Women Matters (PT 3): Mwanamke ukitongozwa, uchukue muda gani kumkubali Mwanaume? Unaweza kumuanza?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024
  • Kutongozwa ni kitu ambacho mwanamke hawezi kukiepuka. Lakini iwapo mwanaume aliyemtongoza amempenda, achukue muda gani kumkubali? #WomenMatters imeliweka mezani kulijadili

ความคิดเห็น • 87

  • @cmoshi7014
    @cmoshi7014 5 ปีที่แล้ว +15

    Jamani hapo wanawake kutongoza embu muwaeleweshe, wahakikishe wanatongoza bachelor na sio kutongoza waume za watu. Washindwe kwa jina la YESU!

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 5 ปีที่แล้ว +6

    Wakina dada tujitambuwe
    Ahsante WOMEN MATTERS

  • @RonnieBertin-f7f
    @RonnieBertin-f7f 5 หลายเดือนก่อน

    THE PAIN OF CHASIN I LIKE THAT

  • @stylinconceptkenya1160
    @stylinconceptkenya1160 5 ปีที่แล้ว +3

    Habari zenu wa mama zetu hii show imekuwa kali sana natamani nikuje tupige mjadala pamoja nimefurahi pia sisi tunaweza towa mambo mazuri hapo

  • @mauwabijoux6966
    @mauwabijoux6966 5 ปีที่แล้ว +6

    Jamani wamama zangu najutiya nafsi yangu sana tena sana mungu nisaidiye naskia moyo wangu unavuja uchungu ila kwahili somo nachukua fursa hii niyifanyie kazi mungu niwezeye nipate ufahamu zaidi na hekma amiinaaa

  • @beatricemaro7194
    @beatricemaro7194 5 ปีที่แล้ว +2

    Waaaaaaooooh woman matters ni motoooo hongereni nawafatilia sanaa

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 5 ปีที่แล้ว +4

    Mama Terry schikamooo uko super

  • @bahatimsingwa9123
    @bahatimsingwa9123 5 ปีที่แล้ว +2

    Napenda sana hiki kipindi! Najifunza mengi mno! Mbarikiwe sana

  • @mbonimpamamy7141
    @mbonimpamamy7141 5 ปีที่แล้ว +2

    mmetisha sana mama zangu nawapenda mie😍😍😍😚

  • @najma3268
    @najma3268 5 ปีที่แล้ว +1

    Wamama nyie ni konki , Mashaallah Allah awaweke inshaallah

  • @rizikshabani7243
    @rizikshabani7243 5 ปีที่แล้ว +1

    Sawa mama Terry Leo umenimalizaaa

  • @mynameisindicated
    @mynameisindicated 5 ปีที่แล้ว

    Nyie wanawake mungu anawaona. Yaani tuwe kama Swala? Aya Bwana. Mi nilikuwa kama Swala pia.

  • @خسنموس
    @خسنموس 5 ปีที่แล้ว

    Mama zetu mnajua sana mmeongea point nmefurai kuongelea masuala ya maisha tunayopitia asa vijana wa leo,Thanx sns kwa elimu.

  • @rahillhamidu2544
    @rahillhamidu2544 5 ปีที่แล้ว +2

    Uku mambo ni nouma, mama Terry kiboko

  • @jumajumma1930
    @jumajumma1930 5 ปีที่แล้ว

    Shukrani wakina mama

  • @naimabruno1351
    @naimabruno1351 5 ปีที่แล้ว +1

    Mama Terry 🙌

  • @ramadhanismayoga1068
    @ramadhanismayoga1068 5 ปีที่แล้ว +1

    Yani mimi nafuatilia umbea siku zote ila nimewasikiliza leo sijutii kuwasikiliza nawapenda sana mama zangu

  • @happinessndunguru5155
    @happinessndunguru5155 5 ปีที่แล้ว

    Amennnnnnnnnnn mbarikiwe mnooo

  • @aminaabdiabdi7112
    @aminaabdiabdi7112 5 ปีที่แล้ว

    Mashaallah nice mama teri

  • @coco-hj4iw
    @coco-hj4iw 5 ปีที่แล้ว +4

    I like the show but can you please talk one by one sometime hatuasikii mzuri because mnaongea same time. This show has changed my life 👍👍👍

    • @innallahmaaswabirin293
      @innallahmaaswabirin293 5 ปีที่แล้ว +1

      To talk one by one can't be easy cz they are only ladies unless there could be atleast one man. That is is the nature of life

    • @coco-hj4iw
      @coco-hj4iw 5 ปีที่แล้ว

      Innallah Maaswabirin hahahaha

  • @binthassancollection.6308
    @binthassancollection.6308 5 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana wamama mko juuuuuuuu

