DEREVA MWANAMKE WA BASI ALIYEPATA AJALI NA KUKATIKA MKONO, MOI WAJA NA SULUHISHO LA KUMSAIDIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ส.ค. 2022

ความคิดเห็น • 138

  • @neemaiman1402
    @neemaiman1402 ปีที่แล้ว +14

    Ee MUNGU nisamehe mm mwenye dhambi ,Vyote umenipa bure lakini bado nasahau eee MUNGU nirehemu,Naomba wakumbuke wote wahitaji na kuwapa tumain jipya kila kuitwapo leo AMEN.

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 ปีที่แล้ว +29

    ndugu zangu tumshukuru sana Allah.katupa viongo bila gharama yoyote na tunamuasii tumrudie mungu Leo.kiungo cha Bandia unaambiwa million 15

    • @user-fs7xc2bb5d
      @user-fs7xc2bb5d ปีที่แล้ว +2

      Alhamdullah

    • @keithapeter7854
      @keithapeter7854 ปีที่แล้ว

      Je nawanokwenda kukata vidole Zimbabwe unawaambiaje??

    • @lubashavenas2902
      @lubashavenas2902 ปีที่แล้ว

      Ok

    • @azizaabeid2055
      @azizaabeid2055 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa ndugu twapaswa kila tuamkapo tumshukuru Allah kwa neema ya uzima Alhamdulillah

    • @linahsemindu4261
      @linahsemindu4261 ปีที่แล้ว

      @@keithapeter7854 hamna kitu Kama hicho yalikuwa maneno tu

  • @ayshazambia6509
    @ayshazambia6509 ปีที่แล้ว +6

    Alhamdulillah mungu akujalie katika ubunifu wako utakua msada watu wengi mungu akubaliki katika kazi zako inshaallah

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526 ปีที่แล้ว +9

    Mashaallah, itakuwa msaada mkubwa kwa wenye uhitaji...hongera sana serikali kwa khatuwa kubwa

  • @abdallahsuleimani7416
    @abdallahsuleimani7416 ปีที่แล้ว +5

    Hongera sana Kwa ubunifu wako mzuri ila hio bei sidhani watu WA Hali ya chini kama wataweza

  • @rukiyatajir8064
    @rukiyatajir8064 ปีที่แล้ว +8

    Mungu akubariki kwa ubunifu wako na msaada wako kwa bi Halima na wengine, lkn hiyo bei naona kuna haja Serikali ikafikiria kusaidia.

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว +2

    Subhannallah, Allah hatubariki kwa Afya ya kila kiungo, Maana mtihani kwakweli, hongerani sana kwa ubunifu wenu🙏

  • @noelmtuhi2480
    @noelmtuhi2480 ปีที่แล้ว +2

    Hongera Sana doktat

  • @nadiafahad3926
    @nadiafahad3926 ปีที่แล้ว

    Allah akupe ujuzi zaid kaka

  • @frankfelix3876
    @frankfelix3876 ปีที่แล้ว +2

    Duuu kweli teknologia imekuwa sana hongereni sana

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 ปีที่แล้ว

      Insha Allah Allah amfanyie wepesi mama harima ila tuache kujigamba mitandaon kile ambacho mungu ametupa sababu umjui mbaya kwako uyu dada ametrend sn tiktok kwa uhodari wake wa uendeshaji gari kitu ambacho sio kizuri kwa macho ya watu wenye hasadi

  • @msafirikushama2193
    @msafirikushama2193 ปีที่แล้ว +3

    Je, haiwezi kufeli wakati akiwa anaendesha ?

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah honger tanzania 👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @tecratzmwakyambomwakyambo7243
    @tecratzmwakyambomwakyambo7243 ปีที่แล้ว +1

    Asante Mungu kwa afya njema

  • @salamanauthar480
    @salamanauthar480 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah' Mashaallah' Mashaallah

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah Dr kazi nzuri sana

  • @jasminayub5298
    @jasminayub5298 ปีที่แล้ว

    MashaAllah nafurahi kuskia hivo 🥰

  • @rayaalaisari4592
    @rayaalaisari4592 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah mwenyezi mungu ni muweza kwa kila kitu....

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 ปีที่แล้ว +1

    Kwelii MUNGU fundi yani viungo tulivyo pewa ni vya kumshukuru MUNGU sana

  • @thedickisonilinusi
    @thedickisonilinusi 4 หลายเดือนก่อน

    Dada yangu mwenyewe halima tangu tuko hamanju Pole sana dada

  • @gradnessshitindi3694
    @gradnessshitindi3694 ปีที่แล้ว +6

    Kumbe hiv nlivo nmeghalamiwa ee, et kiungo hicho million 15 Duuh😭 asante Mungu wangu mpaka hapa nlipo🙏🙏

  • @frolandunguru4489
    @frolandunguru4489 ปีที่แล้ว

    Kuwekewa huu mkono ni jaribu nzito, Ee Mungu tunusuru

  • @mariamali1887
    @mariamali1887 ปีที่แล้ว

    Allah atufanyie wepesi Mdogo wangu kadari ya Allah Usisahau kutoka bila azkar za asubuhi na jioni .

