MAFUNDISHO SAHIHI KUHUSU KITABU CHA UFUNUO WA YOHANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • Watu wengi wanafikiri kitabu cha Ufunuo ni unabii wa mambo yanayokuja kutokea bali ufunuo ni kufunuliwa yaliyofichika hivyo unahitaji kujua kanuni sahihi za kufasiri Biblia ili uweze kujua mambo mengi ndani ya Biblia.
    ..........................................................................................................................................................
    Many people think that the book of Revelation is a prophecy of things that are going to happen, but revelation is the revelation of what is hidden, so you need to know the correct principles of interpreting the Bible so that you can know many things in the Bible.
    #bibleknowledge
    #nenolamungu
    #kingdomphilosophy
    #bible

ความคิดเห็น • 84

  • @StephenNdyamukama
    @StephenNdyamukama 7 หลายเดือนก่อน +3

    Pole sana Mtumishi wa Mungu unaitaji kujifunza tena

  • @NicksonMnasa
    @NicksonMnasa 5 หลายเดือนก่อน +2

    MUNGU wa mbinguni akutunze Baba ninapenda sana kujifunza kutoka kwenu nipate na Mimi kuwaachia kizazi kijacho injili halisi kabisa

    • @ZephaniaMwalusambo
      @ZephaniaMwalusambo 2 หลายเดือนก่อน

      Nimefurahi kusikia kutoka kwako, pamoja na kuwa nimechelewa sana kujibu comment yako, ubarikiwe!

  • @GraceSambula
    @GraceSambula หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mutu wa Mungu

  • @joshuaedward275
    @joshuaedward275 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mengi Sio kweli lakini umenifikirisha nimeingia kusoma zaidi
    Nakushukuru

  • @NanahJadili
    @NanahJadili หลายเดือนก่อน +1

    Mtuuu Ana unanganisha unganisha vifunguu ili awa changanyee zaidiii hao mashaid wawilii watakuja ndio na Wata uwawa na baada ya ya siku tat nanusu Wata uwaaa jamn angalien msije mkajichanganyyaaa

  • @StephenLewanga
    @StephenLewanga 7 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa mtumishi kwa ufafanuzi mzuri, songa mbele.

    • @ZephaniaMwalusambo
      @ZephaniaMwalusambo 2 หลายเดือนก่อน

      Nakushukuru kwa kuuelewa ukweli, ubarikiwe na Bwana!

  • @GOSPELLAND.ONESMO
    @GOSPELLAND.ONESMO 6 หลายเดือนก่อน +1

    Na usichangaye neno na akili ata vyuo ivi vingaliwe mitaala yao itakuwa inashida adi wapentecost hii ni hatali... kitabu cha ufunuo huo ni unabii ufunuo 1.3

  • @RwelamiraPascal
    @RwelamiraPascal 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa ufafanuzi mzuri

  • @RachelAbel-d4v
    @RachelAbel-d4v 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jina la Yesu na makanisa lipo kwenye ufunuo wa Yoh.) .Ufu.22 :16.Mimi Yesu nimewatuma Malaika wangu kuwashuhudia ninyi mambo hayo katika makanisa . Mimi ndimi niliye shina na Mzao wa Daudi, ile nyota yenye kung'aa ya asubuhi.

    • @AureaKimati
      @AureaKimati 3 หลายเดือนก่อน

      Meambir basi ili arudie maana ananikoroga kabisa au ndo amevuviwa na roho mtakatifu

  • @YonaAdson-ze4wv
    @YonaAdson-ze4wv ปีที่แล้ว +1

    Babaangu ubarikiwe sana kwa mafundisho haya mazuri unanifungua sana ufaham wa kuielewa biblia

    • @fredrickgitonga1972
      @fredrickgitonga1972 7 หลายเดือนก่อน +1

      Soma ufunuo 1:3

    • @christianremnantsda5304
      @christianremnantsda5304 7 หลายเดือนก่อน

      Huyo ni muongo anapotosha watu na theojia yake ya ujanja ujanja tu

    • @ZephaniaMwalusambo
      @ZephaniaMwalusambo 2 หลายเดือนก่อน

      Mungu akubariki kwa kupokea kweli, asante sana!

