SHERIA KALI anazotakiwa kufuata MKE wa KIM JONG UN,maisha yake YANASIKITISHA.

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 132

  • @tresorlusolo8916
    @tresorlusolo8916 3 ปีที่แล้ว +10

    Wanaeshimiwa sana awa majamaa sababu wanajiwezi kwa kila kitu, hawaitaji misaada toka inje, nawaeshimu Sana awa majamaa 👍👍

  • @rayaahamad5502
    @rayaahamad5502 2 ปีที่แล้ว +13

    Kuishi maisha ya kawaida Raha kweli mlizi wako Allah Na malaika wake

  • @gwajetheentertainer363
    @gwajetheentertainer363 3 ปีที่แล้ว +21

    Sema kuna muda misimamo inakufanya maisha YAKO kwenda mbela...ila misimamo usiwe adui wa nafsi ya mwenzio

  • @samsonhaule3373
    @samsonhaule3373 3 ปีที่แล้ว +1

    Nzuri sana

  • @abubakaritwalib7649
    @abubakaritwalib7649 2 ปีที่แล้ว +3

    Yes yuko sahii c mkewe mwanaume ndo anae panga ndani

  • @prof.jeremy208
    @prof.jeremy208 3 ปีที่แล้ว +13

    Sheria Kali hizo

  • @dogomoko4629
    @dogomoko4629 3 ปีที่แล้ว +4

    Just good

  • @neemayusuphu1591
    @neemayusuphu1591 2 ปีที่แล้ว +1

    Raisi kimu yupo vizuri tu sema haikubali ujingaaa ndooo maaana wanamchukia malekani

  • @pascaljr.5439
    @pascaljr.5439 2 ปีที่แล้ว +2

    Duuh kiduku anaupga mwingi mi nlijua ukiwa raisi ni kula bata tu coz uhuru unao pesa unazo mke mzuri,watt bac na kuiongoza nchi kumbe kuna masharti magumu ivyo mmh bora nife maskini aiseeh

  • @user-qg2sw9bj2i
    @user-qg2sw9bj2i 3 ปีที่แล้ว +6

    Aise me cningekua nimebaki kama fuvu kwakukosa kuonana na familia yangu😥

  • @Alkaburu
    @Alkaburu 2 ปีที่แล้ว +3

    Hiyo ndio sample ya magu kazi kazi.mwandishi acha kuchonga maneno hizo tunaitaga kamkunji

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 3 ปีที่แล้ว +3

    love you kim from congo zaire

  • @salummbarouk4216
    @salummbarouk4216 2 ปีที่แล้ว

    Mm mnamkubali sana

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 3 ปีที่แล้ว +23

    Nampenda Sana kim

  • @jkOmar2024
    @jkOmar2024 3 ปีที่แล้ว +2

    Mh... Wee mengne unapatia mengne unazdisha mh... Wee izo pcha umezpataje uwongo mtupu na izo nguo km haztakiwi s wanfestopsha tu unafkir km nch za afrika kitu hakitakiwi kisha kinasambaa mitani weww kua makin na story za paukwa pakawa alikuepo na ikaishia kula maisha ya raha na mustarehe

  • @abelmwaipungu8287
    @abelmwaipungu8287 2 ปีที่แล้ว

    Ninamkubali sana uyu jamaa kwa misimamo yake

  • @bethkimani92
    @bethkimani92 หลายเดือนก่อน

    Twende kazi

  • @musekuladanieldaniel1576
    @musekuladanieldaniel1576 3 ปีที่แล้ว +3

    Tokende

  • @emilikindata3794
    @emilikindata3794 3 ปีที่แล้ว +3

    Uyu jmaaa htr
    Ila mkuu story za wagiliki za miungu umezitupa mkuno sanaaa ebu tufanyie mipango mkuu

  • @pendooscar9322
    @pendooscar9322 3 ปีที่แล้ว +2

    Wee umedanganya bwana kwanza alimuuwa kaka yake aliwatumia wasichana wawil wa kiindonesia lakin iyo ilifichwa fichwa na ndomana ile nchi inashelia Kali kulipo hapo mwanzo

