Kenyan wanasupport mziki wa tz ukitka kuamn angalia NYIMBO za master wa tz hata ambao washafariki kina Sam wa ukweli na wengine wakenya wanacomment sn hadi za Mwaka 2003 Kenyan wnatazama ad Leo Kenyan mbalikiwe sna kwa niaba ya wa tz wote nashukuru
To anyone struggling with, illnesses, financial instability, depression and rejection May the God of David see you through it all and give you victory! May He contend with those who contend with you and fight against those who fight against you! May those who plot your ruin be turned back in dismay.Lots of love from Washington 🇺🇸 🇺🇸 ❤.
Nyimbo za dini ni zaidi ya kujua kuimba ni zaidi ya kuwa na sauti nzuri ni zaidi ya kuwa mtunzi mzuri ni zaidi ya kuwaza kuwa nitapiga pesa as business but Uwepo wa Mungu ukiwepo kwenye nyimbo hiyo hakika utaona raha sana......maombi mengi...unyenyekevu Mungu anakuinua.
Time flani niliumwa nikawa kitandani huku imefanywa Operation kadhaa. Nikakuta huu wimbo TH-cam niliusikiza na kuuimbakwa sauti sana pale hospital room. Iilinifanya nijue yale maumivu makali niloyapata ni madogo sana ukilinganisha na wengine. Unaweza hisi wewe ndiye mwenye wakati mgumu kumbe kuna watu wanatamani hata huo wakati mgumu upitiao wewe, sababu wakati wanaoupitia wao ni mbaya zaidi. 🙏🙏🙏
Regardless of our religion, we were created by one God who loves us the same. His spirit speaks to us so that we can hear him. We r all human and we need him..
Walitabiri mwisho ukatangaza mwanzo...walitabiri kifo nikavuma zaidi ya upepo....wanauliza siri ni nn wanauliza nguvu ni nn...siri yangu ni wewe na nguvu zangu ni wewe...this line is hits different
Walitabiri mwisho, ukatangaza mwanzo. The message in this song is so powerful. As we start off the year, kama walitabiri ndio itakua mwisho wako jua Mungu ametangaza mwanzo wa mafanikio kwako. Happy 2023.
Barnaba naomba Imba nyimbo za Mungu nakwambia utaona utukufu wa Mungu ulivyo, Mungu anakila kitu unachokiitaji katika maisha yako, nakuomba sana Muimbie Mungu hakika yake utaiona.
Barnaba kiukweli upo vizur sana huu wimbo ni mzur sana umeutendea haki kuna nguvu ya Roho mtakatifu ipo kwenye huu wimbo kwa maana kila nikiingia you tube lazima niupige zaid ya mara tatu na kuendelea .Kama utapendezwa uwe muimbaji wa gospel itakua vzr sana na Mungu atakuinua viwango vya juu sana.God bless you.
I don't know why i have just realized this piece this 2024. but i love love this song OMG. And as people predict my end, may God announce my beginning. may i blow more than the Wind and may i cut the front seat. Asante baba
We love ❤️ you more our Kenyan family!! Here in Diaspora we embrace East Africa artists equally…. We are so proud of being East-Africans with a beautiful language Swahili
sikia Barnabas nenda omba msamaha kwa paroko wako najua unawimbia unajua kosa ulilo tenda kwenda kubadili dini kaka nilisikitka sana wewe ni mlosari mwenzangu Mungu akusamahe kwa kumuimbia sifa usirudie tena hiyo ni dhambikuba sana
This songs ignites a pain (lump) in your throat especially if you have ever been there, down and depressed. Joel Lwaga tells is all in his verse. Siri kweli ni wewe na nimekutii baba. Thank you for this beautiful piece of music. Added to my daily playlist
kama bado huu wimbo unakunguza,,nipee like
na iwe baraka juu yako kma ilivyo zabur juu yetu❤
I hope Barnaba one day he will return back to Christianity in Jesus NAME I BELIEVE AMEN
Amen 🙏
WaTanzania kama mnapenda wakenya nipeni like hapa juu ya #Sayuni
Nawapenda wakenya ni majirani zetu
😅😅😅lazima ungetaja Kenya 😅😅😅😅
❤twawapenda sana😊
Hatuwapendiiiiiiiiiiiiii
W@@catherinegicharu
Kama mnapenda wa RWANDA NIPE like/ pia sisi twawapenda sana
❤️❤️
🙏🙏
Absolutely Mugabe tunawapenda sana Wanyarwanda, tupo pamoja East Africa, karibu Tanzania
Barnaba baba ukiimba injili utafanikiwa sana maan jina lako ni kubwa, Joe uzidi kubalikiwa nyimbo zako nzuri sana endelea kumtukuza Mola wetu.
naomba likes kama na ww huu wimbo unamaanisha kitu kwako
I always thought its Guardian Angel 🥲
you are blessed 😇
Kenyan wanasupport mziki wa tz ukitka kuamn angalia NYIMBO za master wa tz hata ambao washafariki kina Sam wa ukweli na wengine wakenya wanacomment sn hadi za Mwaka 2003 Kenyan wnatazama ad Leo Kenyan mbalikiwe sna kwa niaba ya wa tz wote nashukuru
Mungu awabariki sana🇹🇿ni za kwenu pia sisi ni Wana Africa mashariki wote.
