Kosa kubwa sana wazee wa kiislam walilifanya.hawakutaka dini yao iwe ndio muongozo wao.wakampa kafir awaongoze kwenye dini na nchi yao.sasa tunalia makafir wanatuburuza watakavyo.allah atuongoze kwenye haki.amina.
Nadhani katika akili kubwa walioifanya Waasisi Wetu ni kuona kwamba Uafrika wao, Utu na Uhuru wao ulikuwa ni wa maana zaidi kuliko dini zilizoletwa na Waarabu na Wazungu waliowafanya watu Watumwa na Manamba kwasababu ya rangi yao ya ngozi bila kujali wanaabudu kwenye misikiti au makanisa yao.
Hivi nyinyi ndio mlikua na uelewa mdogo darasani, ni kitu gani hakijaeleweka hapo,haraka gani iliyokufanya ukose kusikia jambo? Au ni nongwa tu mlizozaliwa nazo? Nyie ndio mnaweza sana kuhoji mje kutufundisha? Mnajua maana ya muda? Au mlitaka tuhoji saa 24 hakuna ratiba nyingine? Hii channel ni content ya aina moj?
Hivi nyinyi ndio mlikua na uelewa mdogo darasani, ni kitu gani hakijaeleweka hapo,haraka gani iliyokufanya ukose kusikia jambo? Au ni nongwa tu mlizozaliwa nazo? Nyie ndio mnaweza sana kuhoji mje kutufundisha? Mnajua maana ya muda? Au mlitaka tuhoji saa 24 hakuna ratiba nyingine? Hii channel ni content ya aina moja?
Great history, vizuri sana following from Swaziland 🇸🇿
Ndo maana nakupenda unatuletea Mambo ya historian tuliko toka hongera sana
Hii ndio historia halisi ya tanzania
Kosa kubwa sana wazee wa kiislam walilifanya.hawakutaka dini yao iwe ndio muongozo wao.wakampa kafir awaongoze kwenye dini na nchi yao.sasa tunalia makafir wanatuburuza watakavyo.allah atuongoze kwenye haki.amina.
Nadhani katika akili kubwa walioifanya Waasisi Wetu ni kuona kwamba Uafrika wao, Utu na Uhuru wao ulikuwa ni wa maana zaidi kuliko dini zilizoletwa na Waarabu na Wazungu waliowafanya watu Watumwa na Manamba kwasababu ya rangi yao ya ngozi bila kujali wanaabudu kwenye misikiti au makanisa yao.
Chifu Kidaha wa kanda ya ziwa ndio alikuwa na nguvu kuliko wote, aliongoza machifu wenzie zaidi ya 50 lakini alikataa kuwa mwenyekiti,
Hoji kwa kuwafundisha wengine huyo mzee nikichwa sana tunapenda kumsikiza yeyetu
Historia safi
nimeanza jana kufuatilia wazimu part i na leo naendelea na wazimu part ii
🙏
Mwandishi Una papara, sijui huna elimu, tulia ili upate cha kukompail.
Mwandishi ni zuzu bro
Mwandishi haraka ya nn???
Historia imeandikwa kumsifia Nyerere tu.What the f**k nchi hii.
Hapana mZee amejaribu kuficha ficha tu lakin kuna videos zake zipo kafunguka vilivyo
Nchi inaungo hii toka zaman sana
.
Mtangazaji unazingua unaongea sana
Mwandishi acha papara mwache historian aeleze
Mwandishi ficha unazi wako na unachopenda kisemwe. Mbulula wewe.
Mwandishi ni mjinga kabisa, hebu mpe link yako ya mfano aje ajifunze kwako kamanda
mtangazaji anaboa mpe mtu nafasi mtu atoe hadithi
Mwandishi unaongea sana unaharibu interview. Kaa kimya
Ndio waandishi wakibongo walivyo hivyo. Kote Kote Ndio zao
Hivi nyinyi ndio mlikua na uelewa mdogo darasani, ni kitu gani hakijaeleweka hapo,haraka gani iliyokufanya ukose kusikia jambo? Au ni nongwa tu mlizozaliwa nazo? Nyie ndio mnaweza sana kuhoji mje kutufundisha? Mnajua maana ya muda? Au mlitaka tuhoji saa 24 hakuna ratiba nyingine? Hii channel ni content ya aina moj?
Hivi nyinyi ndio mlikua na uelewa mdogo darasani, ni kitu gani hakijaeleweka hapo,haraka gani iliyokufanya ukose kusikia jambo? Au ni nongwa tu mlizozaliwa nazo? Nyie ndio mnaweza sana kuhoji mje kutufundisha? Mnajua maana ya muda? Au mlitaka tuhoji saa 24 hakuna ratiba nyingine? Hii channel ni content ya aina moja?
Sasa. wewe unaharibu kiswahili kigumu hukijui inapaswa uwe na subira wewe ni mbarabara wacha wakhka sasa unakurupuka Anatoglo ipo Ilala !?..mbulula wewe
Kwani ipo manispaa ya wapi?.
@@salvatorymtunga2802 ipo mkunduni kwako!!!