LYRICS: Dhamira yangu Kujua (My desire is to know) Nina wewe Yesu (That I have You Jesus) Dhamira yangu Kujua (My desire is to know) Nina wewe Yesu (That I have You Jesus) Asubuhi, mchana wote (Morning, all afternoon) Jioni hata usiku (Evening and even night) Kwenye hali zote (In all situations) Nitembee na wewe (To walk with You) Oh Baba, Oh Yesu (Oh Father, oh Jesus) REFRAIN: Wewe ni kiu yangu (You are my thirst) Njaa ya moyo wangu (The one my soul hungers for) Wewe ni Mungu wangu (You are my God) Mfalme wa moyo wangu (The King of my heart) (Repeat) Nitakase, nifundishe (Cleanse me, teach me) Niongoze, nifinyange (Lead me, mould me) (Repeat) Kama ayala ayatamanivyo maji (Like the deer pants for water) Ndivyo moyo wangu una zaidi wa kutamani (My heart has the same yearning for You) Oh Baba yangu, ninashuka mbele zako (Oh Father I humble myself before You) Mapenzi yako yatimizwe maishani mwangu Yesu (May Your will be done in my life Jesus) Usipolinda wewe mji walindao wanafanya kazi bure (If You do not watch over a city, the watchmen watch in vain) Usipojenga wewe mji wajengao wafanya kazi bure (If You do not build a city, the builders build in vain) Nakutamani Yesu zaidi maishani mwangu (I desire You Jesus in my life) REFRAIN
ukweli hata nilipoiona inatangazwa wala haikunivuta kutaka kuisikiliza ila nilipoisikia mahala ikanivuta kutaka kujua nini nani kaimba, nikariri key words na kuzama you tube,,,kumbe angel! ubarikiwe sana maana umenibariki sana kwa wimbo wako
This is pure Gospel some artist should learn how to praise and glorify God not some drama and twerking.. God's favour is upon you.. I feel so blessed..
Huu wimbo hata nilikua sijui jina lake, lakini nimeandika lyrics zake zilizokuwa zinaimba moyoni mwangu, nifundishe, nitakase, niongoze ndipo nimeupata! Ujumbe mzuri sana!
Who's still listening to this song in 2021? It's still by far the best song from Angel Benard. Uzidi kubarikiwa usikilizapo huu wimbo kama ninavyobarikiwa 🙏
Mungu akubariki sana nabarikiwa sana na Huduma ambayo Mungu amekupa kazidi kukuinua viwago vingine nami naona viwango vingine ni avyosikiliza nyimbo hizi zudi barikiwa
Powerful song. Your songs are always a blessing and prompt worship. Your voice reminds me of Rebecca Malope, esp in this song. Blessings, keep doing what you're doing.
Beautiful song Angel Benard......... The keyboard loops is reminding me of the looks of south africa gospel legends... Rebacca Malope, Deborah Fraser.....
Angel Bernard, Kiu yangu mfalme wa moyo wangu. It's so inspirational. Your songs its so understandable, zimepitia SHULE of the Holy Spirit. Your a blessing s. Thanks God for you and your life is Gift from above.
Nakupenda angel nabarikiwa sana na uimbaji wako,naamini Mungu atazidi kuku2mia vyema ili wanadamu tufate njia sahihi.Stay strong utafika pale unapotaka uwe.I'm yho number one fan..
Namtukuza Mungu sana. Asanteni kwa kuendelea kuniandikia na kunitamkia mema. Mungu Baba awabariki zaidi na zaidi. Asanteni sana.
