Neema ya Mungu izidi sana kwetu sote. Yeye Alietenda yale yaliyopita bado yupo katika kiti cha enzi. Halali wala hasinzii. Anatenda hata sasa. Namuamini Mungu kuwa hakika tutashuhudia miujiza yake. Asanteni kwa upendo, likes, comments na ku subscribe. Asante kwa kushare huu wimbo na wengine. Asante kwa kuwa baraka.
Tunashangalia wema wake hapa Kenya! I am deeply grateful to God, for His annointing upon you to release this song in such a timely manner. My 6 year old daughter called Wema has been in a severe health condition. But I have seen God's miraculous healing. She was discharged from hospital yesterday, and finally playing at home today. From the depths of my heart, I worship Jehovah Rapha with this song. Kwa kweli, nimeona Wema wake.
Glory Glory Glory to the Most high GOD! Lord we thank you so much for Wema’s life. We thank you for revealing yourself as Jehovah Rapha.You are worthy oh GOD! Hallelujah!!!! Thank you for sharing this testimony Hope.
@@AngelBenardWorship Amen!! I am elated and humbled by your response! I'm from reading your response to my daughters and we celebrated. My prayer is that we will meet one on one someday. You are a great blessing to my daughters and I. Barikiwa. ♥️
I have been listening to this song for two days non stop. Nimebarikiwa sana sana yaani umenifanya nitafakari ukuu wa MUNGU sana kwenye maisha yangu. GLORY TO GOD🙏🏾❤️
Hakika nimeuona wema usiosemeka siwezi kueleza hata kidogo, asingekuwa Yesu 2021, 2022 nisingevuka but nimevuka kwa kishindo na 2023 naamini ni mwaka wa ushindi na kushuhudia makuu
Wimbo mzuri,kwa hakika MUNGU ndo anayetuwezesha katika mambo yetu.MUNGU akujalie Mwaka huu kabla ya kuisha utoe wimbo utakao kuwa na Watazamaji wengi zaidi katika nyimbo zako zote katika channel hii,AMINA🙏.
😭😭😭🙌🙌🙌🙌my role model I love you! Hii ni hit song, waimbaji wengi wa kike wanakupenda sanaa........na kupitia wanajifunza vingi. Mi NIMEONA Mashamsham song ILIVONITOA. .. nazid kujifunza
Neema ya Mungu izidi sana kwetu sote. Yeye Alietenda yale yaliyopita bado yupo katika kiti cha enzi. Halali wala hasinzii. Anatenda hata sasa. Namuamini Mungu kuwa hakika tutashuhudia miujiza yake. Asanteni kwa upendo, likes, comments na ku subscribe. Asante kwa kushare huu wimbo na wengine. Asante kwa kuwa baraka.
Always a blessing to me Angel
Amina Amina Amina
Glory to God
Trully God is faithful....nimeona wema wake .....keep on keeping on angel benard. Baraka tele.
Amina
#Nimeona is such a blessing 🙏
Waliosikiliza nyimbo hii more than 3times tuonane!!!love from Burundi
Much love from Tanzania!!!
Jaman bonge la nyimbo by venista
Toka nime memjuwa Angel
Nipo hapa
Km kuna ambaye hawezi kuona ukuu wa Mungu tangia mwaka ulivyoanza hadi tumefika december naomba neema ikutembelee
Who's playing this song on a repeat mode😄
Kenyans let's show love to this song. It's a hit!🙌
Let's do it! we have to hit a million views!!
th-cam.com/video/oMo2XGsj8ZI/w-d-xo.html&feature=shares
I listen 🎶 this song More than 110 times since released like if ur the same
This will be my wedding song someday 🥰❤️
i agree with you, it will be mine too
Exatly.. it will be mine too in Jesus name.. Amen
❤same to me here ❤🎉
Iv heard it today for the first time and the exact thought that came to my mind.
My wedding song this year
Rafiki mwaminifu
Angel Benard.Yesu asipunguze Wema nyumbani mwako.Ninakupenda mimi
Hi is is this Swahili?
@@Zangwest yes
@@Zangwestyes it is Swahili
Jamani nyimbo tamu sana ❤
BWANA AMEFANYA ❤🎉🎉🎉🎉
Mimi sijui hii ni x ya ngapi hadi nimesahau wimbo huu unabariki love you Angel Bernard❤
My wedding song 2025🙏
Tuko pamoja kabisaaaa
Waoh
Tunashangalia wema wake hapa Kenya!
I am deeply grateful to God, for His annointing upon you to release this song in such a timely manner.
