#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 141

  • @EmmahMaclean
    @EmmahMaclean 3 วันที่ผ่านมา +1

    Baba mungu naomba unisaidie maisha yanguu yawe katika njia yako bariki wadogo zangu wakafanikiwe kwa damu yako amen

  • @JaneroseLulenga
    @JaneroseLulenga 7 วันที่ผ่านมา

    Yesu gusa uchumi wangu gusa uzazi wangu na watoto wangu gusa biashara yangu

  • @jeniphersichamba545
    @jeniphersichamba545 4 วันที่ผ่านมา

    Eee Yesu komboa uzazi wa tumbo langu na urejeshe Kila nilichopoteza kwenye maisha yangu. Amen

  • @furahamichael6047
    @furahamichael6047 11 วันที่ผ่านมา

    Bwana yesu naomba uanze namimi bwana wangu akili yangu imefika mwisho nakuomba unikukumbuke bwana katika biashara yangu🙏🙏

  • @GladElius
    @GladElius 11 วันที่ผ่านมา

    Bwana yesu naomba unikumbuke ukumbuke sadaka zangu ukaniokowe na wachawi wanaotesa maisha yangu Kwa magonjwa yakutengenezwa Anza na baba uniokoe asante mfalme

  • @elizabethmushi3748
    @elizabethmushi3748 6 วันที่ผ่านมา

    Asante yesu kwa neno lako naonba milango yangu ya uchumi ifunguke kwajina la yesu naomba pia watoto wangu waache kukojoa kitandani

  • @SandraKabwe-i1k
    @SandraKabwe-i1k 6 วันที่ผ่านมา

    Hee Mungu wangu 🙏 naomba ukayatowe maish yangu ndani yakambi zamasiku nakuninyanganyiy waliyo beba maishni mwangu nakui bariki Pia safari yangu

  • @emmanueldickson7661
    @emmanueldickson7661 11 วันที่ผ่านมา +1

    Asante yesu kupitia neno uliloliachia kwa mtumishi wako linaenda kutimia kwenye Afya yang na uchumi wang

  • @marywaweru6089
    @marywaweru6089 6 วันที่ผ่านมา

    Amen amen najiunganisha katika Jina LA Yesu amen

  • @elizabethmushi3748
    @elizabethmushi3748 6 วันที่ผ่านมา

    Asante yesa asante yesu bwana kupitia neno lako naomba unijalie niweze kulipa maden yote naomba unijalie riziki niweze kuwalea watoto wangu

  • @furahamichael6047
    @furahamichael6047 11 วันที่ผ่านมา

    Bwana naomba unikumbuke katika biashara yangu ukaitakase kwadamu ya yesukiristo ikapate kibali machoni pawatu kwajina la yesu 🙏🙏

  • @ElinaLungu-t4g
    @ElinaLungu-t4g 15 วันที่ผ่านมา

    Asante yesu katka masaa haya katika jina la yesu

  • @EstellaNshimirimana-up9jo
    @EstellaNshimirimana-up9jo 13 วันที่ผ่านมา

    Amen amen,asante Bwana Yesu kwa ushuhuda mpya unanipatia,napokea uponyaji,napokeya mme sahihi kwamaisha yangu, napokeya kila jambo kutoka mbinguni in mighty name of Jesus Christ,amen.

  • @maureennaliaka8936
    @maureennaliaka8936 6 วันที่ผ่านมา

    Baba Mungu nakuomba Bwana uwatembelee watoto wangu wakati yenye wanajiandaa kwenye mtihani wako ooo yesu nawaweka mikononi mwako usiwaache Bwana wape afya wape kibali nawaombea kufaulu katika mitihani iliopo mbele Yao yesu ninakuamini na hujawai kuniaibisha nimekutumainia Bwana nitende Tena na Tena yesu wewe ni nuru yangu Asante bwana Amen

  • @Shosho-b1q
    @Shosho-b1q 15 วันที่ผ่านมา

    Asante MUNGU wangu naomba unirengeshee nyote yaliyoibiwana adui

  • @Fatmasafe-jz8ij
    @Fatmasafe-jz8ij 13 วันที่ผ่านมา

    Asante bwana yesu kwanilinda nandani ya mwaka huu napokea ndoa takatifu ninafuta Kila walicho niandikia maadui zangu nisiorewe nitaoreo kwajina la yesu napokea neema

