MASTAA WALIOTAJIRIKA KISHA WAKAFILISIKA MPAKA HURUMA, KUNA JAMBO UTAJIFUNZA

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 97

  • @barnabazawadi9433
    @barnabazawadi9433 ปีที่แล้ว +68

    Ukipata pesa, jiweke mbali na wanawake hasa makahaba. Kahaba lengo lake ni kukufilisi tu.

  • @cloudenock6167
    @cloudenock6167 ปีที่แล้ว +5

    j. shed much like from mbeya town

  • @benancejohn1198
    @benancejohn1198 ปีที่แล้ว +9

    Nakubali sana ndugu.🙌

  • @nuhhumwakanyamale4771
    @nuhhumwakanyamale4771 ปีที่แล้ว +11

    Unajua nn shedy, Kwa wenzetu wazungu inawezekana kupanda ukashuka kilahisi,
    Lkn kwa nchi zetu za kiafrika tajili ni tajili sababu ukiwa na hela unakuwa juu ya sheria. Lkn kwa wenzetu wazungu Sheria zao zinaheshimiwa kwa usawa Atilist

  • @christinanaabwe2840
    @christinanaabwe2840 ปีที่แล้ว +10

    Tupe zingine kwasababu tilisha like video yako👌👌👌👌♥️♥️♥️

  • @mwajumaabeidy8137
    @mwajumaabeidy8137 ปีที่แล้ว +5

    Hii picha nakumbuka alitakiwa akonde hv coz aliigiza km mgonjwa wa cancer. Kitambo hii nadhan.

  • @henrylugendo280
    @henrylugendo280 ปีที่แล้ว +7

    Safi sana jastin

  • @patrickjefwa8888
    @patrickjefwa8888 ปีที่แล้ว +1

    Lkn 50 bado ako imara pale Hollywood

  • @begilamoney4730
    @begilamoney4730 ปีที่แล้ว +8

    Leo nakukosoa mzee usiweke kasha kamahiyo kakonda na kunenepa wakati 50 anaafyayake so umeteleza mzee 💪

  • @jackimotienojuma8509
    @jackimotienojuma8509 ปีที่แล้ว +3

    that's y I used to learn nikiwa na pesa nisiwe na kiburi naku dharau watu

  • @copperdelovetz1292
    @copperdelovetz1292 ปีที่แล้ว +4

    Ishu ya 50 cent hapo umezingua hyo ni movie na haikupaswa kua hapo fanya tafiti

    • @abdulkidebe1707
      @abdulkidebe1707 ปีที่แล้ว

      Kipindi anaanza movie alijikondesha ili avae uhusika wa sini aliyokuwa anaicheza

  • @johnycavishe5207
    @johnycavishe5207 ปีที่แล้ว +4

    Mimi na mkbali Sana 50cent

  • @Qwang6
    @Qwang6 ปีที่แล้ว +1

    Mbn watanzania hiwasemi😂😂😂😂😂 kuna tule simba wa moro 😂😂😂feroos kamekonda kimboga yani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @robertwamae-ol5er
    @robertwamae-ol5er ปีที่แล้ว +2

    Nakubaliana nawe ila hapo kwa 50 cent nmejitenga nawe kwani yeye ni mcheza filamu maarufu na anaingiza hera nyingi

    • @abdulkidebe1707
      @abdulkidebe1707 ปีที่แล้ว +1

      Nanukuu kasema kuna kipindi alipitia hali ya kufilisika ila kwa sasa yuko vizuri na hadi kalipa madeni 75 %

  • @jaymandy8136
    @jaymandy8136 ปีที่แล้ว +4

    Kazi nzuri sana Justin shed lakini nina pendekezo moja dakika kumi kwenye video haitoshi mze kama itawezekana uwe unafanya video za dakika walau ishirini kk

  • @michezomixer7787
    @michezomixer7787 ปีที่แล้ว +2

    Mimi wa9 kucomment

  • @CaptainJaphet-lp1km
    @CaptainJaphet-lp1km 10 หลายเดือนก่อน

    Cool bro 👌

  • @EmmanuelChimera
    @EmmanuelChimera ปีที่แล้ว

    Poleni

  • @victorlw6035
    @victorlw6035 ปีที่แล้ว +7

    50 cent is still rich uongooo

    • @minasegatasha4838
      @minasegatasha4838 ปีที่แล้ว

      50 cent is still rich he’s rich until now

    • @sheemaryam
      @sheemaryam ปีที่แล้ว

      Amesema sahi ni mfanyi biashara lakini aliwahi firisika video ikianza skiza vizur

