Hadithi ya makandokando kwenye mjadala wa DP World| GG Podcast

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • Ukali wa mjadala haumo kwenye NINI kipo ndani ya mkataba baina ya Tanzania kushirikiana na Dubai kwenye uendeshaji na uendelezaji wa bandari, bali upo kwenye NANI wamo mkataba wenyewe. Mwandishi na mwanahistoria Mohamed Said anazungumzia ilikoanzia na inakoelekea hadithi ya makandokando haya.

ความคิดเห็น • 243

  • @user-hu4vs2en5n
    @user-hu4vs2en5n ปีที่แล้ว +5

    M/mungu akujaalie Kila la kheri Leo na kesho inshallah(baba yangu)Habib mwamba

  • @ahmedbaamironlinetv4753
    @ahmedbaamironlinetv4753 8 วันที่ผ่านมา +1

    Hii ni njama YA Nyerere na inajulikana musiseme kua musiletewe udini baadhi yenu munao comment,, sisi zanzibar tumechoka na muungano hatuutaki kabisa ipo siku ishaallah
    Nyerere alitudhihirishia kua haipendi zanzibar haipendi uislam

  • @br.samwelmparange4986
    @br.samwelmparange4986 ปีที่แล้ว +5

    Babu upo Sawa. Nawasihi wote tuyasahihishe yanayokera ktk mkataba huo ili Kwa pamoja tusonge mbele Kwa umoja wetu tuliorithi toka Kwa Waasisi wetu WA Taiga letu. insha'Allah tutaelewana.

  • @suleimamhamad116
    @suleimamhamad116 ปีที่แล้ว +4

    Mwenye enzi Mungu amsema kwenye Qur Ani tukifu kwamba yaliyomo makafiri ni mazito zaidi kama nyinyi mutayaona. Basi hatuwashangai chuki zao zidi ya Waislamu. Mungu azidi atupe Uislamu ushindi. Amen.

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wazanzibar wanajipendekeza sana kwa waarabu

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 4 วันที่ผ่านมา

      Sawa sawa na nyinyi munavojipendekeza kwa Wazungu na wamarekani

  • @SA-xj8hc
    @SA-xj8hc ปีที่แล้ว +1

    Asante Sheikh Mohammed kwa kutujuvya na kutuzindua kumbe kuna madudu makubwa ya serikali ya Tanzania dhidi ya raia wake wasiokua “ WAKATOLIKI” inakuaje kuweka “ memorandum of understanding “ na Makanisa ya kuwasaidia mabilioni ya fedha ya walipakodi kwa Wakristo tu wakati wanasema serikali haina dini?

  • @denismakanyanga
    @denismakanyanga ปีที่แล้ว

    Historia nzuri hakika imenipa sura nzuri ya kunifanya nielewe mambo mengi,very informative story

  • @IlhamKhalid-mt3jp
    @IlhamKhalid-mt3jp 8 วันที่ผ่านมา

    Masha allah

  • @The199269
    @The199269 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mzee huwa ana udini sana, kila akifungua mdomo lazima alete Ukristo na Uislamu, hizi dini tumeletewa tu jamani sisi sote ni watanzania, tujadili kwa mantiki ya utanzania wetu

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 ปีที่แล้ว

      Kama hutaki kumsikiliza zima data unataka tusikilize maneno ya paulo tito 2:13 hatuna sisi ujinga huo bali sisi tutamfuata yesu 17:3 yohana..!

    • @The199269
      @The199269 ปีที่แล้ว

      @@hassanmfaume4522 wewe mi mpumbavu tu, hizo dini mlizoletewa na waarabu na wazungu zimewasaidia nini zaidi ya kuwagawanya tu?? Stupid

  • @mwalimuali1850
    @mwalimuali1850 ปีที่แล้ว +6

    Bora tuvunje muungano maana watanganyika hawana imani na nia njema na wazanzibari.

  • @carloskalongo1171
    @carloskalongo1171 ปีที่แล้ว +1

    Njaa mbaya sana

  • @silvesterrichardhelenya1319
    @silvesterrichardhelenya1319 ปีที่แล้ว +3

    Ongeeni ibovu wa mkataba dini ni vikundi vya kumwendea mwenyezi mungu kila mtu aabudu anachoona ni haki kwake

    • @gessanabuu2099
      @gessanabuu2099 ปีที่แล้ว +1

      Mbona viongoz wenu wa juu wa dini wanaweka mbele udini kuliko maslahi ya taifa na hamuwakemei? Huend mnapiga makofi.

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 ปีที่แล้ว

      Kwani mkataba si umepelekwa kanisani kujadiliwa nn ..!

  • @salumsuleimankhalfan3414
    @salumsuleimankhalfan3414 ปีที่แล้ว +4

    Sheikh Mohd mm nashauri ufanye kipindi na mama Maria Nyerere atueleze yeye anafahamu nini juu ya mchango wa Waislam kwa mwalim Nyerere.

  • @ericsamba464
    @ericsamba464 ปีที่แล้ว +4

    Daah huyu Mzee Mohamed Said pamoja na kuwa mwanahistoria mzuri sana, lakini huwa hawezi kuangalia jambo lolote bila kuvaa miwani ya dini. Kwa mfano, hili la bandari mbona halina udini wowote jamani?

    • @josephrutta6834
      @josephrutta6834 ปีที่แล้ว +1

      Mzee kanishangaza sana hata Mimi. Kumbe nchi hii kuna watu wana UDINI hivi?? Mimi hata kwenye uchaguzi sijawahi fikiria dini ya mtu kabisaaaa! Nahisi sina wivu na dini yangu, inabidi niamke aisee.