  • @MjumbeAgano
    @MjumbeAgano 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ndugu nakuonya kwa jina la Bwana Yesu Kristo,Acha kutanganya Jifunze kwa Mjumbe wa agano duniani mwenye kweli yote ya Mungu angalia TH-cam Mjumbe Agano upate semina ya mwisho wa Dunia na jinsi kanisa halisi linavyojengwa na kunyakuliwa barikiwa sana. Soma Mathayo 17:11, Marko 9:12.

    • @AdamBartholomew-op8dc
      @AdamBartholomew-op8dc 4 หลายเดือนก่อน

      Unamuonya kwa kipi ndugu yangu? Huu ndio ukweli ndio maana hiki kitabu kinaitwa ufunuo sio unabii basi kama kitabu hiki tukikisoma kama unabii hakika mambo hayo yatafunuliwa kwa watu gani kama sio sisi?

    • @dnewztz
      @dnewztz 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ufunuo wa Yohana 1:3
      [3]Heri asomaye na wao wayasikiao maneno ya unabii huu, na kuyashika yaliyoandikwa humo; kwa maana wakati u karibu. .

    • @dnewztz
      @dnewztz 2 หลายเดือนก่อน +1

      Neno unabii linefata nini hapo!?
      Tumieni hekima na kujifunza zaidi itawasaidia

    • @IsayaSanga-oi2ii
      @IsayaSanga-oi2ii หลายเดือนก่อน

      @@MjumbeAgano tafadhari sana jifunze vizur na uelewe umuonye baba kama Nan wewe kama haujaelewa uliza ujibiwe na Mungu wetu wa mbingu na nch akusaidie

  • @Revelation1412.
    @Revelation1412. 7 หลายเดือนก่อน +2

    Duuh,
    Mzee ungekubali kujifunza ndo usalama Wako.

  • @amelinelyimo8263
    @amelinelyimo8263 4 หลายเดือนก่อน

    Nakupata vyema baba barikiwa sana tuongeze uwezo.

    • @ZephaniaMwalusambo
      @ZephaniaMwalusambo 2 หลายเดือนก่อน

      Ubarikiwe sana ndugu Msikilizaji.

  • @dnewztz
    @dnewztz 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mwalimu nina Swali.
    Kama kitabu cha Ufunuo sio unabii wa Agano jipya.
    Je, (Ufunuo wa Yohana 1:3
    [3]Heri asomaye na wao wayasikiao maneno ya unabii huu, na kuyashika yaliyoandikwa humo; kwa maana wakati u karibu. .) kwa nini anesena unabii!?
    Na kama Agano Jipya hakuna Unabii Je, Mathayo 24 yote kwa nini inaongelea Ujio wa Yesu Mara ya Pili na Mambo Yatakayokuwako kabla ya kuja kwake!??
    Na vipi Yesu alitudanganya hapa!?
    Ufunuo wa Yohana 1:1
    [1]Ufunuo wa Yesu Kristo, aliopewa na Mungu awaonyeshe watumwa wake mambo ambayo kwamba hayana budi kuwako upesi; naye akatuma kwa mkono wa malaika akamwonyesha mtumwa wake Yohana;

    • @CasmiryJames
      @CasmiryJames หลายเดือนก่อน

      Ukipata kitabu alichoandika Cha ufunuo utapata majibu ya maswali yako

    • @dnewztz
      @dnewztz หลายเดือนก่อน

      @@CasmiryJames kitabu cha Ufunuo alichoandika nani,??

  • @AureaKimati
    @AureaKimati 3 หลายเดือนก่อน +1

    Je samahani kwahiyo mi sjaelewa kabisa ivi ndo kutakuwa hakuna mwisho wa. Dunia? Kama ufunuo ni rejea ya mambo yalio pita???

  • @fabianmkimbu880
    @fabianmkimbu880 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kutoongozwa na roho ni shida sana,yaani Wakati wote wanatumia akili zao wenyewe.

  • @NanahJadili
    @NanahJadili หลายเดือนก่อน +1

    Ila wew mchungaji ni muongo saan wew na nyie mnao msikilizaa msikubali kusimewa jufunzeni kusoma na kuelewa mtu Ana kuchanganyia vifunguu vifungu ili atengenezee maana yake mwenyew jiangalien msije mkarubuniwaa

  • @joshuaedward275
    @joshuaedward275 6 หลายเดือนก่อน +2

    Soma ufunuo 1: 3 na Ufunuo 22: 19 Hiki ni kitabu cha UNABIII.
    NA KUNA ONYO LA MTU AKIONDOA UNABII WA KITABU HIKI.

