Kwa kweli wananchi wengi mtaani tunaumia Sana Sisi wengine ni CCM lkn sasa tunaogopa hii ni shida no freedom Tanzania kuna nini lkn jamani ni akina nani wana roho ya kikatili hivi kwa kweli kama hawa watu wapo watoke akina soka Amani iwepo jamani dah inauma sanaa
Mungu wetu wa mbinguni wewe ndiye mtenda haki wa kweli tunaomba utulinde sisi wengine ni wanyonge hatuna namna ya kujitetea tunaomba ulinzi wako Mungu wetu. 😢😢😢😢😢😢
Like the bit behind the camera it flows with the temper of the speaker,Ina neutralize ukalii kwa mbalii..fact mbowe big up sana nafkiri ujumbe umefika kikubwa utekelezaji
Nchi yetu wenyewe tanaanza kuishi hatuna amani kabisa Mungu tunaomba msaada wako utulinde uisimamie amani ya nchi yetu na Umlinde mwenyekiti WA chadema Kwa dama Yako YESU wakipanga kumteka wakutane na Giza katika jina la YESU amen
Huyu mzee ni Muongo sanaaa wa Tanzania tuwe nae Makini sanaaa asije kutuharibia Tanzania yetu yenye Amani ni mtu mwenye uchu wa madaraka sanaa tuwe makini wa Tanzania tusiwakubari wachochezi kama hawa katika Taifa letu Mungu amlinde raisi wetu Mama samia suluhu Hassan tunakupenda sanaaa mama yetu ❤ ❤❤❤❤ nitailinda nchi yangu kwa gharama yoyote ile MAMA TUPO PAMOJA NAWE ❤❤🙏🙏💪
Tunaishi kwa hofu kubwa sana Hata tukiwa majumbani kwetu hatuna Amani tunahofia usalama wetu. Je vipi kuhusu usalama wa watoto wetu wakiwa mashuleni Mungu tunaomba ulinzi kwa ajili watoto wetu na wapendwa wetu.
Na ni Kwa nini Viongozi wa upinzani ususani CHADEMA tu ndio wanatekwa? Ni wazi kuwa Chadema inatishia Uhai wa Ccm 2025 ,sizingimzi kwasababu mm ni Chadema no mm ni CCM damdam lkn ujinga kama huu wa kuchezea,dharau ,puuzia Uhai wa mtu siridhii hata kidogo Umefikia wakati wananchi kuamua nani atawale na Kwa nini atawale. Tunahitaji ulinzi,USALAMA nasio amani ya maneno maneno
Kaka yangu katekwa Hapo dar es salaam na sehemu aliyetekwa Kuna CCTV camera LAKINI tulijaribu kutoa Tarifa KWENYE vyombo VYA usalama na gari ILIYO MTEKA tunayo namba ya usajili Tulienda kumuona MKUU WA wilaya PIYA na vitengo VYA UPELELEZI LAKINI hawakuajibika hadi Léo ni mwezi WA Tatu hatujuwi wapi alipo ndugu yetu JINA lake ni Faida John ISAYA
Mm sina laisi tangu lini nyumba akaitawala mwanamke nyumba baba naaya yote aliyataka magu ajaona makamo walaisi adi amchague mwanamke ona leo tunawindana wenyewe kwawenyewe inchi ishauzwa ii
Eee mungu naomba kwa jina la YESU KRISTO KWANI NDIO NAE MWANINI HASHINDWI NA KITU NAKUKUOMBA BABA MUNGU FANYA NJIA APATIKANE KIONGOZI MWEMA MWENYE MSIMAMO KAMA NYERERE JAMANI YUKOWAWAPI NYERERE MAAANA TUMERUDI UTUMWANI EE MWENYEZI MUNGU TUSAIDIE
Hakuna amanii hapa tz ni vile TU watu wanaumia kimyakimyaa ila ipo siku hii nchii itachangamkaa.. Moto utawaka apaa watu uvumilivu unawashinda asa ivii
Kwa sasa msimsingizie MH.Samia ache I uongo watu wanatekana Kwa mambo Yao binafsi sasa msijifanye mnatetea eti Rais ndio iliwateka sasa Rais anafanys mengi mzr mmeona hamna la kusema sababu mengi yanatekelezwa vzr. Mmeona uchaguzi ndio mnleta za uongo!!!hakuna nchi duniani watu wake hawakosi matatizo wacha kuwahadaa wananchi!!!!