Amen
mungu akuinue zaidi penda ww sana dada
dada angela mi nina shida na albam yako ya yote yalikwisha
itakuwa vyema sana kama utaiachia album ya hizi nyimbo mpya hata kama zitakuwa tano zitatosha na barikiwa sana na nyimbo zako ...endelea kubarikiwa
Yesus siyo mng
2024 and still feel the presence of GOD through this song
LYRICS: Dhamira yangu Kujua (My desire is to know)
Nina wewe Yesu (That I have You Jesus)
Dhamira yangu Kujua (My desire is to know)
Nina wewe Yesu (That I have You Jesus)
Asubuhi, mchana wote (Morning, all afternoon)
Jioni hata usiku (Evening and even night)
Kwenye hali zote (In all situations)
Nitembee na wewe (To walk with You)
Oh Baba, Oh Yesu (Oh Father, oh Jesus)
REFRAIN:
Wewe ni kiu yangu (You are my thirst)
Njaa ya moyo wangu (The one my soul hungers for)
Wewe ni Mungu wangu (You are my God)
Mfalme wa moyo wangu (The King of my heart) (Repeat)
Nitakase, nifundishe (Cleanse me, teach me)
Niongoze, nifinyange (Lead me, mould me) (Repeat)
Kama ayala ayatamanivyo maji
(Like the deer pants for water)
Ndivyo moyo wangu una zaidi wa kutamani
(My heart has the same yearning for You)
Oh Baba yangu, ninashuka mbele zako
(Oh Father I humble myself before You)
Mapenzi yako yatimizwe maishani mwangu Yesu
(May Your will be done in my life Jesus)
Usipolinda wewe mji walindao wanafanya kazi bure
(If You do not watch over a city, the watchmen watch in vain)
Usipojenga wewe mji wajengao wafanya kazi bure
(If You do not build a city, the builders build in vain)
Nakutamani Yesu zaidi maishani mwangu
(I desire You Jesus in my life)
REFRAIN
Blessed
Nmebarikiwa sana dada angu na hii album
Mungu akupe nguvu siku zote kuifanya kazi yako
AMEN
Nmebarikiwa sana dada angu na hii album
Mungu akupe nguvu siku zote kuifanya kazi yako
AMEN
Thanks
Its Ni raha yangu Kujua 🙈
be blessed miss.kama unamuelewa gonga like hapa
Michael Twaha
amen
Good bless you
Be blessed Dada angu nabarkiwa Sana na nyimbo zako
Nakupenda Sana enjoy ubarikiwe
mm ni muislamu ila haipiti siku bila kuangalia huu wimbo hapa
Barikiwa mamy, Mungu ni mmoja
Balkiwa sn
ukweli hata nilipoiona inatangazwa wala haikunivuta kutaka kuisikiliza ila nilipoisikia mahala ikanivuta kutaka kujua nini nani kaimba, nikariri key words na kuzama you tube,,,kumbe angel! ubarikiwe sana maana umenibariki sana kwa wimbo wako
My favorite song nina raha kuwa na Yesu
Hii ngoma inakuvuta mpaka unajihisi uko planet nyingine ukiwa na Jesus
This is pure Gospel some artist should learn how to praise and glorify God not some drama and twerking..
God's favour is upon you..
I feel so blessed..
Esther Ndambuki
AM STILL BLESSED 2024
This song has blessed me Tonight and I have decided to be with Lord Jehovah Jesus Christ of Nazareth
be blessed.
@@vicknessngenzi6146i
Napenda Sanaa kazi zako na nakupenda Sanaa mpendwa, Mungu azidi kukuinua.
Nakupenda mno dada Angel Mungu akuinue kwa viwango vingine
Asante nabarikiwa mnooo,niongoze Yesu
Dadangu hizi ndo nyimbo za wito wako.
I'm praying for you to stay in your calling in Jesus's name
Who's here in 2020? This is such an amazing song
🤲🏼
Ameni
One of my favorites of all time,God bless you Angel
She.is.a.Blessing.to.the.Word..GoD..Yourk.So.Murch.
Am here....too much anointings in this song
Nani anasikiliza 2021..Be blessed my dear
nabarikiwa sanaa na nyimbo zako dada zinanipa hatua nyingine mbele kiroho ubarikiwe sanaaaaaa na BWANA.......................amen
Huu wimbo sio wa kawaida nauskia ndani kabisa ya Moyo,Barikiwa zaid ya sana
Angel Benard a gospel singer from Dar es Salaam, Tanzania with her song My soul thirsts for God / KIU YANGU
mung akubarik wish to be like u
Nitakase,nifundishe ,niongoze nifinyange🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
i love strings like these,something you can dance like your in heaven....your blessed angel
Dada hongera Sana kwa kipaji nabarikiwa Sana na huduma yako mungu Skype Misha marefu
Kujua nina Yesu ni furaha yangu
dada benard angel,napenda sn vle unaimba,kwa ufupi unanibariki sn!keep it up!!!
Huu wimbo hata nilikua sijui jina lake, lakini nimeandika lyrics zake zilizokuwa zinaimba moyoni mwangu, nifundishe, nitakase, niongoze ndipo nimeupata!
Ujumbe mzuri sana!
I'm watching this song in 2019 even though am late listening to it but all in all thanks to God am being blessed as well. AMEN
Nakupenda san dada Angel mungu akuinue nilitamani kuwa na namba zako
Ipo siku nitakua kama ww my sister love u
Who's still listening to this song in 2021?
It's still by far the best song from Angel Benard. Uzidi kubarikiwa usikilizapo huu wimbo kama ninavyobarikiwa 🙏
Here I am in 2022, and its still a blessing it was 5 years ago...God bless you minister angel benard.
