Amen
Asante pastor Tony ...nimepata nguvu mpya ya kiroho kwenye maisha yangu..
Asante Bwana yesu kwa mtumishi uyu, tunaomba umtunze awepo sana mjini, mana nafanikiwa sana kiroho na kimwili .
Naomba Mungu anirudishie nyota yangu
Amen mtumishi wa Mungu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Nimebarikiwa Sana 🥰🥰🥰
Aminaaa
From Kenya pastor am blessed..umenifunza kitu Kwa life yangu
Mbona huwa hamfanyi Kongamano na watu ambao hawana kazi ili Mungu awape kazi yaani Mungu amekupa maono kwa Wafanya biashara tu
Glory to God 🙏🙏🙏, man of God it is very powerful message upon the life of man.Blessed be the Name of Lord.Amen
Ubalikiw sana mtumishi kwa neno zuri
My prayers has been answered through this sermon!been asking, God nimefanya kila kitu natakiwa kufanya according to the bible and i see not the complete victory ,now oh God reveal your glory to me , show me the last piece to complete this puzzle' here is the answered prayer! Oh Lord my God i thank you i celebrate your goodness and mercy! All Glory unto you today and Forever!Amen!
Now give me Grace of obedience Amen
Umeongea kweli man of God,kabla sijaokoka wanaume walikuwa wananifukuzia sana tena wenye pesa na vyeo vyao,nikawa naona labda napendwa nikawa najihusisha na baadhi yao ikafika mahali nikajiuliza mbona mm sio mrembo wa kihivyooo ndipo nikaja kugundua ni nyota tena walioniambia ni wao,so ninapopata somo kama hili natamani kila mtu asikie asiyapitie niliyoyapitia
Nakuelewa sana mtumishi wangu
I understand you Sir, I understand you very well, thank you, may God bless you
Very true
Mungu akubariki sana
Akili kubwa sanaaaaaaaaaa
Ubarikiwe Baba yangu 🙏
God be with u pastor
Mungu Asante kwa neno
Amen Pastor blessed ,nimetoka na kitu kikubwa
Injili inanibariki asante kwa kututia maarifa
Unanibariki sana ubarikiwe
amen mchungaji
Oh God,enable me 🙏🙏🙏
Am blessed pastor
Umetisha brother
Amen Amen Amen
Pastor I listen to you for the first time today, but I found good lessons. Be blessed man of God
AMEN 🙏🙏
Ameen
A men
Pia nyota inaweza chukuliwa kwa kupeana mikono na mtu anayetumia nguvu za giza kwa makusudi hilo nalo nimeliona na nina uhakika nalo
A
11à
Jimbo letu
Amen
Nakuelewa sana mtumishi wangu
amen mchungaji
Nimechaka sana eti kabibi kanatoke kan kuchapo kwann unafatilia maisha ya ton
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Ukiona Mungu anakuconnect na huyu mchungaji kufatilia mahubiri yake kwa kiu kabisa, ujue ni msimu mpya umefika Mungu anataka akuinue zaidi. Connect
Ameen ubarikiwe sana
Ameen
Ameen
Safi Sana kaka naona comment zako