  • @JacklineJohn-b8t
    @JacklineJohn-b8t 4 วันที่ผ่านมา

    Namshukuru mungu kwa ibada hii ya kuvushwa kusiko kwakawaida hakika nmemuna mungu katika ibada hii maisha yangu yamevushwa namshukuru mungu sana ubarikiwe sana mtumishi wa mungu alie hai Amen

  • @Victoria-bv6xu
    @Victoria-bv6xu 12 วันที่ผ่านมา

    Nimepokea kwa jina la Yesu kriso wa Nazareth Alie hai 👏 mungu akubaliki Sana mtumishi wa mungu 👏

  • @MutambalaSelemani
    @MutambalaSelemani 15 วันที่ผ่านมา

    Mungu na itaji mabadiliko kwenye viashara yangu nijaliye nyingine vile utakavyo wewe

  • @ElenaBakari
    @ElenaBakari 15 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen Amen nahamini yesu hatatenda kwa Jina lake

  • @binnahjohn881
    @binnahjohn881 12 วันที่ผ่านมา

    Napokea kurejeshewa kwa yote yale ambayo adui alikuwa amechukua kutoka katika familia yangu. That is,mapato,furaha ya ndoa,maisha marefu ,uzima nk katika jina la Yesu Kristo.

  • @REHEMASHAYO-i4l
    @REHEMASHAYO-i4l 11 วันที่ผ่านมา

    Naomba Mungu anipe kibari Cha kwenye biashara.na nguvu ya maombi

  • @REHEMANGOME-h9s
    @REHEMANGOME-h9s วันที่ผ่านมา

    Naomba mungu aniponye magonjwa yayonisumbua yote

  • @rehemakarisa2791
    @rehemakarisa2791 6 วันที่ผ่านมา

    Eee mungu wangu anza na mimi yesu masaa haya

  • @naomichimbeja1412
    @naomichimbeja1412 16 วันที่ผ่านมา

    Asante yesu kristo wanazareti uliye hai nakukabidhi kesi ambayo ni tarehe 30 ikaweze kuisha na nìkashinde kwa jina la yesu kristo wanazareti uliye hai

  • @RoseWilson-j2y
    @RoseWilson-j2y 14 วันที่ผ่านมา

    Asante Bwana Mungu ameniponya wanadamu walitaka wanimalize Bwana akaniponya

  • @راماراما-ش5س
    @راماراما-ش5س 15 วันที่ผ่านมา

    Ndoto mbaya zilizonisumbua baba,niokoe yesu

  • @juliussulana5343
    @juliussulana5343 15 วันที่ผ่านมา

    Asante mungu wangu kwa asubuhi ya Leo kupitia haya maombi nikapate kazi nikapate naomba kibali yesu Anza na Mimi ee bwanaaa Aminaaa

  • @shamsaabdalah7038
    @shamsaabdalah7038 15 วันที่ผ่านมา

    Yesu naomba heshima na hekima yaani ukaniheshimishe Lord 🙏 no matter Jana niliumizwa sana😢 lakini lipo tumaini kwa mti uliokauka ukachipuka tena😊🙏

  • @JohnElisha-tg4on
    @JohnElisha-tg4on 16 วันที่ผ่านมา

    Nazogea kwako mungu wangu uwe namimi tena usiku wa leo🤲🤲🇨🇩

  • @RobertGuy-d7q
    @RobertGuy-d7q 15 วันที่ผ่านมา

    Nimetuma pokeya maneno n'a wimbo wa shukrani kinywani muangu kwa Jina la Yesu kristo

  • @JoyceJohn199
    @JoyceJohn199 15 วันที่ผ่านมา

    Anaomba mungu wangu unipe kibali cha uzima nikuwe kiroho pia nipate mme sahii pia watoto wawe kichwa na si mukia