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi mungu awzidishi vipaji vyenu ma faktari wote muzidi kupata ufumbuzi wakusaidiya wenye matatizo

  • @abdulmajaliwa6376
    @abdulmajaliwa6376 ปีที่แล้ว +1

    Jamani msaidieni dereva wangu

  • @hildadaniel4892
    @hildadaniel4892 ปีที่แล้ว

    Mungu atusaidie sana ukiwa mzima mshkuru sana Mungu dah

  • @nazarethmanase4474
    @nazarethmanase4474 ปีที่แล้ว +15

    Mungu anastahili kuheshimiwa. Kwa viungo alivyotupa Bure. Kwakiyo mikono 2 million 30. Hata hivyo Nawapongeza kwa umbunifu.

  • @jebellwallace3509
    @jebellwallace3509 ปีที่แล้ว

    Duuuu M15 unaita garama ya kuchangia🤣🤣😂😂
    Huyu Dr.atakua muhaya.

  • @regankimaro5352
    @regankimaro5352 ปีที่แล้ว +2

    Nitakushukuru kwakua umeniumba kwa jinsi ya ajabu na YAKUTISHA 🙏🙏

  • @stephanomoses7694
    @stephanomoses7694 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana bro. Tatizo viongoz wakishaona mtu mwenye kipaji namna hii anapotezwa chap. Kwan wangap wamegundua
    Ndege zikaruka
    Umeme wa smaku ukazidi watts hata huu wa tanesco lakini wako wapi. Utasikia anawezeshwa ndio kupotezwa ivo. Hii ndio tz bna nchi yenye udongo weny dhambi

    • @heritier5119
      @heritier5119 ปีที่แล้ว

      Acha uongo nani kapotezwa

    • @stephanomoses7694
      @stephanomoses7694 ปีที่แล้ว

      @@heritier5119 huwez jua chochote wew mtoto wa mwaka 2000. Hata mavi ya shingo hayajakukata

    • @heritier5119
      @heritier5119 ปีที่แล้ว

      @@stephanomoses7694 usikatishe tamaa nani kapotezwa

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe kwa imani yako amen 🙏

  • @fadymoses4994
    @fadymoses4994 ปีที่แล้ว

    Dah M15 atar

  • @charlesased
    @charlesased ปีที่แล้ว

    Hongera sana classmate Mwakasungula💪💪

  • @oscarezekiel1826
    @oscarezekiel1826 ปีที่แล้ว +9

    DAH Thats is not fair man!...Eti serikali yetu sikivu imeshafidia mkono huo unauziwa Milion 15, inamaana kama hakuna fidia ingekua mil30?! Mkono huo umetengenezwa kwa materias gani mpaka uwe ghali kiasi hicho jamani apana huo sio uzalendo.Sana sana ungekua sh laki 7 na 50 ingetosha.

  • @omarkalita5340
    @omarkalita5340 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah

  • @ishipalemypasco2567
    @ishipalemypasco2567 ปีที่แล้ว

    Jaman hivi hata hapa tz kumbe tunaweza.big up sana mtaalam

  • @diolindanativo7268
    @diolindanativo7268 ปีที่แล้ว +1

    Sasa huo mkono ukigoma wakati yupo kwenye safari si matatizo hayo

  • @omanmct135
    @omanmct135 ปีที่แล้ว +1

    Maskin subhanalllah

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 ปีที่แล้ว +2

    Manshallah 🥰🥰🥰🥰🥰

  • @Officalnaph
    @Officalnaph ปีที่แล้ว

    SHULE NI MUHIMU SANA

  • @sunguramjanja2778
    @sunguramjanja2778 ปีที่แล้ว

    Allah ata simama na ww na utafanya kazi kama Zamani

  • @omaryally1532
    @omaryally1532 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @nelsongodfrey9952
    @nelsongodfrey9952 ปีที่แล้ว

    Mie simshauri hata kidogo arejee kuendesha mabus.

  • @wellbrand3415
    @wellbrand3415 ปีที่แล้ว +3

    Respect Dr Mwakasungura
    👏👏🔥🔥

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 ปีที่แล้ว

    Ubalikiwe sana.

