Asnte Mungu wangu nazidi kuimalika kiroho na nazid kuongeza nguvu katika maombia yang nikimuomba Mungu asimtoe Roho mtakatifu katika maisha yangu daima awe nguzo yang popote niendapo nitaliaifu jina la yesu kristo daima. Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
Ee Mungu nikumbuke na mimi KWA yale ninayoyapitia🤲🤲sitakuacha Mungu wangu,nipe Neema mpya na mwanzo mpya kwenye kila hatua nipitayo na kwny wokovu wangu 🤲🤲,, Mungu nivushe majaribu haya😢😭😭ninajiunganisha na Madhabahu hii ktk ulimwengu wa roho🙏🙏Mungu nikumbuke 🙏🙏
Nampenda sana mungu wangu miujizaa anayonitendea mimi nimikubwaaa sanaa yan nimekuwa napendaaa sanaaa yan bora nisije niweke mocha nisikilize yananipa nguvu nakuelewa kila kitu asante sana yesu
Asante Mungu wangu kwa kuwa umetenda kwangu, naomba endelea kunigusa na kuwagusa watu wote wanaokutafuta Bwana, zaidi mtunze mtumishi wako siku na madhabahu ya siri za biblia idumu daima🤲🙏
Yesu ametuahidi kwenye madhabahu hii kupitia mtumishi wake ya kwamba anaenda kutufungulia kurasa mpya katika maisha yetu..nami nimeamini atafanya... nilikuw napitia hali ngumu katika fahamu zangu zilikuw zimeshikiliwa ata nimekuwa sina ata nguvu ya kucomment kila mtumishi anapoachilia mahubiri hapa madhabahuni lkn kwa maombi nikafunguliwa.. Asante Yesu 🙏🙏🙏🙏
Amen mtumishi ubalikiwe sana japo usiku sikushiliki naxhiliki mida hii naamin nimejiungamanisha nimeumia xn kutoshilik jana uck 😭😭😭😭😭😭 Mungu anikumbuke na mm katika ufalme wake 🙏
God have mercy on me I don't have anything but lakini najua siku inakuja nitapa yesu usikiye ombi langu.mchugaji God bless mafuzo huwa inanipatiaga tumaini kila siku
MUNGU WANGU USIKU SIKUWA LIVE NA WENZANGU KWA SABABU YA NETWORK ILA ROHO YANGU NIMEICONECT NA MADHABAHU HAYA ACHA BWANA NAMIMI NPOKEE MUUJIZA WANGU NA SHUHUDA UNAZONIANDALIA KUPITIA MADHABAHU HAYA NAIMANI KWAMBA UNAENDA KUBADILISHA HISTORIA YA MAISHA YANGU SITABAKI KUWA VILE TENA KWA JINA LA YESU
Napokea kufanikishwa kuanzia kwny mahusiano yng mpk utafutaji wng asante yesu kwakuw umekuwa muaminifu kwny maish yng amen
Amina
Asnte Mungu wangu nazidi kuimalika kiroho na nazid kuongeza nguvu katika maombia yang nikimuomba Mungu asimtoe Roho mtakatifu katika maisha yangu daima awe nguzo yang popote niendapo nitaliaifu jina la yesu kristo daima. Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
Asantee sanaaa kw maneno yako ya madhabahu ya mungu baba❤no si uchawii unanionesha kilaa❤kitu na kama nimeandikiwa mimi yote
