Je! ni Nani? ft Zoravo (official Audio)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 562

  • @irenehigiro2285
    @irenehigiro2285 9 หลายเดือนก่อน +42

    From tiktok since yesterday nasikiliza hii nyimbo tu kitu cha kushangaza i feel nikianza kuimba machozi yaninitoka na ni nasukumwa kumshukuru Mungu na sijuwi kwanini😢😢

    • @Masige_fm
      @Masige_fm 6 หลายเดือนก่อน

      Me too. Wimbo unaniletea kumbuziki nyingi sana na za uzuni zaidi.

  • @marymamake1957
    @marymamake1957 ปีที่แล้ว +25

    Walikuepo miungu wakapita, watakuja miungu na watapita🙌
    Hakuna wa kufanana na wewe bwana 💯🙏

  • @Boniface.
    @Boniface. ปีที่แล้ว +104

    Nikajua nitakuwa wa kwanza jaman kwann mmeniwahi sema hapa naenjoy wacha wee wimbo flan hv. Wakitajiri waaaaooooooooh

  • @happydaniel2062
    @happydaniel2062 ปีที่แล้ว +22

    Hayupo wakufanana na Mungu mkuu,Mungu aliye hai ,MUNGU WA miungu

  • @josephwambura1814
    @josephwambura1814 ปีที่แล้ว +11

    Nimeurudia huu wimbo mara ya 20. Nimebarikiwa mno..

  • @Cherish550
    @Cherish550 ปีที่แล้ว +29

    I am loving this song it uplifts my spirit , Any Zimbabwean 🇿🇼 who understands Swahili in the house?

    • @migalusia_
      @migalusia_ 11 หลายเดือนก่อน +1

      There is none like You Our Father
      You are mighty...
      Who is like You? There is none like You
      How many will come out like You?
      There is none like You mighty God
      ( Just an overview of the song lyrics ) A better translation will come bit the essence of the song is that there is none like our God and none can ever match up to Him
      I hope this helps

  • @keche-diary
    @keche-diary ปีที่แล้ว +5

    The beginning of 2023 was difficult for me but I held on to God and in July He turned around my life. In deed there's none like God. Be blessed men of God. This is my song for 2023

  • @princesslizmusic
    @princesslizmusic ปีที่แล้ว +43

    From TikTok...thank you for this sound.its heavenly 😍

  • @witnessvictor2724
    @witnessvictor2724 ปีที่แล้ว +42

    Je ni nani wa kufanana na wewe ,
    Je ni nani wa kulingana na wewe,
    😭😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🤲🤲🤲🤲.
    You may find yourself hard , but to this plaiclaiming of how unique God is can drive you to tears of joy just at the spot of starting listening.
    The greatest Men of God Your of another level🙌🙌🙌

  • @sharontumaini9471
    @sharontumaini9471 ปีที่แล้ว +7

    Akuna na atawai kua wakulinganishwa na wewe Simba wa Yuda Mfalme wa Wafalme 🙏🙏

  • @renatusdeogratias2108
    @renatusdeogratias2108 8 หลายเดือนก่อน +2

    Je n nani awezaye kukushinda Mungu baba hakuna na hatatokea kabisa yaaaani nasema we ni Mungu wa Mungu kabisa Leo ,jana na milele

  • @OnlyGod-256
    @OnlyGod-256 ปีที่แล้ว +48

    I don't understand Swahili but my spirit connects and that's what matters 🙏🇺🇬🇺🇬

    • @barakawilson2609
      @barakawilson2609 ปีที่แล้ว +5

      NOT IN VERBATIM TRANSLATION, BUT HOPE IT'LL HELP
      Chorus (Gideon)
      There's none to be compared to you ooh Mighty God
      There's none to be compared to you ooh Mighty God
      Chorus (Choir)
      There's none to be compared to you ooh Mighty God x 5
      Verse (Zaravo)
      Who can be compared to you?
      And who is like you?
      There' none like you
      There's none like you
      There were gods, but they passed/withered away
      Surely gods will come, but will pass away
      But none will ever be like you
      But none will ever be like you ooh God
      Chorus
      There's none to be compared to you ooh Mighty God x 5
      There's none
      There's none
      Hallelujah Lord
      Hallelujah Lord
      Hallelujah Lord
      I could sing of your praises forever
      Hallelujah Lord
      Hallelujah Lord

