HOFU YAMKUTA MKE WA BALOZI MSTAAFU ZNZ, ASIMULIA, KUVAMIWA USIKU WA MANANE NA SILAHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 พ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 532

  • @winfordmwangonda5375
    @winfordmwangonda5375 26 วันที่ผ่านมา +22

    Pamaoja na wavamizi katika Nyumba yake ,mke wa balozi aliendelea na sala yake ,a faithful beautiful woman.

  • @ssoud2394
    @ssoud2394 27 วันที่ผ่านมา +17

    Da Amina umeongea point hao majamaa huenda wana kitu maalum wanachokihitaj kutoka kw Mumeo pole sana dada

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 27 วันที่ผ่านมา +10

    Pole Sana Endelea Kufanya Ibado Zako Kilasiku Na Allah Yupo Nawewe Ataendelea Kukulinda Usiwe Nawasiwasi.. insha'Allah Hatakweza Kufanya Lakufanya...

  • @mohdkhamis5687
    @mohdkhamis5687 25 วันที่ผ่านมา +4

    Subuhanallah Dada Zidisha Kuamka Usiku Na Uzidi Kumomba Allah Yeye Ndie Mlinzi Wa Kila Kitu Yani ZNZ Imefikia Hapo Lahaula Walakuwata Ilabilahi Laaliu Lazwim,

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 27 วันที่ผ่านมา +45

    Ukiachana na uvamizi mashaalah she is beautiful
    #Poleni

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 27 วันที่ผ่านมา +13

    Pole sanandugu minaona muondoke tu kunajambo hapo lakini mwenyezi mungu awaepushie nabalaa hilo

  • @shakurushakuru2211
    @shakurushakuru2211 23 วันที่ผ่านมา +4

    Pole kwa misuko suko Allah yupo pamoja nanyi mja wa Allah.

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 27 วันที่ผ่านมา +11

    Ndugu yng tunakuombea Kwa Allah akujaalie Nusra na Ulinzi Inshaallah

  • @muhydinaden552
    @muhydinaden552 27 วันที่ผ่านมา +22

    Madam ambassador fungeni camera na security light za solar hata balozi atapata access akiwa commoro...Na mwisho hao ni watu wanafahamu mazingira ya hilo jumba na mara nyingi huwa mtu wanayemfahamu ....ulinzi uimarishwe huyo ni mtumishi wa ngazi ya juu serikalini .....

    • @user-cz9zu7ur1h
      @user-cz9zu7ur1h 27 วันที่ผ่านมา +3

      Yawezekana pia niwatu waserekalipi kunakiyu wanakitaka

    • @Mrisho-lj7wy
      @Mrisho-lj7wy 21 วันที่ผ่านมา

      @@user-cz9zu7ur1h Ndio iko hivyo. Tukio hili halina tofauti kabisa na lile la miaka ya 1997. Jina na muhifadhi Prof ...... huyu alikua waziri wa Viwanda na bihashara wakati huo alikua akiishi maeneo ya Kunduchi. Huyu alivamiwa na majambazi tena walimpatia taarifa tuta kuja nyumbani. kweli walienda nyumbani Mh bahati mbaya Mh siku hiyo alichelewa kurudi nyumbani walipishana lisaa tu.Lkn taarifa ya ugeni alizipata kwa binti yake na ujumbe mzito aliupata kwamba wageni wamesema watarud tena. Yule Mh alitoa taarifa sehem husika akapewa na ulinzi wa polisi mwenye silaha. Siku sio nyingi kuripoti kwa yule mlinzi. Yalitokea maswali Magumu mpaka leo hii. Yule polisi siku aliyo chelewa kwenye lindo mh Prof .... yeye aliwahi mapema kurudi nyumbani saa 18:00 alikua nyumbani wale wageni walifika mapema nao wakaingia Prof kwa kujiamini akatoka ndani kuja nje watambuane Prof alichezea za Kifua 3 mbele ya Familia yake. Mchezo ukaishia hapo prof akaenda kuhifadhiwa kwao Mkoa wa Morogoro huko. Hili limenikumbusha nyuma kidogo. Kuna jambo hapa limejificha.