    • @hamishassan6784
      @hamishassan6784 ปีที่แล้ว

      sijui unaelewa au huwelewi au ndio unafanya makusudi. jifiche kwenye hiko kichaka lakini baadae utajutia ubinafsi wako. kwani hujui aliye wasema waislamu na wazanzibar badala ya kujadili mkataba? ikiwa Lema alikiri na kuonesha kuwa Samia ni rais wetu wote kwani hujui alikuwa anamaanisha nini. chokoeni tu nafasi ni yenu

    • @ritchiemuta1092
      @ritchiemuta1092 ปีที่แล้ว

      Usitegemee jipya kwa huyu ni mdini sana vipi mkataba umepatikanaje???
      Udini ni lugha yenu na hasa huyu bw said

    • @jamesmbata8542
      @jamesmbata8542 ปีที่แล้ว +1

      @@josephrutta6834 umeona eeh. Tatizo ss wakristo tunachukulia wote ni watz kumbe wenzetu wana agenda yao pembeni wanawachagua viongozi kwa dini zao😄

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 8 วันที่ผ่านมา

      Udini upo mbona hampingi mkataba wa MoU wa makanisa na serikali kama ninyi mna tetea maslahi ya nchi mbona hamkulalamikia jueni kuwa nchi hii si yenu kwanza mko wachache sana asilimia zaidi ya sitini ni waislamu tuheshimiane tusidhulumiane wala tusikwazane..!

  • @globalpeacesummitstv8825
    @globalpeacesummitstv8825 ปีที่แล้ว +2

    Mkuu umeongea vizuri lakini hata aliyekuwepo Bandarini Nazri Karamagi ni Muislam. Hapa sio udini tusiendekeze hayo. Hapa ni vipengere vya Mkataba ndo vijadiliwe, lakini pia Kumtaja Rais kusiwepo kwa sababu ahusiki na Makando kando haya. Yeye alimpa Jukumu msaidizi wake (Waziri) naye ana wasaidizi wake Wanasheria ambao nadhani ndo walizembea kupitia Mkataba ule.
    Naona mambo yanazungumzika na yanajadilika . Tuwe watulivu na tuzungumze wala hatuhutaji kuhesabu Waislam ni wangapi na Wakristo ni wangapi, hebu tutazame Utanzania kwanza.

  • @mwanache
    @mwanache ปีที่แล้ว +5

    Mzee kila ulichokisema kinadhihilisha tatizo la udini ambalo waislamu mnataka kulileta ndani ya nchi. Mimi ni mkristo na maisha yangu yote miaka 56 marafiki zangu wengi ni waislamu na hatujakuwa na tatizo la kidini. Wakristo hatuna shida wala muda wa kuiongelea kuran au uislamu MARA nyingi nimeona ndugu zetu waislamu wakiwaongelea wakristo na kuongelea biblia. Wote tunajua kuwa dini ikiingizwa kwenye siasa ni HATARI KUBWA… ndio maana tukasema nchi yetu haina dini. Na serikali haihusiani kabisa na swala la kujenga shule au vyuo vya kidini hilo ni swala la taasisi, waumini, na dini husika. Swala la mkataba linahojiwa na watu wote waislamu na wakristo… wote hawapingi waarabu kuja kusaidia kuboresha utendaji na ufanisi wa Bandari zetu KINACHOHOJIWA ni baadhi ya vipengere vilivyomo ktk mkataba kuwa havina tija kwa Taifa. Mzee unaonyesha kuwa ulitaka Nyerere alete udini kisa alishirikiana na waislamu ktk Uhuru wetu… Nyerere hakuamini ktk kuendesha nchi ktk misingi ya kidini… kuwepo kwa wakristo wengi wenye Elimu ndani ya serikali wakati huo ilikuwa sio Nyerere alilileta bali lilitokana na wakristo wengi walikuwa na Elimu nzuri kutoka ktk shule za wamisionari. Tatizo waislamu wengi wakati huo walijikita sana ktk Elimu ya madrasa/dini. Ningesema mengi ila nadhani unapotosha umma na sio kitu kizuri… UNALETA UDINI KTK SWALA HALIHUSIANI KABISA NA DINI ZETU… madhara ya mkataba hayatajali dini ya mtu, yanaathari kubwa kwa wote waislamu/wakristo.

    • @danielkanso
      @danielkanso ปีที่แล้ว

      Huyu mzee sijamuelewa maana tunazungumzia kuwa kunavifungu vya mkataba wenyewe haupo sawa yaani kuna tatizo sasa yeye ndiyo kaleta zaidi mambo ya udini badala angesisitiza watu kuwa pamoja

    • @user-yv7ij4zh4k
      @user-yv7ij4zh4k ปีที่แล้ว

      Halafu huyu mzee anataka atuthibitishie kwamba Dini ya Ukristo ni ya ubaguzi wa rangi akidai kwamba Uislamu hauna ubaguzi wa rangi. Mbona sasa Waarabu walifanya Biashara ya Watumwa kwa Babu zetu kama hawana ubaguzi wa rangi?
      Wote Wazungu na Waarabu na watu weupe walitubagua na kututawala na hii wala haihusiani chochote na Dini.
      Kwanza hao DP World anaozungumzia watendaji wengi ni Wazungu na watu wa nje wala sio Waarabu kama anavyodhani. Kwani Mkataba wa DP World utakunufaisha nini wewe kama Mwislamu au Mkristo?
      Nimeishi Arabuni wengi hawana elimu bali wanatumia Wazungu na Wahindi kufanya kazi za Kitaalamu. Watu weusi wengi wanabaguliwa sana.

