ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Wakwanza ila sitaki like😂😂
Nmelike kinguvu Fetty 😂
😂😂😂😂
Hata kama utaki mie nakulaiki ivoivo😊😅😅😅😂😂😂😂😂❤
😂😂😂😂haya nisha like
Sijawahi kulaiki waomba likes ila nimekulaiki kwa lazima
Me nahisi Kwa Tz Km akipata utajiri mkubwa km huo Aly kiba anamuelekeo huo na Kwa Kenya 🇰🇪 Erick Omond anaweza Plus one guy dance dance man in Kenya nimesahau jina lake
Justin shed anza countdown zako kuanzia mwisho kwenda mwanzo. Usianzie 1. Ushauri tu bro
Umemsahau Keanu Reeves.. aka Mr John wick
Inchini kwetu yupo mtu taajiri sana na anaisha kama maskini tu Ali kiba 😂😂
😂😂😂 Daaah Alikiba kazidi kuishi kimasikini
Kwa Tanzania baresaaaaaaa
Aly kiba anaishi kimaskin mnoo
Point of correction ed Sheeran net worth $200M na siyo $2M
MO pia nimfano hawa matajir maisha yake simple km hana pesa
Ndio maana Kate anampenda leo, kesho Ata milele
Huku tz kuna njemba io inaitwa Alikiba jamaa sijui anawezaje kuishi kishkaji kama vile wakat mimi nikipata 50,000 full matanuzi.
Hana hela Acha porojo wewe ana hela ya kula yeye na familia yake na kuishi kama wewe tu
Hana pesa huyo wewe
umemsahau Jay Z 😢😢😢😢😢😢
Nithamu ya fetha na malezi walio lelewa
Baba angu
Izo Hela Wanatafuta Za Nn..Si Wazitie Kwenye Mashirika Ya Wakimbiz ?
✌️👍👊.
Ukitegemea kuhongwa hapa andika maumivu 🥹😁
ALIKIBA KING MFALME❤
Wapili ni mimi
Kwa TANZANIA kuna ALIKIBA
RASHIDI KIHUNGA ANAUTAJILI MKUBWA ILA ANAISHI MAISHA YA KAWAIDA SANA
Good 🎉
MI SIUNGI MKONO HOJA...UKISHAMILIKI PESA HUWEZI KUWA MTU WA KILA MTU...LAZIMA WAKUMALIZE....HATA UYO ALIKIBA MNAESEMA PEACE ANA WATU WAKE..
Ukiona mtu maarufu mtaan kwako anaishi maisha ya kawaida jua pesa alizonazo siyo za harali na zinamtesa🤣😂😅😆😭
My Family
Mimi hapa
Harmonize2
Wa 2
Ubahili ndo wawaongoza 😂
Alikiba’s
Paul Makonda
Bell9
Nampenda Leonardo DiCaprio basi tu❤❤😫
Shedi umenisahawi
Mimi apa
Alikiba
ETI MILLION 2 YA DOLLAR NI MILLION 500 IVI WEWE MTANGAZAJI ULISOMEA WAPIII?
Labda ni billion sio million
Wenda ulimi umeteleza tumsamehe nduguzangu
SASA ALIKIBA NI TAJIRI AU NI MSANII? TAJIRI NI KAMA MO
Yamkini anayo unajua vitu vyake?