SIMANZI NA MAJOZNI KHUTBA YA BABU DUNI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @nailamohd-wn6sb
    @nailamohd-wn6sb 3 หลายเดือนก่อน +10

    Asante babu Duni bado tupo pamoja na ww na Allah atatufikisha kwenye malengo tuliokusudia ya zanzibar yenye mamlaka kamili 👍

  • @iFly-t9b
    @iFly-t9b 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ni moja ya emmotional speech of Babu Duni. asante sana babu historia yako itaandikwa na kusimuliwa vizazi. wazanzibari tunakupenda sana Babu, historia yako tutaiandika inshallah

  • @suleimanabdillah7490
    @suleimanabdillah7490 3 หลายเดือนก่อน +3

    Tunahitajika sana kuulinda utu wetu,ni lazima tukubali kutokubaliana,Mwenyezi Mungu katuumba sote kufanana,lakini kufikiri Kila mmoja hufikiri vyake.
    Tufanyeni siasa za kusikizana,tusikamiane,tujifunze kukubali matokeo na tusichukiane.
    Hawa Wazee wanapita kama uliyeshika madaraka huwezi yachukua yote basi chukua japo mawili.

  • @andrewassey5108
    @andrewassey5108 3 หลายเดือนก่อน +5

    Babu Duni Mungu akubariki na akulinde na shetani muovu muuaji wa wananchi wasio na hatia. Ukweli wako umekuweka huru.

  • @AbdulSaid-bn2gi
    @AbdulSaid-bn2gi 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera Babu duni ❤❤

  • @sheikhasalim1190
    @sheikhasalim1190 3 หลายเดือนก่อน +1

    pumzika Babu Duni umetumikia muda mrefu na kudhalilishwa. Allah akulipe jannah firdaws. i hope utaona matunda ya uliopigania muda mrefu ukiwa hai na akili timamu

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp 3 หลายเดือนก่อน +1

    We❤💯 babu duni daima tp nawewe mzalendo,mwenye hekima na busara, Allah akupe umri mrefu

  • @ashahamad-mq3iz
    @ashahamad-mq3iz 3 หลายเดือนก่อน +7

    Huwezi kurudi huko miaka mingapi wamekutesa hao CCM leo urudi huko utapata laana

    • @allyzanzibar8983
      @allyzanzibar8983 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂 simchezo

  • @Omarjumanne-zm9zh
    @Omarjumanne-zm9zh 3 หลายเดือนก่อน

    Mtu aenziwe yuko hai safi sana AcT

  • @elinamilyamuya3277
    @elinamilyamuya3277 3 หลายเดือนก่อน

    Naam nam sheikh

  • @HijaSalimu
    @HijaSalimu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Chama Cha cuf mliki haribu Kwa. Tamaa za Maslah

  • @songombingo108
    @songombingo108 3 หลายเดือนก่อน

    Suluhisho la Uchaguzi ni kuwa Huru na wa Haki. Atakayeshindwa akubali kama kashindwa. Na maisha yaendelee.

  • @نوفل-س5ر
    @نوفل-س5ر หลายเดือนก่อน

    Hivi visiwa madhali walipindua Kwa kumwaga damu za watu ,walikufa pasipo na hatia ,dhulma katika hivi visiwa khaswa hapa unguja itaendelea mpk kiama

  • @nasraomar2449
    @nasraomar2449 3 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu ni Mkubwa . Mwenyezi Mungu akuweke

