WATU MAARUFU WANAOUMWA MAGONJWA YASIYOTIBIKA. TUWAOMBEE

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 42

  • @betricemainoya4176
    @betricemainoya4176 2 วันที่ผ่านมา

    Celine Dion aje Africa apikiwe vyakula vya kiasili, atapona, Celine Dion come Africa eat African food you ended be fine

  • @GasperDanielkulaya-jf7ct
    @GasperDanielkulaya-jf7ct 18 วันที่ผ่านมา +2

    Sasa twend kaz 🔥🔥🔥🔥

  • @Babaharvey3624
    @Babaharvey3624 25 วันที่ผ่านมา +4

    Hayo magonjwa yanawapata watu wenye pesa tu😢😢 mola awape afya njema

    • @ShakiraMuxxa
      @ShakiraMuxxa 24 วันที่ผ่านมา

      We Tema mate chini

  • @DanielYohana-uu6nk
    @DanielYohana-uu6nk 28 วันที่ผ่านมา +4

    Duh wakati mwingine pesa inakuokoa 😢😢

  • @FredSimiyu-uo7ck
    @FredSimiyu-uo7ck 28 วันที่ผ่านมา +2

    wewe shedi uko sawa nakupongeza sana content zako napenda sana nikiwa apa nairobi.

  • @ReaganENZI-ww4vu
    @ReaganENZI-ww4vu วันที่ผ่านมา

    🎉🎉 hi my best family, mwenzenu ni mwimbaji wa nyimbo za injili, nawaomba supports zenu, plz follow Reagan Enzi ili uwe wa kwanza Ku pata Ngoma Zetu 🥰🥰 Asante sana

  • @user-mi7yx8ew1k
    @user-mi7yx8ew1k 8 วันที่ผ่านมา +1

    Siwez waombea watu wanaotafuta magonjwa wao wenyew wanataka umaarufu illuminate inatoa pesa sio bure😂😂😂33

  • @kagotvtz
    @kagotvtz 16 วันที่ผ่านมา +1

    Pole yao Mungu awanusuru

  • @samymdundu
    @samymdundu 16 วันที่ผ่านมา +3

    Daaah yaaan ujue pesa sio kila kitu yaan hapo pesa haifanyi chochote

  • @jacobluckiztv2648
    @jacobluckiztv2648 27 วันที่ผ่านมา +2

    Ebu nieleze story ya warlocks,nimewahi kuwa na rafiki yangu ambae ni warlock, hao ni akina nani hasa tuundie makala kuhusu warlocks

  • @benancejohn1198
    @benancejohn1198 28 วันที่ผ่านมา +5

    Mkuu, tuandalie simulizi kumhusu kat Deluna

    • @umma6654
      @umma6654 15 วันที่ผ่านมา

      Kwani ana nini kat deluna

    • @benancejohn1198
      @benancejohn1198 15 วันที่ผ่านมา

      Usipende kutumia muda kwny mambo unayoona hayafai kwako.
      Chukua hiyo 👆

  • @SerahGlam
    @SerahGlam 28 วันที่ผ่านมา +2

    Tuletee maisha ya selena gomez aliyoptia

  • @hasanygodda9242
    @hasanygodda9242 28 วันที่ผ่านมา +1

    Hatariii

  • @isayakazimoto4826
    @isayakazimoto4826 วันที่ผ่านมา

    Waje kawe kwa mwamposa watapona chap

  • @mwinyimatopa2283
    @mwinyimatopa2283 21 วันที่ผ่านมา +1

    Na watu masikini wasio maarufu wataombewa na nani

  • @onekisstv8412
    @onekisstv8412 23 วันที่ผ่านมา +1

    Umaarufu tabu sana😢😢

  • @PonchaCastro-ho9wr
    @PonchaCastro-ho9wr 26 วันที่ผ่านมา +2

    Niach kumuombea mam ang nkawaombee mason kak Shedy

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 25 วันที่ผ่านมา +1

      Mmh, sijui kama masonic kweli Bali wanamatatizokama wengine..

  • @MK-mz8bz
    @MK-mz8bz 25 วันที่ผ่านมา +1

    Cha maingi ukimwi siyo ugonjwa ni upungufu wa kinga hata ukiwa na malaria ni kwa sababu kinga yako ilikuwa na shida ikaruhusu wadudu washambulie damu yako elewa ww

  • @MK-mz8bz
    @MK-mz8bz 25 วันที่ผ่านมา

    Mbona wazungu hapa ulaya sana hiv wengi tuu mie naishi hapa kinachowasaidia wanakula chalupa bora hivyo ukimwi hauwapati

  • @SuzanneChidodo
    @SuzanneChidodo 26 วันที่ผ่านมา +2

    Ni kweli kabisa kwanini hawasumbuliwi is ukimwi???????

    • @qihuhabruno5910
      @qihuhabruno5910 23 วันที่ผ่านมา +1

      Ukimwi ni ugonjwa wa maskini weee

    • @SuzanneChidodo
      @SuzanneChidodo 18 วันที่ผ่านมา

      @@qihuhabruno5910 🤔🤔

  • @VictorJohn-fu7ch
    @VictorJohn-fu7ch 26 วันที่ผ่านมา

    Asantetuwaombee

  • @MrNuurofficial
    @MrNuurofficial 28 วันที่ผ่านมา +3

    Hayo magonwa wanapewa Na eluminate

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 27 วันที่ผ่านมา +1

      Kabisa hakuna cha bure kwenye huu ulimwengu kila mtu atavuna alichopanda

    • @MumyAlly
      @MumyAlly 17 วันที่ผ่านมา +1

      Kabisa teen

  • @pumpandnozeltec3019
    @pumpandnozeltec3019 27 วันที่ผ่านมา

    KWANINI WAZUNGU HAWASUMBULIWI NA UKIMWI😂

  • @ashahaji518
    @ashahaji518 28 วันที่ผ่านมา +17

    Wakanza Leo nipni like zangu 😂

    • @dansonmketi4827
      @dansonmketi4827 24 วันที่ผ่านมา +2

      Ombea wagonjwa kwanza achana na likes

  • @-vu2cs
    @-vu2cs 28 วันที่ผ่านมา +3

    Naomba story ya VUSI THEMBEKWAYO

  • @MK-mz8bz
    @MK-mz8bz 25 วันที่ผ่านมา

    Tofautisha hiv na ukimwi

  • @sweetplacidnkya4863
    @sweetplacidnkya4863 24 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe nipe salamu

    • @sweetplacidnkya4863
      @sweetplacidnkya4863 24 วันที่ผ่านมา +1

      😂😅 jamnagar madam asiye na kasoro

  • @user-gz1cd6kn5j
    @user-gz1cd6kn5j 22 วันที่ผ่านมา

    Sija wai kumtamani Kim kadashiani

  • @chachamturi259
    @chachamturi259 27 วันที่ผ่านมา

    Yani ndotatizo laujinga wa waafrica yani tuwaombee watu ambao hawajielewi kwakipi.

  • @thejacktatoo2136
    @thejacktatoo2136 27 วันที่ผ่านมา

    Kaka embu tupelo habari kuhusu alibaba jak maa yupo

  • @Cutterose
    @Cutterose 26 วันที่ผ่านมา

    Mimi wa pili nipeni like zangu😅😅