DEREVA MWANAMKE WA BASI ALIYEPATA AJALI NA KUKATIKA MKONO ASIMULIA ALICHOKIONA "NILIZIMA LISILIPUKE"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 มิ.ย. 2022

ความคิดเห็น • 915

  • @ngubwene
    @ngubwene ปีที่แล้ว +89

    Dada Halima ... Pole kwa yote nimefurahi kwa jinsi ulivyo na Imani na Mwenyezi Mungu. Na Mungu akuinue zaidi ktk viwango vya juu

  • @upendolema9809
    @upendolema9809 ปีที่แล้ว +35

    Jamaaaani 🙆.......Mungu akutie nguvu,maisha yaendelee

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 ปีที่แล้ว +12

    Pole sana Wajina wangu Utapoa kwa Uwezo wake Allah wewe ni mwanamje Jasiri Allah Akitie nguvu zaidi

  • @edwardouma1630
    @edwardouma1630 ปีที่แล้ว +21

    Am a Tanzanian form Nairobi Kenya wishing my sister Halima quickly recovery and may God be with him all ways 🙏

  • @delekalxon7221
    @delekalxon7221 ปีที่แล้ว +63

    Am sure it wasn’t easy to disclose that you loose your arm I can only imagine how it feels when you look back yr past pictures.your a phenomenal woman we pray for you 🙏🙏🙏

  • @wamugimohammed3848
    @wamugimohammed3848 ปีที่แล้ว +14

    Asalam Alaykum ! Mdogo wangu Dua zetu ziwe dawa kwako na wengine Amin Amin , Nawatakia Shifa ya haraka Amin Amin

  • @felixmagulu6142
    @felixmagulu6142 ปีที่แล้ว +31

    Pole sana dada yetu, Mungu ni mwema atakupa uponyaji wa haraka.

    • @jimmyjigar1468
      @jimmyjigar1468 ปีที่แล้ว +1

      Pole sana Dada kila jambo linamakusudi yake.namuomba Rais wetu mama Samia amteuwe awe mbuge akasimamie haki za madeleva huyu anajua mengi kuhusu madeleva.mama Samia 🔥

  • @fauziakarama8581
    @fauziakarama8581 ปีที่แล้ว +12

    Subhannallah 🙆‍♀️, Allah akulinde kwa kila hali amiin,

  • @ahmedsoudathman5088
    @ahmedsoudathman5088 ปีที่แล้ว +14

    ماشاء الله قدر وفعل
    Mungu atakupa njia ilo bora zaidi

  • @wamugimohammed3848
    @wamugimohammed3848 ปีที่แล้ว +12

    Asalam Alaykum ! Pole sana Dadangu na wengine wote ! Yote ni kushukuru Alahamdulilah

  • @ummimohamed2148
    @ummimohamed2148 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mashallah kwa kua na imani sana na Allah na nimefurahi kuona umeshika kamba ya Allah hakuna kukata tamaa nakuombea dua uzidi kua na afya njema upone na urudi km zaman na ufurahie maisha km. Mwanzo ameen pole sana sana

  • @yassintaibrahim24
    @yassintaibrahim24 ปีที่แล้ว +7

    Pole Saana Mpambanaji Wetu, M/Mungu Akufanyie Wepesi Inshallah 🙏🙏🙏

  • @silverymugendimunyera5717
    @silverymugendimunyera5717 ปีที่แล้ว +6

    Huyu dada ana shukrani sana Mwenyezi Mungu amsaidie

  • @mariangoi1913
    @mariangoi1913 ปีที่แล้ว +5

    Pole sana madame,hakika wewe ni dereva makini mungu akuponye urudi kwenye kazi yako

  • @pudensiamhina6478
    @pudensiamhina6478 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe wa Masasi mwenzangu, pole sana sana na hongera kwa ujasiri wako uliojaliwa na Mungu. Nakutakia uponyaji wa haraka kutoka kwa Mungu.