Ee Mungu nikumbuke na mimi KWA yale ninayoyapitia🤲🤲sitakuacha Mungu wangu,nipe Neema mpya na mwanzo mpya kwenye kila hatua nipitayo na kwny wokovu wangu 🤲🤲,, Mungu nivushe majaribu haya😢😭😭ninajiunganisha na Madhabahu hii ktk ulimwengu wa roho🙏🙏Mungu nikumbuke 🙏🙏
Mungu ni kumbuke kwa maombi yangu
Nampenda sana mungu wangu miujizaa anayonitendea mimi nimikubwaaa sanaa yan nimekuwa napendaaa sanaaa yan bora nisije niweke mocha nisikilize yananipa nguvu nakuelewa kila kitu asante sana yesu
Ee Yesu wangu nakuita maishani mwangu nipe zaidi ya nilivopoteza 🙏🙏🙏
Ee baba nikumbuke usku waleo ukawe niusku wa mujiza wangu karibu yesu ndani yangu
Asante Mungu wangu kwa kuwa umetenda kwangu, naomba endelea kunigusa na kuwagusa watu wote wanaokutafuta Bwana, zaidi mtunze mtumishi wako siku na madhabahu ya siri za biblia idumu daima🤲🙏
Najiunganisha na madhabahu hii Ee MUNGU baba wa mbinguni kumbuka mahitaji yangu
Ee Mungu Naomba uniwezeshe na mimi kupata utajiri
Ameni YESU umenikumbuka YESU umenikumbuka nitarudi naamini nitarudi na shuhuda madhabauni pako
Asante yesu Kwa kunionea🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌 Amen natumaini kutoka kwako bwana sitakata tamaa
Thank you God kwa nehema Na kuskia maombi yetu🙌🙌🙌
Asante yesu🙏🙏🙏
Amina amen 🙏🙏🙏
Asante MUNGU zidi kunipigania MUNGU wanguu, without you am nothing LORD
Amen 🙏
Asante yesu kwa kunikumbuka siku ya leo
Ameni mtumishi Niko mbali Lakini nimepokea Mungu amekuwa mwema kwangu SIJAWAI ona nguvu kubwa kiyasi hichi nikiwa nyumbani Asante Mungu 😭🙏🙏🙏🙏
Asante sana MUCHUNGAJI wa MUNGU gupitia kwa MAOMBI YAKO, hivi SIRI ZA BIBLLA NDO KANISA LANGU KIRA SIKU, KWA MAHARI NIPO 🇧🇮🇸🇦 🤲🤲🤲
Najiunganisha na ibada hii kwa jina la yesu
Yesu ametuahidi kwenye madhabahu hii kupitia mtumishi wake ya kwamba anaenda kutufungulia kurasa mpya katika maisha yetu..nami nimeamini atafanya... nilikuw napitia hali ngumu katika fahamu zangu zilikuw zimeshikiliwa ata nimekuwa sina ata nguvu ya kucomment kila mtumishi anapoachilia mahubiri hapa madhabahuni lkn kwa maombi nikafunguliwa.. Asante Yesu 🙏🙏🙏🙏
Glory and Glory and Glory be to Jesus Christ!!!
Sylvia asante yesu asante yesu asante yesu Kwa kunikumbuka Na kuniona
Amen mtumishi ubalikiwe sana japo usiku sikushiliki naxhiliki mida hii naamin nimejiungamanisha nimeumia xn kutoshilik jana uck 😭😭😭😭😭😭 Mungu anikumbuke na mm katika ufalme wake 🙏
Thanks Dear LORD
Najikonect na madhabau kwa jina la yesu mungu nikumbuke japo nimechelewa kusikiza maombi naomba usinipite mokozi mimi na watoto wangu
Amen Amen 🙏
Mungu..yuko hapa..Mimi Niko.kongo.nilishelewa..kujiunga..kwasababu. yamutandao.lakini.nasi.tunabarikiwa..sana.tukondani.yayesu..kupitia.mdhabao yasirizabibilia
Amen amen amen.