I think Angela Bernard is underrated..... Full of anointing
Mungu akubariki sana nabarikiwa sana na Huduma ambayo Mungu amekupa kazidi kukuinua viwago vingine nami naona viwango vingine ni avyosikiliza nyimbo hizi zudi barikiwa
Mi raha yangu kujua nina wewe Yesu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
JAMAN GUYS MKIWA MNACHEK UKU KUKMBUKENI KU-SUSCRIBE NA KU-COMMENT
kazi ya dada ni nzuri sanaaaaaa
i like it haki
❤❤❤
Who is still here in 2024?
Still very powerful
Am here
Nimeamka najiaikia vby nkaona Bora nisikilize kdg . Aise unanitia nguvu nikiwa nimekata tamaa🙏🙏🙏
This is what I call Music,it's deep, full of content,annoitted u listen to it u feel God's presence!!! God bless you and increase you!!!
Duh Aisee Wimbo huu Nashindwa hata nisemeje Bali tu mapenzi yako yatimizwe duniani kote wewe ni kiu yangu jamen
Niraha yangu Yesu kujua niko na wewe.
Nnakupenda Mfalme wa Moyo wangu
Nice song
Penda sana wewe ambae ni faraja ya moyo wangu
Siamini kwa kweli eti naijua leo hii nyimbo. Such a great song be blessed Angel
2020 still 🔥,Be blessed.
Wewe ni mungu wangu. God you are enough.
Be blessed,napenda nyimbo zako,hongera kwa nyimbo nzuri.YESU akutunze
amen asante sana. Namtukuza Mungu
+Angel Benard Amina,nabarikiwa sana na utumishi wako.
barikiwa
Ubarikie mungu awe pamoja nawe AMEN!!!!!!!
Powerful song. Your songs are always a blessing and prompt worship. Your voice reminds me of Rebecca Malope, esp in this song. Blessings, keep doing what you're doing.
On repeat...
Sam Gitonga true this songs reminds me
Of Rebecca Malope hata hiyo base kidogo 👌🏾👌🏾
MsKyekue haha either she looks up to her or it's a huge coincidence. Lovely all the same
I concur
Ameen
Nitakase Nifundishe nifinyange niongoze Yesu
Ninabarikiwa sana na Huduma yako Dada yenye upako, Mungu azidi kukutumia
aisee nabarikiwaga na nyimbo zako dada yangu, zidi kukaza buti katika mziki wa injiri
Beautiful song Angel Benard......... The keyboard loops is reminding me of the looks of south africa gospel legends... Rebacca Malope, Deborah Fraser.....
You made me hear that lol! I loved them both
Ameen
Songs like this that draws you closer to God❤️
Beautiful song and voice. Kweli na kiu na Yesu!!
Namtukuza MUNGU kwa kipawa alichoweka ndani yako..Mungu aendelee kukuhuwisha na kukutunza dada.Barikiwa
Unanibariki Sana Na Nyimbo Zako
Mungu Azidi Kukutumia Katika Huduma Ya Uimbaji @Angel Bernard
Nakupenda
Still one my favourite worship songs..2022 bado niko namsifu Yesu.. 🙌
Yaani I bought the album on iTunes and this is by far my favorite song, I play this song over and over again! Your voice is Devine indeed! Barikiwa
sina bud kukushukulu ee mungu wang kila wakat ktk maish yang
sijawahi choka kusikiliza huu wimbo.. Mungu ndiye mfinyanzi thabiti.. Barikiwa Angel
Mungu asante san kwa ypendo usipojenga ww mji wajengao wafanya kaz bure na usipojenga mji wajengao wafanya kz bure nakupenda Bwan Yesu
uwepo wako na uimbaji wako unatubariki.mungu tuzidi kutia bidii kwa bwana.
amazia nyambo Db
Mungu Akutunze sana mtu wa Mungu hakika nabarikiwa sana kwa jumbe za Nyimbo zako
hujawahi fanya vibaya nakupenda sana Mungu azidi kukutumia usiache tu kunyenyekea
Its 2020 nabarikiwa na Dada Angel kupitia nyimbo hii
Jina la bwana na libarikiwe nasema amen kwa sahuti kubwa 🔥🔥🔥🔥🔥
Wow be blessed Ur songs are powerful from Nikumbushe siteketei need to reign wow where are her likes
Amen and Amen, atuzwe sana Mungu kunihudumia kupitia wewe Angel. Mungu akutunze
.nabarikiwa sana Mungu azidi kukuinua usonge mbele
Nimehudumiwa kwa jinsi ya ajabu, umeimba kilicho ujaza moyo wangu Angel.. Namtukuza Mungu kwa ajili yako
woow👌👌just discovered you today through the song you did with Mercy Masika. Your voice is owesome gal,keep praising. You rock.
