ความคิดเห็น •

  • @isayasanga1069
    @isayasanga1069 2 หลายเดือนก่อน

    Mafundisho yako mtumishi nimagum sana ila na msgukilu Mungu Nina kuelewa Barikiwa sana mtumishi Tengwa

  • @user-bf3ft1xo8k
    @user-bf3ft1xo8k 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nakuelewa sana Mtumishi,tusaidie tupate kupona.

  • @roseswai5961
    @roseswai5961 7 หลายเดือนก่อน

    Yesu nisaidie

  • @Neemakilimba
    @Neemakilimba 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu tusaidie Mabaya tusaidie

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 10 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana YESU KRISTO kutujulisha haya tusaidie yaliyoamriwa na mbingu tuweze kuyastahimili na imani yetu usitindike,, uwiiiiiiiii naskia kupiga yoweee yakilio mimi eeee BABA utusaidie wanao asante.

  • @user-kv7hq5mb6m
    @user-kv7hq5mb6m 10 หลายเดือนก่อน

    SoMo zuri sana,tunapaswa kuwa sadaka kwaajili yawatu wengine,sikwaajili yetu,ndipo tutakapobarikiwa,

  • @danielambonisye6261
    @danielambonisye6261 10 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu akubariki sana mtumishi wa Bwana Yesu Kristo aliye hai, mimi nipo newala mtwara naomba kujiunga na wanamaombi

  • @user-kv7hq5mb6m
    @user-kv7hq5mb6m 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mchungaji analazimisha tumjengee nyumba yakuishi,lakini sehemu yakuabudia hatuna,mvua ikinyesha hatuabudu,naumia lakini lakufanya Sina,tutahama dino Hadi lini??,Bora Yesu arudi tu ijulikane tu nani anaingia rahani!

  • @rehemasuleiman7469
    @rehemasuleiman7469 10 หลายเดือนก่อน

    Ameen, Mungu akubariki sana
    Mtumishi wa Mungu aliye hai

  • @rehemasuleiman7469
    @rehemasuleiman7469 10 หลายเดือนก่อน

    Ameen Baba
    Mungu akubariki

  • @innocentkituma2714
    @innocentkituma2714 11 หลายเดือนก่อน

    Asante Yesu kwa neno lako

  • @scholasticakariuki6775
    @scholasticakariuki6775 10 หลายเดือนก่อน

    Amen Yesu akulinde nakukuhifadhi

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ulikuwa ni wakati wa utawala wa shetani duniani sasa ni utawala wa Yesu duniani ni siku ya Bwana.

  • @taimumwaibako8385
    @taimumwaibako8385 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu nisaidie kukujua kikamikifu

  • @aaronswai3092
    @aaronswai3092 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu atusaidie

  • @helenmdee4004
    @helenmdee4004 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu tusaidie

  • @helenmdee4004
    @helenmdee4004 11 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeen

  • @anafikamugisha8834
    @anafikamugisha8834 7 หลายเดือนก่อน

    Sasa nimeanza kukuuelewa Sana tegwa

  • @queenchristopher1515
    @queenchristopher1515 11 หลายเดือนก่อน

    Tunafanyaje ss

  • @lilianluhasi311
    @lilianluhasi311 11 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa mafundisho yako mema, Mungu akubariki sana. Naomba unijilishe Wana maombi wa Ubungo ili niweze kujiunga nao. Asante

    • @tengwatv3749
      @tengwatv3749 10 หลายเดือนก่อน

      Amen mtumishi, piga namba hii ya kiongozi wa maombi UBUNGO
      0713 334 665
      Tunakutana pale Big brother Urafiki siku ya alhamisi saa 11 jioni kila wiki.
      Mungu akubariki sana mtumishi.

  • @fabianmkimbu880
    @fabianmkimbu880 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika ni nyakati za mwisho nimeamini,yanipasa kuomba na kumlilia Mungu

  • @helenmdee4004
    @helenmdee4004 11 หลายเดือนก่อน

    Haleliya

  • @GgSaw-vi4mo
    @GgSaw-vi4mo 9 หลายเดือนก่อน

    Tuko wengi tunaopitia mateso kama hayo na mambo ya kishirikina na nyota ndo yamepamba moto

  • @user-wt8yf8ph9i
    @user-wt8yf8ph9i 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu atukumbuke

  • @scholasticakariuki6775
    @scholasticakariuki6775 10 หลายเดือนก่อน

    +254Yesu tusaidie

  • @queenchristopher1515
    @queenchristopher1515 10 หลายเดือนก่อน

    Tunaepkaje kWa watakatif na iktokea MTU akasain inamana haingii au itakuwaje tunashindwa kuelewa hyo ulyoyafunua tunaepkaje mana inatisha weng wako gzan mtumishi

  • @GgSaw-vi4mo
    @GgSaw-vi4mo 10 หลายเดือนก่อน

    Mbona mateso makali mimi nimeanza kupata zamani sana mpaka najiuliza haya mateso yaliyoandikwa ktk Ufunuo ni kwa ajili yangu tu

    • @lightnessgamasa6039
      @lightnessgamasa6039 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 sio wewe tu namimi nawaza hivyo hivyo tu

    • @samsonmwangwego6892
      @samsonmwangwego6892 10 หลายเดือนก่อน

      Amen mtu.....

  • @AgnesKalinga-if3uf
    @AgnesKalinga-if3uf 10 หลายเดือนก่อน

    Tufanyeje sisi tunaotoa sadaka?

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 10 หลายเดือนก่อน

    Tutapataje kupona kizazi hiki

  • @queenchristopher1515
    @queenchristopher1515 11 หลายเดือนก่อน

    Tunafanyaje ss