  • @SalomeMangale-m8i
    @SalomeMangale-m8i 15 วันที่ผ่านมา

    Asante mungu kwa maombi haya na mafundisho haya eshima yangu inarudi upya

  • @RoseWilson-j2y
    @RoseWilson-j2y 14 วันที่ผ่านมา

    Amen mtumishi wa Mungu Mungu atusaidie nakwangu waje waone watoto watakapo fanikiwa Mungu nisaidie

  • @annadaniel8932
    @annadaniel8932 15 วันที่ผ่านมา

    Eee Mungu naomba masikio ya wates yakapate kuwasha naomba Mungu ukasimamie uchumi Wang ninao uanza

  • @JaneroseLulenga
    @JaneroseLulenga 13 วันที่ผ่านมา

    Asante yesu nisaidie rudisha aman ya maisha

  • @DoraMtui
    @DoraMtui 15 วันที่ผ่านมา

    Asante Yesu kwa sababu kila kilichokuwa changu kilichochukuliwa kinarejeshwa kwa jina la Yesu Ameen

  • @monicakilatu5780
    @monicakilatu5780 14 วันที่ผ่านมา

    Nayapokea yote kwa jina la Yesu naomba nguvu ya kibali na mme wangu arudi nyumbani na madeni yote niweze kuyalipa pamoja na ada za watoto

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 15 วันที่ผ่านมา

    Mungu usikie kuomba kwangu uimarishe uchumi umrekebishe mwanangu tabia imebadikia sana

  • @safialuhizo4979
    @safialuhizo4979 15 วันที่ผ่านมา

    Ahsante yesu heshima yangu umerudi🙏🙏🙏

  • @JaneroseLulenga
    @JaneroseLulenga 13 วันที่ผ่านมา

    Asante yesu nimekuona ktk maombi nisaidie

  • @RahelLwanzali
    @RahelLwanzali 15 วันที่ผ่านมา

    Amina MUNGU naona ukibadilisha historia ya kukataliwa kwetu na maden yote unaenda kujfungua milango ya kulipa yote naona adui zangu masikio yakiwawasha ❤❤❤🎉

  • @RoseWilson-j2y
    @RoseWilson-j2y 14 วันที่ผ่านมา

    Naitaji kupona pia watoto hawana maisha Mungu nisaidie watoto uwape mafanikio Mtumishi ubarikiwe sana naitaji maombi yako

  • @mkasykhamisi2587
    @mkasykhamisi2587 16 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏 nalipokea kwa jina la yesu 🙏🙌

  • @HawaAlly-h6i
    @HawaAlly-h6i 15 วันที่ผ่านมา

    Amina...napokea kwajina la mungu mabadiliko ya kiroho ndaniyangu..

  • @feddrickmjomba6922
    @feddrickmjomba6922 16 วันที่ผ่านมา

    Asante Yesu kwa uzima ulionipa.

  • @TheresiaColman
    @TheresiaColman 12 วันที่ผ่านมา

    Naomba mungu arudishe uchumi wafamilia yangu na anipe mume wa maisha yangu na nipate mfadhili wakumsomesha mwanangu

  • @marymaria6544
    @marymaria6544 15 วันที่ผ่านมา

    Asante yesu Kwa yote uyatendayo

  • @NeemaMdumaa-up9vd
    @NeemaMdumaa-up9vd 15 วันที่ผ่านมา

    Asante yesu kwa kunifikisha muda hu

  • @AmerBinzoo
    @AmerBinzoo 15 วันที่ผ่านมา

    Amina Amina kubwa naomba mungu watoto wagu wapate kazi nisaidie baba

  • @MueniJudy-n9c
    @MueniJudy-n9c 16 วันที่ผ่านมา

    Mueni William amen amen amen amen asande mungu

  • @mkasykhamisi2587
    @mkasykhamisi2587 16 วันที่ผ่านมา

    Neno la kwangu kwa jina la yesu 🙏🙌

  • @marymueni7891
    @marymueni7891 15 วันที่ผ่านมา

    Naamini haya, yale Mungu anaenda kutenda kwa mwanangu Evans masikio yao yatawasha