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 26 วันที่ผ่านมา +12

    Unaswali mpaka swalaza usiku ila kujistili kisheria. Bado jistili mama. Kulinganana shetlria ya kiislam. Pole kwamtihani. ALLAH atakuvusha bihidhnillah❤❤

    • @SharifaOmary-ui8vs
      @SharifaOmary-ui8vs 26 วันที่ผ่านมา +1

      Hakimu mkazi😊

    • @kuhusumapenzinamahusiano8458
      @kuhusumapenzinamahusiano8458 26 วันที่ผ่านมา +2

      Avae gunia au hapo kavaa stara nguo ndefuu mashallah

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 25 วันที่ผ่านมา

      @@kuhusumapenzinamahusiano8458 kwako nguoyastala kwenye Dini bado stala hapo kabisa kajiachiakichwawazi maumbileyanaonekana. We usitanie.stala badokabisa

    • @aginsagins-jf4vz
      @aginsagins-jf4vz 25 วันที่ผ่านมา

      ​@@SharifaOmary-ui8vs😂😂😂😂😂

    • @latifamchomvu4735
      @latifamchomvu4735 25 วันที่ผ่านมา

      ​@@SharifaOmary-ui8vs 😂😂

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 27 วันที่ผ่านมา +12

    Mungu anawapenda mpaka UO UMEME KUKATIKA... ALLAH..AWALINDE. YARABB 🙏

    • @mwinyiali
      @mwinyiali 17 วันที่ผ่านมา +1

      izo ni sala za usiku anazosali maana ile huwa unaongea na Mungu moja kwa moja

  • @user-gb5vz6wm2q
    @user-gb5vz6wm2q 27 วันที่ผ่านมา +14

    Ila mwanamke mzuri mashallah

    • @hono1232
      @hono1232 26 วันที่ผ่านมา

      Hatari kweli kweli mashalah

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 27 วันที่ผ่านมา +10

    Pole sana Mungu awaangamuze hao watu

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 27 วันที่ผ่านมา +46

    Pisi kali,mzigooo.. hongera mama balozi

    • @Swamadu-om3uj
      @Swamadu-om3uj 27 วันที่ผ่านมา +3

      Umebaki hy mitakoyenye majipu tu umekwisha ww

    • @Swamadu-om3uj
      @Swamadu-om3uj 27 วันที่ผ่านมา +2

      Nilikuwambia na huyo pereira atakuwacha eti mna vitus tele vya thmn c mungepkw ht rangi wch ushmb

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 27 วันที่ผ่านมา +6

      🤣🤣🤣🤣🤣 mzigooo...😂😂 yenyewe ni Mzigo yupo vizuri bado😂

    • @user-xm2rm7wn6h
      @user-xm2rm7wn6h 27 วันที่ผ่านมา +6

      Vijana wahovyo uta wajuatu😂😂😂😂😂

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 27 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@user-xm2rm7wn6h😂😂😂😂😂😂 wamechanganyikiwa kuuona kwa picha 😂😂😂😂😂😂😂

  • @Allyhujjat
    @Allyhujjat 23 วันที่ผ่านมา +5

    Mwana amina watu wanakupa pole lkn wanaongelea mzigo tuu inabidi shekhe kipoozeo aje akufanyie dua

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 20 วันที่ผ่านมา

      Aise ana mzigo uyo mwanamke namuona sn mazoezini ana takooo si mchezo na mzuri Mashaa Allah

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 26 วันที่ผ่านมา +1

    Pole mama, Mungu akulinde na mabaya waliokusudia, na yawarudie wao wenyewe ktk Jina la Yesu 🙏

  • @aishamuhammad7785
    @aishamuhammad7785 27 วันที่ผ่านมา +12

    Poleni sana, na stara ukhti bado io in shaa ALLAH ujitahidi

  • @stn4873
    @stn4873 26 วันที่ผ่านมา +2

    Bi MwanaAmina Ma shaa Allah.