  • @uuuuiiii3917
    @uuuuiiii3917 ปีที่แล้ว +4

    Allah atakufanyiwa wepesi insha'Allah nakazin utarudi keamauezi yamungu nahyo boss wako Allah atamlipia kwakweli insha'Allah pole sana dada🙏🇴🇲

  • @mkilimamoses2311
    @mkilimamoses2311 ปีที่แล้ว +7

    "Mtu ukishazaliwa kitabu chako kimeshaandikwa".Ni kauli yenye ujasiri nakujiamini toka kwa dada Halima.pole sana na Mungu akutie nguvu kwani mlango mmoja unapofungwa ujue wa pili unafunguka.Maisha yataenda tu dada yangu.

  • @pudensiamhina6478
    @pudensiamhina6478 ปีที่แล้ว +5

    Polisi Ruvuma mmeniliza kwa furaha sana, asanteni sana, Mungu awainue zaidi. Nimewapenda kutokana na maelezo ya huyu dada.

  • @salhaayubu6027
    @salhaayubu6027 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah dada umepambana siku zote napenda kaz zako unavojituma Allah akufanyie wepes inshaallah utakuwa sawa usjal

  • @ladyt1471
    @ladyt1471 ปีที่แล้ว +11

    Get well soon mamy kumbe wewe Yanga hongera sana tuko pamoja team ya wananchi

  • @popiya2368
    @popiya2368 ปีที่แล้ว +5

    Pole sana habibty Allah akufanyie wepesi

  • @mwanashaathman1694
    @mwanashaathman1694 ปีที่แล้ว +9

    Mashaallah,Dada halima May Allah give you the strength as you pass this test from Him.Remember Him always .Ya Shaffih greetings from Mombasa Binti Shee Mbwana

  • @happinesspaschal4037
    @happinesspaschal4037 ปีที่แล้ว +6

    Allah akupe siha njema inshallah pole kwa mtihani uliokukuta mwwnyezi Mungu akupe furaha siku zote wala asikupungukie

  • @saitawilson7307
    @saitawilson7307 ปีที่แล้ว +7

    Asante Sana boss wa halima kwa ushirikiano mzuri na dereva wetu kipenzi..!.🙏.. Asante kwa serikali yangu pia kakika hamlali ...👍🙏🙏

    • @salummpango5250
      @salummpango5250 ปีที่แล้ว

      Mungu ni mwema akuponye na urudi kwenye mapambano!

  • @ayshamadege7981
    @ayshamadege7981 ปีที่แล้ว +3

    Mwenyezi mungu azidi kukupa imani Inshaallah utapona na utatimiza kila jambo lako... tunakuombea mpambanaji mwenzetu 🙏❤❤❤

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 ปีที่แล้ว +62

    Pole sana dada yangu. Nimesikitishwa sana na ajali yako. Nikiangalia unavyoongea najifunza mambo mengi sana. Wewe ni jasiri, wewe ni Shujaa, wewe ni mshindi,. Umekatika mkono ukiwa unapambana. Usife moyo, kaza mwendo songa mbele dada yangu..

    • @amanisaid9863
      @amanisaid9863 ปีที่แล้ว +2

      Pole sana dada yangu Mungu mkubwa utapona,,naakuombea sanaaa

    • @Mussajohn99
      @Mussajohn99 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @selemanimrope903
      @selemanimrope903 ปีที่แล้ว +2

      Pole sana Dada Mola akufanyie wepesi kwa tatizo lililokupata ama kwa hakika wewe ni jasiri na umemuweka Mungu mbele kwa kila jambo ni mfano wa kuigwa

    • @barakayindi5170
      @barakayindi5170 ปีที่แล้ว +1

      Super woman

  • @restitutorcharles4253
    @restitutorcharles4253 ปีที่แล้ว +13

    Nimejikuta 😭😭😭 jmn!Mungu wa mbinguni akutunze na akubariki dada pamoja na familia yako