Hivi wa TANZANIA tuna muomba MUNGU atusaidie bila ya sisi wenyewe kuanza kuji saidia chamsingi tuungane kwa pamoja tuache upimbi tupambane kwa jili ya vizazi vyetu sisi tumesha onja ladha ya maisha hii serikali yakifala
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu MWAMINI Yesu na UOKOKE na ulithi uzima WA MILELE na uende mbinguni.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Mbowe nakuunga mkono aise na mungu akulinde sana mbowe
Amina
Nasema sitokaa nipoteze muda wangu kwenda kupiga kura
Jamani wenzangu tuungane kwa pamoja hao tuwape hukumu yao kubwa 2025 tumlilie Mungu atusaidie Mpendwa Mbowe mungu akulinde kusema ukweli baba.
Amen
Kura nyng ztaharibika mximu ujao
Kwa kweli wananchi wengi mtaani tunaumia Sana Sisi wengine ni CCM lkn sasa tunaogopa hii ni shida no freedom Tanzania kuna nini lkn jamani ni akina nani wana roho ya kikatili hivi kwa kweli kama hawa watu wapo watoke akina soka Amani iwepo jamani dah inauma sanaa
Mwisho wa Dunia ni huu maana watu wanauwa watu Kisa kupandishwa mishahala mungu atusaidie kwakweli
Hii nchi unaisemea sanaa baba yetu mungu akupe nguvu ilaa tumechokaa na ccm
Asante mbowe mtetezi endelea kupambana na mungu akutangulia haya ni maisha tu kwanini tutekwe kwenye nchi yetu wenyewe mungu tusaidie
Mbowe asante kwakuongea ukweli
Huu niukweli asilimia 100%
Katiba mpaya ni sasa watanzania amkeni
🫴
Mbowe baba like
Rest in peace MAGUFULI
Mungu wetu wa mbinguni wewe ndiye mtenda haki wa kweli tunaomba utulinde sisi wengine ni wanyonge hatuna namna ya kujitetea tunaomba ulinzi wako Mungu wetu. 😢😢😢😢😢😢
Mungu kilinde kizazi bora kijacho 🙏🙏🙏🙏
Kwel kabsa anazungumza ukwel mwenyez mungu amlinde na amsimamie 🙏
MUNGU ajawaiacha damu ya mtu ikamwagika bulee
Hakika Mungu yupo italipwa
Like the bit behind the camera it flows with the temper of the speaker,Ina neutralize ukalii kwa mbalii..fact mbowe big up sana nafkiri ujumbe umefika kikubwa utekelezaji
Dah kama sipati picha ,wala kuamini kinachotokea ,ila nasimamisha Duaa Allah atende haki yakile kinachotokea ,Amiin
Siku zote Allah ni mtenda haki hamdhulumu mtu
Da inauma unajuwa
Tusaidie bab mungu akulinde akupapnie ata akikutumia wat mungu awe nawew unatutetea sana mungu akutie nguv naujasir
Hakuna kitu kinaogopesha kama kutojisikia salama ndani ya nchi yako!