  • @mwanjalimfaume6380
    @mwanjalimfaume6380 ปีที่แล้ว +4

    Mkataba wa Bandari sio wa Dini Ni wa Kisheria na tueleze mspungufu yake Kisheria na sio kidini

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 ปีที่แล้ว

      hakuna mkataba wa bandari, hizo ni porojo za wapotashsji wasioitakia mema nchi hii. fatilia hutuba za waziri mkuu. na ndiyo maana hakuna yoyote anayeweza kuutoa huo mkataba hadharani na akaonesha mapungufu yake, wanachokifanya ni kuwahadaa watanzania kwa kutumia mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa kiinchi kati ya Tanzania na Dubai. Hao wapiga porojo wana ajenda ya siri kuwavuruga watanzania ili kuimarsha chama chao na hata kuzuia usimamizi mpya wa kampuni inayotajwa ambayo inaonekana wazi itazuia wezi wanaoiba hapo ambao asilimia kubwa ukichunguza utagundua ni watu wanaotoka ktk kanda inayowaunga mkono wapiga porojo hao, hao ni watu wao wanaonufaika na hiyo hali iliyokuwepo hapo na ndiyo maana hauwezi ukasikia wakiutaja ufisadi unaofanyika bandarini hapo zaidi wao kung'ang'ana na upotoshaji huku wasiojua kuna mchezo gani unaofanyika wanabaki kuwa wasindikizaji kwa kufata mkumbo wakihisi wanasapoti uzalendo kumbe na wao wanasaidia harakati za kuwabakisha wezi bandarini.

    • @Mweya-87
      @Mweya-87 ปีที่แล้ว

      Umejieleza sana, lakini naweza kusema umetumia vibaya muda wako.

  • @eugenaxwesso9321
    @eugenaxwesso9321 ปีที่แล้ว +2

    Na vitabu unavyovisema ni vile vinavyofundisha uendeshaji wa dola na utoaji haki kwa misingi ya kiislamu

  • @ignasmalema8354
    @ignasmalema8354 ปีที่แล้ว +1

    Mzee jifunze vizuri historia ,acha kukurupuka

    • @nashirkamugisha9425
      @nashirkamugisha9425 ปีที่แล้ว +1

      Hakuna gwiji wa hostoria ya kweli tanzania kama mohamed said.

  • @freemonhenry3448
    @freemonhenry3448 ปีที่แล้ว +3

    Mzee, tuliitaji hekima yako yuu ya swala la bandari na sio udini wako. Watanganyika tunapigania haki ya vizazi vyetu vijavyo.

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 ปีที่แล้ว

      Kizazi gn ulichonacho kenge wewe. Wewe ungekuwepo enzi ya Nouh ushakufa tayari nyiye mliomtabisha .

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 ปีที่แล้ว +2

    Waisilam wanapenda kuwazungumzia wakristu.wana udini sana

    • @AYUBUCHAKELA
      @AYUBUCHAKELA 2 หลายเดือนก่อน

      Wawafatilie kwakipi kwani wananini kamasilolote sichechote

    • @Nedjadist
      @Nedjadist 13 วันที่ผ่านมา +1

      Labda wee si Mkristo uanaehudhiria Kanisa. Waislamu wawazungumzia Wakristo nje ya Msikiti, ama Wakristo huwazungumzia Waislamu ndani ya Kanisa na nje yake. Kama hujui njoo tukuoneshe.

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 8 วันที่ผ่านมา

      Wakristo hata ktk vikao vyao wanajadili waislamu na mali zao watapora vipi kupitia mahakama TRA au ugaidi

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 4 วันที่ผ่านมา

      Ukweli unauma

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 ปีที่แล้ว +1

    Pole sanaaaa shekhe wewe acha udini na ukabila hapa ni swala la bandari tu hatuwataki waarabu wache wachukue srdhi wewe una kazi ya ngonjera tu

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 2 วันที่ผ่านมา

    Ukweli mtupu

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 ปีที่แล้ว +2

    Hayo yanini mkataba mubovu hatuutaki chaudini pelekeni huko

  • @jhbakili9483
    @jhbakili9483 ปีที่แล้ว +1

    Umeongea mema matupu hongera mzee, mwenyezi mungu akupe afya na hatima njima.

  • @tediusmakwara3931
    @tediusmakwara3931 ปีที่แล้ว +1

    safi shekhe

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 2 วันที่ผ่านมา

    Ningepata mtu anifahamishe huu mkataba wa kanisa na serikali ya tz pls

  • @user-fr7jj1bo7y
    @user-fr7jj1bo7y ปีที่แล้ว +1

    Mohames Saidi yeye kila siku kuhubiri udini tu Badala ya kujadili mkataba na vipengele vyake vyenye utata mnadjili dini na ukabila mnacheza ngoma ya CCM

  • @Azikiwe-qi6jd
    @Azikiwe-qi6jd ปีที่แล้ว +2

    Hawa watu wamejaaa udini sijawahi ona, kumbe lengo sio kujadili mkataba bali udini, nyie mtaacha lini udini

  • @user-cz7bd9tc5k
    @user-cz7bd9tc5k ปีที่แล้ว +1

    Wacristo na Waisilamu Wana tufanya Sisi Tusio Amini Dini zao Kwamba Hatuna haki na Nchi hii

  • @allyamri5028
    @allyamri5028 ปีที่แล้ว +7

    Kikweli watanzani hawajazungumzia dini. Watu wanazungumzia masharti mabovu ya mkataba. Ninyi mnapata wapi hahari ya dini?. Waislam tusipoacha mambo ya kuzuazua basi sisi ndio tutaanzisha mambo ya udini ndani ya tanzania. MASHEHE ZETU ACHENI MAMBO HAYO!!!!!.

