TUNAISHI KINYUME NA MPANGO WA MUNGU MWAKA HUU 2024 MATESO YATAKUWA MAKUUUUBWA SANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ม.ค. 2024
  • Video from Nabii Eliya Ilyaas

ความคิดเห็น • 25

  • @JoJo-xh7ph
    @JoJo-xh7ph 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi ni mkatholic kindakindaki lakini huyu nabii Eliya nahisi kuna ujumbe amepewa na Mungu kufikishia watu wake wanaoangamia kwa kukosa maarifa. He is very good in delivering his message and his message is pure and true.
    Naomba uendelee hivyo hivyo na Mungu akulinde maana mwanadam hataki kuijua kweli na ukimwambia ukweli anakuona adui yake

  • @barakayohana5685
    @barakayohana5685 6 หลายเดือนก่อน +3

    Nimeanza kukufatilia siku nying ila leo umetoa kitu kikubwa sana mwenye akili atabadilika barikiwa sana mtu wa Mungu

  • @erickrakitic9113
    @erickrakitic9113 6 หลายเดือนก่อน +3

    Asante sana mtu wa MUNGU, lakini siku hizi upo kimya sana.

  • @jacksonsolomon8701
    @jacksonsolomon8701 6 หลายเดือนก่อน +1

    ahsante sana nabii nakuelewa sana naomba uendelee kupost mafundisho ili tuzidi kujifunza kila siku.

  • @juliusdominic-uk4bu
    @juliusdominic-uk4bu 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amina mtume

  • @moshinyashebo7981
    @moshinyashebo7981 6 หลายเดือนก่อน

    Sio watu wote wanaishi kinyume wapo wanaomcha mungu na hawatapata shida unabii hutanguka kwa maombi ya urejeo wa mtu binafsi na ndio neema ipo kumsaidia mtu

  • @ibrahimnaftar9037
    @ibrahimnaftar9037 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona saizi haupost vitu nabii wala hauendi live TH-cam?

  • @MagutaMabawa-hz7if
    @MagutaMabawa-hz7if 5 หลายเดือนก่อน

    Asa nabii ELIYA, mbona umetutoa kwenye group lako ? Sisi ambao hatuna Hela ya kulipia group tunafanyeje xaxa wakati hii ni kazi ya Mungu , mmepewa bure Toeni bure 🙏

  • @user-ls1es8sd1s
    @user-ls1es8sd1s 6 หลายเดือนก่อน

    Akika wew nimtu wa mungu ume ona kiri cho fichwa nme kupata vizuli sanna Apo kwenye dini ndipo wanapo tu umiziA tuna zidi kuwa wajinga viongozi wenye utu nakuji tambuA Wana pote zwa Awa malizi mda wao wana tufanya wa jinga kabisa Awa kiu kweli ime fika muda mungu Ata wao nesha kitu

  • @user-xs9li8yh6y
    @user-xs9li8yh6y 6 หลายเดือนก่อน

    JESUS CRYSTAL UNAMUITAJE?

  • @kamandashupavu206
    @kamandashupavu206 6 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji kujua lilipo kanisa lako

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe unamtaja yesu kanani? Mamlakahiyo umepewa nanani we ni sheirh wa kislamu wewe ungepambanatu na hiyo qurani Yako haaaa hhaaaa eti kumbe hata shetani alisilimu

    • @wazirimakua12
      @wazirimakua12 6 หลายเดือนก่อน

      Huyu kwenye uislamu hayupo.. Kama na huko pia hayuko basi ana dini yake huyu.. Analeta mseto.. Haipo hiyo. Kila dini ina misingi yake na haziwezi kuwa moja.. Sasa huyu anataka kuchanganya watu wasiojua uelekeo ili awapoteze kwenye dini yake mpya

  • @Am-vo5cu
    @Am-vo5cu 4 หลายเดือนก่อน

    Listen to this preaching very careful - it is not taught in any bchurch

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 6 หลายเดือนก่อน +1

    Majuzi kulikuwa na mdaharo kati ya Dr. Sule na Pastor Ndacha, Dr. Sule na Waislam wenzake walikuwa na hoja kwamba biblia si kitabu cha Mungu, wewe unasoma biblia Mwa. 1:26 na kujenga hoja ya somo lako. Unaiamini biblia wewe kama Muislam?

    • @imranjuma1197
      @imranjuma1197 6 หลายเดือนก่อน

      Acha kufananisha Roho ya Elimu na vitu vya hovyo🚮 huyu ni Nabii wa Mungu kama akili yako inafanya kazi vizuri ilitakiwa ujaji kitu kile anacho kisema sio kumfananisha na walimu wenu wa vyowo vya Biblia

    • @georgepewa9624
      @georgepewa9624 6 หลายเดือนก่อน

      Wote hao ni waislam kwahiyo hakuna mdaharo hapo

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@imranjuma1197nabii gani huyu tapeli keshavurugwa akili kisa misada ya kanisa . Hanamvuto tena na nuru usoni 😂😂😂😂

    • @wazirimakua12
      @wazirimakua12 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@imranjuma1197 wewe pia kasome uislam.. Nabii wa mwisho ni Muhammad Swallallahu alayhi wa salaam.. Yeyote atakayejiita nabii baada ya nabii wa mwisho katika uislam basi huyo si muislam

    • @wazirimakua12
      @wazirimakua12 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@imranjuma1197 Uislam hautambui huyu.. Labda kama wewe na yeye mna dini yenu mpya tofauti na uislam ila huyo sio muislam... Anachanganya bible na quran... Kila kitabu kina waumini wake... Kila mtu abaki na dini yake.. Kama uongo atajua yeye.. Kikubwa ni kwamba watu wazidi kusoma kwa mwenye nia ya kuujua ukweli.. Na ukiujua ukweli basi acha kebehi kwenye dini za wengine...
      Yeyote anayejifanya kuchanganya quran na bible katika mafunzo yake huyo si muislam ila anatengeneza dini yake