Wanatupenda sababu sisi ni damu moja l,sisi ni kitu kimoja
Barnaba kwa Yesu ndo panakuhusu,huko kwingine hapakufai bhn hebu kaa kwa Yesu usitoke
Yaani anapoteza Muda tu huko kwingine
Barnabas wewe ni Mwana wa Mungu, usiache imani yako tena Imani ya kweli ya Bwana wetu Yesu Kristo.
To anyone struggling with, illnesses, financial instability, depression and rejection May the God of David see you through it all and give you victory! May He contend with those who contend with you and fight against those who fight against you! May those who plot your ruin be turned back in dismay.Lots of love from Washington 🇺🇸 🇺🇸 ❤.
♥️♥️
Amen,blessings.
Amen! Allow me to steal this one
Amen!!!!!
AMEN
Tunao rudia rudia kuutazama huu wimbo tujuane hapa Kwa like Mimi ni mara ya sita.
Mm haipit wiki nipo Zang nasikiliz kwa bufa😊😊😊😊😊😊
Wuuuuuuu East Africa ❤️❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Zimbabwe 🇿🇼 twasema hakika mubarikiwe sana 🤭💪📖📖📖
Nyimbo za dini ni zaidi ya kujua kuimba ni zaidi ya kuwa na sauti nzuri ni zaidi ya kuwa mtunzi mzuri ni zaidi ya kuwaza kuwa nitapiga pesa as business but Uwepo wa Mungu ukiwepo kwenye nyimbo hiyo hakika utaona raha sana......maombi mengi...unyenyekevu Mungu anakuinua.
Kama unabonga kiswahili Tukutane hapa kwenye likes za mziki mzuri!
Tupo wengi
Achaa umbeaa
Nipo kaka longa nami
Mmm
Bro nyimbo haja itendea haki kabisa
Time flani niliumwa nikawa kitandani huku imefanywa Operation kadhaa. Nikakuta huu wimbo TH-cam niliusikiza na kuuimbakwa sauti sana pale hospital room. Iilinifanya nijue yale maumivu makali niloyapata ni madogo sana ukilinganisha na wengine. Unaweza hisi wewe ndiye mwenye wakati mgumu kumbe kuna watu wanatamani hata huo wakati mgumu upitiao wewe, sababu wakati wanaoupitia wao ni mbaya zaidi.
🙏🙏🙏
Kenyans on the comments section 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mungu awabariki Sana good job guys
Mungu awabariki sana kaka na dada zetu kutoka Kenya sio TU mnawapenda watanzania na Mungu pia mnampenda sana🙏🤝
Welcome Tanzania hatunaga kazi chafuu sieee
I'm a Muslim but I love the song the tranquility it brings can't be explained
Nani ajui unakula 🐖
Nani amekuambia Upende
That’s what the gospel of Jesus Christ does to you. You could be struggling but just by listening to it your heart will feel at peace❤️
Welcome to Jesus he loves you
Regardless of our religion, we were created by one God who loves us the same. His spirit speaks to us so that we can hear him. We r all human and we need him..
Like hapa kama unarudia rudia kusikiliza hii nyimbo kama mimi
❤❤❤ Nawapenda wote
Wa AFRICA WOTE
Joel ana sauti nzuri kweli.
🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Asante san kwa kumkumbuka MUNGU ukamwimbia hongera san kaka Barnabas 🙏🙏🙏
Katika siku Barnaba amenifurahisha ni kuimba Nyimbo ya Injili More Bless Sayuni to the world 🙏🙏🙏....More Blessings
I wanted this so badly..Barnaba anafaa aimbe gospel music
Kweli kabisa
Mwenzako AME slim sasa anaitwa Mohamed (Mopao)
Barnaba binafsii ameniuzii sanaa kubadilii diniii
Walitabiri mwisho ukatangaza mwanzo...walitabiri kifo nikavuma zaidi ya upepo....wanauliza siri ni nn wanauliza nguvu ni nn...siri yangu ni wewe na nguvu zangu ni wewe...this line is hits different
Amemuimbia Zaburi tena kwa sauti kuu den boom after a month anaitwa Mohamed.