  • @salmanassor8732
    @salmanassor8732 24 วันที่ผ่านมา +1

    Bismillah mashallah mzurii

  • @feisalmwinyi2429
    @feisalmwinyi2429 26 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah mashaallah mashaallah dada yng allah akuhim yaaaaarab we na family yk

  • @feisalabdallah8632
    @feisalabdallah8632 27 วันที่ผ่านมา

    MA Sha Allah mama Mzuri ila pole Sana na mtihani

  • @lmdos4382
    @lmdos4382 24 วันที่ผ่านมา +4

    Dah! Huyu Dada kwa kweli sio mchezo kabisa !Apewe mauwa yake

  • @aishakambenga6191
    @aishakambenga6191 26 วันที่ผ่านมา +2

    Mzuri MashaAllah ❤❤

  • @mgalamohamed6956
    @mgalamohamed6956 19 วันที่ผ่านมา

    Mwenyezimungu akulinde Insh Allah

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 27 วันที่ผ่านมา +10

    Pole sana, ALLAH Akuepushie shari zao

  • @khairatkisima9217
    @khairatkisima9217 27 วันที่ผ่านมา +4

    Pole jiran yang daah mtihan kwakwel

  • @Farsomtz
    @Farsomtz 17 วันที่ผ่านมา +1

    Bi amina mashallah

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 25 วันที่ผ่านมา +4

    Dada mzuri mashaallah

  • @omarmassoud2011
    @omarmassoud2011 26 วันที่ผ่านมา +1

    Allah akulinde sana

  • @Mohamed-sc6bk
    @Mohamed-sc6bk 20 วันที่ผ่านมา +1

    Daa mina umevamiwa tena pole sana

  • @abdulhalimomar5329
    @abdulhalimomar5329 18 วันที่ผ่านมา +1

    Angejistiri vzr abgependeza zaidi hapa

  • @pyzzocatto1829
    @pyzzocatto1829 27 วันที่ผ่านมา +11

    Walinzi walijificha😂😂😂 af wanasubir kulipwa mshahara😮

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 27 วันที่ผ่านมา +3

      😂😂😂😂😂Tobaaaaa karoho kangu mtume😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @user-vt4vd5rh8u
      @user-vt4vd5rh8u 27 วันที่ผ่านมา +1

      ulitaka wapambane na watu wenye silaha wanajua wamejpangaje polisi wenyewe Huwa wajpanga

    • @fatumamilimo7336
      @fatumamilimo7336 26 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @hafidhclassic5862
    @hafidhclassic5862 27 วันที่ผ่านมา +3

    Ww ni mrembo mashallah 🙏

  • @mwanakombopopo5117
    @mwanakombopopo5117 22 วันที่ผ่านมา +2

    Allah akbar Allah akbar Allah akbar pole dada zidisana na swala za ucku Allah atazidi kukulinda😢

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 27 วันที่ผ่านมา

    Pole sana Amina

  • @abuusaid3297
    @abuusaid3297 27 วันที่ผ่านมา +11

    allah awanusuru na awahifadhi, kuhusiana na ibada,haitakiwa usimlie ibada zako unazo zifanya,bora ungesem nilikua macho sikua nimelala ingependeza zaidi !!!

    • @kazikazi466
      @kazikazi466 26 วันที่ผ่านมา +1

      Acha kupotosha

    • @user-ru6xu4hb1d
      @user-ru6xu4hb1d 25 วันที่ผ่านมา +1

      Ww ndio mpotoshaji

    • @eshaabdallah8253
      @eshaabdallah8253 21 วันที่ผ่านมา

      Wivuuu tuuu

    • @fatmafaki6163
      @fatmafaki6163 15 วันที่ผ่านมา

      Hakusimlia ibada kasimlia matukio

  • @user-wk1ix1gm1p
    @user-wk1ix1gm1p 27 วันที่ผ่านมา +7

    Lakin pia walinzi walijificha , kujificha sindowangepiga cm wapate usaidizi wao wamejificha mpaka kunapambazuka 😂

  • @floramlowe7078
    @floramlowe7078 26 วันที่ผ่านมา +1

    Hapo Mwamini Mungu tu hawatoweza hao ni wanadamu tu

  • @seifdisail3007
    @seifdisail3007 22 วันที่ผ่านมา

    Mama mzuri haswaa MashaAllah

  • @mzeenassib4271
    @mzeenassib4271 18 วันที่ผ่านมา +1

    Uyo ndo Amina Haji bigwa wa vituko asiemjua aende mtopepo garagara mtapata stori zake noma