  • @katetigendo4988
    @katetigendo4988 3 ปีที่แล้ว +4

    Nimekuwa wa kwanza😁😁

  • @ayoubmbogoye7215
    @ayoubmbogoye7215 3 ปีที่แล้ว +4

    Daah

  • @user-xl9zu9fz6q
    @user-xl9zu9fz6q ปีที่แล้ว +1

    🌹남 과북🇰🇷🇰🇵🌹우리 한민족 한반도 평화를 바랍니다!🙏🇰🇷🇰🇵🇰🇷🇰🇵🙏

  • @teychriss3248
    @teychriss3248 3 ปีที่แล้ว

    Mmmh! Hapana kwakweli!

  • @saadiaali5609
    @saadiaali5609 3 ปีที่แล้ว +3

    Sio sheria nzuri hio

  • @bulagalabbulagala3309
    @bulagalabbulagala3309 3 ปีที่แล้ว +8

    Unaongea pointi sana lakini unapo feli kusema Kim ni dictator huyo ni mfalme nakule hua kunamfumo wa ufalme na ninawapongeza sana kwa mfumo huo

    • @lirastanley390
      @lirastanley390 3 ปีที่แล้ว +2

      😀😀😀😀ulishawahi kuikia neno Monarchy au Kingdom???kule kuna rais na hakuna mfalme ukibisha tu nakupa aina ya mfumo wa utawala wanaotumia na nakupa maelezo ambayo huyu jamaa na media yake nzima hafahamu na utashangaa...bisha nikufundishe...haya yanayoongelewa hapa ni kweli kbs

    • @emmaedger9435
      @emmaedger9435 2 ปีที่แล้ว

      Ww

  • @mohamedabdallasaleh1668
    @mohamedabdallasaleh1668 2 ปีที่แล้ว

    We umezipataje izo pcha zake, mbona unadanganya

  • @kaimuulongo9590
    @kaimuulongo9590 3 ปีที่แล้ว +3

    Ila anatumia akili xan ili kujilinda zidi ya maadui wake

  • @queen.christelle1
    @queen.christelle1 3 ปีที่แล้ว +2

    Sio kwa sheria hizo 🤔 huko sini kuwa tesa watu wanao ishi katika hio nchi sasa😔

  • @fransisnyandoa8163
    @fransisnyandoa8163 ปีที่แล้ว

    kamanataka nikaowe korea aiwezekani mana nawapenda sana

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 29 วันที่ผ่านมา

    Unakosea sana kumwita dicteta ,inaonyesha umeathirika na media za kimagharibi,huna unachokijua kuhusu hawa watu hata kimoja maana hawa ni watu wenye siri kubwa sana

  • @imanigilbert2478
    @imanigilbert2478 3 ปีที่แล้ว +4

    👍🏾

  • @lukomanomaliki5442
    @lukomanomaliki5442 6 วันที่ผ่านมา

    Huyu mwamba kweli dikteta.

  • @saimonijaphary3386
    @saimonijaphary3386 2 ปีที่แล้ว

    Daaaaa

  • @actionmoviestv9643
    @actionmoviestv9643 3 ปีที่แล้ว +4

    KIM NAMKUBALI SANA SANA

    • @bobg611
      @bobg611 2 ปีที่แล้ว

      Enslaving people in Labour camps!

  • @capayerabillity4270
    @capayerabillity4270 3 ปีที่แล้ว +3

    Unknown people

  • @reganclarence4657
    @reganclarence4657 3 ปีที่แล้ว +4

    Uyu jamaaa halitakiwa hawe raic wa tanzania hili kuwanyosha majizi🤡😎

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 ปีที่แล้ว

    Anaitwa Kiduku

  • @mwashambakipanga4528
    @mwashambakipanga4528 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni hatari lkn salama

  • @bulagalabbulagala3309
    @bulagalabbulagala3309 3 ปีที่แล้ว +6

    Inaonekana huo utafiti wako uliutolea malekani kwahiyo umekalilishwa kueneza propaganda