    • @KalagalaOthman
      @KalagalaOthman 2 หลายเดือนก่อน

      Hapana tumuombee mwema sui maisha marefu

    • @KalagalaOthman
      @KalagalaOthman 2 หลายเดือนก่อน

      mwisho mwema

  • @MuhammadSaleh-su7hh
    @MuhammadSaleh-su7hh 3 หลายเดือนก่อน +1

    Maneno mazito. ❤️

  • @jamirakumbila873
    @jamirakumbila873 3 หลายเดือนก่อน

    Khillafa ndio solution

  • @mboneamalaki5674
    @mboneamalaki5674 3 หลายเดือนก่อน +2

    Duh! Powerfu

  • @SharifaIsmail-cu5oi
    @SharifaIsmail-cu5oi 3 หลายเดือนก่อน

    Babu Duni respect kwako

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 3 หลายเดือนก่อน +1

    Babu Duni pole sana

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kiasi uichukie CCM

  • @DavidMtoi
    @DavidMtoi 3 หลายเดือนก่อน

    Shukrani bab duni

  • @jamirakumbila873
    @jamirakumbila873 3 หลายเดือนก่อน

    Uwisilsimu ndio ukomboz wa watu

  • @latifahali8228
    @latifahali8228 3 หลายเดือนก่อน

    Babu duni unaonesha unaumwa babu

  • @bonifacerobert2960
    @bonifacerobert2960 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa Duni. Hakika. CCM wana matatizo makubwa up stairs!

  • @christinamselle4490
    @christinamselle4490 3 หลายเดือนก่อน

    Pongezi kwa mkeo Mzee Duni

  • @ALIALI-ob5vb
    @ALIALI-ob5vb 3 หลายเดือนก่อน

    Babu Duni asante

  • @JohnMhogo-hd3fs
    @JohnMhogo-hd3fs 3 หลายเดือนก่อน

    Una uzarendokubwa sana Hawa ccm kweli nomaa

  • @mkushioriginalsillo5074
    @mkushioriginalsillo5074 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mzee umenena lakini ccm itawaingia?

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 3 หลายเดือนก่อน

    Maneno mazito sana sana

  • @BinAli-m8e
    @BinAli-m8e 3 หลายเดือนก่อน

    Mwn siasa hastaaafu

  • @HafidhKhamis-ph8qg
    @HafidhKhamis-ph8qg 3 หลายเดือนก่อน

    Asante na wewe Allah akupe umri mrefu wenye kher zaid

  • @hassanMahmoud-i4l
    @hassanMahmoud-i4l 3 หลายเดือนก่อน

    wanasiasa wote lenu moja mkipata wote nafasi mnajali matumbo yenu tu na familia zenu .hamna lamaana

  • @AshuraVuai
    @AshuraVuai 3 หลายเดือนก่อน

    Hakika babu duni umekua babu lakin wewe ni babu mwerevu na sio babu mjinga mungu akulinde hakika wew ni babu wa Taifa

  • @rashidissa5887
    @rashidissa5887 3 หลายเดือนก่อน

    Nna simanzi machozi yananitirika, siwezi kuendelea kutizama/ kumsikiliza Babu Duni. Hatimaye nnahisi ntalia

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 หลายเดือนก่อน

      ccm ni zaidi ya shetani

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 หลายเดือนก่อน

    Tatizo hao vijana wenu huchukulia siasa kama vita au jihadi wao ndiyo wanaanza vurugu la uharibifu wa vitu kuchoma moto maskani magari kuweka mawe barabarani kuwapiga mawe polisi kiasi na polisi wenyewe mabangi huwapiga risasi.kama munaandamana basi munaiharibu kitu chochote.

  • @ngwanzajohn2108
    @ngwanzajohn2108 3 หลายเดือนก่อน

    Kila la kheri Babu Duni.

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 3 หลายเดือนก่อน

    JUMUWIYA YA AKINA MAMA ACT MUMTAFUTIE ZAWADI MAALUM MAMA JUMA DUNI HAJI NA ZAWADI NZURI NI KUMKABIZI MSIKITI NA NYUMBA KATIKA ENE HILO HILO MOJA NI OMBI AKINA MAMA MUMUENZI MAMA MWENZENU NA MAMA YETU

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 3 หลายเดือนก่อน

    Yaani hata mimi ninaeangalia hii clip natokwa na machozi. Hivi hawa ccm ni binadamu?