  • @bettybetty3518
    @bettybetty3518 4 ปีที่แล้ว

    Hahahaha namba ya simu?......
    sawa sawa nice one hata mimi ninasitaaga sana 🤔😂

  • @lucyjohn7904
    @lucyjohn7904 5 ปีที่แล้ว +1

    Mama Kaisi nimekupata

  • @fatumamagoma6914
    @fatumamagoma6914 5 ปีที่แล้ว

    nawapenda sana mungu awabariki zaidi

  • @upendombwilo1930
    @upendombwilo1930 5 ปีที่แล้ว

    Nampenda mama kaisi

  • @bintiannar6845
    @bintiannar6845 5 ปีที่แล้ว

    Eeeh mama kaisi unaongea point na hisia

  • @jaclinejoseph4842
    @jaclinejoseph4842 5 ปีที่แล้ว

    Mama kaisi upo vzr mama

  • @kaysamson1167
    @kaysamson1167 5 ปีที่แล้ว

    Mama kaisi nimekuelewa Sana Ni kweli siku his vifo vimekua vingi

  • @lilianleonard8106
    @lilianleonard8106 5 ปีที่แล้ว +2

    Mama Terry muhuni sana weweee 🤣🤣😂😂🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️ ndio mambo gani unatufundisha mapaka shume 🏃‍♀️🏃‍♀️😂😂

  • @lizzyshoo8084
    @lizzyshoo8084 5 ปีที่แล้ว

    Waaaaooo what is amaizing lesson 😘😘😘😘

  • @amanially8866
    @amanially8866 4 ปีที่แล้ว

    Kipind hichi nilipidena hasa mada hii inayoongelewa lili"huyo kanikosa hyo kaniposa"

  • @deusmauka9626
    @deusmauka9626 5 ปีที่แล้ว +2

    Wakitongozwa tu njaa inaanza kuwauma, kuomba omba hela, shida kibao, ovyooo.

  • @Dm-yd1tl
    @Dm-yd1tl 5 ปีที่แล้ว +2

    Et tengeneza mazingira Mtoto wakike vp

  • @benysamwellaw4313
    @benysamwellaw4313 5 ปีที่แล้ว

    Duuuh Ni zaidi ya elimu

  • @mgenisalim6947
    @mgenisalim6947 5 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda nyote jamani frm kenya😘😘😘

  • @fatmajumapili8918
    @fatmajumapili8918 5 ปีที่แล้ว +1

    Mamaaaa Terry😙😙😙😙😙

  • @ukhtyzainab7254
    @ukhtyzainab7254 5 ปีที่แล้ว

    Jamani part 2 siioni

  • @priscillaamossen8249
    @priscillaamossen8249 5 ปีที่แล้ว

    Mama zangu mmeongea ❤️🙏🏽

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 5 ปีที่แล้ว +4

    Bora mmeongea yeah Mwanamke anatongoza tena vizur tu🤣🤣🤣 wengine Eti oooh unajishushaa🙄 unajishusha my🦶

  • @mwaminindayishimiye4434
    @mwaminindayishimiye4434 5 ปีที่แล้ว

    Nice show😃😃😃😃😃👍👍👍👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌

  • @winfridaw.mwashala289
    @winfridaw.mwashala289 5 ปีที่แล้ว

    MaMa Terry! Wooow! Where were you?

  • @leylahley3542
    @leylahley3542 5 ปีที่แล้ว +1

    Kiroho mbaya hivihivi😀😀mama Terry....

  • @sharonndowo6922
    @sharonndowo6922 5 ปีที่แล้ว +1

    Mama Deborah unasisitizaga jamani

  • @ibinkalusejuma9282
    @ibinkalusejuma9282 5 ปีที่แล้ว

    Hongereni ila nimechokiona tu nikuwa mnawajua wanaume kwa asilimia 25 tu. Sisi tupo na mbinu nyingi sana kikubwa Mungu atufanye tuwe wakweli tu tuache usanii kwa wasichana kwani nasi ndugu zetu na watoto wetu watakuja kufanyiwa hivyo sijui tutajisikiaje.