  • @Rehothkenya
    @Rehothkenya ปีที่แล้ว +139

    Hu wimbo utakuwa mukubwa kote please nipe like kama unakubaliana na mimi let's Go fam 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤😊😊😊😊😊😊

    • @GraceSambo-w6f
      @GraceSambo-w6f 9 หลายเดือนก่อน +2

      Ujumbe mzur

    • @giftnyemele
      @giftnyemele 4 หลายเดือนก่อน

      Sanaa

    • @gospeltotheworld
      @gospeltotheworld  28 วันที่ผ่านมา

      @@Rehothkenya You prophesied that this song will be big everywhere and now it’s so popular everywhere

  • @AricaFungo-gq9fz
    @AricaFungo-gq9fz ปีที่แล้ว +2

    Wimbo unagusa sana maisha yangu asante MUNGU kwaajili yamaisha yangu

  • @dainessmichael3251
    @dainessmichael3251 ปีที่แล้ว +1

    Hayupo Tena Kama wewe je ninani wakufanana na wewe😭😭😭😭😭😭

  • @Cate1520
    @Cate1520 ปีที่แล้ว +37

    🎉Psalms 27:13
    I hope we all see the goodness of the Lord while in the land of the living

  • @ireneChosen8193
    @ireneChosen8193 ปีที่แล้ว +4

    Zoravo Mungu aendelee kukufunika umtumikie milele kakake,mimi binafsi unanibariki sana,Ahsante kwa kazi nzuri na kaka Gideon❤🥳🥳🥳👏👏👏

  • @MargaretAdala-de9vn
    @MargaretAdala-de9vn ปีที่แล้ว +2

    Nikikumbuka mahali umenitoa Jehova machozi yanitoka❤❤

  • @NIMROD_KAMADI
    @NIMROD_KAMADI ปีที่แล้ว +126

    Who else came from tiktok to here?

    • @keziahwambui1353
      @keziahwambui1353 9 หลายเดือนก่อน +4

      Hehe me... looking for a video of this song...lol ng'o!
      All ni all Glory to GOD!!
      Powerful testimonial song 🙌

    • @carolinemalewo6878
      @carolinemalewo6878 9 หลายเดือนก่อน +1

      Me

    • @tiberiouswesonga515
      @tiberiouswesonga515 9 หลายเดือนก่อน +2

      Me too

    • @adiogold4659
      @adiogold4659 9 หลายเดือนก่อน +1

      Me 🤚

    • @deesamwels7532
      @deesamwels7532 9 หลายเดือนก่อน +1

      Me😂

  • @mrkalabamu4869
    @mrkalabamu4869 ปีที่แล้ว +7

    Nilisubiri sana kwa hamu kubwa atimae🙌🙌🙌🙌🙏🏿🙏🏿🥰🥰🥰

  • @peshbaraka6717
    @peshbaraka6717 ปีที่แล้ว +10

    Kwa kweli hakuna wa kufanana na Mungu wetu.
    Powerful song and more Grace Servants of God, What He does is unspeakable, His love is unconditional. What a daddy He is

  • @hellenawinja6046
    @hellenawinja6046 ปีที่แล้ว +2

    ile mbio nimekuja hapa karibu nivunjike mguu wangu....vigelegelee kwa yesuuu...🔥🔥🔥🔥🔥.tarumbeta yangu kapotea jameni....

  • @elinanjama3370
    @elinanjama3370 ปีที่แล้ว +6

    Nafurahi saana kwa kweli nimesubiri saana Mungu awabariki,awalinde na kuhufadhi kipaji chenu nawapenda saana ndugu zangu katika Yesu...

  • @heathervinerima9011
    @heathervinerima9011 ปีที่แล้ว +9

    I heard this song....from a friend i met back in Higschool, she posted in her tiktok platform a few days before she left us as a victim of a Car accident, finally...she has met * Our God - Je ni nani wa kufanana na Wewe* Rest in Peace # Brenda Makena 🕯.