  • @counselorchaz6703
    @counselorchaz6703 ปีที่แล้ว +1

    Thumb nail ya kinafiki na wongo..50 Cent ni Moja Kati ya matajiri wakubwa sanaa kwa sasa

  • @hassanguzo8026
    @hassanguzo8026 ปีที่แล้ว +1

    Hii list haitoshi wapo wengi sana ambao wamefilisika kama wakina tpain na wakina nely

  • @georgenjeri8547
    @georgenjeri8547 ปีที่แล้ว +1

    Wanawake Aisee!Kaa Mbali Nao

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 ปีที่แล้ว

    Nakukubal sna justine shedy Sema 50 cent bado rich

  • @yunusmussa7980
    @yunusmussa7980 ปีที่แล้ว +3

    Iyo ya 50 cent usitudanganye

  • @muhsenali123
    @muhsenali123 ปีที่แล้ว +2

    plz fanya kwa uwingi

  • @fredymwakikono1575
    @fredymwakikono1575 ปีที่แล้ว +6

    Hiyo picha ya 50 Cent alikonda kwa program maalum kwa sababu alikuwa kwenye movie akiigiza kama mgonjwa wa Cancer, hajafilisika na yuko vzr sana kwa sasa, na amebase kwenye movie

    • @masanjaabasi8970
      @masanjaabasi8970 ปีที่แล้ว

      Bora umenielewesha nilikuwa naamini iki kiupuuzi apa,🤗🤣🤣🤣

    • @lilianmkoko5706
      @lilianmkoko5706 ปีที่แล้ว

      Very true

  • @brianuressa8226
    @brianuressa8226 ปีที่แล้ว +2

    Can't wait.........
    Mr Justin fanya kutuangushia list nyingine

  • @hamadeddymaclayz
    @hamadeddymaclayz ปีที่แล้ว

    Uongo hii ni filamu ya 50 cent inaitw Ngugi ya Thiongo' yule wa Kenya aliefungwa sasa 50 cent aliambiwa ajikondeshe hivyo

  • @michaelmasele6238
    @michaelmasele6238 ปีที่แล้ว +3

    Sawa Ila mbona Kuna jamaa Kama amecopy hii channel afu anachukua story zako ebu mcheki asiendelee kutuchanganya

  • @albanitarimo9721
    @albanitarimo9721 ปีที่แล้ว +3

    Haujawahi kosea mzee baba

  • @user-dy8dd7cm2c
    @user-dy8dd7cm2c ปีที่แล้ว

    All is vanity

  • @upendoeliya7682
    @upendoeliya7682 ปีที่แล้ว +1

    Maagano ya KISHETANI.Wanakuwa na MIKATABA NA SHETANI.
    Wakishindwa ndio ADHABU YAO
    UNAFILISIIWA Mpaka zerooo

  • @najimahgomez3334
    @najimahgomez3334 ปีที่แล้ว +2

    Daaa hujafa huja umbika

  • @officialmanji4438
    @officialmanji4438 ปีที่แล้ว

    Hatarii

  • @umojamedia4167
    @umojamedia4167 ปีที่แล้ว +1

    Tuletee yaliyotokea brazil

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 ปีที่แล้ว

    Nc

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 ปีที่แล้ว +2

    Bdo like 399 utuletee hiyo 2
    2jue mamb ya watu

  • @MichelBingiclinton
    @MichelBingiclinton ปีที่แล้ว

    Kweli kweli ni magumu

  • @husseinchai1133
    @husseinchai1133 ปีที่แล้ว +3

    kweli nomaah

  • @RobbyDejan1234
    @RobbyDejan1234 ปีที่แล้ว +1

    Dah! Mm ndo maana namuelewa sana yule mzee wa Kenya aliyowai kugombea nafasi ya urais Kenya na kuahidi akipata urais ataruhusu bangi kuwa zao la biashara kama tyson anaingiza 2 billions kwa mwezi kwa kuuza bangi maana yake kama serikali itaamua bangi kuifanya za la biashara kuingiza pato la taifa tutavuna pesa nyingi sana kwenye kilimo cha bangi kuliko kilimo changine chochote hapa tz …

  • @sturbbornvideoz8547
    @sturbbornvideoz8547 ปีที่แล้ว

    Ogopa mwanamke na pesa weuh!