  • @mariamramadhani6910
    @mariamramadhani6910 ปีที่แล้ว

    Pole Sana utapona Mungu yupo

  • @gradnessshitindi3694
    @gradnessshitindi3694 ปีที่แล้ว

    Safi sana kaka angu Mwakasyungula kyala akutule🙏

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว

    Pole sana Halima

  • @shamzone388
    @shamzone388 ปีที่แล้ว +5

    Nitafurahi sana kumuona dada yetu amepata mkono utakaomsaidia maishan kwake

  • @edsongamuga1814
    @edsongamuga1814 ปีที่แล้ว +2

    Hongera doctor 🙏🙏

  • @sadockchengula5542
    @sadockchengula5542 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ni mwaminifu popote anapokupitisha atakupa njia ya kutokea.

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว +1

    😘

  • @zakayosanga1430
    @zakayosanga1430 ปีที่แล้ว

    mungu atusaide tuy

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 ปีที่แล้ว +2

    Wow hiyo hata ulaya hawana big up

  • @tatutatu1570
    @tatutatu1570 ปีที่แล้ว

    🤝🤝

  • @Worldunite
    @Worldunite ปีที่แล้ว

    Ila kwa kuendesha tena basi la abiria?, hapana jmn

  • @exaudwilil0224
    @exaudwilil0224 ปีที่แล้ว

    Tunajivunia wataalam wetu

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 ปีที่แล้ว

    Ñi kweli wanaendesha hadi ndege nilisahau hilo nashukru sana umenisaidia

  • @benadetampunga8294
    @benadetampunga8294 ปีที่แล้ว

    Milioni 15 ?? Au sijasikia vizuri ??

  • @mwanduelizabeth2282
    @mwanduelizabeth2282 ปีที่แล้ว

    Daaaa jamani pole Sana dada kwa ajali mbaya hiyo ya gari uliyoipata na kupelekea kupoteza kiungo chako cha mwili(mkono) hakika shetani yuko kazini ameona umenufaika na kazi hiyo ya udereva ambayo inakuingizia kipato shetani akaona wivu akaona akuondolee mkono wako ambao unafanya kazi ya kukontrol gari ili ubaki bila kazi. Hakika Mungu hufanya njia pasipo na njia Asante daktari kwa kuweza kumpatia mkono wa bandia ambao utamuwezesha kufanyakazi zake Kama kawaida.

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 ปีที่แล้ว

    Lkn kwa bei ni kubwa saana sidhani km wanyonge wataweza hii bei

  • @jamesmzaki6041
    @jamesmzaki6041 ปีที่แล้ว

    Milioni 15????Huyu Mwakasungura mbona anakuwa na akili za sung....au bac

  • @jhecfoundationtanzania2891
    @jhecfoundationtanzania2891 ปีที่แล้ว +2

    Kiukweli Sina miguu yote na mkono mmoja ila kiukweli mkono wa bandia siwezi kuhangaika nao Wacha niwe na Miata mashati mikono mirefu mkono mmoja,miguu bandia ndo unyama mwingi ila hiyo mikono serikali imetundanganya Bado ni mtanzania gani ataaford hizo gharama kama siyo wa kishua?? Wavae wenyewe dadeki

  • @ayoubmbwambo9604
    @ayoubmbwambo9604 ปีที่แล้ว

    Mhhhh

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 ปีที่แล้ว

    Jamani msaidie ,wachawi wali muhusudu

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว

    Amsaidie arudi kushika tena sterling

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว

    16m ndogo kwa harambee watu uchanga

  • @hamadmtolera9132
    @hamadmtolera9132 ปีที่แล้ว

    Ntakupigia

  • @slicehamfrey3504
    @slicehamfrey3504 ปีที่แล้ว

    Mungu mkubwa

  • @edwinmtuka736
    @edwinmtuka736 ปีที่แล้ว

    Watanzania wa majanga hayo niwengi wasaidiwe

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 ปีที่แล้ว

    Mtihani mungu asaidiye maisha yake ishaalah

  • @iddyramathan4507
    @iddyramathan4507 ปีที่แล้ว

    Pole Sana Dada Halima

  • @pascalsamson4721
    @pascalsamson4721 ปีที่แล้ว

    duu

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 ปีที่แล้ว

    Mtihani mkubwa huo

  • @elias4810
    @elias4810 ปีที่แล้ว

    Kitaalamu unaitwaje

  • @fadhiliswidhun6606
    @fadhiliswidhun6606 ปีที่แล้ว

    Jambo jema

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 ปีที่แล้ว

    Pole sana aachemwali,mungu ni MKUBWA sana.