  • @JacksonLazaro-mm3qs
    @JacksonLazaro-mm3qs 9 หลายเดือนก่อน +2

    Huu wimbo ni hatar sana Ina utakaso ndani yake

  • @EvangristerChonya
    @EvangristerChonya 2 หลายเดือนก่อน +2

    Am receiving my prophecy through this song 🙏 🙏 🙏

  • @AngelMaro-sh4ub
    @AngelMaro-sh4ub 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kila nikitak kulala usiku lazim nieikilizee hii nyimbo ni nzuri sana❤

  • @nuruyohana3946
    @nuruyohana3946 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi Mungu awabariki sana sana muendelee kumtukuza yeye aliyeumba mbingu na ardhi vionekanavyo na visivyoonekana

  • @njambigift7520
    @njambigift7520 หลายเดือนก่อน

    Kwan ni Nani mwingine wakufanana nawe.mungu kma wee.tiktok let's gather herr.zaravo big up u bless my spirit🎉❤

  • @MagdalineMakosa
    @MagdalineMakosa 6 หลายเดือนก่อน +2

    Fruly there is none like Jesus and will never be anyone like him in all the earth......I love you Jesus. Reign in my life all days of my life and my family's

  • @neemamosha3464
    @neemamosha3464 ปีที่แล้ว +3

    Wimbo unanibariki jaman mpaka nalia hayupo tena kama wewe Yesu ❤❤❤❤❤

  • @isaacgara3528
    @isaacgara3528 11 หลายเดือนก่อน +2

    Nani Ako na hii nyimbo 2024

  • @generaliemmanuel
    @generaliemmanuel ปีที่แล้ว +4

    Jaman this Song is 🔥🔥🔥 jamani Jaman HAKUNA KAMA WA KUFANANA NA MUNGU MKUU.
    Uwiii nashindwa maneno ya kuelezea how beautiful this Song and the Power it has carried into the hearts of Men.Gideon and Zoravo mubarikiwe sana🙌

  • @shucxytz
    @shucxytz ปีที่แล้ว +4

    Hiii IMEENDA✅🔥🔥🔥

  • @zachariandama8447
    @zachariandama8447 8 วันที่ผ่านมา

    Kuna Clip ya harusi nimeiona ikipingwa hiii nyimbo nimekuja kuitafta What A Song 🔥🔥🔥🙌🙌🙌

    • @gospeltotheworld
      @gospeltotheworld  8 วันที่ผ่านมา

      @@zachariandama8447 🔥🔥🔥

  • @aliceinnocent5908
    @aliceinnocent5908 11 หลายเดือนก่อน +1

    Je!! Ninani wakufanana nawe😢😢😢 Hayupo Hayupo Hayupo zaidi ya Wewe bwana wa majeshi

  • @Queen-gv8ot
    @Queen-gv8ot หลายเดือนก่อน

    Weweeeeeh🎉💃💃 wakowapi wale wanaomsifu Mungu kama mimi🙌

  • @FelisterNyamle
    @FelisterNyamle 28 วันที่ผ่านมา +1

    Amen christians please let us be people of God

  • @williammabanga4893
    @williammabanga4893 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri tia bidii ktk uboreshaji wa kazi hizi.

  • @zedy_hope-pd8kn
    @zedy_hope-pd8kn 7 หลายเดือนก่อน +1

    Psalm 27:13🎉
    ❤❤mungu awabariki kweli
    Favorite song 🎵 ❤

  • @lizzahsam4928
    @lizzahsam4928 ปีที่แล้ว +1

    I heard this song on tiktok ..came to search it on TH-cam...Baraka

  • @minzamalongo5465
    @minzamalongo5465 10 หลายเดือนก่อน +1

    Be blessed brothers its, à very powerfull song .........walikuwepo miungu wakipata ,hata tokea tena mungu kama wewe

  • @owdenmwamafupa7008
    @owdenmwamafupa7008 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni sana kwa kazi nzuri, yaan huu wimbo nimrusikiliza jana zaidi ya mara kumi aaaah...