Uko.sawa kabisa watoto wetu wanaisha
Mungu azidi kukupingania mbowe
Nchi yetu wenyewe tanaanza kuishi hatuna amani kabisa Mungu tunaomba msaada wako utulinde uisimamie amani ya nchi yetu na Umlinde mwenyekiti WA chadema Kwa dama Yako YESU wakipanga kumteka wakutane na Giza katika jina la YESU amen
Jaman mbowe sio kichaa kuyasema haya inauma sana tunapoona watanzania wezetu atuwaoni
Dhuu! tanzania sio tanzania tena ile misemo ya kusema mama hawez endesha nchi ndio inatimia
Wameanza nao wanapeana sumu lakin wanakmbilia south aflika kutafta tiba watanzania wanyonge wanauawa kama mbwa ee mungu tusaidie
Me team mbowe full ni strong
Narudia tena,, Mbowe ndio mtetezi wa wanyonge Tanzania. You are our president
Nimependa Leo umeongea fact sana ding
mungu heweke mkono wake me sipotezi muda kupiga kula
Eee mwenyenzi Mungu itetee Tanzania 🇹🇿 yetu na watu wake Amen 🙏
Mbowe mungu akutunze naakufunike Kwa damu yake
Huyu mzee ni Muongo sanaaa wa Tanzania tuwe nae Makini sanaaa asije kutuharibia Tanzania yetu yenye Amani ni mtu mwenye uchu wa madaraka sanaa tuwe makini wa Tanzania tusiwakubari wachochezi kama hawa katika Taifa letu Mungu amlinde raisi wetu Mama samia suluhu Hassan tunakupenda sanaaa mama yetu ❤ ❤❤❤❤ nitailinda nchi yangu kwa gharama yoyote ile MAMA TUPO PAMOJA NAWE ❤❤🙏🙏💪
Kuna maisha baada ya apa duniani, mim niko na mbowe sio na madudu hayo
Tunaishi kwa hofu kubwa sana
Hata tukiwa majumbani kwetu hatuna Amani tunahofia usalama wetu.
Je vipi kuhusu usalama wa watoto wetu wakiwa mashuleni Mungu tunaomba ulinzi kwa ajili watoto wetu na wapendwa wetu.
Enough is enough......
Mama samia tunaomba Mungu akupe hekima. Mbowe anapigania maisha ya wanyonge. Tunaomba kweli na haki ipatikane
Mwenyezi Mungu akulinde sana baba mbowe tunapitia magumu sana watanzania
Ana loho mbaya huyu mama mungu jukum kati yake naloho anazopoteza
Ngoja upotee
Wee mwachee
Kweli baba sema
Inaumiza vibaya mno sema tu lakufanya limefichika,ee mungu tunusuru sisi wanao dhidi ya hawa maharamia,hii ni zaidi ya dhuluma ya wazi kabisa!
Naomba nisaidiwe jamani nipate hyo nyimbo inayo piga ndani 😭😭
huu mfumo wa jeshi la polisi lifumuliwe lipangwe upya hii ni hatari alafu tunajidanganya eti inchi iko salama hawa wanaye potea ni kuku?
Mungu alinde chadema❤
🙏🙏🙏mungu akutangulie
Wakati wa utawala Idi Amin, hawakuitwa usalama wa taifa,waliitwa kikosi cha mauwaji cha Ndulii
Duhh hatari sana kinachosikitisha zaidi ni kwanini wanatekwa watu wa upinzani tu? Kuna nn Tz
Hata mmi jamani inaniuma sana kwanini ni waupinzani tuu...na wakati kuna watu wanafanya ualifu tena wakikatili lakini wako huru.
Allahu akbaru
Madaraka madaraka mungu anakuona madaraka
Uoga we2 naupumbavu wawatanzania hakinasisi tumebeba vichwa2 maskin waakir sis
Chadema tunanyanyasika mungu yupo atatulinda😢😢😢Sema wimbo unaosikika naupenda na Sjui ameimba nani
🇲🇿mzee umesema ukweli
Nikweli nibola ukae kimya maana kichwa kisichonaakili nimzigo kwashingo
Drama nawatu wanauliwa hivi mungu atusaidie kwakweli yaan mauaji yamezidi mungu awahukumu .