  • @JoyceMlelwa
    @JoyceMlelwa 15 วันที่ผ่านมา

    Napokea kufanikiwa ktk Jina la Yesu

  • @mkasykhamisi2587
    @mkasykhamisi2587 16 วันที่ผ่านมา

    Naomba Bwana unirudishie baraka zangu zilizo fungwa na shetani na unirudishie ndoa yangu Bwana

  • @veronicanestory1662
    @veronicanestory1662 15 วันที่ผ่านมา

    Amina napokea kwa jina la Yesu

  • @anneochare4028
    @anneochare4028 15 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen Amen 🙏🏾 i receive it by faith in Jesus mighty name

  • @mkasykhamisi2587
    @mkasykhamisi2587 16 วันที่ผ่านมา

    Napokea in the mighty name of Jesus Christ 🙏

  • @GladElius
    @GladElius 10 วันที่ผ่านมา

    Ndani yangu Mimi gladness mungu utende tendo juu ya afya yangu nipone mateso ya kuugua miaka mitatu bila kupona bali mateso yanaongezeka ukafute yote Kwa jina la yesu alie hai

  • @mkasykhamisi2587
    @mkasykhamisi2587 16 วันที่ผ่านมา

    Baba skia kilio changu wewe ndiwe ujuaye Siri ya machozi yangu na maumivu ya moyo wangu baba tenda tu jambo maishani mwangu na kwa ndoa yangu 🙏🙏

  • @SaraphinaSadala
    @SaraphinaSadala 4 วันที่ผ่านมา

    Mungu naomb unip kibal cha uzim mim na mtoto wang usitupit unapowagusa wengin nasis tuguse yesu

  • @PhilomenaTemba-vq4uq
    @PhilomenaTemba-vq4uq 16 วันที่ผ่านมา

    Anza na Mimi bwana Yesu

  • @safialuhizo4979
    @safialuhizo4979 15 วันที่ผ่านมา

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏 ahsante yesu njoo muone

  • @mkasykhamisi2587
    @mkasykhamisi2587 16 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏🙌🙌🙌 nikumbuke yesu

  • @JoyceMlelwa
    @JoyceMlelwa 15 วันที่ผ่านมา

    Nakushukuru Mungu kwa yote

  • @gladysnjeri282
    @gladysnjeri282 16 วันที่ผ่านมา

    Na pokea kwa jina la yesu

  • @JudithMlelwa
    @JudithMlelwa 15 วันที่ผ่านมา

    INaomba baraka zako Bwana

  • @ChazkKasubi-le4dj
    @ChazkKasubi-le4dj 16 วันที่ผ่านมา

    Amen Breakthrough in my Life economic business

  • @Loice-c9o
    @Loice-c9o 15 วันที่ผ่านมา

    Yesu badilisha historia ,nimechekwa sana sina Kimbilio isipokuwa wewe baba nilindie wanangu japo niko mbali nao hawana mtu wangu wakaribu😢

  • @EuphrasiaAyuma
    @EuphrasiaAyuma 15 วันที่ผ่านมา

    Naomba nikubalike kila eneo lamaishangu,nyota yangu ingare

  • @NannyNanny-fo9yh
    @NannyNanny-fo9yh 16 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏,anza nami Bwana yesu

  • @dianagoyayi5698
    @dianagoyayi5698 16 วันที่ผ่านมา

    Napokea yote Mungu uliyokusudia nipokee mimi na familia yangu kwa jina la Yesu Kristo

  • @ivanfaustin9717
    @ivanfaustin9717 7 วันที่ผ่านมา

    Asante Yesu

  • @sharletngala6157
    @sharletngala6157 16 วันที่ผ่านมา

    Naliinua jina lako asubuhi ya Leo nikisema ni asante mungu wangu. Napokea yote uliyokusudia nipokee Mimi na familia yangu katika jina la Yesu

  • @RobertGuy-d7q
    @RobertGuy-d7q 16 วันที่ผ่านมา

    Maendele mazuri kwenye byashara byangu n'a kwenye ndoa yangu kwa jina la Yesu Kristo.