natiwa nguvu sana wakati wa mapito yangu nikisikiliza KIU YANGU uzidi kukua kiroho dada umebarikiwa nakutamani sio kidogo
God really gifted you with a voice, your songs are very meaningful.
dada shalom,,hongera unaimba vizur MUNGU NI ROHO wacha tumwabudu ktk roho na kwel
MJUE SANA MUNGU ILI UWE NA AMAN
Angel Bernard mungu akubariki sana kwa kazi nzuri ya uimbaji....wimbo mzuri sana unabariki sana....
Wimbo unaofuta kiu,unaleta matumaini kila wakati asantee sana Angel ubarikiwe sana kila iitawayo leo siwezi kuisikia njaa kamwe amina
daaaa da angel yaan mungu akutangulie xaana my uko vizur xaana
Uwa najiuliza sana ni vipi msanii huyu ni namna gani anavyojua kumuita Mungu kwa namna ya maneno ambayo nataka Mungua aonekane katika maisha yangu
ubarikiwe dada angel napenda Sana kazi zako hakika mungu Ni kiu yangu pia Ni njaa ya moyo wangu.
Wewe ndo Mfalme Wa Moyo Wangu YESU.....NITAKASE YESU,NIFUNDISHE, NIONGOZE, NIFINYANGE 🙏🙏🙏🙏🙏
Barikiwa sana, nyombo zako zinaugusa moyo wa Mungu.
Mungu azid kuwa nawe katika kutupa ujumbe kupitia neno lake..barikiwa
Angel Bernard, Kiu yangu mfalme wa moyo wangu. It's so inspirational. Your songs its so understandable, zimepitia SHULE of the Holy Spirit. Your a blessing s. Thanks God for you and your life is Gift from above.
Hakika wimbo ni mzuri sana. Mungu azidi kukupatia nguvu.
Powerful song sister Angel am blessed by your worship songs may you live to witness the goodness of the Lord in the land of the living.
Mungu akuinue zaidi
Ameen barikiwa Angel
balikiwa sana mtu wa Mungu na Dada yangu Angle Bernard Mungu azidi kukuinua zaid ni ombi langu uendelee kunyenyekea kwa Mungu.
Wimbo huu unanibariki sana Dada Angel
Mungu akubariki Dadaa, nilikuwa cjausikia huu wimbo, ni mzuri sana, unatia moyo na kufariji sana ktk maisha haya ya wokovu.
Kiu yangu💓💓
I have heard this song today and I loved it
It ministered to me
Amen to Gods promises
Angel Benard un chanteur gospel de Dar es Salaam, Tanzanie avec sa chanson sur Mon âme soif de Dieu / KIU YANGU
Namtukuza Mungu kwaajili yako dadaangu Angel Bernard. Today October 2023 just remembered this song in my heart ❤️
Ángel Benard un cantante de gospel Dar es Salaam, Tanzania con su canción Mi alma tiene sed de Dios / KIU YANGU
Zidi kusonga mbele mtumishi wa Mungu. Barikiwa
Amen and Amen.God bless you dear
wewe ni kiu yang, wewe ni njaa yang! nabarikiwa sana na wimbo huu! nakupenda bure Dada Angel
May Almighty God bless you and help you keep moving up higher in JESUS NAME @Angel Benard
huu wimbo nikiusikia/Kuuimba naasikia uwepo wa Mungu kabisa,BARIKIWA SANA.
Blessings upon you Angel. You are a blessing to many.
Nakupenda angel nabarikiwa sana na uimbaji wako,naamini Mungu atazidi kuku2mia vyema ili wanadamu tufate njia sahihi.Stay strong utafika pale unapotaka uwe.I'm yho number one fan..
amazing ange bernard
MUNGU aibariki kazi ya mikono yako nabarikiwa sana na nyimbo zako
namtykuza Yesu kwa huyu Dada yangu am just listening you're tracks but am learning a lot from you God bless yoi
Angel Mungu azidi kukuinua Mpendwa.Binafsi nisipopata wimbo wako silali unanifariji sana.Barikiwa
Mungu akubariki sana dada yangu,,,kiukwel sichok kuuckiliza wimbo huu nabarikiwa sana
Nabarikiwa na kazi zako sanaa.Mungu akuinue zaidi.
Emmanuel Mazinge
Habari kaka