  • @sulexswaleh2345
    @sulexswaleh2345 ปีที่แล้ว

    P0le munq ata kujalia uta pona na utakuwa sawa na kulud tena

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 ปีที่แล้ว +1

    Vipi kuhusu kushika maji haitapiga shoti kweli maana ni umeme huo tayri

    • @simplyfay5308
      @simplyfay5308 ปีที่แล้ว

      Umewaza mbali asee😳

    • @jumahamis227
      @jumahamis227 ปีที่แล้ว

      Mbele unaonekana una material ya plastic na rubbers.

    • @shamzone388
      @shamzone388 ปีที่แล้ว

      Mbona jaman watu wanatiliwa pacemaker ya moyo na haifanyi short

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 ปีที่แล้ว

    Mhhgh 15ml nigharama ndogo tuuu kkk

    • @shamzone388
      @shamzone388 ปีที่แล้ว

      Ukiwa nazo utaona ndogo...
      Watu wanavujika miguu laki 7 zinawashisha
      Tuangalie walio chini yetu kula yao ya tabu wataweza

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 ปีที่แล้ว

    Huo ni uongo mtupu wa kusema kwamba mwanamke asirndeshe gari,hayo wanayo uwarabuni huko,ni ubinafsi tu.

    • @shamzone388
      @shamzone388 ปีที่แล้ว

      Dada arabuni wapi
      Mbona wanawake wanaendesha mpaka ndege

  • @iamjanemapozi2079
    @iamjanemapozi2079 ปีที่แล้ว

    th-cam.com/video/FNGYqGiNJWg/w-d-xo.html mkasa mzima huu hpa

  • @sadaalsheibani7106
    @sadaalsheibani7106 ปีที่แล้ว

    Hakuna kazi za wanaume na hajakataza nikujiheshimu na Kristin na kujua wajibu wako

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 ปีที่แล้ว +2

    kwa kundeshea gari mkono Bandai Hapana mimi Nahisi sio.salama

    • @stephanomoses7694
      @stephanomoses7694 ปีที่แล้ว

      Unaelewa namna hydraulic power stelling inavyofanya kazi? Gari za kisasa hata mtoto mchanga ana uwezo wa kuzungusha stelling na pia zipo bus automatic hakuna habari ya kuvunja gia kwa hiyo hata mkono mmoja bila huo bandia angeendesha vzr kabisa acha unyanyapaaji . Unataka akae nyumbani ili umhudumie basic need ama

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 ปีที่แล้ว +1

      Wanaendesha mpaka na miguu badia itakuwa mkono.? Mawazo ya kijinga hayo

    • @yahyahamad1802
      @yahyahamad1802 ปีที่แล้ว

      @@damariszuckschwert9489 na.wewe.pia.mjinga

    • @ramadhanimbulu4941
      @ramadhanimbulu4941 ปีที่แล้ว

      @@stephanomoses7694 kanuni na sheria za usalama barabarani haziruhusu

    • @MaaneML
      @MaaneML ปีที่แล้ว

      @@stephanomoses7694 kabisa mwambie. Mimi gari yangu ni automatic na huwa ninaendeshea mkono mmoja tu kwa mapenzi yangu. Yaani nimeshazoea mno. Kwenye Kona kama ni kali ndiyo nakumbuka mkono mwingine. Tena napishana na traffic kabisa mkono mmoja kwenye sterling. Nafurahia. Hivyo yako mabasi ya auto dada apewe na ataweza. Alikuwa dereva mzuri mno mno. Ila hiyo bei waache kabisa kumtukana Mungu. Mil 15 Mtanzania wa kawaida anazipataje? Hizi ni huduma zisizo za kawaida na hutokea mara chache hivyo serikali igharimie wananchi wake. Pia bima ya gari hiyo imlipe.

  • @mwassamwassa7264
    @mwassamwassa7264 ปีที่แล้ว +2

    Lakini wanawake wa kiislam wamekatazwa kufanya Kazi za kiume

    • @rahmasoliman489
      @rahmasoliman489 ปีที่แล้ว

      Shida ndugu yangu

    • @stephanomoses7694
      @stephanomoses7694 ปีที่แล้ว +5

      Wapi ulisoma kweny QURAN kwamba kuendesha gari ni kazi ya wanaume. . Mi mkristo ila point yako imekaa kijinga sana

    • @fadhilamaulid9843
      @fadhilamaulid9843 ปีที่แล้ว

      Ulichokusudia kuibuwa hoja za kijinga tu huna jengine huna unachokijuwa panya buku ww. Baki na chuki zako za kidini

    • @oscarezekiel1826
      @oscarezekiel1826 ปีที่แล้ว

      Wacha kuandika usichokijua ,au ndio vitole vilikuwasha tu?

    • @angelacharles4365
      @angelacharles4365 ปีที่แล้ว +2

      Unataka wakale police au