  • @georgemassebu2083
    @georgemassebu2083 ปีที่แล้ว +5

    Mimi hapa nina laki nne tu na maisha yanatakiwa kwenda 🤣🤣 dah!

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌.

  • @flezzyroshan9380
    @flezzyroshan9380 ปีที่แล้ว

    Pesa n maua aah tena yauwa🙄🙏🙄🙄🤔

  • @joymkenya2359
    @joymkenya2359 ปีที่แล้ว

    Alikosea masharti 😂ya freemason

  • @emmanuelkhisa8453
    @emmanuelkhisa8453 ปีที่แล้ว

    Pitia frm 254🔥🔥

  • @TheMaster-gb8pz
    @TheMaster-gb8pz ปีที่แล้ว +3

    Duuuh kmb

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 ปีที่แล้ว

    Muendelezo

  • @user-vx6cx8dk1g
    @user-vx6cx8dk1g ปีที่แล้ว

    ati 50 Cent🤣🤣huyu anatafuta views

  • @guccij6236
    @guccij6236 ปีที่แล้ว

    50 Cent msanii wangu wa utotoni

  • @mkombozsanga
    @mkombozsanga ปีที่แล้ว +2

    Duh

  • @piusxinlv5958
    @piusxinlv5958 ปีที่แล้ว

    Jenafa bhna 🤧

  • @paulswai1237
    @paulswai1237 ปีที่แล้ว

    M nasubri story ya paul kagame kwa uref kabs

  • @pablobalondani2141
    @pablobalondani2141 ปีที่แล้ว

    tu ment ce de 50cent est ete un film

  • @juniorkalluvya3867
    @juniorkalluvya3867 ปีที่แล้ว

    50 cent hayuko broke fanya uchunguz then uanze kutalk

  • @victorbugobola2276
    @victorbugobola2276 ปีที่แล้ว +1

    Bongo bhna kwa maneno ya Kuambiwa. 50cent bado yuko poa sema naWw n sehem ya kutafutia pesa lkn mwamba bado pesa ipo..........ninacho amini Bongo ili utulend ongelea mambo ya ovyo ovyo kama mandonga kupigwa na kaoneka mandonga akatulend

    • @zaituniabbas2690
      @zaituniabbas2690 ปีที่แล้ว

      Uwe unasikiliza mpaka mwisho.
      Sio ku comment unavyojisikia

    • @victorbugobola2276
      @victorbugobola2276 ปีที่แล้ว

      Nkiskiliza ndo wakt kasema 50cent kafiliska achen maneno ya Kuambiwa

    • @zaituniabbas2690
      @zaituniabbas2690 ปีที่แล้ว

      Hivi unajua neno alifilisika kuw ni wakat uliopita au kiswahili sio lugha yako

    • @victorbugobola2276
      @victorbugobola2276 ปีที่แล้ว

      Mawazo yangu sio lazima yafanane na yako mameni

    • @shinemakenzi8101
      @shinemakenzi8101 ปีที่แล้ว +1

      Wew ni mbuz unaambiwa alifirisika lakini kwa sasa yuko vizur anafanya biashara wew unapuyanga lwako tu sijuwi elimu ya ngumbaru iko kwenye fuvu lako!!

  • @mussa4236
    @mussa4236 ปีที่แล้ว +4

    Bila shaka mm ndo kwaza kuona video hiii

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  ปีที่แล้ว +1

      Hujakosea wewe ni wa kwanza ndugu yangu.

    • @michezomixer7787
      @michezomixer7787 ปีที่แล้ว +1

      🖐️🖐️bongo fasta

  • @nicholassanga1446
    @nicholassanga1446 ปีที่แล้ว

    Foolish analysis

  • @DAMUSAFI
    @DAMUSAFI ปีที่แล้ว +4

    50 cent bado ni tajiri wa kutisha