  • @fatmaahamad633
    @fatmaahamad633 2 ปีที่แล้ว

    Mmh huu ni utumwa hata kama anaishi kama yupo peponi

  • @EvarestiMsigwa
    @EvarestiMsigwa หลายเดือนก่อน

    Hiyo nikazani sasa

  • @sheebahchichi492
    @sheebahchichi492 3 ปีที่แล้ว

    Sorry 4 her

  • @salmamakweta1198
    @salmamakweta1198 3 ปีที่แล้ว +4

    Binafsi nampenda kim

  • @onesmojustice2348
    @onesmojustice2348 3 ปีที่แล้ว +1

    Kiboko ya wazungu

  • @hazardomar3940
    @hazardomar3940 3 ปีที่แล้ว

    Itakuwanaiyosiopicha yake umeediti

  • @amaryguedez3540
    @amaryguedez3540 2 ปีที่แล้ว

    ✌️✌️✌️

  • @moodyramadhan336
    @moodyramadhan336 3 ปีที่แล้ว

    1st lady wengne wanapata raha ila huyu yuko jehannam y duniani

  • @AbbysalumChiwanga
    @AbbysalumChiwanga ปีที่แล้ว

    binafsi namkubali saana kim

  • @JumanneJoseph-jo4yc
    @JumanneJoseph-jo4yc 3 หลายเดือนก่อน

    Sheria izo ndo nzurii at c tumemmiss kim maguu

  • @allymahamudu9492
    @allymahamudu9492 3 ปีที่แล้ว +6

    Shilki

  • @brightonkihwili5499
    @brightonkihwili5499 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna marefu yasio na ncha

  • @rhodaerasto6151
    @rhodaerasto6151 3 ปีที่แล้ว +3

    Jamn mpaka huruma...

  • @DavidMedison
    @DavidMedison 9 หลายเดือนก่อน

    Unatish brother

  • @jumamofu9573
    @jumamofu9573 2 ปีที่แล้ว

    Ni hatari sasa mbona inatisha

  • @zwainazwaina9808
    @zwainazwaina9808 3 ปีที่แล้ว

    Hhh

  • @daudm4892
    @daudm4892 3 ปีที่แล้ว +3

    We umejuaje mbn muongoo sana ww

  • @josephwaigama-sb8hz
    @josephwaigama-sb8hz ปีที่แล้ว

    Rais kim jong yuko sawa

  • @amnaalshabani2777
    @amnaalshabani2777 3 ปีที่แล้ว +7

    Angetuoa sisi watanzania kila siku angekuwa haishi kutuchinja 😂😂

    • @bakariuzima5121
      @bakariuzima5121 3 ปีที่แล้ว

      Hahahahahahhaaaaaaa

    • @amanimanase5794
      @amanimanase5794 3 ปีที่แล้ว

      Hahahaaaa kumbe mwajijua mlivyo wasumbufu ee nani kweli mngechinjwa kama kuku

    • @halimahussein6066
      @halimahussein6066 2 ปีที่แล้ว

      😆😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣

  • @zacann4510
    @zacann4510 3 ปีที่แล้ว

    Doooh

  • @ally1702
    @ally1702 3 ปีที่แล้ว +2

    8:22 kidogo umenichanganya wananchi wa Korea unasema hawaruhusiwi kwenda nje ya nchi wala kupiga simu nje ya nchi lakini mkewe alisoma China na bandi pia ilikuwa ikizinguka nchi jirani umeniacha njia panda mkuu from 974

    • @davidntwale4028
      @davidntwale4028 3 ปีที่แล้ว +1

      Alifanya hivyo kabla ya kuolewa na president

    • @josephatmwihechi2117
      @josephatmwihechi2117 3 ปีที่แล้ว

      @@davidntwale4028 Bt Amesema na wananchi hawaruhusiwi mbona kabla hajaolewa mkewe alitoka nje c alikuwa mwananchi pia