    • @faza4023
      @faza4023 ปีที่แล้ว

      Sahihi kabisa..kama ni waarabu kuwekeza wapo mbugani tokea mwaka 92, kujengwa bwawa la Nyerere lipo chini ya Misri..mara hii jibu kwa hoja mkataba una mapungufu au hauna sio unasema Tu udini

    • @joycemkeka3769
      @joycemkeka3769 ปีที่แล้ว

      Hakika kaka mimi nakuelewa sana unasema kweli jamani ebu tuache kuingiza mambo ya udini kwenye ilijambo tatizo ketu sio dini wala uislam

    • @AliAbdullah-oy6yo
      @AliAbdullah-oy6yo 4 หลายเดือนก่อน

      Kwa hiyo huu ukweli anaouzungumza ww uliwahi kumsikia Nyerere anasema? Kwani si kulikuwa na jumuiya ya Kiislaam kiongozi wake Sheikh Swaleh Bin Ameir Nyerere kwa kuona maendeleo mazuri kwa Uislaam akaivunja? Na Mali za wa Islaam kutaifishwa? Sasa ww hoja yako nn kutuhumu Waislaam? Fuatilia historia vizuri.

  • @kelvinjelas3923
    @kelvinjelas3923 ปีที่แล้ว +1

    Chokochoko za kumfanya Nyerere alikuwa kitu kidogo hàziwezi kutusaidia chochote maana ni wazi kwamba alikuwa na marafiki na maadui vile vile. Namuona Mwandishi akijenga hoja ya kuuinua udini zaidi kuliko hoja iliyopo ambayo wengi wanajaribu kuitumia zaidi kuitetea DP World.

    • @gessanabuu2099
      @gessanabuu2099 ปีที่แล้ว +3

      Lazima ikuume hpo kwasabb ukweli siku zote mchungu

    • @kelvinjelas3923
      @kelvinjelas3923 ปีที่แล้ว +1

      @@gessanabuu2099 Tatizo ni matumizi ya akili tu... maana kuna watu wanajifanya waislamu kuliko hata Mtume Muhammad (S. A. W). Kuna haja gani ya kulazimisha tujadili uislam katika mkataba wa DP world. Bahati mbaya kila waislamu wengi wanadhani kila anayeutaja uislamu basi anautetea kumbe wengi wanajificha tu katika uislam kutafuta huruma ya waislam baada ya kutuibia au kutumika na mabepari kama kondomu.

  • @allyamri5028
    @allyamri5028 ปีที่แล้ว +2

    Acheni kabisa hizo mambo kwani ninyi ndio mnaanzisha mambo ya udini. Zungumzieni mambo ya MKATABA TU. SAWA NDUNGU ZANGU WAISLAM?

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 ปีที่แล้ว +5

    Tatizo hili alisha lisema marehemu ilunga,tatizo kubwa lililopo ni mfumo ukiristo ndio unao ila tanzania 🇹🇿 tatizo mfuko ukiristo

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 ปีที่แล้ว +1

    ohoo nahisi magaidi wanafurahia warabu kuchua ubia

  • @eugenaxwesso9321
    @eugenaxwesso9321 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo baraza la mitihani kama kweli inadoofisha uislamu imekuwake inaandaa mitihani ya dini ya kiislamu ? Acha kuwa mwongo ndugu

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 ปีที่แล้ว +4

    Wanao chafua nchi hii ni Chadema tu na ndio wanao toa kauli chfu hasa za udini na ukabila

  • @michaelmillinga5064
    @michaelmillinga5064 ปีที่แล้ว +2

    Sioni Logic ya haya maongezi, ninachoona ni wazanzibari wawili wanajadili mambo ya Tanganyika tuu.. kama wadubai wazuri wapeni bandari yenu huko Zanzibar.. na huu muungano Bora ufe.. badala ya kujadili maisha nyie mnajadili dini

    • @abuutasniym2675
      @abuutasniym2675 ปีที่แล้ว

      Uyo mzee sio mzanzibari bali nimtu wa mainland (Tanganyika) upande wa Tanga kwahio ondoa chuki zako dhidi ya Zanzibar

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 4 วันที่ผ่านมา

      Sikiliza kwa makini na kama unawazo la kupinga,basi andika

  • @nicolaskalunde
    @nicolaskalunde ปีที่แล้ว

    Ni mwalimu mzuri wa historia.
    But hapa ni ishu seriously haitubadilishi mindset. Hapa ni msimamo wangu binfsi sipependi MUUNGANO. Naburuzwa jamani hee!!

  • @emanuelkimaro195
    @emanuelkimaro195 ปีที่แล้ว +8

    Mazungumzo haya yamiasha hisia za wengi waliosikia na watakao sikia ninawaomba tuwe makini kunapojadili tuvumiliane hizi chokochoko za udini ni hatari kwa usalama wa taifa siyo jambo la kufanyia ushabiki.
    Na viongozi wetu waache kutumia udini kama silaha.
    Wakemee mjadala wa kidini.
    Tunafanya uchanguzi tangu uhuru kiongozi huchanguliwa na waislamu na wakristo hakuna udini.
    Wote bila kujali dini tukutane kwenye masilahi ya taifa Kwa vizazi vijavyo.
    Dini isitufanye tuwe wajinga.