Mim siku moja natamani nukutane na huyu samia jamani maan daah tunaumia sana sisi wana nchi mbowe anasema kweli jaman mungu akutangulie
Uyu pia Samia afai.kuongoza Tanzania yetu
Unafaa wewe
Magufuli pia ulisema hafai, au umesahau!!????.
Wewe mjinga ongoza wewe.chogo.
😂😂😂😂 acha makasliko @@AbdallaJuma-tx5ck
Wewe ndio mjinga machogo sio wazamzibar machogo watanganyika.samia hafai mueke mama Yako.
Amna kiongozi
Mtakumbuka sana magufuli sana ni Kwa sababu mlikataa corona na sasa munalipa fidia form Mozambique 🇲🇿
Huo utekeji kipindi cha Magufuli ndo ulishamiri zaidi kuliko sasahivi,nahili jambo la utekaji halihusiani kabisa na kukataa Corona
Wanawateka wtu itakua raisi kapewa dili la figo lkn ndo hvyo wapinzani ndo wanatolewa makafara
Baba utajichosha kuongea bora unyamaze tu kwa sababu nina uhakika mtu akipotea uwakika wa jeshi letu kumpata ni mkubwa sana bali tu tumwachie mungu
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Wambie ukweli na msema ukweli mpenzi wa mungu na kila nafusi itaonja mauti niwakati 2 😢😢😢
Amina
We baba mungu akulinde jmn wasije wakakuua t kwa kusema ukweli Mungu mlinde huyu baba
Namkumbuka sana babaangu magufuli😭😭
Na ni Kwa nini Viongozi wa upinzani ususani CHADEMA tu ndio wanatekwa?
Ni wazi kuwa Chadema inatishia Uhai wa Ccm 2025 ,sizingimzi kwasababu mm ni Chadema no mm ni CCM damdam lkn ujinga kama huu wa kuchezea,dharau ,puuzia Uhai wa mtu siridhii hata kidogo
Umefikia wakati wananchi kuamua nani atawale na Kwa nini atawale.
Tunahitaji ulinzi,USALAMA nasio amani ya maneno maneno
Kama, vp nchi hiuzwe kila mtu afe na chake tugawane mali..huu ni use......✌️✌️✌️chukuweni madaraka. Chadema. Tuwa tese.
Bunge tunawachagua kisha mnatugeuka mnakwenda kuinda sheria kandamizi namna hii looo!!!
Kusema ukweli hakuna bunge hapo ni bunge la mchongo
na mwaka hu bungeni siwafichi tuwajaze chademaaa
bungeni tukiwajaza chadema patachamgamka bunge litakuwa la moto sasa tuamasishache mbunge wa cc asikanyage bungeni mwaka unaokuja
Kwa hili tu linasononesha sana mngewasomea mashitaka basi muwafunge lakini hivi italeta shida Haya machozi haya.....mmmh
Kaka yangu katekwa Hapo dar es salaam na sehemu aliyetekwa Kuna CCTV camera LAKINI tulijaribu kutoa Tarifa KWENYE vyombo VYA usalama na gari ILIYO MTEKA tunayo namba ya usajili
Tulienda kumuona MKUU WA wilaya PIYA na vitengo VYA UPELELEZI LAKINI hawakuajibika hadi Léo ni mwezi WA Tatu hatujuwi wapi alipo ndugu yetu
JINA lake ni Faida John ISAYA
Polen sana, Mungu awe mtetezi wake huko aliko hatimaye apatikane akiwa salama
Kiukweli kusema drama wakati watu wana tekwa na kuuawa alikosea xana japo ccm wana jiona hawaja wai kukosea
Anasema ni drama kweli si mnatekwa na kuuawa na watanganyika wenzenu yeye mzanzibara asemeje wakt Zanzibar iko salama
Kweli hatari
Sheria nyingine zinazopitishwa na bunge la ccm ni za hatari sana
EE MUNGU TUSAIDIE
FT
True
Nkweli kabsa
❤ahsante baba ukweli kabisa
Naam
Kutoka 15:3🙌🙏
Hivi kwanini wanatekwa jamani rais apungeze speed na chama chake ili watu wasalimike
Nakukubari baba ongea baba nihaki yako
Wa kwanza kukamatwa ni huyo huyo mama samia.
