MASWALI NA MAJIBU // Pr. PAUL SEMBA // 🔴LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ก.พ. 2024
  • Tupo MBASHARA kutoka hapa Kanisa la Waadventista wa Sabato DODOMA KATI

ความคิดเห็น • 28

  • @AmossuleimanKijason-tn5wm

    Mungu akubariki sna mtu wa mungu maana mmi huwa unibaliki sna ipo sku nitakuwa kama ww

  • @bamag-021

    Barikiwa pr

  • @user-du2ug1wd7s

    Mungu akubaliki pr

  • @stephanomuganga9872

    Pr. Semba, ubarikiwe sana Kwa ujumbe makini wa kumtegemea Mungu Kwa njia ya neno lake kujibu maswali ktk siku ya Sabato hapo Dodoma...

  • @jdm1459

    Namshukuru Mungu nimejifunza kitu ambacho nilikuwa sijui ,ubarikiwe sanaa pastor

  • @JacquelineMahumbe

    Be blessed pr

  • @user-oz2vx7ul9u

    Hakika

  • @samsonelisha388

    Pastor naomba izo mada za maisha ya kikristo natamani kuzifahamu hasa kusuka na kuna mafungu yanakataza kuwasha moto siku ya sabato, naitaji msaada wa uelewa huo Ahsantee pastor

  • @alicenyakawa2449

    May God bless your effort you have to educate Christians about Godliness of guiding to walk in peace with God

  • @Nyanda_Jr

    Pastor Mungu azidi kukuinua. Lile Neno WATUBIDISHA umelivunja kiyunani mara tatu na hubiri lote likakaa hapo ubarikiwe sana. Nimejifunza kuwa huwa tunasoma maandiko juu juu tu.

  • @user-fd8kx7ml6e

    Mze semba hapo kwa mjane wa serepta sijaelewa ulivojibu haswaa..rudia

  • @truthlightmedia

    Swali namba 05 umunibariki ulilivyo lijibu

  • @gloriamasaka7635

    Nimebarikiwa sana Mchungaji yaani maswali haya ni mbaraka sana kwangu, ni kama Randy Skeete na Doug Batchelor ulimwengu wa Kingereza wanajibu maswali ambayo yamenitatiza na mengine watu wananiuliza napatia humo, ubarikiwe sana

  • @Truegospelchannel1

    Tunatazama kutoka Nyamaraga west SDA CHURCH Isbania Kenya

  • @jamesimanwel5089

    Sauti Ipo chini mtumwa wa Bwana

  • @zephaniasangala4275

    Pastor nakuombea sana na hogera kwa kazi kubwa.

  • @biblianabibliapekee8113

    We love you pr❤❤