GOOD NIGHT WABARIKIWA WENZANGU❤❤❤❤❤❤❤ MTUMISHI WA MUNGU UZIDI KUBARIKIWA SANA WEWE NA FAMILIA YAKO ASANTE🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen
Amen abalikiwe sana kabisa
Amen
Amina .Nimebarikiwa Na kukombolewa kiuchumi
naomba unikumbuke mungu Wangu sina mwingine zaidi yako nakutengemea wewe tu
Amen,Mungu nisaidie nikatulie miguuni pako ilinikabarikiwe
Usinifichie uso wako yesu nikumbuke yesu nitawale in Jesus mighty name Amen
Asanti yesu asanti roho mtakatifu
Asante Yesu kwamawazo memaunayo tuwaziya. Mungu nimwema sikuzote 🙏🙏🙏🙏🙏
Ameen mtumishi ashukuliwe mungu atupae ushindi katika yeye tunashinda na zaidi ya kushinda
God have mercy on me I don't have anything but lakini najua siku inakuja nitapa yesu usikiye ombi langu.mchugaji God bless mafuzo huwa inanipatiaga tumaini kila siku
Yesu usinipite leo najiunganisha na nguvu yako
Asante YEHOVA naomba usinipite, nakuitaji, usinipite nko hapa
amen mungu naomba niunganishe na mimi
AMEN
Asante Mungu kwa kunikumbuka na mimi
Nakupata vizuri mtumishi
Ubarikiwe nakusikia mtumishi
Emungu nikumbuke nami 😢fungua njia zangu 🤲🙏🙏
Heri ni jina×3 la yesu,hallelujah
Amen
asante mungu kwakunisaidia nimebarikiwa
Amen 🙏🏼 🙏🏼 🤲🤲🤲
🙏🙏
Eeee MUNGU nikumbuke naniokoe na haya ninayo pitia wewe ni jibu langu
Amen amen nikoapa BWANA nikuone ukinitendea na mimi sitanyamaza unikumbuke tena babangu
Asantee Bwana Yesu 🙏 🙏 🙏
Amen and Amen 🙏🙏🙏 nimebarikiwa Sana kupitia maombi haya🙏
Unisikie yesu
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
Kwa maombi nikiweka kwetu watu wanaondokaa hahaa sijui❤wanaendea wapi yaniii mungu ananipenda sana nipo haki kumuabudu yesu wanguu kwel nampenda sana
E mungu nikumbuke na mm 🙏🙏🙏🙏
I connect in Jesus name
🙏🙏🙏🙏🙏amen
Amen,, MUNGU wetu akutangulie na akuzidishie Baraka na nguvu, Asante Mchungaji kwa maombi, nakupata vizuri nikiwa Malindi Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️
Yesu niponye tatizo langu hili la muda mrefu kama yule mwanamke aliegusa vazi lako akapona na mm niponye yesu
❤❤❤❤❤❤❤Amen mtumishi wa Mungu
Amen
Ameeeen
Amen tuko pamoja barikia
amina amina
AMINA 🤲🙏
Amen 🙌🙌
Munyu akubari amen amen
Ameni
Najiungasha doa wagu na family yangu
Najiunganisha mm na familia yangu yote na ndugu zangu wote
Nimeji connect na hii madharau in the name of Jesus,nikumbuke Yesu sikia kilio changu nilipie madeni Yesu
Najiunganisha na madhabau hii visa yangu ipate kutoka na safari yangu ikatimie katika jina la Yesu
Nakupata mtumishi wa mungu
Asante Yesu Kwa kunikomboa.Ubarikiwe mtumishi was Mungu.
Amen Mtumishi ubarikiwe sana 🙏
Sylvia amen amen amen asante yesu
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Yesu nikumbuke na mimi 🤲🤲🤲🙏
Ooh yeeees
Kenya
Ameeen
Amém🙏🙏🙏🙏 Amém 🙏🙏🙏
Eee mbingu sikia ombi langu
Hapa kutoka Finland nakusia vizuri sana
Nakupata mtumishi
Naji connect kwa JINA LA YESU KRISTO🤲🤲🤲
Nakusikia
Mungu wa mbinguni naomba ufanikishe njozi zangu nitumie maana najua natoka kwako flame wa mbingu na nchi
Najiunganisha na mathabahu hii leo
Nikumbuke na Mimi Bwana ninahali ngumu
MUNGU WANGU USIKU SIKUWA LIVE NA WENZANGU KWA SABABU YA NETWORK ILA ROHO YANGU NIMEICONECT NA MADHABAHU HAYA ACHA BWANA NAMIMI NPOKEE MUUJIZA WANGU NA SHUHUDA UNAZONIANDALIA KUPITIA MADHABAHU HAYA NAIMANI KWAMBA UNAENDA KUBADILISHA HISTORIA YA MAISHA YANGU SITABAKI KUWA VILE TENA KWA JINA LA YESU
Usinipite mwokozi
Asantee sanaaa kw maneno yako ya madhabahu ya mungu baba❤no si uchawii unanionesha kilaa❤kitu na kama nimeandikiwa mimi yote
Asante yesu kwa kunikumbuka siku ya leo
Amina
Amen amen amen