JAMHURI YA MUUNGANO WA AFRICA DUNIANI TZ KILA KIONGOZI ANAUKATILI WAKE WA UONGOZI WALE WOTE WALIOKUWA NA MAENDELEO YA KUVUSHA TZ KWENYE KUTOKUKUBALIWA KWANZA KUACHA NAFASI YA KUTAWALA ALIKUWA ANAPENDWA SANA WANANCHI NA JESHI PIA MWALIMU ALIISHI NA OSCA UK CHUMBA KIMOJA WAKATI ANASOMA SHERIA
@@SEBASTIANBEKKO-ni8nn hilo ni kweli kabisa hakuna ubishi, Nyerere kawaondoa wengi sana ambao walikua maarufu na walielekea kutishia uwepo wake madarakani aidha kwa kuhofia uwezo wao kisiasa au kupendwa na wananchi kuliko yeye..
Ahsante sanaaa kwa mahojiano mazuri. Ila naomba huo mziki wa nyuma (background) usiuwe unaharibu utamu wa mahojiano na unakirihisha (stressing). Shukran
nilimuona NDUGU LAWI SIJAONA akiwa mkuu wa moa wa Mwanza akikagu mtataro uliokuwa ukijengwa wa kuto majimachafu toka mjini kwenda Pasiansi na ilikuwa siku ya Jumapili
Mzee Said Mohammed anajua sana kusimulia kwa madaha na utashi mwingi. Anakufanya uipende historia yetu na kutuheshisha zaidi.
Interview nzuri sana tatizo ni muziki huo unakera sana
Naomba mawasiliano ya mzee wetu huyu, nmependa historiA sana. Asnte mzee
Khasante sana Nd. Mohamed. Julius alipoteza watu wengi. Alijiona ni bora kuliko wote Tz
JAMHURI YA MUUNGANO WA AFRICA DUNIANI TZ KILA KIONGOZI ANAUKATILI WAKE WA UONGOZI WALE WOTE WALIOKUWA NA MAENDELEO YA KUVUSHA TZ KWENYE KUTOKUKUBALIWA KWANZA KUACHA NAFASI YA KUTAWALA ALIKUWA ANAPENDWA SANA WANANCHI NA JESHI PIA MWALIMU ALIISHI NA OSCA UK CHUMBA KIMOJA WAKATI ANASOMA SHERIA
Nadhani si kweli
@@SEBASTIANBEKKO-ni8nn hilo ni kweli kabisa hakuna ubishi, Nyerere kawaondoa wengi sana ambao walikua maarufu na walielekea kutishia uwepo wake madarakani aidha kwa kuhofia uwezo wao kisiasa au kupendwa na wananchi kuliko yeye..
Mzee mwenzangu ahsante sana nimefahamu mambo mengi nilokuwa siyajui
Toeni huo muziki kwenye background. Katika mambo serious msiweke hivyo vitu. Inafanya kipindi kionekane cha kibongo fleva
It can be softer. It's distracting!
Nakufuatilia sana mzee wangu, unamambo mengi ambayo shule hatukufundishwa,vitabu vyako vinapatikana wapi
Great interview but background music very unnecessary spoiling the story
Ahsante sanaaa kwa mahojiano mazuri. Ila naomba huo mziki wa nyuma (background) usiuwe unaharibu utamu wa mahojiano na unakirihisha (stressing). Shukran
Naomba utulete historia ya sh Idrisa
Ashukuliwe kambona
Mzee kanifanya nione Walimu wangu wa hostori walikuwa hewa Sana
Asante Sana Mzee,Ila kambona sioni kosa lake,Basi tu,Ila mtu kama unaupendo naviongozi wenzako chuki yanini?
Mwalimu alitaka awe yeye tu hakutaka mawazo mbadala hasa kwa watu ambao walikua na mvuto na kupendwa zaid yake
Hello mtangazaji! Inamaana husomi ujumbe wa wasikilizaji wako? Badilisha huo muziki wako ni mbaya sana!!!!
Fundi mitambo umebugi na muziki sauti ipo juu
Hainogi story
Hilo limziki linahusianaje na mada jadiliwa? Limeharibu mno interview.
Mzee hazina
Kama kambona angeongoza ruhsa ingekua mapema
nilimuona NDUGU LAWI SIJAONA akiwa mkuu wa moa wa Mwanza akikagu mtataro uliokuwa ukijengwa wa kuto majimachafu toka mjini kwenda Pasiansi na ilikuwa siku ya Jumapili
✌️👊👍.
Majungu hayo
Historia hii inastahili kuhifadhiwa kwa ajili ya vizazi vijavyo
Walao chuo kimoja kiitwe chuo cha kambona University
amakwel sheikh mohamed umesheheni mambo chungu nzima,wewe ni hazina kwetu
Historia iliyotukuka kabisa
Kabisa
Alikuwa kipanga pia darasani kambona
Sahihi kabisaa, na hata kwenye uongozi alikua hodari na mwenye maarifa makubwa
Upande wa akina ilonga na wenzake ujapata kuzungumzwa