    • @ZephaniaMwalusambo
      @ZephaniaMwalusambo 2 หลายเดือนก่อน

      Je, unajua kwanini neno Unabii linapatikana Mwanzo na mwisho wa kitabu?Je, unataka kusema kuwa kujua tofauti ya Unabii na Ufunuo unamhitaji Mungu akufundushe?

  • @bennymkubwa6196
    @bennymkubwa6196 หลายเดือนก่อน +1

    Umenifanya nisome zaidi maana mh!!??

  • @johnsonjasson2526
    @johnsonjasson2526 6 หลายเดือนก่อน

    Mzee nimekuelewa sana ubarikiwe

    • @ZephaniaMwalusambo
      @ZephaniaMwalusambo 2 หลายเดือนก่อน

      ASANTE kwa Kuelewa, maana ni rahisi kwa wengi Kuelewa uongo kuliko ukweli; ubarikiwe!

  • @IsayaSanga-oi2ii
    @IsayaSanga-oi2ii 4 หลายเดือนก่อน +1

    Baba jipe moyo mkuu ha yohana alipingwa na yesu alipingwa songs mbele

    • @TaulenMwanuke
      @TaulenMwanuke 2 หลายเดือนก่อน

      Mungu akubariki kwa mafundisho sahihi T Mwanuke

    • @ZephaniaMwalusambo
      @ZephaniaMwalusambo 2 หลายเดือนก่อน

      ASANTE sana kwa comment yako nzuri, ubarikiwe!

    • @IsayaSanga-oi2ii
      @IsayaSanga-oi2ii หลายเดือนก่อน

      @@ZephaniaMwalusambo Amina baba Mungu wa mbingu na nch akutumze

  • @AlexGodfrey-hs5zp
    @AlexGodfrey-hs5zp 6 หลายเดือนก่อน +2

    Acha upotoshaji mzee kitabu cha ufunuo kimeandikwa kwa nyakati 3 wakati uliopo wakati ujao wakati uliokwisha kupita ufunuo 1:19 huu ndiyo ufunguo wa kitabu cha ufunuo

    • @joshuajohn8533
      @joshuajohn8533 3 หลายเดือนก่อน

      Huyu Ni muongo sijui kasomea wapi theolojia mbovu hivo. Ni kipofu huyu

  • @fredrickgitonga1972
    @fredrickgitonga1972 7 หลายเดือนก่อน +2

    Wataka kumfanya YESU KRISTO mwongo, wakati kasema katika ufunuo 1:3

  • @AzizalucasMbiduka
    @AzizalucasMbiduka 3 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @LoshaLosha-z9s
    @LoshaLosha-z9s หลายเดือนก่อน

    Walio weng wametoa maoni yenye mashiko na maswali ndani yake lakin ndugu zetu wengine wametiwa upofu macho yao maana wanapenda kusomewa na kuhadithiwa than kutafuta ukwel wa biblia wao wenyew# binafsi nabii isaya alisema wachungaj kama hawa kwao hapana asubuh maana wananena yaliyo matakwa yao ...kwanza haelewek anachofundisha kama kuna mtu amemuelewa anieleweshe

  • @MarryMbilinyi-h7e
    @MarryMbilinyi-h7e 3 หลายเดือนก่อน +1

    Fuata bib Lia usifuat akili Yako mambo ya Mungu hayapo ivy utapotosh weng kutokana na kufwat akili yak ufunuo ni unabii kama ilivy andkw

  • @joshuajohn8533
    @joshuajohn8533 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mzee apuuzwe anapotosha watu.

  • @edenparkhealingministrytz
    @edenparkhealingministrytz 6 หลายเดือนก่อน +1

    Jalibu kuwaza, hawa ndio waalimu wa vyuo vya biblia. Sasa anatuambia nini kuhusu huduma 5 waefeso 4:11-14

  • @AlexGodfrey-hs5zp
    @AlexGodfrey-hs5zp 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ufunuo sura 1 inaeleza wakati ulikwisha kupita na ufunuo sura 2na sura ya 3 inaeleza wakati huu uliopo tunaoenderea nao mpaka wakari wa dhiki kuu na hapa yanatajwa makanisa 7 yalio kua ASIA ndogo kwa sasa ni icnh ya utuluki sura 4 mpaka 22 inaeleza wakati ujao au wakati wa unyakuo wa kanisa sasa mbona unakichanganya hivi kitabu hiki?