    • @mwigaadam1179
      @mwigaadam1179 ปีที่แล้ว +3

      Udini unakuja wanapo jadili masuala haya waislamu tu Kaka?? Mbona askofu mwakipesile anaongea mazito juu ya udin hasa uislam na hakuna and dauti acha udini we nakujiona wakiristo mupo swa mapuwa ww

    • @ramadhanimtetu3656
      @ramadhanimtetu3656 ปีที่แล้ว +2

      Wakiristo Siku zote wanajizima data
      Wao Wakijadili Maslahi ya Kitaifa kidini dini wanaona sio Udini ila kwa wengine ndio unazuka Udini
      Nashindwa Kuelewa

    • @soudmoshmnyika5813
      @soudmoshmnyika5813 ปีที่แล้ว

      Msituone wajinga kukaa kimya tunajua mengi , tukiamua tunaweza waislam, wakristo ndio chimbuko la yote haya

    • @edgarmbegu1974
      @edgarmbegu1974 ปีที่แล้ว +1

      Waislamu tatizo lenu ni uongo. Katibu mkuu wa baraza la mitihani la taifa ni muislamu. Nini kimebadilika? Halafu wewe mzee mbona tunawalaumu wazungu kwa ubeberu? Huyu mzee anafikiri DP Wotld ni ya waislamu, anafikiri inakuja kujenga misikiti au itakuwa inagawa pesa na ajira kwa waislamu. Hiyo ni kampuni ya watu wenye hisa toka mataifa na dini mbali mbali. Lengo lao ni kupata faida ya pesa na siyo kueneza dini. Ni mzee asiye na busara hata kidogoo. Yaani kuikataa DP World ni kukataa waislamu? Na watu wanachopinga, ni vipengee vya mkataba. Anavyoongea, utafikiri ni mwarabu. Pambafu kweli na mwongo mkubwa.

    • @HassanHassan-sn5cj
      @HassanHassan-sn5cj ปีที่แล้ว

      Nyerere alipokua anapiga kelele za udini alimasnisha waislam Wakae kimya hata wakifanywa chochote tatizo hamumjui kwasababu kauweka ugalatia juu akaukanyaga uislam uliomueka juu someni vitabu vyake alivyotunga mwenyewe au kile cha (jimbo kuu la daresalam) mwenyewe amesema nilazima kanisa aliweke juu wakati akimjibu pedre John sivalon wakati alipo muuliza utalifanyia nini kanisa?!
      Nakweli katudhalilisha sana waislam wenyewe tunajua! Nahata viongozi wakubwa wamekua wakitamka wazi hadharani wakionesha chuki zao juu ya uislam akiwemo Lukuvi tena akiwa kanisani !! Kama hamjui chuo kikuu cha Dar ni cha waislam muhimbili ya waislam mpaka ikulu ya Dar ilikua chuo cha Kil Islam sema wengi hawajui ila ipo siku haki itakaa juu kama sio sisi basi wajao wataiweka hakii juu !!!

  • @mfaumemetta-vr1cl
    @mfaumemetta-vr1cl ปีที่แล้ว +1

    Bwana Ibin Saidi kuna mambo unachanganya vibaya hivyo akiwa mwislaam atuibie tu akitujengea miskiti inatosha? Hapana hivyo unasema mkataba hauna dosari?

  • @amanilucy
    @amanilucy ปีที่แล้ว +2

    Jaman me naamini kunawaisilamu wasomi sana nyie haumuoni mkataba ni mbovu ,mkataba gani hauvunjiki,, mkataba gani hauna consideration ,mkataba gani hauna time,,,, tusilete udini na uzanzibar na ubara ,, dibouti wanalia adi Leo na mkataba wa DP world kwani dijibouti ni nchi ya kikristu

  • @kassimhaji1141
    @kassimhaji1141 ปีที่แล้ว +3

    Nimefurahi kuzungumza ukweli

  • @salimmasoud1253
    @salimmasoud1253 ปีที่แล้ว +2

    Yaani Shekh Mohd wewe madini ya Tanzania nzima yawekwe kushoto na ww ukae kulia basi bado ww unathamani zaidi kuliko hayo madini.

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji ปีที่แล้ว

    Fact and true 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @abdallahabdu8194
    @abdallahabdu8194 ปีที่แล้ว +1

    Sawa, lakini hili ni biashara inanyonya wa TZ.

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 7 วันที่ผ่านมา

    Mohamed saidi si mdini kama mayo coment!!ila siku zote ukiongelea kuhusu uislam u,utaitwa mdini!!l
    Maana maana ya udini kwa tsfsiri ni kuutaja UISLAM!!

  • @kelvinjelas3923
    @kelvinjelas3923 ปีที่แล้ว +1

    Uislam kama ulivyo ukristo unaharibiwa na wanafiki ndani dini zenyewe.

  • @danielkanso
    @danielkanso ปีที่แล้ว +1

    Kwa hiyo haya yote mkataba wa namna hii umeletwa na udini maana mimi siamini kuwa katka udini naona kuwa viongozi wetu wawe wapole waache mihemuko maana wananchi wanauliza vifungu vya mkataba ambao unaonyesha kuwa mkataba unatatizo kumbe kuna mambo ya siri

  • @listonjiwe3467
    @listonjiwe3467 ปีที่แล้ว

    Hakuna udini ninachoona hapa marumbano wenzetu wanaojua sheria wanasema mkataba ni mbovu kwani bala hakuna waislamu watanzania wote bala na visiwani tuwe makini kwenye suala hili la bandali ili wanasiasa wasitugawe kwa propaganda wanazoleta kuingiza udini kwenye ishu inayohusu maisha yetu na vizazi vyetu kama watanzania nilichoona mbinu nyingi ovu zinatumika na wanasiasa wasiopenda muungano wetu kwa kujalibu kuingiza suala la bandali na udini tuwe waangalifu na tuache kutumiwa

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 7 หลายเดือนก่อน

    ✌️👊👍。

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 ปีที่แล้ว +3

    Rasully llah (S.A.W) yakuloo (Alkafirunaa millatully waheda)

  • @derimkongwa5965
    @derimkongwa5965 ปีที่แล้ว +1

    Shdq yenu mmekalia kuzungumzia udini. Kikawaida huwezi kuwa muasisi bila kuwa na sapoti mzee kwani mlitaka awe mwenyew ndio mumsifu

  • @user-le1mo8ru7u
    @user-le1mo8ru7u ปีที่แล้ว +2

    Kuhusu elimu kumbuka nyerere alitaifisha shule zote za wakristu na Mali zao zungumzia na hilo

    • @hazaaahmadhazaa2770
      @hazaaahmadhazaa2770 ปีที่แล้ว

      sio zote alitaifisha za
      mission za
      seminary zikabaki!