Inauma sana
Mm sina laisi tangu lini nyumba akaitawala mwanamke nyumba baba naaya yote aliyataka magu ajaona makamo walaisi adi amchague mwanamke ona leo tunawindana wenyewe kwawenyewe inchi ishauzwa ii
Mmm 5 tenaaa
Hao ni majambazi basii,naitakuwa wanalipwa mshahara nananii sasa, mwenye nchi ajidai hajui
Anayajua yte anajitoa ufahamu tu mtu mzm kishet
Haya Maisha kama tupo Congo Vitani Usi Jione Upo Salama haujui kesho yako
Kisema ukwell hiii nchii dar Mungu atusaidie
Eee mungu naomba kwa jina la YESU KRISTO KWANI NDIO NAE MWANINI HASHINDWI NA KITU NAKUKUOMBA BABA MUNGU FANYA NJIA APATIKANE KIONGOZI MWEMA MWENYE MSIMAMO KAMA NYERERE JAMANI YUKOWAWAPI NYERERE MAAANA TUMERUDI UTUMWANI EE MWENYEZI MUNGU TUSAIDIE
Inauma sana,nchi tunayojua ni nchi ya aman tunafanyiwa hivyo,kwenye nchi yetu,mungu yupo❤❤❤
Hakuna amanii hapa tz ni vile TU watu wanaumia kimyakimyaa ila ipo siku hii nchii itachangamkaa..
Moto utawaka apaa watu uvumilivu unawashinda asa ivii
Da inauma sana 😢 😢😢 Tanzania 🇹🇿 nchi yangu mambo gani mnayo ya fanya viongozi da 😢😢😢
Uko sahihi mzee wang tumechoka kupelekwa kupelekwa na huyu mama
Ta nzania rais wetu alikua jembe wetu magufuri, ila kwa sasa Bado hatujaona
Kweli kabisa hapo wamekuelewa
Mwenyezi mungu ipo siku atawazalilisha tu kwani yeye ndie mtendaji mkuu kwetu
Mda mwingine umakini unahitajika sana kwakweli 😢
Kwa sasa msimsingizie MH.Samia ache I uongo watu wanatekana Kwa mambo Yao binafsi sasa msijifanye mnatetea eti Rais ndio iliwateka sasa Rais anafanys mengi mzr mmeona hamna la kusema sababu mengi yanatekelezwa vzr. Mmeona uchaguzi ndio mnleta za uongo!!!hakuna nchi duniani watu wake hawakosi matatizo wacha kuwahadaa wananchi!!!!
Daaaaaah
Mungu atasimama
Hivi wa TANZANIA tuna muomba MUNGU atusaidie bila ya sisi wenyewe kuanza kuji saidia chamsingi tuungane kwa pamoja tuache upimbi tupambane kwa jili ya vizazi vyetu sisi tumesha onja ladha ya maisha hii serikali yakifala
Mmmhhh😢😢😢😢😢
Nikweli kabisa🎉🎉🎉🎉
Na wahalifu pia watateka watu kwaajili ya kumchafua rais wetu ila Allah atabainisha haki
Kweli jaman mjomba wangu walimteka wasenge hao
hapo kwenye msaada yupo sahihi, afya kwanza mengine yafuate
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu MWAMINI Yesu na UOKOKE na ulithi uzima WA MILELE na uende mbinguni.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
muhshimiw nimekupa San ukweli tunanyanyasika atuna pakusemea