    • @ZephaniaMwalusambo
      @ZephaniaMwalusambo 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hivi kujua tofauti ya maana ya maneno, Unabii na Ufunuo, unamhitaji ufundishwe na Mungu?

  • @AlexGodfrey-hs5zp
    @AlexGodfrey-hs5zp 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee umetaja ufunuo sura 11 kuhusu mizeituni miwili eti ni yohana na yesu acha kupotosha hawa atakua elia na henoko kwa sababu elia alichukuliwa hakufa 2 wafalume 2:1-11 na henoko pia hakufa wanzo 5:22- 24 wataludi wakati wa miaka 3 nanusu ya kwanza ya mpinga kristo watakua wakihubili ijili maana wanatakiwa waludi wafe ili wavae mwili wa mbinguni 1 wak 15;40

    • @ZephaniaMwalusambo
      @ZephaniaMwalusambo 2 หลายเดือนก่อน

      Mimi nimekupa maandiko, wewe unakisia,

    • @CasmiryJames
      @CasmiryJames หลายเดือนก่อน

      😂😂kwani Eliya si alikuja tena akafa soma marko9:13

  • @MtumishiwaWakati-c6m
    @MtumishiwaWakati-c6m 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kitabu iki kinatoa onyo kwa kupunguza au kuongeza maneno katika kitabu iki kwa Sababu ni Cha watu maarumu ACHA kabisa

    • @AdamBartholomew-op8dc
      @AdamBartholomew-op8dc 4 หลายเดือนก่อน

      Ndugu hiki ni kitabu cha ufunuo. Unabii uliishia kwa Yohana mbatizaji na kama ufunuo ni unabii je kipi kilichofichwa na kitafunuliwa kwa kizazi kipi wakati unabii wote ulishatimia?

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 6 หลายเดือนก่อน +1

    ANGESEMA MAFUNDISHO KUHUSU KITABU CHA UFUNUO.KAMA ANAFUNDISHA KITABU CHA UFUNUO. LKN KAMA ANAFUNDISHA KUHUSU UFUNUO WA YESU KWA MTUMISHI WAKE YOHANA KWAAJILI YA NYAKATI.... ANGESEMA

  • @Revelation1412.
    @Revelation1412. 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ati Yesu hakutabiri ??😂😂😂
    Mzee unachekesha bana
    Hebu Soma hili Andiko kisha utuambie ni Unabii au Ufunuo?
    Mathayo 24:15-33

    • @costantinemihayo
      @costantinemihayo 6 หลายเดือนก่อน +1

      Hapa mathayo alikuwa anadhibitisha unabii uliitabiliwa na Daniel
      Hakuna ambacho Mzee amejibu vibaya Yuko sahihi
      Mengi Sana watu mnangojea yatokee kumbe yalishatokea

    • @Revelation1412.
      @Revelation1412. 6 หลายเดือนก่อน

      @@costantinemihayo MUNGU AKUSAIDIE UFUMBULIWE MACHO

  • @AureaKimati
    @AureaKimati 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa baba mbona ufunuo 1:3 inasema unabii na wewe unasemaa ni ufunuo? 😱🙄

  • @AlexGodfrey-hs5zp
    @AlexGodfrey-hs5zp 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka nikusahihishe wanatheogia sio waongo muongo ni huyo na wengine kama yeye

  • @TOMTOM-t3y
    @TOMTOM-t3y 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sijakubaliana na ww...kama shetani amefungwa mbona uovu bado uko

  • @AureaKimati
    @AureaKimati 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa baba ebu sema kwahiyo tuseme wokovu ni bure kwakua kila kitu kimetimia sasa alafu na yule Montana alafu na kuhusu moto wa milele na kwa habari ya uzima wa milele je vimeshatokea na tukifa tunaendawapi??? Je hakuuna hukumu??? Ya wenye haki na wasio haki maana biblia inasema tutahukumiwa kwakadiri ya matendo na kila mtu ataendakutoa hesabu je vimetimia au???