    • @sweetie8861
      @sweetie8861 ปีที่แล้ว

      Inshallah utapoa my dear,nakupenda mnoooo

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 ปีที่แล้ว +11

    Pole Sana Dada angu pia hongera kwa ujasili na Mungu akupe matumaini zaidi Imani yako ni kubwa sana

  • @rashidramadhan7708
    @rashidramadhan7708 ปีที่แล้ว +21

    Pole sana dada yetu Mungu wetu huwa anajibu maombi yetu usichoke ama tusichoke kumuomba mana yeye ndiye

  • @naelttz1974
    @naelttz1974 ปีที่แล้ว +3

    I wish angepata teuzi chap. Ni mpambanaji sana huyu mama 💪💪

  • @jaymadeleka4670
    @jaymadeleka4670 ปีที่แล้ว +6

    Changamoto yoyote inayokupata kwenye maisha, kama haiondoi uhai wako, basi itakufanya uwe imara zaidi. Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi upone kabisa na akufungulie kheri zaidi upate mazuri makubwa zaidi kwako na familia yako. 🙏🏾

  • @seemanishekiao
    @seemanishekiao ปีที่แล้ว +5

    Poleni sana.
    Allah akupeni Subra na ajalie mpone haraka.
    Ameen

  • @japhetjoachim9925
    @japhetjoachim9925 ปีที่แล้ว +4

    Madam madam...get well soon i wish I could see you....one day....Mungu akujaalie afya njema....I real love you....am inspired.......tusikate tamaa

  • @jacksonwilson5772
    @jacksonwilson5772 ปีที่แล้ว +20

    Nimependa sana the way alivyo huyu dada. Mungu akusaidie sana

    • @nurujonas7878
      @nurujonas7878 ปีที่แล้ว +2

      nimeumia kama mim dah dada yangu mpenzi mungu akutie nguvu nakupenda

    • @nurujonas7878
      @nurujonas7878 ปีที่แล้ว

      pole sana mpenzi

    • @nurujonas7878
      @nurujonas7878 ปีที่แล้ว +1

      usijikatie tamaa mungu anakusudi kubwa dada kipenzi

    • @jumaabdallah6061
      @jumaabdallah6061 ปีที่แล้ว

      Pole sana Allah atakufanyia wepec utapona tu

    • @johnmichaellukindo21
      @johnmichaellukindo21 ปีที่แล้ว

      Mbali na hivyo ni pisi KALI sana!

  • @maxmilian2511
    @maxmilian2511 ปีที่แล้ว +1

    Mungu kaufunga mlango mmoja akufungulie milango mia moja yenye kheri na wewe.Pole sana dada halima! Ila SUPER FEO COMPANY you are the best kwa mnavyompa matumaini huyu dada! Mungu awalipe kwa hilo!!👍

  • @sia8418
    @sia8418 ปีที่แล้ว +12

    Despite na yote huu moyo wa kujali wengine ulionao🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @mofatv5565
    @mofatv5565 ปีที่แล้ว +5

    Oh jamani pole dada Mungu akufanyie wepesi usijali kila jaribu lina mlango wa kutokea ipo njia yenye faraja kwako oh jamani😔😔❤❤

  • @SamaBabySamaBaby
    @SamaBabySamaBaby ปีที่แล้ว +6

    Nakupenda mama angu😢😢 sijawah comment TH-cam leo acha tu niandike ♥️♥️umenigusa sanaaa na umeniudhunisha nanimejifunza vingi momy 😘🥰🥰 wew ni shujaaa💪💪💪💪🔥 utaki kuruhusu uzuni nakupenda 😘😘mungu akuonyeshee njiaaa sahihi kila jambo lina sababu I love u ♥️♥️♥️