    • @aminafarouk5062
      @aminafarouk5062 15 วันที่ผ่านมา

      Wacha weee nakuombea sana kwa Allah asikuoneshe wewe wala asiwaoneshe watoto wako walioyaona wanangu… Allah ndie alienijaalia nikawa vituko… Ila muhimu khatma njema. Shukraan

    • @aminafarouk5062
      @aminafarouk5062 15 วันที่ผ่านมา

      Na hata wakija huku chukwani pia watazipata kule za utotoni huku za ukibwani kubwa ni kuomba khatma njema baasss

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 27 วันที่ผ่านมา +8

    Itabidi hiyo camera unga na kwenye simu yako dada matukio yote utayaona na hata mumeo aunge kwa simu akupita mtu nje atakwambia kuna mtu getini

    • @KhadijaSalum-nf5mf
      @KhadijaSalum-nf5mf 27 วันที่ผ่านมา

      Good idea weka camera ktk simu yako

  • @salehothman6144
    @salehothman6144 25 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera mama kwa tahajud Mungu akudumishe

  • @EddahBure-te7ft
    @EddahBure-te7ft 27 วันที่ผ่านมา +13

    Wacomoro ni wazuri mashaallah kuusu mzigo sina hakika ❤

    • @user-jf7vx9nb9m
      @user-jf7vx9nb9m 27 วันที่ผ่านมา +4

      Huyo sio mkomoro mzanzibar

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 27 วันที่ผ่านมา

      Kwani alienda kusoma Comoro au kwenda kikazi😂😂😂😂

    • @husna34562
      @husna34562 26 วันที่ผ่านมา

      Mkomoro​@@user-jf7vx9nb9m

    • @user-si9pb1us8d
      @user-si9pb1us8d 26 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂eti mzigo sina uhakika

    • @baloz8974
      @baloz8974 22 วันที่ผ่านมา

      ​@user-si9pb1us8d Hahaha hatari hao ndio washenzi washenzi

  • @homeofvideos8893
    @homeofvideos8893 22 วันที่ผ่านมา

    Mashallah mwanaamina ❤

  • @Aminayunus-je7id
    @Aminayunus-je7id 26 วันที่ผ่านมา +1

    Afande anajitangulizia eti aje ofisini kwangu tujadili usalama wake😮😊😊😊😊😊😊😊

  • @user-ll7np8td7x
    @user-ll7np8td7x 27 วันที่ผ่านมา +2

    Pole mama mungu akulinde akuepushie na watu wabaya wanamna hiyo

  • @maase2023
    @maase2023 25 วันที่ผ่านมา +3

    Huyu dada mwanaamina mzuri jamani mashallah mashallah

    • @FatumaIssa-kw3vv
      @FatumaIssa-kw3vv 20 วันที่ผ่านมา

      Kwakweli Allah kamuumba vizuri Masha’Allah

    • @maase2023
      @maase2023 20 วันที่ผ่านมา

      @@FatumaIssa-kw3vv yani huyu dada itabidi niende znz nimtafute nimwone tu nimtunze tu basi niridhike

    • @maase2023
      @maase2023 20 วันที่ผ่านมา

      @@FatumaIssa-kw3vv halafu mashallah hajijui kuwa ni mzuri hivo ! Unajua hata hao walomvamia majambazi watakuwa tu wanamtaka tu kwa uzuri wake

  • @geoffreygaudance904
    @geoffreygaudance904 27 วันที่ผ่านมา +6

    Pole sana dada

  • @charlzmboya
    @charlzmboya 27 วันที่ผ่านมา +3

    HUYU DADA NI MZURI SANAAA HUENDA MUMEWE ANAMUBITAJI WAISHI WOTE COMORO LAKINI YEYE HATAKI !! IKABIDI ATUMIE PLAN B YAKULA NJAMA NA WALINZI WAKE ,,,WAMTIE HOFU MKEWE ILI AHAMIE COMORO ....mama wee mzuri maashalaah.

