1.ITUMIE DAMU YA YESU KAMA SILAHA YA VITA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2021
- SHARE LIKE COMMENT AND SUBSCRIBE
KWA SADAKA NA MAOMBEZI
0713403882 AU 0758914023
BANK ACCOUNT CRDB TANZANIA
NAME:GRACE MATHIAS NKILA
ACCOUNT NUMBER(A/C) -0152442235700
@ NLC TABATA 2021
#NENO_LA_MUNGU #DAMU_YA_YESU_SILAHA_YA_VITA
#INJILI_DUNIANI #
Aminaaa Mtumishi wa MUNGU, Eeee YESU Damu yako naachichalia kwa ofisi yangu. Na kwa familia yangu
Damu ya Yesu ni ya Yesu mwenyewe. Haijawahi kupungua uwezo Wala mamlaka. Popote ilipo damu ya Yesu na Yesu yupo waziwazi.
Damu ya Yesu ina jina la Yesu. Na jina la Yesu Lina uwezo mkubwa.
Damu ya Yesu ina Roho wa Yesu.
Ndani ya damu ya Yesu Kuna uhai wa Yesu. Mahali ambapo hakuna uhai inaweka uhai.
Damu ya Yesu inaweza kuongea.
Ndani ya damu ya Yesu Kuna agano.
Ref: Waebrania 11:1
Kutoka 12:22-25
Waebrania 11:6
Praise God servants of God have been praying no answer i want to trust God with you keep me in prayer my family no peace
AMEEN AMEEN AMEEN AMEEN
Asante Yesu kwa Damu yako . Napokeya uponaji na restoration 🙌🙌🙏🙏🙏
Asante Yesu Kwa kimtumia mtumishi wako Kwa ajili yetu
Ni mafundisho Bora kabisa. Mungu akubariki Sana mwalimu na uzidi kutoa maarifa Kwa wote walio tayari kuyapokea.
Amen Mtumishi wa Mungu Grace.Mungu azidi kukuinua na kukupaka mafuta mabichi.
Bwana akubariki mutumishi wa mungu
Najifunza Damu ya Yesu Ina nguvu nyingi
Amina,nashukuru, sitaacha kumtukia Mungu ataibadilisha historia ya maisha yangu, Zaburi 103:1-3
Ameni
barikiwa sana mjakazi wa Bwana🙏🙏👏👏👏👏
Asante sana mwalim Grace. Umenibariki sana na maombi yako mungu akubariki sana.
Mungu akubariki saaaana mtumishi ninapona mimi
Ameen
Asate sana maman ubarikiwe sana kwa iyi neno la Mungu 🙏 na kufata ku Ireland 🇮🇪
Amina mama
Amen mtumishi
Mungu akubariki
Barikiwa mtumishi
Amina barikiwa mtumishi wa Mungu
Unanibariki sana sana🙏
Ameeen
Amin
Amen
Halleluyah Amen
amen
Nimebarikiwa Sana. Mungu awabariki
Amen mchungaji....❤
Amina
A real blessing.God bless you
Nahachilia.damu.ya.yesu.Amen
Naomba, namba zako Mtumishi, Mungu akuongezee maarifa, kwa Damu ya Yesu Afya yangu inakwenda kurejeshwa
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu aliyehai
哈利路亚
Amina mtumishi Mungu akubariki mno,niombee naweza kupata namba yake
Damu ya YESU inauwahi Amina mtumishi
Shalom mwalimu,ivi mwanza mtakua na semina lini na wapi?
Amen
Amen
Amen
Amen