My 6 year old daughter called Wema has been in a severe health condition. But I have seen God's miraculous healing. She was discharged from hospital yesterday, and finally playing at home today.
From the depths of my heart, I worship Jehovah Rapha with this song.
Kwa kweli, nimeona Wema wake.
Glory Glory Glory to the Most high GOD! Lord we thank you so much for Wema’s life. We thank you for revealing yourself as Jehovah Rapha.You are worthy oh GOD! Hallelujah!!!! Thank you for sharing this testimony Hope.
@@AngelBenardWorship Amen!!
I am elated and humbled by your response! I'm from reading your response to my daughters and we celebrated.
My prayer is that we will meet one on one someday.
You are a great blessing to my daughters and I.
Barikiwa. ♥️
Wimbo wangu na familia yangu twakeshea hakika so powerful powerful Jesus
Nimemwona pia
Wooooooh, that's my song, its coz of you lord
Vile leo kuna mtu ameniumiza sana,nikakutana na huu wimbo,nakesha nao leo.Mungu niepushe na watu wabaya
NIMEMWONA BWANA KATIKA MAMBO YANGU MENGI AMENITENDEA NA ANAZIDI KUNITENDEA. MUNGU WANGU NAKUSHUKURU SANA.
Am here Again❤
Si kwa nguvu zangu
Kanyaga twende🔥🔥🔥
Amina nimeona Mungu asiyependelea
Wema Usiosemeka 🤍
This song is a jam this is how i start my new year
MUNGU akubariki sanaa uzidi kumwibia BWANA maadamu unaishi dada angu natamani na mm nifike kama wewe najaribu kuwa kama wewe MUNGU anisaidiee 🙏🙏🙏😇💕💕💕😇
Nmemwona bwana
First Ugandan🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬 wapi likes
I have been listening to this song for two days non stop. Nimebarikiwa sana sana yaani umenifanya nitafakari ukuu wa MUNGU sana kwenye maisha yangu. GLORY TO GOD🙏🏾❤️
This song is just wow 🤩… praise song la kufungulia mwaka yaani sichoki kuusikiliza ❤nimemuona Mungu akinivusha 2023
MY BEST GOSPEL SINGER IN MY COUNTRY....Ooh She's Blessed
Bwana amefanya, hata sasa tunashangilia❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
This is the song that is ushering me into a new season of my life. Perfect timing. My God!
Halleluyaaah
This is my year of blessing thank you sister for the massage of this song
This song is my favorite ❤️
Hallelujah.Glory be to God.God bless You abundantly🙌Kwa kweli Bwana amefanya hapa nasimama si kwa nguvu zangu siuwezo wangu.Nimeona wema usiosemeka🙌🇹🇿
I've seen God do marvelous things in my life and family, I don't know where I'd be without Him. Am forever greatful Oh Lord
Nakupenda Angel
Nimeuona wema wa Bwana, nice song🎶
Ni Mungu tu kwa kweli❤️nimeona wema usosemeka❤️🙌🏾blessings upon blessings minister 💯my all time favourite Kenyan artist
Its God all the way
Tumekumiss mwanadada!
come all,lets camp here,great song here
BWAANA AMENIFANYIA HUU MUUJIZA SIO MIMKI NI BWANA
Barikiwa❤
Hakika ni kwa mkono wa Bwana tu.
Hakika nimeuona wema usiosemeka siwezi kueleza hata kidogo, asingekuwa Yesu 2021, 2022 nisingevuka but nimevuka kwa kishindo na 2023 naamini ni mwaka wa ushindi na kushuhudia makuu
ni Bwana amefanya 😍
This song waooooh
Another wedding song 😍
Nimeona wema wa Mungu usio semeka Amen
Nimependa hii
Wimbo mzuri,kwa hakika MUNGU ndo anayetuwezesha katika mambo yetu.MUNGU akujalie Mwaka huu kabla ya kuisha utoe wimbo utakao kuwa na Watazamaji wengi zaidi katika nyimbo zako zote katika channel hii,AMINA🙏.