    • @charlzmboya
      @charlzmboya 27 วันที่ผ่านมา

      Nenda COMORO kaishi na balozi mumeo ...wewe ni pic Kali sanaaaaa ...me mwenyewe nimeingiza tamaaa

    • @oman1oman179
      @oman1oman179 27 วันที่ผ่านมา

      Utakuta ni hivo hivo kwanini hapendi kuhishi na mume wake Comoro

    • @gasper90mathias58
      @gasper90mathias58 24 วันที่ผ่านมา

      Maybe true

    • @hawrajehan2398
      @hawrajehan2398 18 วันที่ผ่านมา

      Comoro kusikie tu,kuna pisi kali balaa kule tena hatar usiombe,usikute mmewe keshaowa maana kastaaf kitambo huk Comoro anafanya nini?

  • @nassorsubah3100
    @nassorsubah3100 14 วันที่ผ่านมา

    Hatari zanzibar

  • @manuelsaramba2138
    @manuelsaramba2138 26 วันที่ผ่านมา

    Pole sana mama hao watakua kunaki2 wanata

  • @michaelmaziku991
    @michaelmaziku991 26 วันที่ผ่านมา +1

    Daah muheshimiwa hakika alikuwa analala kwenye usingizi mzuri

  • @jumahassan273
    @jumahassan273 27 วันที่ผ่านมา +2

    Bibi amina wew sio mchezo mmh

  • @adoniemanuel908
    @adoniemanuel908 27 วันที่ผ่านมา +10

    mama mbona kama unaonyesha unamashaka kwamba mume kaoa mkee mwingine basi mwambie akuahamishie komoro mkae wotee ili uwee na amani

  • @queenlinda255
    @queenlinda255 17 วันที่ผ่านมา

    Aaaa jamani mama Maashaallah sijui alivyokua msichana mdogo alikuaje

  • @user-nm8ym6iq7n
    @user-nm8ym6iq7n 27 วันที่ผ่านมา +7

    Chukua cm zte za walinz wako zipeleke police zikafuatiliwe mawasiliano utapata majbu

  • @barikiwa22
    @barikiwa22 20 วันที่ผ่านมา

    Dah wazidishe ulinzi

  • @chamandaayolaiza1535
    @chamandaayolaiza1535 22 วันที่ผ่านมา

    ALLAH USAFISHE MOYO WKO DDA UZID KUUSTIR MWILI WK

  • @user-bl4sy5ei1k
    @user-bl4sy5ei1k 26 วันที่ผ่านมา +1

    Balozi anajua kuchagua mke ana kishundu hadi raha

  • @user-tw5er2qh3q
    @user-tw5er2qh3q 24 วันที่ผ่านมา

    Pole sana mama 😮😮😮😮😮😮😮

  • @faiasap8307
    @faiasap8307 26 วันที่ผ่านมา +1

    Daah b mwanaamina akikaa haumii maana ana sit protector

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 26 วันที่ผ่านมา +1

    Mama anataka akaushi Kwa mumewe TU , huko Comoro , mazingira ya tukio kama la kusadikika waje na slaaa wasimdhuru mt

  • @msafirisaimoni9561
    @msafirisaimoni9561 22 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi nimsaidie kumlinda mke wa mstaafu

  • @mapishiyalulu9696
    @mapishiyalulu9696 14 วันที่ผ่านมา

    Bora uweke camera itakusaidia kiasi flani pole sana dada

  • @GraceMakenga-zd1vn
    @GraceMakenga-zd1vn 27 วันที่ผ่านมา +5

    Mulize mumeo vizurii

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 27 วันที่ผ่านมา

      Tena we kiboko na mawazo yako

  • @bkkomesho9272
    @bkkomesho9272 27 วันที่ผ่านมา +1

    Tuachane na uvamizi, ila we mzuri bhana hadi unakera

  • @user-cx7rh6jt6y
    @user-cx7rh6jt6y 26 วันที่ผ่านมา

    Hama hio nyumba my jihami kabla y hatari Mungu awanusuru inshallah

  • @rajabmsinzia1715
    @rajabmsinzia1715 27 วันที่ผ่านมา +5

    MashaAllah bonge la toto dah

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 27 วันที่ผ่านมา +10

    hao asikali wa MZ niviazi kweli ya mhalifu anakuja wahajificha sasa hao Ni asikali au madem wa kimboka