  • @emmanuelamisho831
    @emmanuelamisho831 3 ปีที่แล้ว +7

    Uko vzr brother lkn tunataka tukuone na ww jinsi ulivo maana tunaskia sauti tu

  • @shahidhamis6266
    @shahidhamis6266 3 ปีที่แล้ว +3

    prof jamaal april is the NEXT LEVEL

    • @msanifgdf615
      @msanifgdf615 3 ปีที่แล้ว

      @@kimongamsafi5417 ttzo hyu jamaa muongo sana yy hana tofaut na bbc

    • @singinggirl6554
      @singinggirl6554 2 ปีที่แล้ว

      @@msanifgdf615 wewe unajuaje kama huyo jamali ni mkweli

    • @user-eo7ug2tg9r
      @user-eo7ug2tg9r 2 ปีที่แล้ว

      Safi sana...kutosema ya zamani

    • @highzacknnko9685
      @highzacknnko9685 2 ปีที่แล้ว

      Acha kuleta udini brooh!!! Najua unatetea kwasababu ni dini yako haya sema sasa ni zaidi ya milaard ayo

    • @jumamofu9573
      @jumamofu9573 2 ปีที่แล้ว

      @@msanifgdf615 mbona Jamal alitudanganya kwenye story ya ndege iliyo potea na kuja kuonekana miaka mingi badae

  • @Vivan47
    @Vivan47 ปีที่แล้ว

    Hiyo haiwezekani kuwa wazee wake wasionane

  • @bertha6322
    @bertha6322 3 ปีที่แล้ว +2

    Propaganda 2 ili aonekane mbya. Wejamaa hunalolote

  • @vitorinoantonioali648
    @vitorinoantonioali648 2 ปีที่แล้ว

    Lil nass x

  • @ashnaom2270
    @ashnaom2270 3 ปีที่แล้ว +2

    Staki ujinga huo yote poa ila sonisione ndugu zangu

    • @salmaseif6284
      @salmaseif6284 2 ปีที่แล้ว

      Ndo maana unatangatanga kwa sababu hutaki kuishi anavyotaka mumeo

    • @ashnaom2270
      @ashnaom2270 2 ปีที่แล้ว

      @@salmaseif6284 sijawah kutanga tangu nazaliwa ivo poole

  • @akshaydavid159
    @akshaydavid159 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah! Hiyo nchi ni Bora uishi sehemu isiyojulikana Kama jehanamu kuliko huko.

    • @omarmhmammed216
      @omarmhmammed216 3 ปีที่แล้ว +1

      Ww unaijua jahannam au unaisikia tu ....omba usikurane nayo Allah atuepushe na moto huo mkali

    • @maalimmachichanatangu2609
      @maalimmachichanatangu2609 2 ปีที่แล้ว

      Innarillah wa Inna ileih rajoun Allah

  • @renatusdeogratias2108
    @renatusdeogratias2108 2 ปีที่แล้ว

    Hiv fikilia kama uliwahi kutembea na huyu dem zaman itakuwaje

  • @husseininteligence6234
    @husseininteligence6234 3 ปีที่แล้ว

    Achaneni nae ya watu yanamhusu nni

  • @badrytabu7280
    @badrytabu7280 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwa nini unamuita ivoo???????

  • @binthawa2973
    @binthawa2973 3 ปีที่แล้ว

    me kama nd mke wake ningetoroka

  • @moudys
    @moudys 3 ปีที่แล้ว +14

    Hizo ni propaganda za magharibi, kumtengenezea maadai, kumfanya awe mbaya

    • @muhamedkhalid9497
      @muhamedkhalid9497 3 ปีที่แล้ว +3

      Kweli moudy s...huyu bongo fasta anachukua video za watu yy anafanya tafsiri t bila ata kufanya research ya ndani

    • @lirastanley390
      @lirastanley390 3 ปีที่แล้ว +2

      Huyu jamaa ni mshenzi tu na mkibisha nitakupeni ushahidi bila kuogopa mamlaka...mnakumbuka alichokifanya 2017 fanya utafit maana hyo ni trailer na vp kuhusu majaribio ya makombora na kuu viumbe na kuharibu mazingira kwa kifupi he is against the United Nations Organisation na mambo mengi tu ya haki za kibinadamu

  • @johnabery-vn7eb
    @johnabery-vn7eb ปีที่แล้ว

    Acha kusem diktet

  • @ramadhanmatinya7053
    @ramadhanmatinya7053 3 ปีที่แล้ว +3

    Ni mke wake au ni dadaake?