  • @daynessswai916
    @daynessswai916 หลายเดือนก่อน

    Umenikinga na ajali mbaya zaidi ya Mara 5 😢
    Ee Mungu nakushukuruu Hakika hakuna Kama wewe😊

  • @jessieburton1342
    @jessieburton1342 ปีที่แล้ว +1

    All the way from tiktok paka huku you tube❤️❤️🙏🏾

  • @lechenkipangula7635
    @lechenkipangula7635 9 หลายเดือนก่อน +1

    Huu wimbo mzuri sana utolee video kaka

  • @mariamyustin9023
    @mariamyustin9023 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli hakuna wa kufanana na wewe Mungu ni vyote vitapita kamwe hautapita

  • @GladnessSangana-kg8uz
    @GladnessSangana-kg8uz 6 หลายเดือนก่อน

    Comment za Watu ndo Zimenifanya Nisikulize huu wimbo Hadi Mwisho mbalikiwe Watumishe wa Mungu Amen ❤❤❤

  • @sharonchepkorir480
    @sharonchepkorir480 ปีที่แล้ว +7

    Why am I cutting onions
    This song is a blessing

  • @suzanenkini2037
    @suzanenkini2037 ปีที่แล้ว +1

    Huu mwimbo ni maombi Tosha kabisaa🥲

  • @princessdiana4589
    @princessdiana4589 20 วันที่ผ่านมา

    Je? Ni Nani WA kufafana na wewe ? I love that part 🎉❤❤😅

  • @peninahlyona6110
    @peninahlyona6110 ปีที่แล้ว +1

    Hakika hakuna kama ww Mungu wetu,Miungu iko chini yako baba yetu wa mbinguni.B blessed my brothers let us keep on lifting the name of the Lord by songs by words n by our actions.

  • @EdinaLinus-n5b
    @EdinaLinus-n5b ปีที่แล้ว +1

    Utukufu Kwa MUNGU 🙌 kazi njema bro

  • @MikeBoke
    @MikeBoke ปีที่แล้ว +1

    MUNGU akubarik sana brother nimesikiliza hii nyimbo mara 10 uwiii nimejikuta nalia kwa makuu aliyo nifanyia Yesu kristo

  • @gracieykariuki311
    @gracieykariuki311 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna wa kufanana naye, na hatakuwepo

  • @saramartin1182
    @saramartin1182 ปีที่แล้ว +16

    alie isubiri sana hii baraka like this comment❤❤❤

  • @pr.Dianah.256.
    @pr.Dianah.256. ปีที่แล้ว +1

    Who else is here from TikTok
    Love from,,🇺🇬

  • @Kibaadvocate
    @Kibaadvocate ปีที่แล้ว +1

    Nikisikiliza huuuu wimbo kwa kweli nabarikiwa ,,,barikiwa sana mtumishi wa MUNGU kwa wimbo mzuri,,,,,kwa kweli HAKUNA KAMA MUNGU MILELE

  • @gabrielchichake1363
    @gabrielchichake1363 ปีที่แล้ว +3

    Wimbo uko vizuri sana, Mungu awabariki waandaji na wote mlioshiriki

  • @Cherylonyango
    @Cherylonyango ปีที่แล้ว +9

    This song❤❤it blesses me and ecourages me alot...to everyone in gulf...indeed there is no like Him❤

  • @DianaMinja-m6t
    @DianaMinja-m6t 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu Asante kwa kuniokoa na kaburi hakuna wakufanana nawewe

  • @nibitangasteven9691
    @nibitangasteven9691 ปีที่แล้ว +10

    Zoravo makes the song tasty 🔥

    • @lilyg2134
      @lilyg2134 5 หลายเดือนก่อน +1

      ZORAVO KAIMBA NINI HUMO AU NDO USHABIKI MAANDAZI, ITS OBVIOUS HUJUI WAPI ZORAVO ALIPOIMBA🤣🤣🤣🤣THE WHOLE SONG WAS SANG BY THE OWNER! ZORAVO KAIMBA KWENYE BRIDGE HUKO MWISHONI MWA WIMBO, TENA SECOND LINE OF THE BRIDGE (HALLELUYAH, HALLELUYAH) I'D REALLY PREFER IF GIDEON SANG IT HIMSELF... AND BY THE WAY UTAMU WA HUU WIMBO UPO PALE "JE NI NANI WA KUFANANA NA WEWE" NA AMEIMBIA GIDEON MWENYEW SO WACHA SAYING?🤣🤣

