • @shedrackmwaipopo9427
    @shedrackmwaipopo9427 3 ปีที่แล้ว

    Wagogo tena

  • @mariamkadija7764
    @mariamkadija7764 3 ปีที่แล้ว

    Huyo ndy gwajima boy

  • @samsonmagesa3959
    @samsonmagesa3959 3 ปีที่แล้ว

    Kesho yako inang'aa kuliko Jana yako hilo ni fumbo Utalijua kipindi cha kubadirisha vipengere vya Ukomo wa Urais

  • @edenbaraka7533
    @edenbaraka7533 3 ปีที่แล้ว

    Musha anza single movie za kiskuma

  • @elizabethmwaisaka2121
    @elizabethmwaisaka2121 3 ปีที่แล้ว

    Hongera Askofu

  • @richardsimoneumedanganyamw3255
    @richardsimoneumedanganyamw3255 3 ปีที่แล้ว

    Kazi imeanza

  • @mwanahawaomarimashaka197
    @mwanahawaomarimashaka197 3 ปีที่แล้ว

    Lkni bado anasumbuliwa na R na L

  • @eddymtoro2778
    @eddymtoro2778 3 ปีที่แล้ว

    ndugu muandishi mbona unamulika saana hapo juu vipi umeona BEBERU AU?

    • @anahna6788
      @anahna6788 3 ปีที่แล้ว

      Kuna BEBERU kama wote
      Wa kisungu na wa kipastani na wa kiharabu

  • @jonasdeo455
    @jonasdeo455 3 ปีที่แล้ว

    oil if juu shee how nw

    • @dafrozasangi3038
      @dafrozasangi3038 3 ปีที่แล้ว

      Ila hapo Mchungaji umebugi KWA sababu huwezi kutumikia mabwana wawili

  • @simonnyasa9498
    @simonnyasa9498 3 ปีที่แล้ว

    Good

  • @scolaandrew437
    @scolaandrew437 3 ปีที่แล้ว +1

    Haha haha Gud

  • @zawadikambi80
    @zawadikambi80 3 ปีที่แล้ว

    Kweli wabunge wengi wamepata kura kupitia Mtani wa mama Magufuri

  • @ramadhanchenga4606
    @ramadhanchenga4606 3 ปีที่แล้ว

    Mnapeana utukufu ninyi kwa ninyi lakini ule utukufu wa mungu haupo ndani yenu

  • @stanleymathias7877
    @stanleymathias7877 3 ปีที่แล้ว

    Hii akili inapaswa kuwa mwenye baraza la mawaziri Tanzania.....

  • @jasmine.mayala7597
    @jasmine.mayala7597 3 ปีที่แล้ว +1

    Uchungaj ameacha?mbn anaita wenzie mambwa tena!🙄🙄🙄🙄🙄🙄

  • @jameskalokola800
    @jameskalokola800 3 ปีที่แล้ว

    Piga majesh ya bwana baba pindua vti vya enzi

  • @Jackson-Novat
    @Jackson-Novat 3 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda hutuba yako Mh. J. Gwajima. Imetulia na inaeleweka.

  • @fidelslick2086
    @fidelslick2086 3 ปีที่แล้ว

    Is Great to have Muheshimiwa Gwajima Bungeni very Wise Safii Sana

  • @tumlakimwaitumule
    @tumlakimwaitumule 3 ปีที่แล้ว

    Beberu 😀

  • @HarleenKaur-ge7uo
    @HarleenKaur-ge7uo 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂

  • @alexkihongola798
    @alexkihongola798 3 ปีที่แล้ว

    Hatari Sana.

    • @ayshakayeko2043
      @ayshakayeko2043 3 ปีที่แล้ว +1

      Kawaida tu

    • @jonaskalinga8956
      @jonaskalinga8956 3 ปีที่แล้ว +4

      Piga keleleeeeeeeeeeeeee kwa gwajima wake weweèeeeeeeee

    • @rajabusalehe4474
      @rajabusalehe4474 3 ปีที่แล้ว +1

      Kanikoshaaaaaaa

    • @rosemshana9948
      @rosemshana9948 3 ปีที่แล้ว

      alafuu oo wapinzani wanatuka hapo ngwaj, anafanya nn? au ndio kunya anye kuku akinya bats!

    • @barakamponda914
      @barakamponda914 3 ปีที่แล้ว

      Tunza maneno wewe ni mtumishi mambwa hapana j