Halima Mbwana: “Baada ya ajali ile kutokea muda ule ule nilipoinuka niliona mkono umeshakatika”
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2022
- Halima Mbwana alikuwa mmoja kati ya madereva wachache wa mabasi yanayoenda mikoani lakini ndoto yake ilififia ghafla mara baada ya kupata ajali na kupoteza mkono mmoja.
Lakini anasema kutokana na kuipenda sana kazi yake hajakata tamaa bado na anaamini atarudi katika sekta ya usafiri kwa namna yeyote hata kukatisha tiketi au kuendesha malori atakapofanikiwa kupata mkono wa bandia ambao anautarajia ukisimamiwa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, jinsia, wanawake na makundi maalumu@gwajimad
Mwandishi wa BBC Veronica Mapunda amezungumza naye na kutuandalia taarifa hii
Video: Eagan salla
#bbcswahili #wanawake #tanzania
Pole sana madam mtihani wa mungu
Pole sana
Pole did mungu yupo nawe utarud tu
Alhamdulilah alakulhal, mja haishi kuumbwa, na madamu ukohai na rizki yako iko hai, msujudie mola wako na quraan, nakuombea kila la kheri,,,
Pole sana dear Mungu kuna kitu amekupangia tena kizuri mno uwe na imani. Mungu yupo nawe.
YOHANA.16:33 -"Ulimwenguni mnayo dhiki lakini jipeni moyo mimi nimeushinda ulimwengu"!
arima usiriye mama utaka saw mama saw
Dah mungu akutie nguvu katika kipindi kigumu unachopitia na mungu atakufanyia wepesi katika kazi zako nyingine Kwa sababu ulikua unatafuta Kwa halali.
Pole mwanangu
Ya Allah mimi moyo wangu unaniuma sanaaa poleeeee sanaaa my dear Allahum Akuzidishie guvu katiko moyo wako Na Inshaa Allah kila kitu kitakuwa sawa nandoto zako Inshaa Allah lile muumba alilipanga sis binadamu hatuwezi panguwa so sisi wanawake wenzako tunakutianguvu Inshaa Allah utakuwa sawa ila nimeona kunamukono umekuja wenda waweza kukusaidia ukipatikana Inshaa Allah 🤲🤲🙏🙏
Mwenyezi mungu akujalie
Mashaallah umenenepa Allah atakufanyia wepes
Pole sana my dear
Yesu mwema akusimamie, Yeye ni Alpha & Omega
Wewe ni shujaa jamani
Harima pumuzika kazi hiyo kubaritu uwache dada kwasababu kama kiwugo hakuna itakupatu shida tunaweza kukukosa kabisa dada yetu
In parts of the video she does not have the left hand and in parts it is the right hand. Is this the same person?
Pole mwanangu