    • @yassintaibrahim24
      @yassintaibrahim24 ปีที่แล้ว

      Ameen 🙏🙏🙏

    • @mcback4384
      @mcback4384 ปีที่แล้ว

      Sio udhuni ni uzuni

    • @yassintaibrahim24
      @yassintaibrahim24 ปีที่แล้ว

      @@mcback4384 Na Ww Pia Umeacha Herufi Moja Ni Huzuni Co Uzuni

  • @sikukuuchuo3093
    @sikukuuchuo3093 ปีที่แล้ว +2

    Very courageous super woman .Allah akuhifadhi akujaze subra

  • @mzazi1467
    @mzazi1467 ปีที่แล้ว +7

    Ayo uko vizuri saana kucover story Safi saana asee....

  • @mohammedalishamis9405
    @mohammedalishamis9405 ปีที่แล้ว +3

    Pole Sana In shaa Allah Mola atakufanyia wepesii katika kipindi hiki cha mtihani

  • @abdulwahababdulkadir9965
    @abdulwahababdulkadir9965 ปีที่แล้ว +3

    Duh pole sana dadaa,na kwa hakika sisi kama kamati ya watu wenye hamasa juu ya maisha ya wapambanaji,tunakuomba usihofu tuko pamoja nawe,na nimeskia apo kua uko na single natamani sana kama utanipa nafasi hiyo nitalea ww na watoto wote

  • @kedyjohn1848
    @kedyjohn1848 ปีที่แล้ว +24

    Pole sana Big mama, champion lady ... You'll triumph as always. I like the optimistic mind she got. She's golden 💪🏾

  • @thadeynyenza4948
    @thadeynyenza4948 ปีที่แล้ว +16

    Mungu ni mkubwa kuliko changamoto unazopitia! Bado Mungu yuko na wewe! Imani yako itakutunza.

  • @abubakarimhina400
    @abubakarimhina400 ปีที่แล้ว +19

    Pole sana dada, kiukweli nimeumia sana kwa ajali ulio pata licha ya yote M/mungu ni mwema nakuombea kheri mungu akupe uzima urudi kwenye kazi zako.....nikiangalia crip zako za tik tok siamini kilicho tokea....Pole sana C*

    • @maloomaalmnsj5111
      @maloomaalmnsj5111 ปีที่แล้ว

      Sasa ataweza kuendesha gari

    • @abubakarimhina400
      @abubakarimhina400 ปีที่แล้ว

      @@maloomaalmnsj5111 Hata weza tena kuendesha gari, mana ule mkono bandia upo tuu kama fashion.

    • @maloomaalmnsj5111
      @maloomaalmnsj5111 ปีที่แล้ว

      @@abubakarimhina400 aha nimekuelewa brother

    • @zenamanyota2618
      @zenamanyota2618 ปีที่แล้ว

      Pole Sana dada halima tunakuomnea duwaaa mwenyezi mungu akifanyie wepesi mm

  • @fatmaabdi8813
    @fatmaabdi8813 ปีที่แล้ว +5

    Pole sana Allah akujalie upone haraka❤️

  • @khamisyahya7703
    @khamisyahya7703 ปีที่แล้ว +1

    Pole Sana Dada'angu
    Pole Sana Suka mwenzangu
    ila nimependa Sana kwa kuyapokea matokeo kwa kujiamini zaidi...... ALLAH atakufakufanyia wepesi katika hili, Insha Allah 🙏.

  • @shanii01
    @shanii01 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana dada yetu Allah akufanyei sahali. Pongezi sana kwa kazi yako. Your really superwoman. Salam kutoka kwenya

  • @marryg4235
    @marryg4235 ปีที่แล้ว +5

    Pole Dada ,mungu akuponye kwa haraka,

  • @denismabubu291
    @denismabubu291 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana dada mimi nimeumia sana mungu nimwema tunakuombea upone haraka

  • @sabraabdilnasir8826
    @sabraabdilnasir8826 ปีที่แล้ว +1

    MMungu atakufanyia wepesi pole sana halima napenda ulivojotupa kwa allah atakufungulia rizki kwa wepesi inshaallah