  • @melangongo2829
    @melangongo2829 5 ปีที่แล้ว

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @niffernurdin2586
    @niffernurdin2586 5 ปีที่แล้ว

    Mama terry 🔥😍

  • @deusmauka9626
    @deusmauka9626 5 ปีที่แล้ว

    Nimempenda mtu mzima hapo, anavutia sana. 😂😂😂😂😂😂

  • @claramkisi5268
    @claramkisi5268 5 ปีที่แล้ว

    😂😁😀Hakili na Mahalifa

  • @RonnieBertin-f7f
    @RonnieBertin-f7f 5 หลายเดือนก่อน

    KITU KIMOJA KINANIHUDHI NA LILIAN HATAKI KUSIKILIZA

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️

  • @williamkimaro1597
    @williamkimaro1597 5 ปีที่แล้ว

    aise kizazi cha pakashume unapanda bodaboda mwenyewe hadi unaingia room kwake unamkuta kaa anakusubiri

  • @azizakwileka1686
    @azizakwileka1686 5 ปีที่แล้ว

    😍😘😘

  • @geoffreychurchkayora1230
    @geoffreychurchkayora1230 5 ปีที่แล้ว

    HAYO YOTE MMEONGEA NI KWELI LAKINI KUNA WALE AMBAO WAMETONGOZANA WAKAKUBALIANA KUJA KUISHI PAMOJA NA MAMBO KWAO YAKAWA MAZURI LAKINI WAZAZI(WA MMOJA) WANAKUJA KUKATAA KWA MISINGI YA KABILA

  • @leilainnocent6532
    @leilainnocent6532 5 ปีที่แล้ว +3

    Kama mwanaume hana hela ya kukupeleka hotelini?

  • @agathathobias8690
    @agathathobias8690 5 ปีที่แล้ว

    Mi nilkuwa km swala

  • @ronniebertin3563
    @ronniebertin3563 ปีที่แล้ว

    Myauuu 👿😈

  • @ashuraussein7582
    @ashuraussein7582 5 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂Nic

  • @bintiannar6845
    @bintiannar6845 5 ปีที่แล้ว

    No ya simuuuuuu🤣😂🤣🤣

  • @jacksonmishwaro3638
    @jacksonmishwaro3638 5 ปีที่แล้ว +1

    kwa hiyo mnawafundisha watunyime sio....ha..ha..na kwa jinsi mlivyo wengi duniani wala hatuna muda wa kuwafukuzia mda mrefu......tunatafuta hela kwanza mtajileta wenyewe tu

    • @kisarejoshua3282
      @kisarejoshua3282 5 ปีที่แล้ว

      😁😁😁😁😁😁😁nakuunga mkono mkuu

    • @aminaabdiabdi7112
      @aminaabdiabdi7112 5 ปีที่แล้ว

      Hahahah....

    • @jacksonmathayo6510
      @jacksonmathayo6510 5 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabsa my wajina hatuna uwo muda hasa kwa nchi hii ya Tanzania watasubiri kidogo me zangu mambele tu

    • @belindagiliard8977
      @belindagiliard8977 5 ปีที่แล้ว +2

      You will get your type.
      Tumeolewa na heshima zetu, tena tunaheshimiwa Sana

  • @roselaurence1093
    @roselaurence1093 5 ปีที่แล้ว

    Mama terry my ribs 😂😂😂😂 ulipataje namba yake ya simu?! Mpaka ukaiwrong?! 🤣🤣🤣🤣

  • @estherpetza5236
    @estherpetza5236 5 ปีที่แล้ว

    mama terry though 😂😂😂

  • @valentinemtei2927
    @valentinemtei2927 5 ปีที่แล้ว

    Siku hiyo hiyo mimba,

  • @mauwabijoux6966
    @mauwabijoux6966 5 ปีที่แล้ว

    Samahani wamama je naweza pata number za Whatsapp kama munazo naomba ju nahitaji kuzungumuza kwa kirefu nakama kunauwezekano sijui kama naweza kuandika yangu ya Whatsapp yangu naomba samahani

  • @wahidawahida6675
    @wahidawahida6675 5 ปีที่แล้ว

    Mama tery nataka namba yako wsp

  • @OmanOman-gc1zu
    @OmanOman-gc1zu 5 ปีที่แล้ว

    sorry rong number 😂😂😂😂

  • @RonnieBertin-f7f
    @RonnieBertin-f7f 5 หลายเดือนก่อน

    KITU KIMOJA KINANIHUDHI NA LILIAN HATAKI KUSIKILIZA

  • @agathathobias8690
    @agathathobias8690 5 ปีที่แล้ว

    Mi nilkuwa km swala

    • @stevenngaitv7001
      @stevenngaitv7001 5 ปีที่แล้ว

      Lakini mwisho ukawindwa😄😄😄

    • @agathathobias8690
      @agathathobias8690 5 ปีที่แล้ว

      @@stevenngaitv7001 hahaha kwa shiiiida sana

    • @marysamki7369
      @marysamki7369 5 ปีที่แล้ว

      nawapenda mungu awabariki