Oooh wow,nimeona wema usiosemeka
So blessed by the song ilibidi ni match in nayo on my wedding day 3rd August this year...niliona wema wa Mungu💪❤️ # from kenya
Mungu Akutunze mno dadah
Amina sana mtumishi wa Bwana Yesu Kristo. Nyimbo imenibariki sana #Bwana Amefanya...Nimeona wema usiosemeka🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Hakika na Mimi nimeona❤️❤️❤️
I have seen the goodness of the LORD in the land of the living, as He who has promised is faithful and He cannot lie 🙌🙌🙌🙌🙌
Thus far it's The LORD's doing indeed🙏
Hapa nasimama si kwa Nguvu zangu si uwezo wangu Bwana amefanya ❤️🙏🏽
Haleluyaaa haleluyaaa haleluyaaa
It so good
Nyimbo nzuri sana barikiwa sana. Mungu mwaminifu sana kwetu
Hakika umenibariki Sana pia nimekukumbuka Sana mtumishi mrembo wangu kokote ulipo Mungu akubariki
Bwana amefanya kwanguu 🙌🙌🙌
Umbali huu nimefika si kwa nguvu zangu, si kwa uwezo wangu Bwana Amefanya.... This song.....
Barikiwa Sana mtumishi kwa wimbo mzuri
Kazi nzuri sana nahitaji kuongea na wewe nipo MA
Mungu azidi kukuinua Mtumishi. Anointing over anointing
Ubarikiwe
Nmemuona shujaa wa vita akinipigania Hallelujah🤲
Nimeona Wema WA Mungu barikiwa wote 2023 yenye baraka
🥰🥰🥰🥰🥰Yesu ametenda Asante Mungu wangu🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️
Nimeona Mungu asiyeshindwa....rafiki mwaminifu ,shujaa wa vita,nimeona wema usiosemeka
WOW, shujaa wa vita akatupiganie huu mwaka
kiukwel huu wimbo ninapousikiliza una nibariki sana nimemuona kwel mungu akitenda mema kwangu❤❤❤❤❤❤
mungu azidi kukutia nguvu ili uzidi kufanya kazi yake vizuri mungu akubariki❤❤🎉
Haleluyaaa, hakika nimemuona Bwana Maishani mwangu, yeye ndio kila kitu Maishani mwangu. Wema wake ni Mkuu sanaaaaa.
I declare I have seen God's Goodness,,, AMEN AND AMEN 🙌❤️👏🎉💯💯💯💯💯🎶💯🎶💯🎶💯🎶💯🎶💯🎶🙏
Nimeona wema usio semeka nimwona MUNGU kwenye maisha yangu 👋👋🙏
you bless us kwa nyimbo na sauti yako angel, hakika Mungu anakutumia na wewe unatumika barabara.
God bless you Woman of God.... I just heard this song and i can't stop listening..it's lifting my spirit and giving me so much joy.. MUNGU AKUBARIKI
Huyu dada ananifariji sana
Wema na Neema inakotosha barikiwa sana
Kwangu wimbo huu umenifanya niishi 2023 ya baraka
Nimeona nitaendelea kuona .ubarikiwe Kwa wimbo mzuri
Ubarikiwe mimi wewe ndiyo msanii wangu bora kwa kwa nyimbo za kuabudu ukimuacha christina shusho mungu ni mwema
Bwana Yesu na apokee sifa zote. Asante dada kwa kumruruhusu aachalie sifa zake kupitia kwa kinywa chako.
My lov my sister Angel Benard
Mungu akutunze sana huu wimbo kwa kweli unabariki sana
wow,, that's a beautiful voice and a lovely song all together,Mungu akubariki,.zaidi
Nimeona wema❤❤❤❤❤🙌
Absolutely true ni Bwana himself amefanya Nimeona wema wake in myself Good song dear I am blessed Love u Angel
Nimemwona Mungu asiyeshindwa!
♥️♥️♥️🔥🙏🙏😀♥️♥️😇😇
Mbona ameeimba moto wangu ubarikiwe dada angle utabirio wa malkia rose Muhando ❤
Si kwa nguvu zangu Bwana amefanya....barikiwa sana mtumishi wa Mungu.
Umbali nimefika ni Bwana amefanya! Nimeona wema usiosemeka auuuuuuwiiiii 💃💃💃💃
Thank you lord for crowning 2023 with abudance you are a faithful God
Hakika ni Kwa neema na fadhili zake Kwa umbali huu 🙌🏽🙌🏽
Raboryado I feel like going in tongue ..... ooooooooo wow huu wimbo utakaa watsApp status sana. We love you Angel. Asante kwa zawadi
Umbali nimetoka si kwa nguvu zangu si akili zangu bwana Amefanya 🙏🙏 Mungu
#Nimeona🔥🔥🔥
#comingsoon 🚶
😭😭😭🙌🙌🙌🙌my role model I love you! Hii ni hit song, waimbaji wengi wa kike wanakupenda sanaa........na kupitia wanajifunza vingi. Mi NIMEONA Mashamsham song ILIVONITOA. .. nazid kujifunza