KWANINI MAISHA NI MAFUPI SANA KWA KIZAZI CHA 1990 - SASA 2023..?| Tutaishi vipi maisha marefu?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • #LiveNagee #Saikolojia #Vijana #Malezi

ความคิดเห็น • 27

  • @engelbertkiondo4014
    @engelbertkiondo4014 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mwl huyu ni wa manufaa mno kwa vijana wa tanzania. Mungu ampe fadhila zake

  • @allyirunde7198
    @allyirunde7198 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri itabidi uandaliwe mtaala wa malezi kuendena na technology maana tunaiharibu nature pasipokujua asee

  • @mkulimamjasiriamali2621
    @mkulimamjasiriamali2621 ปีที่แล้ว +3

    Mnafanya Kazi nzuri sana kwa kizazi hiki... nashauri kipindi kiongezewe mda.

    • @madinidotcom
      @madinidotcom  ปีที่แล้ว +1

      shukrani sana. share link na wengine pia wayapate.

  • @fredmakubo
    @fredmakubo ปีที่แล้ว +2

    Somo zuri
    Keep up the good work

  • @gaudinamosnchobe4909
    @gaudinamosnchobe4909 ปีที่แล้ว +5

    Uyu mtangazaji namuelewa sana mpaka niliamua kumuita mwanangu jina kama la kwake Greyso Gaudin na Greyson Gidion kaka natamani mwanangu aje kuwa kama wewe

    • @madinidotcom
      @madinidotcom  3 หลายเดือนก่อน

      Wow.Asante sana.Naomba ututumie meseji whats app kwa namba hii 0712760276

  • @qualiamaxwell6305
    @qualiamaxwell6305 11 หลายเดือนก่อน

    Nasema tena jama ni JORDAN PETERSON wa Tanzania big up sana

  • @Gody360
    @Gody360 ปีที่แล้ว +1

    Big up sana

  • @KelvnTarimo-fx2ui
    @KelvnTarimo-fx2ui ปีที่แล้ว

    Nakubali kaka fazza yuko sawa sana hata ww pia najifunza kwa kwel

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji unaakili kubwa amemstili mwalimu hapo maarifa makubwa Sana mtangazaji unayo

  • @shabanishabani3529
    @shabanishabani3529 ปีที่แล้ว

    Safi kaka

  • @johnmagubo4269
    @johnmagubo4269 ปีที่แล้ว

    Maisha bila maarifa ni ayapo , mungu atubarik san mwalimu uendelee kutupa maarfa coz wewe umejuwa juwa unaitaj nn na kwann.tuweke tuwe weng

  • @Adronicus_10
    @Adronicus_10 ปีที่แล้ว

    Show namba 1

  • @mkkson6927
    @mkkson6927 ปีที่แล้ว

    Teacher na trust sana ❤❤

  • @salumuseif3324
    @salumuseif3324 9 หลายเดือนก่อน

    gidson wewe sio wa kuwa bongo nakuona mbali mnooo

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @thomasboniphace7254
    @thomasboniphace7254 ปีที่แล้ว +2

    Lijamaa Grayson Lina upeo wa akili mkubwa mno

  • @musagesedoto9967
    @musagesedoto9967 ปีที่แล้ว

    Good work bro

  • @bushiryulaya1843
    @bushiryulaya1843 ปีที่แล้ว +2

    nlikuwa naisubiri sana maana jana nliikosa

  • @ZyidSeleman
    @ZyidSeleman 11 หลายเดือนก่อน

    Huu ni msaada kwa mtu atavyo amua lakin kuna mfumo na usimamiz kutoka kwa dola

  • @hussein0757
    @hussein0757 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji uko vzr lkn unaongea sana mzee

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 ปีที่แล้ว +1

    Mrisho mpoto anatembea peku anajua hii siri

    • @salumuseif3324
      @salumuseif3324 9 หลายเดือนก่อน

      anachukua nishati chanya za ulimwengu

  • @engelbertkiondo4014
    @engelbertkiondo4014 9 หลายเดือนก่อน

    Kipindi hiki ni tiba kwa vijana. Wataalam kama mwl.Maduhu wapewa nafasi kuokoa vijana wa nchi hii.

  • @hemedrashid6525
    @hemedrashid6525 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji unaongea sana kuliko mgen

    • @madinidotcom
      @madinidotcom  ปีที่แล้ว +2

      Asante kwa maoni yako na kutufuatilia.Session hiyo sio ya mgeni,huwa ni mazungumzo, ndio maana ina jina la mtangazaji (GEE) ,naye ni sehemu ya mjadala .