  • @petermaingi2053
    @petermaingi2053 3 ปีที่แล้ว +4

    Hio ni uongo,,,,,,,,,na upuzi,,,,,,,,na ushenzi,,,,,,

    • @muhamedkhalid9497
      @muhamedkhalid9497 3 ปีที่แล้ว +1

      Yes...huyu bongo fasta ana tafsiri t video za wasungu bila ata kufanya research..ukweli umezingwa na mapazia ya dimokrasia

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 3 ปีที่แล้ว

    ETI NISIONANE NA FAMILIA YANGU???WHAT UPUUZI MTUPU

    • @elijahchegere4974
      @elijahchegere4974 2 ปีที่แล้ว

      Utakubali maana unagongana na mkuu wa korea kaskazini

  • @daudisharufu3473
    @daudisharufu3473 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakuña dictator apoo açha uongo

  • @noobplayer4005
    @noobplayer4005 3 ปีที่แล้ว

    lakini yeye sio diktekta kama tundulisu

  • @manyotatvshow957
    @manyotatvshow957 ปีที่แล้ว

    Kim jong un sio dictator

  • @peterjanuary7972
    @peterjanuary7972 2 ปีที่แล้ว +1

    Kim ni mwambaa 😂😂

  • @victoriamwambene313
    @victoriamwambene313 3 ปีที่แล้ว +3

    Kimdomo chake kama tundu la pua

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 3 ปีที่แล้ว

    Uongo mtupu

  • @simonitaagesti3657
    @simonitaagesti3657 3 ปีที่แล้ว +7

    Kumbe kiduku anamke

  • @mhebhoamoskisimple2095
    @mhebhoamoskisimple2095 3 ปีที่แล้ว +2

    Nyie waongo.alienda nae matekani

  • @crayonmaze9970
    @crayonmaze9970 3 ปีที่แล้ว +5

    Jamaa haogopi wazungu ndio maana wanamfanya aonekane mbaya, mbona nchi yake iko vizuri tu, acheni kusambaza uwongo

    • @shau78
      @shau78 3 ปีที่แล้ว

      usidanganyike kwamba nchi yake iko vizuri. waKorea Kaskazini wanaishi kwenye ufukara mkubwa

    • @crayonmaze9970
      @crayonmaze9970 3 ปีที่แล้ว

      @@shau78 ufukara? Unajua nini maana ya ufukara? Nitajie nchi ambayo haina ufukara na wafukara

    • @imeldamsemwa693
      @imeldamsemwa693 2 ปีที่แล้ว

      @@crayonmaze9970 nimeelewe

    • @magzakky2781
      @magzakky2781 2 ปีที่แล้ว

      @@crayonmaze9970 wewe hakuna kitu wajua ama kuelewa waongea TU sijui maana una mdomo ama ni shule ulitoroka anyway .....hujui kuhusu Korea kaskazini ...yote yanayosemwa hapo ni ukweli na zaidi hajasema ....kim ni hatari kiasi ya kupangia raia wake maisha yake hawana Raha na yeye kabsaaa...hakuna mkorea mwenye iyo haircut yake ukipatikana wewe ni maiti,jinsi ya kuvaa raia pia wamepangiwa ....huwezi piga picha ovyoovyo ..ata hairstyles ya wanawake ni moja Kwa wakorea wote ....ufukara upo Kila mahali Hadi uko

    • @abdifaraji2883
      @abdifaraji2883 2 ปีที่แล้ว

      @@magzakky2781
      Raia wanakufaga njaa, na wengi wanahatarisha maisha yao kwa kujaribu kutoroka nchi yao.