  • @asmakaronge6601
    @asmakaronge6601 ปีที่แล้ว +1

    Huu wimbo ni mkubwa sana, Yaani umetupa tunachostahili mayatima wa Yesu🙏🙏🙏

    • @witneskindole9451
      @witneskindole9451 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂kwa Yesu hakuna mayatima ndugu maaana yy tu ndio baba yetu huo uyatima unautoa wapi my friend😂😂😂😂

    • @asmakaronge6601
      @asmakaronge6601 ปีที่แล้ว

      @@witneskindole9451 Yesu mwenyewe alitambua uwepo wa Yatima na wajane ndio maana akasema mimi ni baba wa Yatima na mume wa wajane, kwaiyo mayatima tupoo na tunatambulika kihalali kabisaa🙌😁

    • @witneskindole9451
      @witneskindole9451 ปีที่แล้ว

      Sawa momy 😂😂

  • @julietnonny1060
    @julietnonny1060 ปีที่แล้ว +1

    Halleleluyah bwaanaaa

  • @milkamonica6450
    @milkamonica6450 ปีที่แล้ว +1

    I'm here from TikTok,the song is amazing ❤️❤️❤️❤️

  • @amaniatile5560
    @amaniatile5560 ปีที่แล้ว +2

    Kijana,sina shaka na utume wako,Mungu akuinue zaidi

  • @game_pointe
    @game_pointe ปีที่แล้ว +1

    Noma mzeee💥💥

  • @gladysamdeso2623
    @gladysamdeso2623 5 หลายเดือนก่อน

    Natokea TikTok sasa hivi❤❤
    Je ni nani wa fanana na wewe?
    Je ni nani wa kulingana na wewe?🙏🏻🙏🏻😢😢

  • @joycentuah4995
    @joycentuah4995 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mzuri mbarikiwe sana

  • @ireneChosen8193
    @ireneChosen8193 ปีที่แล้ว +2

    Yaani bonge la songiiiii🎺🎺🎺🎺🥳🥳🥳🥳🥳🔥🔥🔥🔥🕺🕺🕺🕺

  • @alicenayamusi3768
    @alicenayamusi3768 ปีที่แล้ว

    Hakika hakuna wankufanana na yesu 🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭nimeskia hii wimbo nikitokwa na machozi ya furaha

  • @rachelmwangosi2319
    @rachelmwangosi2319 ปีที่แล้ว +1

    Akii nimetafuta huu wimbo within three days haimaeeee😍💯💯💯

  • @puritymainye
    @puritymainye ปีที่แล้ว +1

    I'm here from tiktok such a great song

  • @nickyamani7402
    @nickyamani7402 ปีที่แล้ว +1

    All the way from TikTok ❤❤❤❤❤❤❤ TikTok lover's hit like here ❤

  • @dorcasmlowe
    @dorcasmlowe ปีที่แล้ว +3

    Walikuepo miungu wakapita⛅🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 be blessed Gideon

  • @catherinefatahela3752
    @catherinefatahela3752 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna wa kufanana na wewe Bwana 🙏🙌🙌🙌

  • @prestonkenyaofficial
    @prestonkenyaofficial ปีที่แล้ว +23

    *YOU GUYS DID AN AMAZING JOB, AM ALSO HAPPY ZORAVO IS TAKING OVER THIS SPACE BY STORM*

    • @wakeshomercy6197
      @wakeshomercy6197 ปีที่แล้ว

      Gvvvvvvvjjgxgdszfhgfjvjvrrutuihhjihjhhhhhhhhhhhbbbbbbhbbbhhhbbggf😢😮😮ughhhghhhggggggggggggg😮yyyyyyyyyyyyuuu😅😮😮😮😮😮😮😮

