Dahh kwa kweli Muheshimiwa Rais Samia amepambana mno kukamilisha hii miradi mikubwa sana na ya pesa nyingi,pengine mwingine angeitelekeza kwanza ila mama alijifunga kibwebwe,hongera sana
Are there plans to keep the skills gained by the Tanzanian personnel in this country? The Ministry needs to establish a roster of all Tanzanians participating in these big projects for future projects.
Magari maxito ya mizigo kutoka nje ya nchi yalipe kuvuka. Itasaidia kurudisha gharama za ujenzi, kurekebisha uharibifu wa barabara na kuliongezea taifa kipato. Daraja likikamilika mzigo wa bandari ya Mombasa kwenda Rwanda, Burundi na DRC utapita hapo.
Meli zinaweza kupita bila wasi wwte,kuna kipimo kiliwekwa ...ndo maana urefu wa nguzo za pale katikati ni ndefu sana kuliko zile za huku mwanzo kwa pande zote mbili...
Tanzania inahitaji kujenga barabara nzuri zenye njia 3 na hata 4 kwa kila uelekeo...sehemu hii inaonekana itakuwa na njia mbili tu kwa kila upande na hii itasababisha matatizo kadhaa ya trafiki siku zijazo... think big like they do in Africa. Kusini na Zimbabwe na Kanada.

Korea good work
viongozi wengi wanaotoka mikoani wanamaono makubwa sana r.l.p wetu mzalendo
Another step forward
Rip Jpm tutakukumbuka daima vizazi na vizazi
Huyu mkorea anafaham naona anatikisha kichwaa😂😂
Are there plans to keep the skills gained by the Tanzanian personnel in this country? The Ministry needs to establish a roster of all Tanzanians participating in these big projects for future projects.
Mh waziri sema tumshukuru magufuli nasio huyo mama ako
Hongera
Here we go
Wekeni Round about kubwa upande Kigongo na Busisi ili kama kuna mtu aanataka kugeuka iwezekane
Tanzania tunafanya mambo makubwa sana.
magufuli sema
Magari maxito ya mizigo kutoka nje ya nchi yalipe kuvuka. Itasaidia kurudisha gharama za ujenzi, kurekebisha uharibifu wa barabara na kuliongezea taifa kipato. Daraja likikamilika mzigo wa bandari ya Mombasa kwenda Rwanda, Burundi na DRC utapita hapo.
Viongoz wa kanda ya ziwa miradi ikija itekelezen coz haw viongoz wa upande wa pwani,,,sias ndio kipaumbele chao
Swali langu Meli kubwa itaweza kupenya chini apo au meli azipitigi kabisa route iyo
Meli zinaweza kupita bila wasi wwte,kuna kipimo kiliwekwa ...ndo maana urefu wa nguzo za pale katikati ni ndefu sana kuliko zile za huku mwanzo kwa pande zote mbili...
Ndio hapo panap maliziwa ndio pana urefu kwenda juu
meli ina njia yake inapopita ni tofaut kabisa na lilipo daraja....ko meli inapita njia yake na daraj lipo pahal pengine
Meli ipite kutoka wapi na ikienda wapi?
Hapana pale meli haipiti meli inapita mbali Sana huku ni mwisho Kama kigamboni.
Barabara ya nsalaga to ifisi inayopita Jiji la mbeya njia nne mbona imesisima ujenzi
Mbeya mmekalili upinzani kwahyo maendeleo kwenu yatachelewa sana.
Mbeya wabishi sana hata mkipewa bado mnawapa kura wapinzani mtakula jeuri yenu badala mdili na tulia mnadili na sugu
Ile barabara ya bumbuli vipi ulituahidi kua mwezi wa7 takua ishatiwa lami je tayari?