    • @fatmamdihiri4164
      @fatmamdihiri4164 27 วันที่ผ่านมา +1

      Nimecheka km fala

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 27 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂

    • @mnesoboy4338
      @mnesoboy4338 26 วันที่ผ่านมา +1

      Yani wew unakirungu mwenzio anabunduki wew usijifiche acha zako

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 25 วันที่ผ่านมา

      @@mnesoboy4338 😂😂😂😂😂😂😂😂MSG

    • @mnesoboy4338
      @mnesoboy4338 25 วันที่ผ่านมา +1

      @@MiriamAbdallah ana utani huyu jamaa

  • @ZubeirJuma-up7kb
    @ZubeirJuma-up7kb 27 วันที่ผ่านมา +7

    Nmeumia roho kwa izo swala za uxku mashaallah uxjali iyo michizi haina uwezo wowote mama tulia unapiga ibada uxku ww ni mtu mwengine kabisa mashaallah

  • @kadiakirua7621
    @kadiakirua7621 24 วันที่ผ่านมา +3

    Pole mama mkwe hili ni funzo jamani kwamba sala za usiku zinasaidia majambo yetu

  • @giftkelvin7
    @giftkelvin7 25 วันที่ผ่านมา

    Mungu anakulinda, hayo yalimkuta gwajima usiogope

  • @Smokeylucas
    @Smokeylucas 27 วันที่ผ่านมา +3

    Hiyo ni siasa. Wanamtafuta mumeo

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 27 วันที่ผ่านมา +2

    Kwani hapo Zanzibar hakuna Polisiii… ??? Zanzibar imeharibika sana. Hata Watalii wakisikiya hayo hawatokuja Tena Zanzibar. Serikali tizameni sana mambo hayo.

  • @MassoudAmour-qj1og
    @MassoudAmour-qj1og 23 วันที่ผ่านมา

    Acheni masihara mama ana wowooo alindwee😮

  • @omanmct135
    @omanmct135 27 วันที่ผ่านมา

    Hatari kweli

  • @aloycesteven5998
    @aloycesteven5998 27 วันที่ผ่านมา +1

    Sema nyashi ipo bana 😂😂

  • @ahmedbaamironlinetv4753
    @ahmedbaamironlinetv4753 18 วันที่ผ่านมา

    HUYU MAMKWE MASHALLAH

  • @majumaatieno5640
    @majumaatieno5640 18 วันที่ผ่านมา

    Pole mama Aisha perera ....hao wezi wakome

    • @aminafarouk5062
      @aminafarouk5062 15 วันที่ผ่านมา

      Asante teacher Mwajuma

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 25 วันที่ผ่านมา

    Aise.....

  • @jokhaali5893
    @jokhaali5893 26 วันที่ผ่านมา

    Bi Amina unatakiwa kubakwa wewe na watoto. M. Mungu atawalinda

  • @KRIPHMWAKILOVOKO-rd7wy
    @KRIPHMWAKILOVOKO-rd7wy 27 วันที่ผ่านมา +1

    Ukiachana na uvamizi mmmh shep IPO haswa

  • @user-jl5zh6qi2w
    @user-jl5zh6qi2w 20 วันที่ผ่านมา

    Daaaaaah kama mkundu tuanao 😅😅😅😅😅😅 aiseeee

  • @l.marley_2542
    @l.marley_2542 23 วันที่ผ่านมา

    Mwanamke mrembo sana

  • @selemanmaganga-le4zg
    @selemanmaganga-le4zg 24 วันที่ผ่านมา +1

    Ila duuh dada kajaliwa kuanzai sura, umbo, kujistili anaongea vizuri, anamacho mazuri 😮😮 hadi afande anajifanya mjanja heti aje ofisini kwangu nijadili nae juu ya usalama wake 😂😂😂 afande tunaijua hiyo!.