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 7 วันที่ผ่านมา

    wakiristo walikuwa hawana haja ya kugombana na wazungu wakoloni,maana wazungu walikuwa wakiwapa watu wa makanisa good chase!na kanisa likisaidiana na wazungu ktk kutawala!!!

  • @nickjuma6020
    @nickjuma6020 ปีที่แล้ว +2

    mbona nashindwa kuelewa!!? Mimi nilifikiri hapa cha muhimu zaidi ni mkataba wa DP World! mambo ya dini yanakujaje!!?🤷

    • @bekabakari7394
      @bekabakari7394 ปีที่แล้ว +1

      Yote haya bro
      Yameletwa na wanasisa
      Pale wanaposema
      Wa Zanzibar wanauza Tanzania
      Hivyo yameleta fikra tofauti

  • @adilalzay9160
    @adilalzay9160 ปีที่แล้ว +3

    Changamoto inabaki kuwa muda ushapita na watu washachukua mkondo mwengine kabisa wa historia ya nchi hii. Hata mambo kama haya ni kama paukwa tu na Shekh anaonekana kama mtu anayezusha tu khabari hizo. Wapo waliotaka tufike hapa, na huenda hata huyo Nyerere akifufuka leo atapinga kila kitu [ tujadili na mashinikizo ya Makoloni yalikuwepo tangu ]. Kilichobaki sio kuzungumza juu ya makosa ya wakristo wala kudhulumiwa kwa waislamu ila kuliunganisha taifa pamoja .Mimi nawaza hivi habari hizi wakristo wanapozisikia watachukua mkondo gani angali nao mamboa wameyakuta tu? MTU ASIYEJUA HISTORIA YAKE AKIVUTWA HUKU ANAKWENDA , AKIVUTWA KULE ANAKWENDA

    • @soudmoshmnyika5813
      @soudmoshmnyika5813 ปีที่แล้ว

      Labda nikuambie kitu kadinari pengo anayafaham haya na wengi katika wakristo walio na nyadhifa kukwa wanayajua haya , sheikh kajaribu kuwarejesha watanzania katika ummoja kwani wamesikika viongozi kadha wa kisiasa kama mboe akisema suala la udini na ukabila akifingamanisha na DP WORLD, nawakati yeye alitakiwa kuzungumza mkataba tuu , sio mafungamano ya udini na ukabila nawakati watu wanajua historia kubwa jinsi waislam walivyo pambania uhuru

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 ปีที่แล้ว +6

    Achani kufikiri kua waislam watafaidi ikiwa bandali yetu watgawiwa waarabu bure kinacho daiwa ni mkataba mbovu ambao unagawa mali ya nchi bure kwa waarabu wa dubai

    • @philomenastephen3364
      @philomenastephen3364 ปีที่แล้ว +1

      MGOGORO WA BANDARI TATIZO LAKE NI VIFUNGU VIBOVU VILIVYOMO NA SIYO TOFAUTI ZA KII AMANI. UELEWE VEMA JAMANI.
      KUNA WAISLAM WALIO UELEWA MKATABA NAO WANAUPINGA.

    • @amanilucy
      @amanilucy ปีที่แล้ว +1

      Dijibout mbona Hawa dp world nishida

    • @hamisimkoma7380
      @hamisimkoma7380 ปีที่แล้ว

      Hivo vifungu unavyosenea vina maslahi kwetu ....sasa mnasemaje ????? Kisasi ni sasa

  • @JumaRamadhani-hf3cm
    @JumaRamadhani-hf3cm ปีที่แล้ว +1

    Du kweli watanzania tumekwa.

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 ปีที่แล้ว +2

    Mbona mzee hazungumzi kuhusu huo mkataba faida na hasara

  • @user-cz7bd9tc5k
    @user-cz7bd9tc5k ปีที่แล้ว +1

    Hutumpingi Mwarabu wala Hatuwakatai Waarabu Na Dini sio ya Mwarabu Bali DINI ni ya Mwenyezi MUNGU Wote Tunaipenda sana Tunacho hoji ni Mkataba wenyewe ndio maana wenye Akili wote Wana hoji Pr Lipumba/ shiviji pia wana hoji Tusichonganishwe

  • @philipmarmo3522
    @philipmarmo3522 ปีที่แล้ว +2

    Kwa hakika ndugu Mohamed ameongea kwa hisia kali lakini kwa uungwana. Ebu wahusika kwa Nia njema waujadili mkataba ibara kwa ibara bila kileta yale ya Nje Mkataba- Uislamu, Uzanzibar nk. Watu wazima tena wasomi Watanzania wanastahili kuwa na akiba ya maneo, kuwa wakweli na warejee katika dhamira yao ya ndani kabisa.

  • @sabraham5308
    @sabraham5308 ปีที่แล้ว

    Sheria na nguvu za kuitawala Tanzania ilitengenezwa toka baada ya uhuru na serikali ya mwanzo ya Nyerere,iliyolipa nguvu kanisa,kuingia mkataba kama wa MOA,wa kuliaaidia kanisa kwa pesa za walipa kodi,leo ubalozi wa Vaticani upo Dar,waislamu wanazuuliwa hata kujiunga na jumuiya ya kimataifa ya kiislamu,OIC,mkataba wa bandari mwezi huu wa Zanzibar chini ya ufaransa/wazungu/wagalatia/wakristo hujasikia pingamizi,kwa kuwa kama ulivyosema mkataba wa Dar chini ya Dubai/waarabu/waislamu,ndio imekuwa shida???,kuwa na imani hii sio haki.