God is faithful April 2024 anyone
🕺🏻🕺🏻🕺🏻April 2024
We here praise be to God 🙏🏽
3.May❤❤❤❤❤
❤❤❤❤from France
@@neemacocorico2022 From Kenya
Why did I just learn of this song today???? So much blessings to the family of believers.
Walitabiri mwisho, ukatangaza mwanzo. The message in this song is so powerful. As we start off the year, kama walitabiri ndio itakua mwisho wako jua Mungu ametangaza mwanzo wa mafanikio kwako. Happy 2023.
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Nikuimbie bwana mfalme wa mbinguni...Baba kanifanya huru Sina minyororo...Siri yangu ni wewe I love this song
I love this song it's really nice love for Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❤️
Na kwenye Safina yako nitakata sit ya mbele eish this part is deep Barnabas kudos🇰🇪
🤘🏾🇺🇬
sema joel nguo hiyo hiyo moja kwenye video
Tanzanians 🇹🇿 don't know how much Kenyans 🇰🇪 love you ♥..a hit✌🔥💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I can't wait to say wonderful
buesa
We know , don't worry God bless all Kenya people❤
Barnaba naomba Imba nyimbo za Mungu nakwambia utaona utukufu wa Mungu ulivyo, Mungu anakila kitu unachokiitaji katika maisha yako, nakuomba sana Muimbie Mungu hakika yake utaiona.
Nguvu yangu ni wewe Siri yangu ni wewe , thank you Jesus ! #grateful
Barnaba una tushangaza sana tuta kushikia wapi?
Gospel upo Bongo flavor upo wewe tulia katika njia mmoja Mungu akukute katika njia mmoja.
Huyu ni wa Yesu ila shetani anampotezea muda
Sure, but huyu barnabas ame fit kwa hii song
This song is my testimony The Lord has done me well. What was meant to destroy me came to elevate me.. Mungu wanguuu Mungu wangu Tu nakushuru 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Welcome Tanzania hatunaga kazi chafuu sieee ...love u much
Huyu ni Barnaba mwenye ameimba na diamond platinumz ama
Burnaba aachane na bongo flavour aimbe gospel nami niokoke mara iyo iyo...
Mfalme wa mbinguni.Jitihada haindoi kudura.
Barnanaba hamia kwenye gospel tu jmn panakufaa sana
Barnaba sna shaka na sauti Yako👌👌👌💞💕💕naku kubali sana
Kama una penda wa Congolese 🇨🇩🇨🇩 like yako hapa
tiktok jna ni follow
God of miracles ill forever be yours in jesus name
Nimependa joel luaga kwa jinsi alivyofanya vizuri ktk huu wimbo
Let's preach and let them get born again first we are not doing the right thing oooh Godhase mercy !!!!!
Barnaba kiukweli upo vizur sana huu wimbo ni mzur sana umeutendea haki kuna nguvu ya Roho mtakatifu ipo kwenye huu wimbo kwa maana kila nikiingia you tube lazima niupige zaid ya mara tatu na kuendelea .Kama utapendezwa uwe muimbaji wa gospel itakua vzr sana na Mungu atakuinua viwango vya juu sana.God bless you.
Yani Barnabas wewe nitumish lakini Dunia inakuchamganya Mungu akasaidie ukae kwenye nafasi Mungu aliyo kuweka utumike
Joel fundi 🌹🌹🌹🌹 anachea sauti vile anavyotaka ubarikiwe
Urudi kwa Yesu huko uliko shetani anakuchelewesha tu,unapoteza muda tu
Kuna siju utaelewa
Tz mko na talent love from Kenya.. Jesus heal me papa please 😥
Dod you so mefanyavizuli kumtumikiamungu nakupongeza joli lwaga kwa kumshawishi barinaba kumwimbia baba wabinguni amen🙏🙏✝️✝️🇹🇿
For sure our Tanzanian friends are really talented keep up Barnabas
Wow safi wangu💥💥💥💥💥👍💪💪💪💪
So powerful been replaying this song 💯💯 Wanauliza Siri ni nini, Wanauliza Nguvu ni nini. Nguvu zangu ni wewe, Siri yangu ni wewe🙏🙏 God Open my doors
Welcome Tanzania hatunaga kazi chafuu sieee...love u so much
Kaka unajua sana Mungu akubariki
My first time to listen to this beautiful song, represent Kenya 1🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Barnaba ni mtoto wa Yesu amin ataendelea kumtetea Bwana Mfamle wake wa mbinguni
Lwaga's highnotes are giving me chills 🔥nice song
❤️❤️❤️❤️❤️
His voice calms my heart 😢
Ngoma a kalii
😇 mbarikiwe saana kaka zangu
Kwa yesu yupi unaye mwimbia maan umemkana wew pilato barnab 😏😏😏
Yani ni wimbo Bora kwenye album yako
Upendo wa Mungu haujawahi kupungua
how we call Barnaba back fully we serve Jehovah 🙏🙏😢,, He got heavenly voice
Kaka barnaba wewe namba moja kwasasa
I don't know why i have just realized this piece this 2024. but i love love this song OMG.