  • @nurubushirianelkas8681
    @nurubushirianelkas8681 16 วันที่ผ่านมา

    Amen amen God 🙏 🙌 👏 ❤

  • @MutambalaSelemani
    @MutambalaSelemani 15 วันที่ผ่านมา

    Jina la yesu nilenye nguvu kwetu

  • @CatherineDaudi-rq5tz
    @CatherineDaudi-rq5tz 15 วันที่ผ่านมา

    Napokea uponyaji wangu wa kifua,tumbo na familia yangu kwa ujumla tunafunguliwa kwa jina la yesu ,yote yanawezekana kwake yeye aaminiye ,na mimi naamin imekuwa napokea napokea napokea 🙏🙏

  • @AminaSaidi-s3q
    @AminaSaidi-s3q 15 วันที่ผ่านมา

    Mungu nisaidi usiniache beans

  • @safialuhizo4979
    @safialuhizo4979 15 วันที่ผ่านมา

    Ahsante yesu Kwa maombi haya,,heshima yangu iliyopotea inarudi Sasa,,🙏🙏🙏

  • @REHEMASHAYO-i4l
    @REHEMASHAYO-i4l 11 วันที่ผ่านมา

    Mungu anipe mtaji

  • @mkasykhamisi2587
    @mkasykhamisi2587 16 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏 be blessed more Man of God 🙏

  • @MarikiJeremia
    @MarikiJeremia 16 วันที่ผ่านมา

    Thanks JUSES CHRIST for this opportunity

  • @annegunga3738
    @annegunga3738 16 วันที่ผ่านมา

    YESU,nakuhitaji Kila saa unitetee na kunifanyia njia ya kutokea Mimi na familia yangu

  • @mkasykhamisi2587
    @mkasykhamisi2587 16 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏 mm ni mbarikiwa from know🙏🙌🙌

  • @MaikoSigala
    @MaikoSigala 15 วันที่ผ่านมา

    Mungu nikumbuke na mm maana nakuamini hakuna usilo liweza nahitaji tumbo langu la uzazi lililo fungwa lifunguliwe

  • @NelsonChilongola
    @NelsonChilongola 16 วันที่ผ่านมา

    Mungu yu pamoja kutimuliwa watumishi wakutosha Bwana walinde na Kuwabariki

  • @NelsonChilongola
    @NelsonChilongola 16 วันที่ผ่านมา

    Nyumba zangu na Magari yangu .Na pokea katika jina la Yesu Krsto

  • @irenesangolo1272
    @irenesangolo1272 16 วันที่ผ่านมา

    Amen amen,amen

  • @mkasykhamisi2587
    @mkasykhamisi2587 16 วันที่ผ่านมา

    Amen in Jesus name 🙏🙌

  • @mkasykhamisi2587
    @mkasykhamisi2587 16 วันที่ผ่านมา

    Ameeeen hallelujah 🙏🙏🙌

  • @Felly-xn3ng
    @Felly-xn3ng 5 วันที่ผ่านมา

    Napokea kazi na Mme wa maisha yangu

  • @GabinKamwanggabin
    @GabinKamwanggabin 14 วันที่ผ่านมา

    Amee 🙏🙌🙌🙌🙌🙌🙏

  • @mkasykhamisi2587
    @mkasykhamisi2587 16 วันที่ผ่านมา

    Ninaimani usiku wa leo ni wangu kwa jina la yesu 🙏🙏🙏

  • @SalomeMangale-m8i
    @SalomeMangale-m8i 15 วันที่ผ่านมา

    Asante mungu

  • @mkasykhamisi2587
    @mkasykhamisi2587 16 วันที่ผ่านมา

    They will come and see in Jesus name 🙏🙌

  • @PhilomenaTemba-vq4uq
    @PhilomenaTemba-vq4uq 16 วันที่ผ่านมา

    Namuombea ladislaus afunguliwe

  • @mkasykhamisi2587
    @mkasykhamisi2587 16 วันที่ผ่านมา

    Anza na mm bwana 🙌🙌😥😥😥

  • @mkasykhamisi2587
    @mkasykhamisi2587 16 วันที่ผ่านมา

    Hallelujah 🙏🙌

  • @mkasykhamisi2587
    @mkasykhamisi2587 16 วันที่ผ่านมา

    I receive in Jesus name 🙏🙌