  • @user-le1mo8ru7u
    @user-le1mo8ru7u ปีที่แล้ว +1

    Tunaomba copy za mkataba wa makanisa na serikali tuijadili hapa

    • @Lky589
      @Lky589 ปีที่แล้ว

      Ili waislamu nawawo waingie mkataba na oac.

  • @ahmedbaamironlinetv4753
    @ahmedbaamironlinetv4753 8 วันที่ผ่านมา

    Mumekua na kiburi Sana wakiristo Sasa hivi Tena munatuonesha hadhara nnasi

  • @christopherkomba7782
    @christopherkomba7782 ปีที่แล้ว

    Unaelewa nini ww kaa kimya subiri kufa tuache vijana wetu wakuwe nyinyi ndiyo mliwabeba mabwana watu kibao na mnambeba bwana mmoja mnakuuzwa mtu mmoja anawauza

  • @user-le1mo8ru7u
    @user-le1mo8ru7u ปีที่แล้ว +2

    Labda tuache kabisa mkataba wa kuendeleza bandari tusiwape wala waarabu au wazungu

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 ปีที่แล้ว +1

    Acheni porojo za udini chambueni mkataba

  • @johncharles5450
    @johncharles5450 ปีที่แล้ว

    Ndugu zangu waislamu someni msije mkalishwa matango pori. Ishu sio kwa sababu muwekezaji mwarabu, ishu jinsi mkataba ulivyo. Kama mkataba ungekua haunashida wala hakuna mtu angepinga.

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u ปีที่แล้ว

    Hakunakatibaya Tanzania inayodailazima kiongozi awemkiristo aumwislamu hawa wazee yawezekana waombewe kiongozi waTanzania anaweza aukuwamwisilamu aumkiristo audini yoyote zikiwemo dini zajadi tulizozikuta hapaduniani inahitajika busara mujadarahuu sivilaka.vyakutuondoa kwenyemujadara wakinacho ongelewa naserikali nawananchiwake swalanikuishauri seikali.

  • @MzeeKigogo_
    @MzeeKigogo_ 12 วันที่ผ่านมา

    Upumbavu wa huyu mzee unatokana na kuangalia mambo kwa miwani ya udini.
    Anasujudu sana waarabu

  • @BernardKitundu-hi3jx
    @BernardKitundu-hi3jx ปีที่แล้ว +1

    Huna la kutuambia watanzania, huko nyuma ni ya wakati huo, watu wameamka huwezi kutuambia tugawe rasilimali za nchi kisa kiongozi kaamua. Nenda wanaojua kusoma mkataba, acha mambo ya udini, hivi dini itatusaidia nini na kizazi kijacho?

    • @sadih5333
      @sadih5333 ปีที่แล้ว

      Pwani ni kwetu si kwenu zungumzieni huko mnakotoka hii bandari na maeneo yake nikwetu.

  • @gessanabuu2099
    @gessanabuu2099 ปีที่แล้ว +1

    Waambie hao wapumbavu wanaoibeza dini ya uislam ilihali imefanya kaz kubwa ktk kuleta uhuru wa nchi hii lakin leo anaonekana nyerere tu

  • @nashirkamugisha9425
    @nashirkamugisha9425 ปีที่แล้ว

    Serikali ishatoa maelekezo ya kutosha. Haya ni maridhiano mkataba bado. Ila choko2 haziishi, tuache chuki jamani. Tusiangalie muwekezaji kwa dini zao tuangalie uwezo. Karibu mdubai

  • @SimeonCharles-j5x
    @SimeonCharles-j5x ปีที่แล้ว +1

    Some mkataba mzee

  • @msellemseif3102
    @msellemseif3102 ปีที่แล้ว +1

    TUMEFIKIA HAPA KWA SABABU YA MFUMO KRISTO HUWO NDIO UKWELI.

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 ปีที่แล้ว

      Ebu fafanuwa vizuri unachokisema

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 ปีที่แล้ว

    Shekhe hapa tunashauriana habari ya mkataba sio dini jamani hiyo history mbona unaisumulia mara nyingi kwasasa tunaongelea mkataba wa DP world 🌎 sio dini msitake watu kuanzisha vitu vingine please tuko na mkataba!!!!

  • @salimmasoud1253
    @salimmasoud1253 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo ni kuficha historia ya ukweli na misha halisi aliopatia uraisi M/Nyerere ikifuatiwa na khiana baada ya Uhuru.

  • @EvelineKalinga-c9q
    @EvelineKalinga-c9q ปีที่แล้ว

    Mzee ongelea mkataba huu wa sasa na sio historia,ongelea mkataba mzee

  • @EvelineKalinga-c9q
    @EvelineKalinga-c9q ปีที่แล้ว

    Jamani kinachochanganya watu ni mkataba na sio uislamu wala.ukristo hata angekuja mkristo kama mkataba haipo wazi lazima ingeleta shida sasa mbona mnalazimisha kuongelea udini???

  • @eugenaxwesso9321
    @eugenaxwesso9321 ปีที่แล้ว

    Ubaya wa waislamu ni kumlaribisha sultani wa oman na kuendesha biashara za utumwa na kufungua milango kwa wakoloni historia iko wazi

  • @lambomayenga6151
    @lambomayenga6151 ปีที่แล้ว +1

    Hivi wahariri wrote wa magazeti yaliyomshambulia Mwinyi walikuwa waisiliamu? Jamani tuwe wakweli . Hivi serikali sasa na bunge ni vya wakiristo tu.Wewe mzee ndiyo unaanzisha matatizo ya ubaguzi. Kwa nini ufikirie kujengewa misikiti na DP World.