  • @innocentmsechu8438
    @innocentmsechu8438 ปีที่แล้ว

    Pole sana dada .. Mungu atakusidia tunamuomba sana naamini inawezekana hata automat ikiwezekana bosi wako atakuangalia urudi barabarani ..Amina

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana malikia wa nguvu mwenyezi Mungu akufanyie wepesi upone haraka inshallah 🙏🙏

  • @salamakombo3257
    @salamakombo3257 ปีที่แล้ว +17

    Masikini ana furaha wala huzuni hana Allah akupe furaha daima yaani inaonekana unamuabudu mungu mnoo

  • @anterianmohamed3213
    @anterianmohamed3213 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana mama ALLAH akutie wepesi upone INSHA ALLAH

  • @mariamuomari6054
    @mariamuomari6054 ปีที่แล้ว +14

    Nimejikuta nabubujikwa na machozi ,nikakaribu kuvaa viatu vyake aisee mungu ampe mwanga

  • @ahmadbadawi9664
    @ahmadbadawi9664 ปีที่แล้ว +33

    Namsifu kwa ujasiri wake wa kukatika mkono muda ule ule akapata akili ya kuzima gari ili isilipuke,big up sana mama nna imani mazuri mbele yanakuja zaid kwako,huo ni mtihani tu kutoka kwa ALLAH uliandikwa kabla hujazaliwa.

  • @harymo-by8gh
    @harymo-by8gh ปีที่แล้ว +3

    pole sana mama mpambanaji mungu akusaidie upone haraka 👏👏👏

  • @chahenza
    @chahenza ปีที่แล้ว

    Pole Sana dada Halima. Niliona interview yako Cloud FM. Wewe ni jasiri... Ole wako ndoto yako ya rubani imeangamia... Majaliwa kwa maisha

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 ปีที่แล้ว

    Polisi wa Matemanga shukran nyingi kwenu kwa tukio la Halima Dereva. BY Amina Ngindika Matemanga.👍👍❤❤

  • @pioustrevol3468
    @pioustrevol3468 ปีที่แล้ว +5

    Duuuh Pole Sana Auntie Mungu ameziona jitihada zako Yeye ndo anajua atakuweka wap

  • @rogerioathumani9084
    @rogerioathumani9084 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akujalie inshallah dada angu wewe nishujaa mkubwa sana unafaa kuwa malikia wanguvu

  • @erikalutevele8362
    @erikalutevele8362 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana dada yangu mzuri Mungu ni mwema pamoja na yote lakini bado utabaki kuwa mpambanaji

  • @raziaidd2392
    @raziaidd2392 ปีที่แล้ว +1

    Pole Sana dadangu kwa kweli nikushukuru mungu Alhamdulilah maana ndo alivopanga.Allah akupe shuffah ya haraka in shaa Allah

  • @ericklaura7511
    @ericklaura7511 ปีที่แล้ว +37

    Wishing her a very quickly recovering.🙏🙏

  • @evaristmrope
    @evaristmrope ปีที่แล้ว +5

    Pole sana madam Halima mwenyezi MUNGU ni mkubwa na hajawahi kushindwa

  • @alexmatt9504
    @alexmatt9504 ปีที่แล้ว +1

    Dada pole sana kwa huo mkasa,tumuombe Mwenyezi Mungu akusimamie ufanikiwe upone vizuri na uendelee na maisha.