  • @deohank5995
    @deohank5995 3 หลายเดือนก่อน +2

    Somo kubwa

  • @taharayassin6528
    @taharayassin6528 3 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 3 หลายเดือนก่อน

    Babu Duni eeee hao si wenzeo waachie tu

  • @BinAli-m8e
    @BinAli-m8e 3 หลายเดือนก่อน

    Mm sj ridhik ww kustaafu

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 หลายเดือนก่อน

      Hata mimi, inaonyesha kuna ubaguzi ndani ya ACT

  • @hemedsaidi9388
    @hemedsaidi9388 3 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni unafki mwanasiasa halisi hastaafu siasa

  • @SaidaMswahili
    @SaidaMswahili 3 หลายเดือนก่อน

    Napita tuuu

  • @rashidomar2771
    @rashidomar2771 3 หลายเดือนก่อน

    Hawa CCM hawa wallah wale wanzanzibar wazalendo hatuwezi kuwasahau,,hayo yaliyomkuta baba mzazi wa babu Juma yapo kila kona kwa wazanzibar ,,mtu atashabikia ccm kwa sababu tu ya tumbo lake au ni mgeni wa nchi hii,,

    • @sheikhasalim1190
      @sheikhasalim1190 3 หลายเดือนก่อน

      hawana utu wale wapo kimaslahi tu ya dunia wanasahau kama kuna malipo

  • @IbrahimJuma-w5z
    @IbrahimJuma-w5z 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asnt babu tup pamoj

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg 3 หลายเดือนก่อน

    Tatizo ni wanafiki, mnakimbilia ving'ora ikulu

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 หลายเดือนก่อน

      Mnafiki ni wewe.
      Watu wanatetea nchi na maslahi ya wazanzibari , tatizo ndani ya moyo wako umepigwa muhuri ushetani wa ccm.

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 หลายเดือนก่อน +1

      Babu Duni angetaka masilahi yake binafsi angeenda kwenye chama cha ushetani ccm. Hapo tayari ccm wanamwita aende chama chao

    • @jasmintanga2474
      @jasmintanga2474 3 หลายเดือนก่อน

      Bado hujielew ww

  • @ShauriAli-o5y
    @ShauriAli-o5y 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂❤❤❤

  • @AliKisesa-q4x
    @AliKisesa-q4x 3 หลายเดือนก่อน

    Duu

  • @hassanMahmoud-i4l
    @hassanMahmoud-i4l 3 หลายเดือนก่อน

    maranyingi hikichama kama sio mzaliwa wa Pemba huthamniwi bora upumzike pole umejuaje kupumzika .

  • @hassanMahmoud-i4l
    @hassanMahmoud-i4l 3 หลายเดือนก่อน

    h

  • @jumA-th7rs
    @jumA-th7rs 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wewe sasa rudi Kwa MOLA wetu ndio lakukusaidi huo ndio ushauri wangu wa bure. Humondani hamna anaeweza kukusaidia.

    • @bukhanmohd456
      @bukhanmohd456 3 หลายเดือนก่อน +4

      Kupigania kuiondosha CCM madarakani pia ni kaktika jihadi kubwa maana CCM imepania sote tufe makafiri... Pombe na zinaa ndio vitega uchumi vyao anaesema ukweli ndio adui yao na tusijizime data ukweli CCM ishatamka wazi hazarani kua haiwezi kuruhusu uislam utawale zanz.. vijana tuamkeni na tujitikezeni kuioinga CCM Kwa gharama zote

    • @SuolFat
      @SuolFat 3 หลายเดือนก่อน +1

      Huna cha kuongea kaa kimya

    • @nailamohd-wn6sb
      @nailamohd-wn6sb 3 หลายเดือนก่อน +4

      Sasa Juma kwani babu Duni kafanya nini kubwa hata arudi kwa mola wake na unajuaje km hayupo karibu na mola wake kisa yupo Act hebu weka hoja ya maana.

    • @salyali7807
      @salyali7807 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@bukhanmohd456haya ndio nnayosema kila siku ... hii ni jihadi

    • @hillaseven1873
      @hillaseven1873 3 หลายเดือนก่อน

      uhakika

  • @saidmakombeni5155
    @saidmakombeni5155 3 หลายเดือนก่อน

    HUYO NDIO BABU DUNI mmemtupa mkebeba Omo sijui Safu . Njoo CUF nyumbani Babu Duni

    • @HafidhKhamis-ph8qg
      @HafidhKhamis-ph8qg 3 หลายเดือนก่อน

      Nenda wewe cuf maiti kuenenda wewee

  • @MohamedRugamana
    @MohamedRugamana 3 หลายเดือนก่อน

    Tatizo la Zanzibar ni wabaguzi huyo ni mbaguzi kwa hotuba yake hafai hata kidogo