    • @kabhikachambala3392
      @kabhikachambala3392 3 วันที่ผ่านมา

      Kwa nini usifikirie kwamba suala la kupata misikiti kupitia DW ni suala udini??

  • @bensonkilupa5660
    @bensonkilupa5660 ปีที่แล้ว

    Ongeeni namba ya kutatua tatizo maswala ya dini nani kaongea ? Pelekeni maoni yenu serikalini. Swala ni mkataba mbovu na si vinginevyo.

  • @faza4023
    @faza4023 ปีที่แล้ว

    kama ni waarabu kuwekeza wapo mbugani tokea mwaka 92, wapo Serengeti mlisikia watu wakikemea kwa nguvu hivi? kujengwa bwawa la Nyerere lipo chini ya Misri..mara hii jibu kwa hoja mkataba una mapungufu au hauna sio unasema Tu udini

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 ปีที่แล้ว

    JAMANI JE HAO WENGINE WAMEKULA MATUNDA YA CAKE YA TANZANIA???

  • @majaliwaphilipo8277
    @majaliwaphilipo8277 ปีที่แล้ว

    Aina ya Mkataba na Muda wa Mkataba

  • @malindimalindimerinyo1632
    @malindimalindimerinyo1632 ปีที่แล้ว

    Mkoloni tuliyemuondoa hapa Tanzania alikuwa mkristo na Nyerere sialikuwa mkristo mbona tumfukuza wingereza ambaye ni mkristo ....waarabu ni waslamu ni kweli lakini sisi tunatetea bandari zetu kwakuwa mkataba ni mbovu si dini hapa...tunapotetea chetu hatuna cha uislamu au ukristo tuna utanganyika....sasa mmejisahau mnaleta udini ...Ok mnacheza na moto

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw ปีที่แล้ว

    Ma ustadhi mdichanganye mambo hakuna anaelataa DP world kinachokataliwa ni mkataba shehel hapo kuna wahuni wanapiga upatu sio lingine ndugu zangu kwa upande wangu ninavuoelewa !!!!!

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 3 วันที่ผ่านมา

    Je uhuru uliokusudiwa na Skyse na wazee wengine ulikuwa kwa ajili ya Dini ya Kiisilamu? Je hayo yasingewatokea waisilamu yasingewatokea wakristo?
    Mchungaji Mtikila alimpinga sana Nyerere, Mtei alipishana na Nyerere, Tundulisu alimpinga sana JPM lakini hawa wote ni Wakristo... Kwa nini Raisi akiwa muisilamu akipingwa mnasema anapingwa dini yake?

  • @salimmasoud1253
    @salimmasoud1253 ปีที่แล้ว

    Shekh Mohd Afuan nauliza nini maana hasa ya maneno "Paukwa, Pakawa"

  • @nardhismhagama6266
    @nardhismhagama6266 ปีที่แล้ว

    Mzeee mshauri mama

  • @ericsallu3237
    @ericsallu3237 ปีที่แล้ว

    Mbona Kama Mnazalisha hoja njingine?

  • @hemedabubakar-cb1nq
    @hemedabubakar-cb1nq ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @edgarmbegu1974
    @edgarmbegu1974 ปีที่แล้ว

    Mbona hata waislamu wako kwenye mkataba wa PPP na serikali. Hujui?

  • @RaymondZindah-ow7wr
    @RaymondZindah-ow7wr ปีที่แล้ว

    Acheni kuongea udini mshaulini mama yenu aache ujinga na tamaa ya kuuza nchi yetu

  • @faza4023
    @faza4023 ปีที่แล้ว

    Umeshindwa kuchambua mkataba hujauelewa au una udini? Unataka tuukubali tu bila kujali, huo ni udini WENU.

  • @sulyshaaban9392
    @sulyshaaban9392 ปีที่แล้ว +2

    Emotions apart, " vyombo husika" using sober professional cadres wazungumze na huyu Ustaadh kwa nia njema ya kujenga Mama Tz..na kisha kuishauri Govt..waache vitisho..These are issues C za KUPUUZA!!😮😮

  • @akimu-gl7zp
    @akimu-gl7zp ปีที่แล้ว

    Wanainchi hawaongerei udini. Wanauliza huyo mwarabu anawekeza miaka mingap? Je nasisi tunapata beigan? Je imeandikwa wap kwenyemkataba?

  • @dismasmtui729
    @dismasmtui729 ปีที่แล้ว +1

    Endeleeni kupanda chuki ya udini,ila mtashindwa!.Wakristo na Waislam ni ndugu, ila viongozi wa kidini,hasa wa Kiislam ndio wanaotaka kuleta mpasuko.

    • @hamisimkoma7380
      @hamisimkoma7380 ปีที่แล้ว

      Sisi ni ndugu ila si kwa kila jambo tambua hilo kungali mapema

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 ปีที่แล้ว +3

    Nafikiri watu wanaongea udini ni watu walio ishiwa maarifa

    • @babuloliondo74
      @babuloliondo74 ปีที่แล้ว +2

      tatizo wanaopinga wengi ni wakristo tatizo ripoapotu

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 ปีที่แล้ว +2

      @juliuskitaluka1206.Kama "watu wanaongea udini ni watu walioishiwa maarifa" ni yepi?
      1) Udini wa Ukiristo
      2) Udini wa Uislam
      3) Udini wa Upagani
      Mkatoliki Nyerere alianzisha Udini kabla ya Muungano, seuze Waziri William Lukuvi Kanisani. Lakini kwa nini wote hawakulaumiwa?
      Ujamaa wa Nyerere ulikuwa wa Udini wa Kikatoliki. Aliwalazimisha Waislam kufuata Udini wa Upagani.