  • @sarahnjagi5294
    @sarahnjagi5294 ปีที่แล้ว +1

    Yes hakuna wa kufanana nawewe🙏🙏🙏🙏

  • @JudithAdonis
    @JudithAdonis 5 หลายเดือนก่อน

    JE NI NANI WA KUFANANA NA WEWE ,
    JE NANI KULINGANA NA WEWEEEE , HAYUPO TENA KAMA WEWEEE HAYUPO TENAAA KAMA WEWEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @humphreypeter5641
    @humphreypeter5641 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tunaomba video ya hii nyimbo Mtumishi

    • @gospeltotheworld
      @gospeltotheworld  12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@humphreypeter5641 Nipe siku 60 tu utaipata

    • @humphreypeter5641
      @humphreypeter5641 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @ Amina ubarikiwe na Bwana Yesu

  • @JulithaJustine-ch8sn
    @JulithaJustine-ch8sn 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nahisi kubarikiwa mnoo

  • @maryloyce9391
    @maryloyce9391 ปีที่แล้ว +7

    I looove this song, God loves praise , brother be blessed for this tune,I can't get enough of it
    🇰🇪

  • @lindajuliana75
    @lindajuliana75 ปีที่แล้ว +6

    this song slaps if you know where God has brought you from🎉.🙏🙏🙏

  • @drikahmwanga2999
    @drikahmwanga2999 ปีที่แล้ว +7

    ❤This Song came at the right moment of my life.....
    Thank you Jesus.

  • @agness-xk7kg
    @agness-xk7kg ปีที่แล้ว +1

    Barikiwe zaidi kizazi kiteule niliungoja sana ❤🥰🥰🥰

  • @Madamsylvianyamanda
    @Madamsylvianyamanda 28 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉 Hayupo wa kufanana na Mungu❤

  • @graceandrew6718
    @graceandrew6718 ปีที่แล้ว +4

    Wimbo mzuri sana, Mungu akubariki sana kak

  • @mukamiadhiambo1026
    @mukamiadhiambo1026 ปีที่แล้ว

    Nimeuskia huu wimbo mara kadha kwa post yake Nuruvazi from TikTok 🙏🙏it's a blessing

  • @KimNyambi-qw2fq
    @KimNyambi-qw2fq ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa sana jmn

  • @SarahMeshack-kx5go
    @SarahMeshack-kx5go ปีที่แล้ว +1

    Waooo wimbo mzuri sana huu God bless you gays

  • @aishajuma-dh5ld
    @aishajuma-dh5ld ปีที่แล้ว +1

    Nzuri sana hii nyimbo m barikiwe sana kwa kumtukuza Mungu

  • @atyounglilian
    @atyounglilian ปีที่แล้ว +2

    Amen barikiwa saaaaaaaana
    Nimeshinda kutafuta huu wimbo❤❤

  • @PilotKiptooNgetich
    @PilotKiptooNgetich ปีที่แล้ว +1

    ❤❤ powerful 🥳💪kwanza chorus

  • @bisendopetermasenza6016
    @bisendopetermasenza6016 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana brother. Kazi nzuri iliyoandaliwa na wabarikiwa chini ya mwongozo wa Roho Mtakatifu. Much blessings unto you brother Gideon

  • @RayTVAfrica.
    @RayTVAfrica. ปีที่แล้ว

    From TikTok to here.. kweli hakuna wa kufanana nawe Mungu Mkuu

  • @judyoduor7005
    @judyoduor7005 9 หลายเดือนก่อน +1

    I came to testify that God healed Gideon Paul

  • @adelaphilip8089
    @adelaphilip8089 ปีที่แล้ว

    Tkotok imenifanya nikuje❤❤❤

  • @florencemsigala6549
    @florencemsigala6549 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna kama wewe Mungu wangu🙏

  • @salomesaguda3302
    @salomesaguda3302 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuinue na kukuponya 🤲akupandishe viwango na viwango,je ni nan wakulinganishwa na wewe hakunaa🙌🙌🙏

  • @robertomonditv
    @robertomonditv ปีที่แล้ว

    Hakuna wa kumlinganisha na YAHWEH.Watching from Kenya-East Africa.