  • @hono1232
    @hono1232 26 วันที่ผ่านมา +1

    6:04 Nahisi mmeo kawafanyia kosa hao jamaa awaombe msamaa

  • @DesertTears
    @DesertTears 25 วันที่ผ่านมา

    Walinzi walijificha😂😂😂😂 hio Kali sana😂😂😂😂

  • @AllyWaziri-bo3je
    @AllyWaziri-bo3je 27 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu kaumba

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 27 วันที่ผ่านมา +3

    Maombi yako ya usiku ndio yanayokulinda
    Endelea kuomba wala usiogope

  • @user-bq2zn1wy1q
    @user-bq2zn1wy1q 26 วันที่ผ่านมา

    Bi Amina ana bonge la tako

    • @abakibibi9917
      @abakibibi9917 24 วันที่ผ่านมา +1

      FANYA ADABU SHIKA ADABU YAKO

  • @annamussa185
    @annamussa185 27 วันที่ผ่านมา +10

    Hiyo ndo nyumba ya Barozi😮😮Pakeni hata rangi basi

    • @halimahalima1488
      @halimahalima1488 27 วันที่ผ่านมา +1

      Astahili eeh

    • @MinskBelarus-il2tl
      @MinskBelarus-il2tl 27 วันที่ผ่านมา +3

      Wewe yako Umepaka rangi? Kumbuka,Kaburi haina rangi wala Taa.

    • @annamussa185
      @annamussa185 27 วันที่ผ่านมา

      @@MinskBelarus-il2tl siongei na Mbwa 🐕

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 27 วันที่ผ่านมา +2

      ​@@annamussa185acha matusi kwani umetukanwa?

    • @MinskBelarus-il2tl
      @MinskBelarus-il2tl 26 วันที่ผ่านมา +1

      @@annamussa185 😃😃😃😃 ngoja nikuhadithie Habari moja. Mume alikuwa ana mkaripia MKEWE na akamwambia " WANAWAKE WOTE MAMBWA TU" mara akakatiza MBWA mbele yao, yule Mke akamwambia mumewe..... yule anaekatiza ni MAMA YAKO.🙏🙏🙏 na mimi nimejibiwa na Binaadamu. Maajabu haya😒😒😒

  • @veronicaaugust1793
    @veronicaaugust1793 26 วันที่ผ่านมา +1

    POLE SANA MAMA

  • @ssoud2394
    @ssoud2394 27 วันที่ผ่านมา +10

    Duuh! Hao walinzi wanafanya kazi hapo watimuliwe hawafai kukaa tena hapo

    • @bilakawaboynew978
      @bilakawaboynew978 26 วันที่ผ่านมา

      Wewe mtu Ana silaha unamzuiaje

    • @ssoud2394
      @ssoud2394 26 วันที่ผ่านมา

      @@bilakawaboynew978lazima apambane kwa hilo kwani yy ni kazi yake kutoruhusu chochot kuingia ndan na hasa nyumban kwa kiongoz

  • @nasraissa4873
    @nasraissa4873 25 วันที่ผ่านมา +1

    Majumba mazuri yanamitihani hawana raha vo wenye majumba mazuri

    • @baloz8974
      @baloz8974 22 วันที่ผ่านมา

      Kweli kabisa kuna kuwa sana na mitihani

  • @user-gj2mm3ko8m
    @user-gj2mm3ko8m 21 วันที่ผ่านมา

    Serikali mpe Ulinzi is Na hao watu ashikwe, Ama serikali yetu ya Kenya Uje imusaidie🇰🇪😭😭😭😭

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 26 วันที่ผ่านมา

    Mungu ndo mlinzi hakika yuko Nanyi

  • @silimangwali9181
    @silimangwali9181 14 วันที่ผ่านมา

    Ajla itakuaje kama mama yupo hiv, ayo mtuoneshe na ao watoto bas

  • @seifhabib5987
    @seifhabib5987 27 วันที่ผ่านมา +5

    Amina una Kiuno ww Mheshimiwa Anafaidi

    • @nuhumaalim4976
      @nuhumaalim4976 27 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂

    • @SaidIssa-tq3yv
      @SaidIssa-tq3yv 22 วันที่ผ่านมา

      Sio katika mafundisho ya mtume s.w.a jifunze kuandika usisifu maumbile ya wake za watu . mwenye zimngu atuongoze sote Amin.

  • @AbouhSix-wm2bx
    @AbouhSix-wm2bx 27 วันที่ผ่านมา

    Poleee

  • @JabiriSeif
    @JabiriSeif 24 วันที่ผ่านมา

    Kuna shida hapo ila mungu akulinde na shari zao kwakwel