ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Ni moja ya shabiki mkubwa wa Marshmallow nakubali sana mziki wake na the way anatumbuiza.
marshmello ❤❤❤❤
Afu namfatilia❤❤
MARSHMELLO ❣️❣️❣️
Binanfsi nimeweka Profile ya huyu jamaa na mask yake Kwa miaka miwili sasa..leo Ndo namjua...Duhh
uyu mwamba nilianza kumfuatilia tangu 2017 kumbe sura yake inafahamika, dah wazungu bhana
Wa kwnzaa
@Marshmello Aliionesha Sura Yake Rasimi 2019 ✅
Eeeh nilikuwa sjui
👊✌👍.
Tuletee video inayomuelezea ALAN WALKER pia
Mr Naomba uniwekee Historia ya Williams Branham
Namkubali
Kuna wasanii watatu kuna marshmallow alan worka na unknown brain
Naomba kupata Historia ya Tomorrowland
Iko live mda huu
Hello bongo fasta naomba utuletee stori za Alan Walker tujue kwa Nini hakosi masks.
Boss Ile account ya YIB n yako?
this man❤❤
Pia Alan Walker
Kama hujui marshmellow ni Shawn Mendez,alifichua sura yake,katika mashindano ya BGT,britains got talent,cheki account yao
Huyu jamaa anazingua sana, haimbi kazi beat tu kwenye nyimbo zake, anatufanya sisi wajinga yani mtu kama Huyu nae anakuwa na mashabiki tena watu Wana view kazi zake 😂
Mi natamani kumjua Allan walker
Kama Soud Brown
TUNAOMBA UTURETEE STORI YA VIJANA WALIO TEKA NDEGE YA AIR TANZANIA MWAKA 1983 kuelekea ULAYA
Mmmmh
Tuletee na yadj snek
Na Alan walker nae vip
Unawezakuta kumbe 2pac
History ya ALAN WALKER😂😂
Haha ulikua kichwani kwangu
Mbona sura yke inajulikana
*TUNATAKA KUJUA KUHUSU YAHOO BOYS KUTOKA NIGERIA*
Kweli bobu mr shed tuekee
Ila kweli tunaomba iwekwe
Jastin naomba unielezee mchezo WA desafio the box wa colombia