And as people predict my end, may God announce my beginning. may i blow more than the Wind and may i cut the front seat. Asante baba
Narudia mara mbili mbili yaani mbarikiwe sana 🙏
This Man Lwaga can sing high notes weeeeh
Nimekutii baba ,now l pray back for my marriage and my mums marriage
Barnaba should be singing gospel songs he is a good singer
Sasa barba ameokoka au bado ataimba nyimbo za dunia?
Barnaba kwa kuimba huku ni bora ungemtumikia mungu jumla maana umetunukiwa kipaji cha hali ya juu
Congrats unauguza huu moyo wangu tena naupenda huu wimbo wako zaidi mmwaa
🙏Kuna wakati mtu unapitia magumu ni MUNGU tu anajua🥲
God is able in all .
Kaka barnaba kaaa kwenye gospel huku unafiti sanaa
The song deserves more views...we've all been through alot but God is always there for us 🙏🏾
Apando nasikiya Kipi Diamond ka ji inspired nakyooo... Big Up Ndugu... @dochdodava confirmed fire! DRCongo Goma!
Barnaba is talented ❤ and even even more special if he can sing such a gospel masterpiece 😊💞
Yah Barnabas can
Amen baba njtakuyimbia pak siku ya pumzi zangu kwasabab wew nivip baba
TANZANIAN HAS GREAT ARTISTS AS KENYANS WE LOVE YOU 😍
always is all
True....we love you Tanzanians...
We love ❤️ you more our Kenyan family!! Here in Diaspora we embrace East Africa artists equally…. We are so proud of being East-Africans with a beautiful language Swahili
Tz a home of artists
Amen
Nime barikiwa na huu wimbo
Barnaba hizi ndo nyimbo zako,
sikia Barnabas nenda omba msamaha kwa paroko wako najua unawimbia unajua kosa ulilo tenda kwenda kubadili dini kaka nilisikitka sana wewe ni mlosari mwenzangu Mungu akusamahe kwa kumuimbia sifa usirudie tena hiyo ni dhambikuba sana
Watu wa 🇨🇩🇹🇿🇰🇪 tujuane ❤️😁
Much love East Africa watoto wa baba na mama mmoja
Na kwenye safina yako nitakata seat ya mbele na mimi ni VIP baba maana nmekutiii sanaa. Nikuimbie baba mfalme wa mbiguni baba niteteee
Joel sio mtu mzuri 😂🥵🥵 anajua sana
Hatari sana
Amen,, mfalme wa binguni naomba nitete mwaka huu
Happy birthday to me! This song bless my life.. it's my anthem every minute.. thank you Papa God for this talent from your son Barnaba
Nikuimbie bwana mfalme wa mbinguni yesu nitetee 😍
Wow wow Such a blessing song...we need more from Barnabas
Sijawai kukubali Br. Hila Kwa hili Ngoma nakupa salute
Nazani huku ni eneo sahii kwako.
Oooo Hallelujah! walitabiri mwisho ,,ukatangaza mwanzo ASANTE Mungu kwa wema wako💗💗🙏🙏
♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🤗🤗🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Yan kusem ukweli balinab anafaa kuimb gospol tu so muzik un saut nzuli ya kuimb kway tu
The true definition of good music vibes is here... Amazing sana 🔥kenyans in the building 👇👇👇👇
5/12/2023 nasikiliza wimbo huu
I really love this song,,much love from Kenya,it is a great inspiration to many
Mpaka Sasa kwenye album wimbo unaoishi na utaishi milele ni huu,, actually our GOD is great
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
Mungu wewe ni baba yangu
This songs ignites a pain (lump) in your throat especially if you have ever been there, down and depressed. Joel Lwaga tells is all in his verse. Siri kweli ni wewe na nimekutii baba. Thank you for this beautiful piece of music. Added to my daily playlist
Umeniumiza sana kubadili dini barnaba alafu bado unamtukuza Yesú unamkosea sanaaa
Everything about this song is heavenly...vocals are on point...mistari mikali
amen th-cam.com/video/wyJehmmUYYQ/w-d-xo.html