    • @CasmiryJames
      @CasmiryJames หลายเดือนก่อน

      Wokovu ni bure tena ni Kwa Njia ya kumuamini Kristo Yesu tuu hakuna wokovu ulioupata Kwa kulipia gharama haupo na ungeijua gharama ya kumkomboa Mwanadamu aliyoilipa Kristo Yesu Wala usingeweza kuweka Hilo Jambo mtukuze sana Kristo na kumuheshimu wewe jiondoe kwenye kazi yake alikupa wokovu na wewe unaupokea

  • @AllanLyombile-r6y
    @AllanLyombile-r6y 6 หลายเดือนก่อน +1

    Unabii ni jicho la kanisa sasa ukitwaambia agano jipya hakuna manabii tafsiri yake kanisa linaupofu halina macho? kama ndivyo basi hiyo itakuwa ni dini iliyokufa mara mbili.

  • @user-mwl.marashi127
    @user-mwl.marashi127 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwahiyo mzee 666 imeshapita ayari? Au bado?? Je vipi kuhusu uzima wa milele na adhabu ya jehanamu zilizonenwa?? Zimeshakwisha kupita au bado?? Je kuhusu mpinga kristo??, Na kama yapo tunayo sasa,, je kama siku zile yalinenwa sio unabii kuhusu ya leo
    ?

  • @shadrackmussa8197
    @shadrackmussa8197 8 หลายเดือนก่อน +2

    Unazeeka vibaya wewe babu huujui ufunuo acha kupotosha nakuonya Acha

    • @AdamBartholomew-op8dc
      @AdamBartholomew-op8dc 4 หลายเดือนก่อน

      Usiogope kumjua Mungu. Ufunuo hauwezi kuwa unabii. Kizazi chetu hakikuja na unabii mpya basi utimilifu wa unabii ambao upo kwenye vitabu vya agano la kale

  • @enocktuza1819
    @enocktuza1819 10 หลายเดือนก่อน

    Nimefurahi kukusikia leo. Nataraji kujifunza mengi. Naomba namba yako ya what's up.

  • @elishayuda4105
    @elishayuda4105 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hakka wewe mzeee theology yako bado haijakusaidia kabsa na unajiita doctor cjui ulipata wap hyo maana nakuona unazidiwa na mtoto wa aliehitimu form four

  • @AureaKimati
    @AureaKimati 3 หลายเดือนก่อน

    Rudia somo

  • @christianremnantsda5304
    @christianremnantsda5304 8 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani watu wa theology ni waongo sana kwakwel, kwaiyo hichi kilichoandikwa hapa ni nini👇
    Ufunuo wa Yohana 1:3 Heri asomaye na wao wayasikiao maneno ya unabii huu, na kuyashika yaliyoandikwa humo; kwa maana wakati u karibu.
    Acha uongo ,tena acha kupotosha kabisa

    • @joshuaedward275
      @joshuaedward275 6 หลายเดือนก่อน +1

      Asante ndugu nawe umeona hilo na la nyongeza ni Ufunuo 22:19. " NA MTU YEYOTE AKIONDOA MANENO YA UNABII WA KITABU HIKI, MUNGU ATAMWONDOLEA SEHEMU YAKE KATIKA ULE MTI WA UZIMA

    • @christianremnantsda5304
      @christianremnantsda5304 6 หลายเดือนก่อน

      Ubarikiwe sana ndugu

    • @JosephuSwai
      @JosephuSwai 4 หลายเดือนก่อน

      Kweli ndugu

    • @joshuajohn8533
      @joshuajohn8533 3 หลายเดือนก่อน

      Huyu theology yake Wala sio Msingi wa Pentecostal sijui katoa wapi huu upofu

    • @CasmiryJames
      @CasmiryJames หลายเดือนก่อน

      ​@@joshuajohn8533mi nilijua unasema siyo msingi wa Neno kumbe pentecostal 😂😂hakika kuwa na dini bila kuijua Neema ya Kristo ni mzigo sana ila nawaombea Kwa Mungu mzidi kukua katika Neema ya Kristo

  • @GOSPELLAND.ONESMO
    @GOSPELLAND.ONESMO 6 หลายเดือนก่อน +1

    Na usichangaye neno na akili ata vyuo ivi vingaliwe mitaala yao itakuwa inashida adi wapentecost hii ni hatali... kitabu cha ufunuo huo ni unabii ufunuo 1.3