  • @esthermliga4875
    @esthermliga4875 ปีที่แล้ว +1

    Dada hongera san kwa ujasiri huo, umeumia lakin bado unapambana kuokoa roho za watu!! Mungu azid kukutetea ktk matibabu

  • @soberkaleya5148
    @soberkaleya5148 ปีที่แล้ว +7

    Yohana 16:
    23 Tena siku ile hamtaniuliza neno lo lote. Amin, amin, nawaambia, Mkimwomba Baba neno lo lote atawapa kwa jina langu.
    24 Hata sasa hamkuomba neno kwa jina langu; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu.
    *MAOMBI NDIO NJIA YETU YA KULETA NGUVU ZA ROHO WA MUNGU KATIKA ULIMWENGU WETU! MUNGU ANAFURAHIA KUJIBU MAOMBI YETU, HALELUYA!!!*

    • @aronpaul2331
      @aronpaul2331 ปีที่แล้ว

      Ameeen kwa jina la yesuuu 🙏🙏🙏

  • @vickydan2869
    @vickydan2869 ปีที่แล้ว +3

    Jamani pole sana dada hujafa hujaumbika maskin umebaki na mkono mmoja najiskia vibaya sana kuhusu hili tumshukuru mungu kwakila jambo

  • @khamisshee5131
    @khamisshee5131 ปีที่แล้ว +1

    pole sana sister Halima ni juzi 2 ulikuwa cloudmedia niliangalia intaves yote yako lkn sema Alhamdulillah kwa kila jambo ALLAH yu pamoja nawe AMIN
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    aka bachuchu mombasa 001
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana dada. Mola mkubwa utapona ishallah🙏

  • @kagokapuruka4873
    @kagokapuruka4873 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana mwananche mungu akupe moyo mkuu nimajaributu yatapita utaendelea kufanya kaz zako

  • @tusajigwemathias9185
    @tusajigwemathias9185 ปีที่แล้ว +20

    Pole kipenzi pole dada angu Mungu alieruhusu haya ana sababu na wewe! Mungu ni mkubwa mkubwa sana

    • @aminaabdallahisa6827
      @aminaabdallahisa6827 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa kikubwa Allah azidi kumjaalia rehema zake

  • @estermshabaha6920
    @estermshabaha6920 ปีที่แล้ว

    Halima nakupenda dereva mwenzio hapa Mungu atunusuru na njia pole mpendwa wangu Mimi gloria

  • @andersonmichael2399
    @andersonmichael2399 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana dada. Mungu ayasimamie maisha yako.

  • @ziadakisanga1011
    @ziadakisanga1011 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana Allah akupe shifaa

  • @pantherking_tz
    @pantherking_tz ปีที่แล้ว +16

    She's a superwoman indeed ❤️

  • @saidali8338
    @saidali8338 ปีที่แล้ว

    Pole sana mrembo MWENYEZI MUNGU akubariki sana na upone haraka,

  • @damianmakala2913
    @damianmakala2913 ปีที่แล้ว +1

    Pole Sana dada , MUNGU ni mwema

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 ปีที่แล้ว +10

    Pole sana dada mungu atakuponya tu kwa imani na majeruhi wote wapone haraka

    • @kuluthumujarafi1100
      @kuluthumujarafi1100 ปีที่แล้ว

      Pole Sana mungu atakujaalia neema nyingine ♥️♥️

  • @salhajuma2250
    @salhajuma2250 ปีที่แล้ว +4

    Allah azid kukupa subra dada yetu polee saana umejua kuniumiza 😭

  • @mchusna6468
    @mchusna6468 ปีที่แล้ว

    Pole Sana shosti nimekumbuka siku ile ulipowatia moyo wanawake wafanye kazi dahalima pole my Sana tupo Pamoja😘

  • @mwanahamisimwasema5607
    @mwanahamisimwasema5607 ปีที่แล้ว

    Pole San dear 😘 mungu mkubwa atazidi kukusimamia kwa Kila atuwa unayo pitia 🙏

  • @mariamhamad4171
    @mariamhamad4171 ปีที่แล้ว +5

    Polesana dadayangu Allah atakupa shifaa utapona ,ila badomaarifa nimengi unaweza kuwekewa mkonowa bandia nautaendelea nashuulizako za utaftajirizqi ,inaskitisha lakini yoteyamungu mshkurumungu kwakilajambo

  • @omaryngitu2443
    @omaryngitu2443 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana,nilipata kukuona ukihojiwa clouds fm miezi michache iliyopita,kilikuwa kipindi kizuri sana,wewe ni mfano wa kuigwa

  • @stelamwakatulile2455
    @stelamwakatulile2455 ปีที่แล้ว +1

    Pole kipenzi changu mungu akufanyie wepesi na wote mlio pata majelaa

  • @allanuslwena8585
    @allanuslwena8585 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awe nawe daima,uweze kupona na kutimiza ndoto zako. Pole sana.

  • @jebellwallace3509
    @jebellwallace3509 ปีที่แล้ว +3

    Pole,daima mungu hakosei

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 ปีที่แล้ว +4

    Pole Sana mdogo wangu! Umeumia ukiwa kwenye majukumu na Allah bado amekutunza tunamshukuru kwa Hilo! Mungu akuponye urudi ktk hali yako ya zamani na uzidishe Sana Sala ndyo ngao yako!

  • @geofreyruta1723
    @geofreyruta1723 ปีที่แล้ว +2

    Pole dada naumia sana mungu akubaliki akuponye

  • @jamaalsaleem2926
    @jamaalsaleem2926 ปีที่แล้ว +3

    Machozi yamenitoka aisee Allah ampe uvumilivu

  • @magaigwamwita2404
    @magaigwamwita2404 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana dada,
    Allah akujaalie upone haraka na hakika wewe ni mwanamke mpambanaji na Mwenyezi Mungu akufungulie mlango mwingine mzuri zaidi,
    Hongera kwa ujasiri wako na nina Imani unamtegemea sana Allah na endelea kumwamini hawezi kukuangusha

  • @user-pn6bj7uz2p
    @user-pn6bj7uz2p 6 หลายเดือนก่อน

    Poresana dadaau siku ambayo umepata hajari turipishana mbugan seluu nikiwa nimepaki gari urinipigia honi mwenyezimungu akurinde❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @hichayasin7244
    @hichayasin7244 ปีที่แล้ว +2

    INSHALAH BINAADAMU KABLA HUJAFA HUJAUMBIKA INSHALAH MUOMBE MUNGU MDOGO WANGU YAPO MAISHA MENGINE ULIOANDALIWA NA MUNGU,

  • @rahmafahimugama3279
    @rahmafahimugama3279 ปีที่แล้ว +3

    Much love mumy💕❤ ww ni mfano wa wanawake majasiri IshaAllah utapata nafuu na utatimiza malengo yako🙏🙏🙏

  • @kochaa6096
    @kochaa6096 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana 💜💜💜

  • @makondorshimora5017
    @makondorshimora5017 ปีที่แล้ว +2

    Mwanamke jasiri......, ulipigania roho za Watanzania zaidi ya 50, hukujali maumivu yako 😭, kwa kitendo cha kuzima injini bado ni Mungu alikupa neema ya huruma ya kwamba bado una jukumu la kuokoa roho za walioko nyuma yako 😭, dada wewe ni shujaa kweli kweli, mwanamke shupavu 💪🏻, ulijitoa kufa kwa ajili ya wengi 😭😭😭😭ni mwanamke wa mfano...., Niseme tu imani yako na unyenyekevu kwa Mola vitakuvusha na kukufikisha mbali.
    A SUPER WOMAN, GOD WILL PROTECT YOU FOREVER AND EVER ..... You’re blessing momma 🙏🏼🙏🏼

  • @kefrinpatson3920
    @kefrinpatson3920 ปีที่แล้ว +2

    Japo anaonyesha kuwa imara ila Mimi ameniliza jaman huyu dada.Mungu azidi kukupigania

  • @gracemanka5633
    @gracemanka5633 ปีที่แล้ว +3

    Sana tunamuomba Mungu akupe afya njema